CHADEMA KUWABURUZA POLISI MAHAKAMANI| MBOWE AAGIZA WANASHERIA KUANDAA MASHTAKA, VYEO PEMBENI KWANZA.

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 27 гру 2024

КОМЕНТАРІ • 41

  • @NkwabiMasanja
    @NkwabiMasanja 4 місяці тому +2

    😂😂😂😂😂😂😂 buruza mbili tofaut 😂🤣🤣🤣

  • @baraghash4964
    @baraghash4964 4 місяці тому +1

    Kwa vile tushazoea ubanwaji wa habari na kutokua huru vyombo vyetu vyetu vya habari, kwa hiki wanachokifanya, wewe unaona wanapendelea na kukandamiza uongozi... Free mind, freedom of expression 🗣️📖

  • @NkwabiMasanja
    @NkwabiMasanja 4 місяці тому

    Wasaf juuuu

  • @commentslaughs
    @commentslaughs 4 місяці тому +3

    WASAFI MEDIA HAWA WAZEE KIPINDI CHAO HIKI KINGEKUWA HAKIPO KUNA MENGI YASINGEKUWA YANAFANYIWA KAZI NAOMBENI MUWAANGALIE KWA JICHO LA TATU WAENDELEEE KUPAZA SAUTI ZAO ZENYE BUSARA NYINGI ILA UJUMBE UPO PALEPALE HATA NI NANI WANAMFIKISHIA UJUMBE SAFI SANA WASAFI MEDIA.

    • @jeremiahcharles6027
      @jeremiahcharles6027 4 місяці тому +1

      Ila kuna jambo litawatokea ,,,wanaushabiki uliopitiliza ambao unapelekea uchochezi ,,,Hawa balance story,,,ukiwa mwaandishi hupaswi kuonesha uko upande Gani ,,,mwandish sio mahakama ya kuamua nani mkosaji

    • @sylvestercameo6263
      @sylvestercameo6263 4 місяці тому +1

      ​​@@jeremiahcharles6027Kwani wako upande gani? Nini maana ya kubalancr story?

    • @commentslaughs
      @commentslaughs 4 місяці тому

      @@jeremiahcharles6027 KUWATOKEA HIZO ZITAKUWA NI HILA TU MAANA WAO WANASEMA KWELI AWAMUONGOPEI MTU NA KAMA NI BALANCE WANAONYESHA VIZURI JAPO KILA MTU ANANAMNA YAKUWAELEWA SO TUANGALIE MEMA WANAYOSEMA BASI

    • @jeremiahcharles6027
      @jeremiahcharles6027 4 місяці тому

      @@commentslaughs sema watu wanawapuuzia ,,,maana wanaona wanachochea chochea tu

  • @aquinastera7404
    @aquinastera7404 4 місяці тому

    Buruza na defenda aisee 😂😂😂😂😂

  • @ZaidAKissinza
    @ZaidAKissinza 4 місяці тому +1

    Radio gani hii? Sijawahi kuona

  • @MsifuniMahenge
    @MsifuniMahenge 4 місяці тому

    Naipenda

  • @SamwelMnaga
    @SamwelMnaga 4 місяці тому

    😅😅😅😅😅😅Kwamba waliwambia wanataka kuletwa dar salm

  • @GabrielSky64
    @GabrielSky64 4 місяці тому +1

    Chadema vs Police sioni haki ikitendeka. KESI ya police hukumu atoe police mbona sielew Alafu Nchi ni Tanzania

    • @jassonnelly3445
      @jassonnelly3445 4 місяці тому

      Tuliza akili kuna kitu kinaitwa mahakamani usishau hata rais hushitakiwa hakuna aliye juu ya sheria

    • @jeremiahcharles6027
      @jeremiahcharles6027 4 місяці тому

      @@GabrielSky64 unajua majukum ya plc?

