Mungu na Akutetee Mchungaji Isaya 43:2 Na Yeremia 1:19 Mungu yupo upande wa haki na Mungu atajionyesha kwako Tuko nyuma yako tukikuombea Mathayo 5:10-12
Sefania 3:19 Tazama, wakati huo nitawapatiliza watu wote wanaokutesa; nami nitamponya yeye achechemeaye, nami nitamkusanya yeye aliyefukuzwa; nami nitawafanya msifiwe na kujulikana, hao ambao aibu yao ilikuwa katika dunia yote.
Mtumishi wa Mungu akutie nguvu ktk hili jaribu zito. Bado neno linatuambia kisasi si juu yetu. Bali ni cha Mungu, adui yako mwombee na ndipo unapompalia makaa ya Moto kichwani pake.
MUNGU Ndo MUUKUMU Wa HAKI Na Ndo KIONGOZI WA KWANZA Na Wa MWISHO Na NDO MTAWLA Wa VYOTE Na Ndo Mwenye MAMLAKA ZOTE, Ni ZAKE; Mbinguni Na Duniani,Amina. MUNGU Ataendelea Kuwa MUNGU Wa Kweli,LEO hata Milele Yote,Amina.
Mungu akutie nguvu Mbarikiwa. Piga kelele usiache kwa kwa kitisho chochote wewe piga kelele. Kama Chadema na Tundu Lisu walipiga kelele za uwongo mpaka Dunia ikaamini kuwa Magufuli alitaka kumuua. Nadhani kelele hizi zako zitavuma zaidi kwa kuwa hazina hila
Viongozi wa Ccm walibadirika tu kipindi cha JPM vinginevyo ni washenzi tu ongeza maombi wote waanguke👏👏👏 Barikiwa ssna na endelea kutusemea mtumishi!!😇😇
NATAMANI SANA KAMA KILA MTUMISHI WA MUNGU KWA DINI NA DHEHEBU LAKE ANGEPIGA MAOMBI KAMA HAYA HUENDA HATA MILIMA INGEBADILIKA NA KUWA TAMBALALE AMBAPO HATA HAWA WANAOJIONA WATAWALA WA MAISHA YETU WANGEJIFUNZA NA KUIONA NGUVU YA MUNGU, SAFI SANA MTUMISHI MAANA HATA FARAO ALIJIFANYA MTAWALA ILA CHA MOTO ALIKIONA NA ALISARENDA MWENYEWE KWA MAPIGO YA MUNGU DHIDI YA WATU WAKE NA TAIFA LAKE
@@Mbarikiwa_Mwakipesile Kwako hakuna Roho wa mungu kabisa unalo jambo mbona kipindi cha magufuli hujawahi kukemea jambo rotate, wasiojulikana hawakuwepo we munfiki tu unalo jambo
@@safarikeza9143 Eti "rotate?"umevurugika brother! Hata nami sijaona ulilolikemea enzi zile za mzee JPM wala enzi hizi zilizojaa MAASI na UOVU WA AINA ZOTE. INA MAANA MZEE KWA KWELI ALIKUWA ADUI WA UOVU NA NDIYO MAANA HATA NAWE HAUKULIONA LA KUKEMEA. KUMBE NAWE NI MWANA CHAMA CHA KUUPINDUA WEMA NA KUUFANYA UOVU NA UOZO, NA UOVU KUUITA WEMA? MUNGU AKUREHEMU SANA IKIWA TU UTAHITAJI REHEMA ZAKE.
Haya hayana budi kutokea ili utukufu wa Mungu uonekane na pia kutimia kwa ujio wa kristo kunyakua kanisa lake,sioni ajabu hapa maana haya yalitabiriwa na nikweli kwamba Upanga wa Mungu utapita juu ya Taifa hili la Tanzania tusipotubu.
KIONGOZI WA NCHI HII MIMI NAMSIFU KWA UVUMILIVU WAKE , ILA KWA SASA AMBAPO JAMBO HILI LA BANDARI LIMEFIKIA KUYUMBISHA AMANI YA NCHI INGEFAA ACHUKUKUE UAMUZI WAKE AU MSAADA KWA WENYE HEKIMA SULUHU IPATIKANE KATI YA MAKUNDI HAYA YANAYOCHUANA .
