DUA WALIZOTUMIA WAZEE WA KILWA KUIGEUZA MELI YA WAGIRIKI KUWA JIWE MPAKA LEO ..FUATANA NA IMAM WALID

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 17 жов 2024

КОМЕНТАРІ • 95

  • @jamalrashid7459
    @jamalrashid7459 4 роки тому +8

    Shukrana hseikha walid umezungumz maneno mazito napia umetuelimisha M/aukujaalie kheri na akuondeshee kila balaa na aukipe khatma njema ww pamoja na cc

  • @omarjumanne6744
    @omarjumanne6744 4 роки тому +10

    Asalamu alkum shehe weye ndo lmamu hasa maimamu wengine hawatoi dawa misikitini kwao allah.akupe afya na elimu mimi nakusikiza sana

  • @adamhashim3352
    @adamhashim3352 3 роки тому +15

    Kam umekubali somo gonga like

  • @bintkijangwa4305
    @bintkijangwa4305 3 роки тому +2

    Maa sha Allah shukran sheikh wangu yani mie kuanzia leo nitakaa nisome haswa vitabu vyote hivyo nnavyo dunia imetushuhulisha wallah msiba mzito

  • @hemedysaidy7020
    @hemedysaidy7020 2 роки тому +1

    Subuhaana llaah huu ni mtihani kweli watu wasio kua na Elimu cku zote ndio wabishi kusoma hawataki na hata wakisoma elimu yao haina faida kwasababu hawana fadhila na mashekhe zao elimu zao zimejaa kiburi

  • @abdulrazaktayeb
    @abdulrazaktayeb 8 місяців тому

    Mashallah
    Jazakallah
    Zilete...hawakuweziiii

  • @aishahajji9461
    @aishahajji9461 4 роки тому +5

    Nikweli shekhe wangu nimelishuhudia Hilo jiwe babu.alinipeleka .kuna makaburi.ya mashekhe 40

    • @swalehemusakiluwa9405
      @swalehemusakiluwa9405 2 роки тому

      Na misikiti tisini na tisa bado ipo kwenye hicho kisiwa au imeongezeka au kupungua

  • @mariamali1887
    @mariamali1887 4 роки тому +4

    MashaAllah. Hiyo hisotri ya meli kugeuzwa jiwe ndio naisikia kwanza. SubuhanAllah jamani histori ziko nyingi hatuzijui na hii yote kukimbizana na dunia hatuendi madrsa. Allah atufanyie wepesi

  • @vanbraiysee2858
    @vanbraiysee2858 4 роки тому +6

    Hilo jiwe lipo kweli ktk sehem ya bahari

  • @josuzajsk398
    @josuzajsk398 2 роки тому

    Mashaa Allah tabaraka arrahmaan Sheikh Walid ....

  • @misbahukhalifa3216
    @misbahukhalifa3216 3 роки тому +1

    Allah barik ustadh wangu walid.

  • @bundalahamza8902
    @bundalahamza8902 4 роки тому +3

    Allah ameubariki sana dini yetu

    • @omarjumanne6744
      @omarjumanne6744 4 роки тому

      Uislam raha najipenda mimi kuwa mwislam thamani ya uisikam ni kubwa kwa wenye akili

  • @habibakhalfan1065
    @habibakhalfan1065 3 роки тому +1

    Usemayo_ni_kweli_karama_zimeondoka_kabisa_kwa_kujidai_kujua_sana_na_Kuwatukana_Mashekh_Baraka_zimeondoka_UNAFIQ_ume_kuwa_Mwingi_vongozi_hawaeshimiw

  • @ummytz7145
    @ummytz7145 4 роки тому +7

    Nimekupenda kwa ajil ya allah mung akupe kaul thabit hap dunian mpak akhera

    • @rajabutwalha6651
      @rajabutwalha6651 3 роки тому +1

      Assalaamu Alaykum warahmatu ALLAH wabarakaatuh samahani sana kwamba yeyote anayeifahamu namba Za sheikh WALID anirushie mm zangu Kuna Jambo amesahau nataka nimkumbushe au naomba mfikishieni nambari zangu hizo 0683240922 niongee naye

