NGOMA NZITO BUNGENI: MPINA ABISHANA VIKALI NA SPIKA DKT. TULIA "WALIKULA NJAMA,"

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 2 чер 2024
  • #UhondoTV #Uhondo

КОМЕНТАРІ • 23

  • @user-cu3cl4yy5s
    @user-cu3cl4yy5s Місяць тому +2

    Hapa kuna ukweli mbona kauliza kitu cha maana hapa kuna ukweli unaofichwa

  • @ElibarikiEliud
    @ElibarikiEliud Місяць тому +1

    Wana ccm mbona hamko makini kulinda rasilimali za Tanganyika yetu. Hasa wewe mheshimiwa spika tunakutegemea. lakini unaonekana kuibeba mno serikali. Kuna hoja za msingi za akina Mpina. Bulaya. Salome makamba na mdee huzipi nafsi. Simamia vizuri taifa mama tegemeo na jicho letu watanganyika limebakia kwako.

  • @LeahKazeni
    @LeahKazeni Місяць тому

    Mmhhhh haya tutaona mengi mwaka huu duuu hawawezi kuunga mkono wako mbali kabisaa mwanangu acha tu

  • @deoluma1706
    @deoluma1706 Місяць тому +2

    Kwani mbugan akiwepo tembo mkubwa kuliko wote hawez kufahamika? Mbona swali la spika linatia mashaka? Kwamba mwindaji hakujua kuwa kuna mamba mkubwa. Inasikitisha sna kuona viongozi wenye dhaman wakipindisha ukweli. Daah hii inch bhana!!!!

  • @George-jz3jg
    @George-jz3jg Місяць тому +3

    Kama kawaida Tanzania ni shamba la bibi

  • @christianlutego1288
    @christianlutego1288 Місяць тому +2

    Wabunge wetu hawa , hayaa

  • @user-bu1gm8nt2z
    @user-bu1gm8nt2z 28 днів тому

    Mzee mpina acha tu, CCM washapiga hela hao achana nao spika kapiga hela kibao.

  • @mhifadhi797
    @mhifadhi797 Місяць тому

    Huwa nakukubali ila kwenye mnrt huna data Bora utulie

  • @MwanaIddy-oi7lb
    @MwanaIddy-oi7lb Місяць тому

    Mwindaji jooshioiiiii😂😂

  • @g-abbastechnology1818
    @g-abbastechnology1818 Місяць тому

    hapo unaonekana huna la maana iksifia ndo deal

  • @ErastoMaridadi
    @ErastoMaridadi Місяць тому +1

    Huko wanakushangaa ufisadi na rushwa ndio mashujaa na huko toka haraka mpina

  • @athumanimohamedi9921
    @athumanimohamedi9921 Місяць тому

    😂😂 mwanangu uyo mpina

  • @sajadyusufu5150
    @sajadyusufu5150 Місяць тому +1

    Nilipogeuka

  • @jameshagwe3063
    @jameshagwe3063 Місяць тому

    Hakuna spika hapo a.k.a spika mbovu

  • @OmarMohamed-bs2hf
    @OmarMohamed-bs2hf 28 днів тому

    Hili ni kosa tena kubwa lazima tulinde malizetu sasa kama yule ndio mamba mrefu duniani si ndokivutio kwanini muruhusu kuuwawa

  • @peterilimwa5754
    @peterilimwa5754 Місяць тому

    hb tanzania tuna spika kweli?

  • @muhammednassor690
    @muhammednassor690 10 днів тому

    Oya hakuna ufala Tanzania kama kufuatilia siasa, utajiumiza bure, mtu bora ufanye yako tu.

  • @Worldunite
    @Worldunite Місяць тому +1

    Viongozi wetu mtetee na kuthamini vya kwetu, penye makosa turekebishe na sio kupingana

  • @user-cu9mj3xj8x
    @user-cu9mj3xj8x Місяць тому

    haaaahaaaaa, mpina uko visor,naspika changamoto kweri ipo yakutokuwa na aramaza mazao yetu

  • @Nedjadist
    @Nedjadist Місяць тому +3

    Ujinga, uvivu, na kutothamini vyako, Tanzania

  • @George-jz3jg
    @George-jz3jg Місяць тому +1

    Tayari waziri na spika lao moja

  • @salummohamed2689
    @salummohamed2689 Місяць тому

    Spika huyu anahusika?