Nimeamini serikali ina subira ktk kutoa maamzi, kwa matusi ya huyu jamaa km una hasira, angeshanyongwa, na waumini wanafuata nyuma km mbuzi,😂😂😂 ila kwa ushauri wangu huyu angepelekwa milembe sio jera kuna kitu hakijakaa sawa
Mathayo 5:44 [44]lakini mimi nawaambia, Wapendeni adui zenu, waombeeni wanaowaudhi, But I say unto you, Love your enemies, bless them that curse you, do good to them that hate you, and pray for them which despitefully use you, and persecute you;. Kwanini usiwaombee waokoke
Wakikataa waendelee kuua? Soma WARUMI 2:4-5 Au waudharau wingi wa wema wake na ustahimili wake na uvumilivu wake, usijue ya kuwa wema wa Mungu wakuvuta upate kutubu? Bali kwa kadiri ya ugumu wako, na kwa moyo wako usio na toba, wajiwekea akiba ya hasira kwa siku ile ya hasira na ufunuo wa hukumu ya haki ya Mungu, atakayemlipa kila mtu kwa kadiri ya matendo yake; Kwa akili yako unajua kuwa atahukumiwa mwisho wa dunia?
acha ujinga na unafki wako apa nyie ndio majitu yenye roho mbaya sana mkifanyiwa mabaya hapa unajifanya kama kondoo na mimaandiko yako acha uchawa wako wewe
@@Mbarikiwa_Mwakipesile anayetoa hukumu ni Mungu siyo wewe unayewatisha watu mitandaoni eti wakuogope.wewe mwenyewe bado unasubiri kuhukumiwa kwa matusi yako na kuzidharau mamlaka
Kwenye clip fulani uliwahi kutoa namba na jina la m-pesa kwa yeyote aliye na mchango kwa ajili ya huduma yenu baada ya kunyang'anywa simu, tafadhali naomba uniandikie namba hiyo hapo ili na Mimi nichangiepo kidogo kwa kuwa niliahidi kwenye clip hiyo lakini namba ilinipotea, ahsante kwa uelewa.
@@Mbarikiwa_Mwakipesile ok ahsante sana, na Mimi nimeshatupia kamchango kangu kwenye namba hiyo tayari kama nilivyoahidi. Kwa kweli ahadi ni deni, haswa kwa kazi ya Mungu ni nadhiri kabisa, namshukuru Mungu nimeitoa!
Mwakipesile MUNGU atakupa hekima ya kuongea na wakuu ziheshimuni mamlaka zilizo juu yako huwezi kushindana na mamlaka ukawa salama ogopa MUNGU na selikali daima
@@jamesjahasa4726 Wewe unasema hayo Kwa sababu umeshiba na unajamba Jamba tu mpaka kupitia mdomoni, sisi huku Mwanza maji yanatoka mara Moja Kwa wiki mbili, umeme kukata tumeshazoea, kodi wakipita TRA ni shida tu, haya wewe ulie serikalini ukila Kodi yetu ndio unatetea maana mkishiba ni kujambia tu raia, mashetani nyie msio na utu,, Mimi nawaka moto Mimi sijui nipasukie WAPI!!!!!???? HUYU NDIYE SAUTI YANGU, BABA YANGU MBARIKIWA MWAKIPESILE TUKO PAMOJA DAIMA, KOKOTE NIKIPATA ATA KA 5000/- POKEA TU MTU WA MUNGU NIKO KWENYE MSOTO
Ila huyu MTUMISHI inabidi kufatilia anachosema kwa maoni yangu sidhani kama anacholalamikia ni UUONGO sio kwa kujiamini hivi, hebu tulisikiloze hili kwa masikio matatu mwisho wa siku majuto ni mjuukuu. Anaongea maneno makali mnoooo mbona hatupati majibu upande wa pili😭
Tunaomba ila tunaomba vibaya sidhani kama hayo ni maombi ya mlokole, hamna utofauti na mpagani na ajabu mnayaleta mitandaoni kama mafarisayo waliosimama njia kuu wakidhani maombi marefu ndio yanasikika kweli tumekosa maarifa heri mwisho mwema
Kwa uelewa wako hata Eliya ni farisayo. Kwani yeye alisema nikaribieni mimi wakati naomba. Kwa wewe una mwisho mwema ila unamfuatilia mwenye mwisho mbaya? Bila shaka unataka mwisho huu? Au umevimbiwa asali?