    • @ummytz7145
      @ummytz7145 3 роки тому

      @@rajabutwalha6651 saw nitampatia mwanafunzi wake ili ampatie mwalim wake

  • @shabanihamisi1146
    @shabanihamisi1146 4 роки тому +1

    Upon vizuri;waislam Lazima tusomee ila watu wanapupia fatwaaa wanazosikia Sikia tu ila ni lazima tuamkee an tuachee mambo ya SHEKH kasema......LAZIMAAAAAAA TUSOMEEEE DINIIIIIIII

  • @abigaelnasir1698
    @abigaelnasir1698 3 роки тому +1

    Swaddakta Shekh Walid Alhad Ukimpata mke mwenye Dini mume siyee,Mume Mshirikina tena Muongo, Fitna, Allah atuepushe na waume wenye swifa hizo

  • @kasimumatengo1318
    @kasimumatengo1318 3 роки тому +4

    Kwanza tusome ndio tuanze kupinga kwa dalili lkn kama elimu atuna tukae kimyaaa acheni kuwadharau mashekh dua ya kuingia chooni aujui leo unapinga mashekh mtihani mkubwa shekh tupo faida

  • @minabaka1910
    @minabaka1910 4 роки тому +8

    Nimekuwa wakwanza tena nakaa kilwa

  • @eshasalim5496
    @eshasalim5496 3 роки тому

    Maa Shaa ALLAH, Tabaraka ALLAH.

  • @ukhtyanasabintimalikimalik7188
    @ukhtyanasabintimalikimalik7188 4 роки тому +2

    Nakukubali sheikhe

  • @abdallahismael3993
    @abdallahismael3993 4 роки тому +3

    Nko kenya . Nakufwata sana walid kuliko mashekhe wangu hapa.

    • @ukhtyalpha1344
      @ukhtyalpha1344 4 роки тому

      Madhali ndii mapenz yako mfuate kama na sie tunavyowapenda wa Mombasa

  • @muhammadramadhab4996
    @muhammadramadhab4996 3 роки тому +1

    jazakallah kher

  • @kababayeemc6714
    @kababayeemc6714 4 роки тому +2

    Swadakta maalimu exactly maalim

  • @yusufharoub4669
    @yusufharoub4669 4 роки тому +3

    Masha Allah

  • @gfrhajji5233
    @gfrhajji5233 4 роки тому +3

    MashaAllah

  • @hudheifaathman315
    @hudheifaathman315 2 роки тому +3

    Wacheni shiriki kwakusingizia ati mwasoma majina y Allah

    • @omytifa6403
      @omytifa6403 Рік тому

      Ukimuamini ALLAH kila kitu kina wezekana

    • @abubakarbwika8397
      @abubakarbwika8397 7 місяців тому

      Sasa hutaki atajwe Allah wataka kutajwa wewe ?? Pumbavu!

  • @swalehemusakiluwa9405
    @swalehemusakiluwa9405 2 роки тому +2

    Misikiti tisini na tisa
    Sasa kijiji kidogo misikiti tisini na tisa walikuwa wanaswali watatu watatu au
    Na kuna haja gani misikiti kurundikana sehemu moja na je sasa hivi imeshakuwa mingapi hiyo misikiti
    Wanaojua je bado ipo yote au imeongezeka katika hicho kisiwa au kijiji maana kasema kutoka msikitini kwake mpaka kigogo ukubwa wa kisiwa lakini misikiti tisini na tisa duh

    • @maidaamiri7490
      @maidaamiri7490 2 роки тому

      Unachoshangaa kitu gani sasa wewe ukiangalia kutoka kichangani hadi kigogo Kuna nyumba ngapi na ukiambiwa kisiwa maana yake ni eneo sio barabara usipende kukurupuka kabla hujafikiri eneo lolote Lina urefu na mapana yake tumia akili wakati wa kujenga hoja usitumie mihemko

    • @yasinomary2147
      @yasinomary2147 2 роки тому

      Inawezekana kabisaaaaa,hata Zanzibar,mitaa miwili tu inaweza kuwa na misikiti hata50,pia mombasa, misikiti kila baada nyumba 5, usibishe.nenda kilwa ukajionee.