  • @JekobuNgwara
    @JekobuNgwara 4 місяці тому

    Kumbe wote so wabongo peleka mahakamani haoo haki itendeke

    • @JekobuNgwara
      @JekobuNgwara 4 місяці тому

      Kweli afande hapo ni magaidi

  • @amedeuscharz6761
    @amedeuscharz6761 4 місяці тому

    Lazima iwe hivyo lazima waburuzwe akaseme yaliyotokea

  • @PauloAlfayo-qi1gn
    @PauloAlfayo-qi1gn 4 місяці тому +1

    Mimi ni mwanachama wa chadema kama wao hawajaenda mahakani Mimi nitaenda kushitaki polisi,katiba inakuhusu,mbn ata magoma aliekuwa mwana chama wa yanga kaishtaki uongozi wa yanga?

    • @rogerabdallah439
      @rogerabdallah439 4 місяці тому

      Nipo nyuma yako I'll kikiwaka mimi nakimbia

  • @KilonzoJohn-mg7cw
    @KilonzoJohn-mg7cw 4 місяці тому

    Kitenge wewe mbona umekua mtangazaji wa redio za uswahilini zenye tabia ya mipasho kama udaku wa mtaaniwa uswahini kitenge kama ni uchWa umekuoendeza na ndio maana hata ya msafara wa dubai ulikua kihereher wewe na manara na wasanii machaw wa ccm

  • @jeremiahcharles6027
    @jeremiahcharles6027 4 місяці тому +1

    Ila Hawa majamaa wanaushabiki sana ,sizani kuwa taaluma yao inasema wawe na ushabiki ,,na kauli za kuchochea,,,,,,,hata kwenye simba na yangu mnaleta mambo haya haya

    • @altonkanjolonga2380
      @altonkanjolonga2380 4 місяці тому

      hakuna uchochezi ndio ukweli ulitaka wasomeje

    • @jeremiahcharles6027
      @jeremiahcharles6027 4 місяці тому

      @@altonkanjolonga2380 hayo mambo ya kisheria ,hupaswi kashadadia,,,pia wasiangalie upande mmoja,,,Kila mtu Yuko shihi kwa upande wake,

    • @jassonnelly3445
      @jassonnelly3445 4 місяці тому

      Ww unajua taaluma yao inasemaje!?

    • @jeremiahcharles6027
      @jeremiahcharles6027 4 місяці тому

      @@jassonnelly3445 hawatakiwi kutangaza au KUCHAMBUA TUKIO ,jambo au swala kwa ushabiki Bali wanapaswa kubalance story,,10/10

    • @kwisa4899
      @kwisa4899 4 місяці тому

      Sip polisi

  • @paulmadundo8084
    @paulmadundo8084 4 місяці тому

    🤣

  • @MngwaliAllykizangwa
    @MngwaliAllykizangwa 4 місяці тому

    Ingekuwa hivyo kila polisi akitekeleza kazi yake anaburuzwa yeye kama yeye ingekuwa shida, vitabu vya kipolisi vipo wazi kuhusu ukamataji, kwa anae tii na yule asiyetii.

    • @alexandermalima610
      @alexandermalima610 4 місяці тому

      Sheria siyo vitabu vya kipolisi,kama hujui kitu nyamaza

    • @gasperelasto8842
      @gasperelasto8842 4 місяці тому

      Hajui chichote heri akae kimya​@@alexandermalima610

  • @MO12-b1q
    @MO12-b1q 4 місяці тому

    😅😅😅😅😅😅😅🇹🇿🇲🇿

  • @Salum-l4l
    @Salum-l4l 4 місяці тому

    Acheni siasa taarifa ziko nyingi inatoka povu acheni izo tumeshawjuwa chama chenu

    • @flova7022
      @flova7022 4 місяці тому +3

      Kwan wewe hatujui kuwa wewe ni chama cha majanbazi

    • @MosesMgala-qx3bb
      @MosesMgala-qx3bb 4 місяці тому +2

      Kwan muongo, au naww ndo walewLe mbwa wa ccm

    • @deniccgabriel6153
      @deniccgabriel6153 4 місяці тому +1

      Inakuuma sana au ulikuepo ukiwapiga hao chadema?😅😅