Wewe ambaye sio mpagani uliyeokoka kuliko wote ikiwa tukio lililompata Mbarikiwa lingekupata wewe,unge ropoka hayo!? au wewe umevaa ngozi ya kondoo!? .Inawezekana wewe ni MTU mbaya Sana uliyevaa ucha Mungu.Tumepewa mamlaka yakufanya vita,lakini sio dhidi ya watu wema Bali waovu na uovu Ndio maana waovu wanafanya Vita na wema.Sidhani Kama hayo waliyofanya nimabaya na waendelee hata sisi huku nje tunaomba hayo Wala hatutanyamaza maana hao wapo Kila mahali.Ukipiga Mungu amepiga ukinyamaza Mungu amenyamaza,Mungu unapoomba yeye anajua ajibu kwa njia Gani adui akianguka unafrahi na kucheza
Kenge hujui hata amani nini. Je amani yaweza kuwepo penye mauaji? Yaani muue alafu muwe na amani? Basi ninyi ni mashetani. Ila fahamu kuwa amani hiyo ya kuua watu na kujilimbikizia mali inatakiwa kuondolewa kwa njia yoyote.
WANGECHEZA NA DINI ZAO, WAGANGA WAO, WACHUNGAJI WAO NA KAZI ZAO KULIKO KUMDHIHAKI NA KUMKEJELI MUNGU KIASI HICHO. JE, HAWAJASOMA, HAWAJAAMBIWA AU KUSIKIA KUWA TANGU KUWEKWA MISINGI YA DUNIA MUNGU HADHIHAKIWI NA HAKUNA ALIYEWEZA KUPAMBANA NAYE? MUNGU AWATIE NGUVU NA MIOYO YA TOBA IKIWA WATAONA HAJA YA KUTUBU. HATA NAMI NAJIFUNZA KITU. AMEN!
Kama MUNGU nimwanao atafanya. Lakini yeye ni MTAKATIFU PIA sio wamitandao jifunze hekima, hayo mbaombi TUNAYA HARIBU TUNAYA BADITILISHA KWA DAM YA YESU , Bro dini si kivuli cha kufichia maovu yako kua makini ,
Wacha kuchafua serekal mtoto wako kafa Kama watoto wengine wanavyokufa na Kama nikuuwawa huwez kumuua mtoto wa mtumishi wa Mungu bila Mungu kuruhusu mtoto ako alikufa kutokana na ajali iliyotokea damu itakuwa damu ilivia kwa ndan bila kujua ,Kuna mtu pia alipata ajali na hakuumia popote na ndugu pia na pastor baadaye alikuja kufa kumbe aliumia ndan kwa ndani
Wenzio wakipata mateso unasema ni Mungu anawaadhibu,lakini wewe ukipata mateso UNAONA serikali inahusika??hii akili yako ni ya kishetani Sana wewe jamaa. Nakuonya kwa jina la Yeshua Hamashiach uache kelele za kishetani NCHINI. Una Roho mbaya Sana wewe mtu.
1 Kor 1:27-29.SOMA bali Mungu aliyachagua mambo mapumbavu ya dunia awaaibishe wenye hekima; tena Mungu alivichagua vitu dhaifu vya dunia ili aviaibishe vyenye nguvu; tena Mungu alivichagua vitu vinyonge vya dunia na vilivyodharauliwa, naam, vitu ambavyo haviko, ili avibatilishe vile vilivyoko; mwenye mwili awaye yote asije akajisifu mbele za Mungu.ACHA KUDHARAU WATUMISHI NA MTU YEYOTE YULE Kama kweli unaamini kuwa MUNGU yupo na alikuumba.
Amen, Mungu anapiga.ole wao wanaowagusa masihi wa Mungu.hata Mimi naamin MUNGU yupo na watumishi wa Mungu.
BABA KTK JINA LA YESU KRISTO, BWANA TENDA,Ili wajue ya kwamba tunaye mtetezi anaye Teta....amen❤
🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏
Mungu na Akutetee Mchungaji Isaya 43:2
Na Yeremia 1:19
Mungu yupo upande wa haki na Mungu atajionyesha kwako Tuko nyuma yako tukikuombea
Mathayo 5:10-12
Waaaaaooooo....safiiiiii sanaaaaa....mungu pukutisha maadui wote wa mbarkiwa!!!
