Cna maana ctak wasome bhana nawataka waamke na wenyewe wasome shekhe kama mm nilipata simu mpya na kompyuta basi wenyewe wakiamua wanaweza jenga inshallah na ndo maana ya kucheka kwa imoji 😂
Mimi nilikuwa natibia watu kwa tunguli na nilikuwa sipati matokeo ya haraka ila toka nilipoiendea hii elimu wallah imenipa nguvu kubwa sana katika tiba na maadui zangu wote wamepata mapigo makubwa sana na wengine wamepata maradhi yasiyotibika kwa kunijaribu na naogopewa sana na watu na wenye masheitwani ya kijini na uchawi hapa ndio mwisho wa ubishi na ujeuri wao lakini pia nimepata maisha yakuniridhisha toka kwa Allah
A.Allaykum. Ustadh, jebaada ya riadhwa unaeza kuendekea kutumia vyakula vya kiroho? Na je baada ya riadhwa, kila nitakapohitaji kuyatumia majina ya barhatih, mfano nimeyatumia asubuhi, je mchana waeza kula vyakula vya kiroho, na je pia vipi kuhusu kutumia kitunguu swaumu au kula pilau, je haina athari ?
Asalam alaikum je sheikh nauliza hiv jini mtu aliekua kafanyiwa uchawi na jini wake hapandi kichwani. Je unaweza kutumia majina hayo ya barhatii na ukatoa amri jini uyo Auliwe popote alipo , anaweza kuliwa au huliwa kwa jini aliepanda kichwani tu?
Shekh mi nilikua nasoma jina la barahatihi wakat wa kulala ila nikaota mtu wangu wa karibu amefariki ameuliwa vibaya sasa sielewi labda ndo alikua adui yangu au???ameuliwa kiroho na hao mahudam au labda walikua wananifanyia uadui??
Ustadhi naomba nikulize je ukiwa ndio upo katika miko yakutokula vyakula vyakiroho je? mtu anaweza kuchinja kichinjo mfano kuku hatakama yeye haend kula
samah sheke nataka kukuliza Kama nataka kutumia jina lapili kutaka kuomba mahudam kuja kuwauwa Majin wabaya je nitumie wati wazohali au wakati wamirihi au niwakati wowote

Shekh uk vzr unajua mambo mengi,Allah akujalie duniani na kesho akhera
Maashaallah, faida tunaziona sheikh wang...wanaoona kama unahadithia hadith za sungura na fisi we waache wapuuze t...sisi tupo pamoja
MASHAALLAAH KHER
Mimi nilikuwa natibia watu kwa tunguli na nilikuwa sipati matokeo ya haraka ila toka nilipoiendea hii elimu wallah imenipa nguvu kubwa sana katika tiba na maadui zangu wote wamepata mapigo makubwa sana na wengine wamepata maradhi yasiyotibika kwa kunijaribu na naogopewa sana na watu na wenye masheitwani ya kijini na uchawi hapa ndio mwisho wa ubishi na ujeuri wao lakini pia nimepata maisha yakuniridhisha toka kwa Allah
Shukran sheikh
Je sheikh nayasoma yote au nachaguwa mmoja.
Unasoma yote
Mashaallah jazakaallahu kheyr
Kiukwel ninawik nimetumia kuyasoma dukani kwangu busy ilikua imepotea wallah imerudi kama kawaida
Mashaa Allah
Shukrani shekh
Kaka mimi naitwa khadija nataka kuja kaka ni ashida furani
As salaam sheikh namba 23 hatuja liona
Je ustadh ktk kuzifanya hizi Dua ni lazima nikae riadhwa au nitimize haya uloyasema na iendelee na shughuli zangu za Kila siku
Asalam aleikum shekhe,kama sijaweza kuyahifadhi haya majina barhatihi naweza kuyasoma kwa kuyaandika kwenye karatasi
A.Allaykum. Ustadh, jebaada ya riadhwa unaeza kuendekea kutumia vyakula vya kiroho? Na je baada ya riadhwa, kila nitakapohitaji kuyatumia majina ya barhatih, mfano nimeyatumia asubuhi, je mchana waeza kula vyakula vya kiroho, na je pia vipi kuhusu kutumia kitunguu swaumu au kula pilau, je haina athari ?
Asalam alaikum je sheikh nauliza hiv jini mtu aliekua kafanyiwa uchawi na jini wake hapandi kichwani. Je unaweza kutumia majina hayo ya barhatii na ukatoa amri jini uyo Auliwe popote alipo , anaweza kuliwa au huliwa kwa jini aliepanda kichwani tu?
Kwa jini aliyepanda kichwani
Sheikh ninapo taka kusoma kina moja kwa idadi yake nianze kusoma majina yote au nisome kina nitalolichagua ?
Shekh mi nilikua nasoma jina la barahatihi wakat wa kulala ila nikaota mtu wangu wa karibu amefariki ameuliwa vibaya sasa sielewi labda ndo alikua adui yangu au???ameuliwa kiroho na hao mahudam au labda walikua wananifanyia uadui??
Yawezekana ni miongoni mwa adui wananokufanyia uadui
Na je niianze hii Dua siku Gani ktk juma
Ustadhi naomba nikulize je ukiwa ndio upo katika miko yakutokula vyakula vyakiroho je? mtu anaweza kuchinja kichinjo mfano kuku hatakama yeye haend kula
Sio vizur kufanya hivyo,ni bora kazi hiyo wafanye wengine ingawa wewe huli chakula hicho.
Ninapotakà kusoma j ina moja nisome majina yote mara ngapi ? Au nianze kina nililolikusudia
Anza jina ulilokisudia tu
Mwalimi nimekuelewa kwa kuvuta mali na utajiri nisome siku ngapi
Maalumu je ni ya wadudu au ya kudurusu nikiona lipi aswaa😅😅
Ni YAA WADUWDU
Shikha dua ya barahti
Asalam Aleikum shekhe wangu.
Unasoma kwa siku ngapi?
samah sheke nataka kukuliza Kama nataka kutumia jina lapili kutaka kuomba mahudam kuja kuwauwa Majin wabaya je nitumie wati wazohali au wakati wamirihi au niwakati wowote
Wakat wowote unafaa
Siku ngapi
Haya majina ni zaidi ya maajab,mi tangu nimeanza kuyasoma jicho langu la kulia linanicheza kila wakati,
Duhh!! Linakucheza kivipi
Kwan hujui macho kucheza??
@@nyawendacyprian8174 itakua unamdudu mbaya katika mwili wako Kwa iyo umemuamsha
Mashaallah jazakaallahu kheyr
umenikumbusha mbali majina hayo nilifundishwa miaka mingi