  • @khadijaiddi4887
    @khadijaiddi4887 4 роки тому +1

    Maa shaa Allah

  • @Jabiritosouth
    @Jabiritosouth Рік тому

    Tatizo sisi saiv mashehk wetu wanatamaaa

  • @yahkiwera3611
    @yahkiwera3611 4 роки тому +2

    الحمد لله

  • @ismailhassan5209
    @ismailhassan5209 6 місяців тому

    Sheikh Kawambwa wewe endelea tu na dhikiri hao walopoteza dhikiri itawadai
    Watatafuta pa kwenda wamepungukiwa baada ya kuita dhikiri ni bidaa sasa wanatafuta pakupatia umaarufu kwa kumuudhi Allah kwa kuwafurahisha watu Allah atawasalitisha nao si mbali sana mmoja baada ya mwingine ukiniomba mfano nitakupa live.

  • @fatumahamis9206
    @fatumahamis9206 4 роки тому +3

    swadakta ni kweli hi bidaa imechangia sana kudhofisha uislam ya rabbi tusimamie Kwa huruma zakp tuwe kwenye kundi uloridhia

    • @mohamedimohamedi8933
      @mohamedimohamedi8933 4 роки тому

      Its possible my dear sister, kama ukisoma kisa cha nabii Suleiman na yule mfalme mwanamke, yule aliyeleta kiti kwa kwa inawezekena kama tukimwamini Allah kiukweli

    • @jumashebby1666
      @jumashebby1666 4 роки тому

      Hapa sijaelewa nyie mlosema bidaa, mnamaanisha hiyo historia ni uzushi au vipi?

  • @hamisilukanda1008
    @hamisilukanda1008 2 роки тому +1

    Allahaa

  • @azadmtunzi6225
    @azadmtunzi6225 3 роки тому

    JISHEHE POTOSHAJI..... JITU LA BID'AA, ALLAH ALIONGOZE.

  • @yahkiwera3611
    @yahkiwera3611 4 роки тому +1

    مشاءلله

  • @ukhtyalpha1344
    @ukhtyalpha1344 4 роки тому +1

    Ndio maana mashakil chungu nzima kwa kuambiwa kila kitu bidaa basi balaaa moja kwa moja

  • @ramadhanimakange9766
    @ramadhanimakange9766 4 роки тому +1

    Wanaompinga Nabahany mm nawaita school boys.

  • @khdigahk4246
    @khdigahk4246 3 роки тому

    Jala jalalu

  • @ebrahimosman5477
    @ebrahimosman5477 3 роки тому

    🙏🙏🙏

  • @mozasaid3869
    @mozasaid3869 4 роки тому +4

    Kweli mimi kwetu kilwa

    • @bennymochiwa4800
      @bennymochiwa4800 4 роки тому

      natamani nije kuliona ilo jiwe

    • @alvinsafi2733
      @alvinsafi2733 4 роки тому

      Kivinje au masoko?
      Mimi kwetu miteja na njia 4

    • @abdulhamidhaji5056
      @abdulhamidhaji5056 4 роки тому

      Amesema kilwa kisswani

    • @rayisadesigns2646
      @rayisadesigns2646 4 роки тому +1

      @@abdulhamidhaji5056 naam Kilwa kisiwani ndipo palipokuwa mji mkuu wa dola la Kilwa na Kilwa nzima ndiyo iliyokuwa sehemu zote za nchi hizi zinazounda Afika mashariki pamoja na nchi za Somalia, Kongo mashariki, Monomutapa (Zimbabwe) na Msumbiji kaskazini kabla ya kudondoshwa na wazungu na baadae wakaigawanya na kuikalia kimabavu chini ya kivuli cha ukoloni.

  • @zamdinkilala8790
    @zamdinkilala8790 4 роки тому

    Naam

  • @abdallahismael3993
    @abdallahismael3993 4 роки тому +1

    Nko kenya

  • @abubakarmuhammadsaid3244
    @abubakarmuhammadsaid3244 4 роки тому +3

    Maneno matupu yasiyokuwa na ushahidi wa Quraan wala Hadithi!
    Bidaa na Uzushi ndio sumu ya Uisilamu

    • @ukhtyanasabintimalikimalik7188
      @ukhtyanasabintimalikimalik7188 4 роки тому

      Masalafy munamatatizo Sana

    • @abubakarmuhammadsaid3244
      @abubakarmuhammadsaid3244 4 роки тому

      Tatizo lako ni uzushi ndani ya dini tu
      @@ukhtyanasabintimalikimalik7188

    • @hatibuahmadi7237
      @hatibuahmadi7237 4 роки тому

      Kwaiyo hata histori yakilwa unataka Aya nahadithi kweli punguwani kweli kweli

    • @abubakarmuhammadsaid3244
      @abubakarmuhammadsaid3244 4 роки тому

      @@hatibuahmadi7237 Punguani ni wewe unaeamini historia ya Kiisilamu ambayo haimo vitabuni.
      Kwani wewe unafikiri Uisilamu ni paukwa pakawa!?

    • @jamillahaidha8184
      @jamillahaidha8184 2 роки тому

      @@abubakarmuhammadsaid3244 shekh inamaana Allah ameacha kufanya miujiza toka maswahaba waishe mbona Allah hashindwi Nani aandike kwenye kitabu..

  • @iddijumaali7192
    @iddijumaali7192 4 роки тому +3

    Hee mbona hiyo historia hatujaisikiapo hio ya kilwa

    • @shabanihamisi1146
      @shabanihamisi1146 4 роки тому +1

      Kakwambia mwenywe panda gari nenda usibishee tuuu ukisikis habari zichunguze kwanza

    • @athumanikadaika5817
      @athumanikadaika5817 4 роки тому +1

      Panda gari nenda kilwa au mtafute mtu unaemuamini mpeleke kilwa au kama yupo kilwa muulizie hiyo hadithi sio kila kitu mpaka kiandikwe historia nyingine zikiwekwa wazi inakuwa kama ni kupandisha chati imani fulani na wao hawapo radhi mpaka tufate mila zao....hivyo historia kama hizi zenye athari kiimani mpaka uwe mtu wa kutoka.

    • @naswidiaabdulkarim5005
      @naswidiaabdulkarim5005 4 роки тому

      Mm shahdi nmefka mpaka ktk jiwe na nmelishka ni mwka 2019 tuu walasio zamani

  • @rashidalbalushi8355
    @rashidalbalushi8355 2 роки тому

    Kwa nini kugeuza jina la WARENO na kuweka WAGIRIKI sbb sheikh kasema ni jahazi la wareno

  • @ukhtyalpha1344
    @ukhtyalpha1344 4 роки тому +1

    Naam tulikuwa tukisoma ndio tukaambiwa bidaa na khasa zile fatha zake.

    • @rabiayusuf8940
      @rabiayusuf8940 4 роки тому

      Ukitaka kufanya kitu anaglia hii ni kinyume na uislam. Sio kila kitu bidaa. Hao wanaosema bidaakuna city ambavyo ni vizuri lakini sio Sunna wana vitenda kama kutumia mobile mtume hakutumia na mambo Tele wa Tele hayakuwepo kipindi cha mitume wala maswahaba.

  • @selemankishema5780
    @selemankishema5780 4 роки тому +2

    Hebu tufahamieni waislam jamani nawaomba kwamtazamo wangu lakini simlazimishi mtu kunielewa navyoolewa mie sidhani kama kunamtu anaweza chukua fundi bomba akampa kazi ya umeme kwenye nyumba yake ndio leo uislam wetu ulivyo wale wasomi waliomaliza elimu za dini hatuwataki kabisa matokeo yake ndio hawa mashehe wetu sasa hiyo story mpaka unaogopa sijui katoa wapi do!!!

    • @rayisadesigns2646
      @rayisadesigns2646 4 роки тому

      ndugu kasome tarihi ya uislam Afrika mashariki hayo yote yapo acha kubisha, waislam wa zamani walikuwa na taqwa sio sasa.

    • @ukhtyanasabintimalikimalik7188
      @ukhtyanasabintimalikimalik7188 4 роки тому

      Akili si nywele mana watu awachoki kubisha njoo nipo kilwa nikupeleke katika hilo jiwe musituchezee watu wa kilwa na duwa zetu

    • @othmanally1230
      @othmanally1230 4 роки тому

      Aslm alkm shekh hio historian nikwwli usibishe

    • @yasinomary2147
      @yasinomary2147 2 роки тому

      Kilwa sio marekani,nenda kilwa,kisiwa cha jahazi utajua kama sheikh walid hiyo story kaitoa wapi!kingine punguza dharau unapowakosoa wanazuoni bakisha maneno,kuna kesho.

    • @yasinomary2147
      @yasinomary2147 2 роки тому

      Eti wasomi waliomaliza elimu ya dini hatuwataki,kuna msomi aliemaliza elim ya dini??? mmmh nakuwa na wasiwasi nawewe, utakuwa huntha mushkel wew!

  • @guyogalge2243
    @guyogalge2243 3 роки тому

    He

  • @sayaribrand538
    @sayaribrand538 Рік тому

    Yani uyu ni sheih ata maongez yake ni mwalimu kabisa

  • @mtadehahahhhhhhjunior8525
    @mtadehahahhhhhhjunior8525 3 роки тому +1

    Mnapewa ushahidi mpk w kisiwa kilipo bado mnabisha,nenda kisiwani ukakione upewe historia n ukumbuk historia huwa haipotei maan utunzwa kw kurithishwa,sio kukomaa n bidaa bidaa tu

  • @abdulhamidhaji5056
    @abdulhamidhaji5056 4 роки тому +1

    Ipo kitabu gani hiyo historia tukaisome?

    • @omarjumanne6744
      @omarjumanne6744 4 роки тому +1

      Tembeenii katika aridhi muone tulivyofanya sio kila kitu kiandikwe matukio yapo hujamwerewa shehe

    • @rayisadesigns2646
      @rayisadesigns2646 4 роки тому +1

      Kaka tembelea Kilwa akaangalie na ujifunze athari zilizoachwa na Uislam.

    • @athumanikadaika5817
      @athumanikadaika5817 4 роки тому +2

      Sio kila cha kujifunza ukikute ktk kitabu.
      Vingine utaona vingine utahisi na vingine utasikia.nenda kilwa ushahidi ushatolewa kathibitishe tu.

  • @abdulhamidhaji5056
    @abdulhamidhaji5056 4 роки тому +1

    Kwa hiyo sheikh hapo darsa la Leo n bid'aa tu !
    Mh ! Nimejifunza baadhi y vitu shukran, ila bid'aa itabaki bid'aa.

  • @bustedislam3578
    @bustedislam3578 4 роки тому

    Welcome to our channel "busted Islam"

  • @khamismaulidi4562
    @khamismaulidi4562 3 роки тому

    Ma sha Allah

  • @sajdaahmed9895
    @sajdaahmed9895 3 роки тому

    Mashaallah