Hakika Mungu Wenu niwakweli, Kazeni Maombi Utawala wa Waovu Uanguke...Kanisa lenu lina Mungu.
Ni naomba Sana tena Sana wadhalim na wezi wa CCM wauone na kuushuhudia mkono wa mungu.
Mpendwa jaribu kuandika jina la Mungu Baba yetu kwa herufi kubwa ili kutofautisha Mungu na miungu barikiwe sana mpendwa.
Yote uliyoyaomba ni wakati wa Mungu kukujibu Mtumishi,watajua kuwa waliguza mwenye haki.
Sefania 3:19
Tazama, wakati huo nitawapatiliza watu wote wanaokutesa; nami nitamponya yeye achechemeaye, nami nitamkusanya yeye aliyefukuzwa; nami nitawafanya msifiwe na kujulikana, hao ambao aibu yao ilikuwa katika dunia yote.
Amen
Kwa sababu wamekuwa watawala wenye viburi ni muda wa kujulikana kwamba Mungu ws wenye haki yupo
wew ni eliya. wasasa. hakika. najivunia mnoo namtumishi mkweli kama ww. umeniambukiza Sanaa ujasiri now siogopi. kitu. naupinga mkataba wabandari.
Mungu aliyeziumba mbingu na nchi atazidi kukutetea mtumishi wake naamini 🙏
Atatutetea sisi sote
Nabadoo Mungu atawafutilia mbali kama Farao na jeshi lake
Mungu awaadhibiapo adui zako usishangilie kwa maana gadhabu inaweza kukugeukia
MUNGU YUKO NAWE MCH MWAKIPESILE TUKO 🙏🙏💪🏻💪🏻💪🏻💪🏻
Usijaribu kucheza na watumishi wa Mungu katika maisha yako Mungu alisema waacheni watumishi wangu msiwabeze.
Mtumishi mungu akulinde sana
Ww ni saut ya mungu duniani
Na shetani anasauti si kila sauti niya MUNGU
@@ESTOMIHISHOO Muhuni wewe nakupiga Kwa ugonjwa wa tumbo kujaa gesi, utajamba na utakosa choo, hutapata amani mpaka ujutie haya
Mtumishi wa Mungu akutie nguvu ktk hili jaribu zito. Bado neno linatuambia kisasi si juu yetu. Bali ni cha Mungu, adui yako mwombee na ndipo unapompalia makaa ya Moto kichwani pake.
MUNGU Ndo MUUKUMU Wa HAKI Na Ndo KIONGOZI WA KWANZA Na Wa MWISHO Na NDO MTAWLA Wa VYOTE Na Ndo Mwenye MAMLAKA ZOTE, Ni ZAKE; Mbinguni Na Duniani,Amina.
MUNGU Ataendelea Kuwa MUNGU Wa Kweli,LEO hata Milele Yote,Amina.
Mungu tusaidie wenye haki
Na iwe hivyo
Amen 🎉
Piga kelele, usiache, Paza sauti yako kama tarumbeta; Uwahubiri watu wangu kosa lao, Na nyumba ya Yakobo dhambi zao (Isaya 58:1).
Mungu mhukumu wa haki atahukumu, ila nasikitika kuona hili lipo kwa namna hii daaah ni aibu kubwa sana kwa taifa lakini yote haya yana mwisho, Amen.
Hakika Mungu ni mwema, wewe ni sauti ya wengi , 🎉
Mungu tuondolee watu watabishaji kwenye nchi yetu Tanzania
Mungu akutie nguvu Mbarikiwa. Piga kelele usiache kwa kwa kitisho chochote wewe piga kelele. Kama Chadema na Tundu Lisu walipiga kelele za uwongo mpaka Dunia ikaamini kuwa Magufuli alitaka kumuua. Nadhani kelele hizi zako zitavuma zaidi kwa kuwa hazina hila
Maombi ya mwenye haki ni manukato mbelele za BWANA
Mtumixh hakika mungu hata kuacha kamwe hao wanapigana na mungu hakika watakufa wao!
Mungu ni MWEMA kila wakati
Mungu lazima aonekane
Mungu mtetezi yuko nawe baba
Safi sana mbarikiwa ccm Hawa mbwa koko Hawa wanajidai sana na huyo rais WAO wamchongo ngoja MUNGU alieumba mbingu na nchi awanyooshe
Na bado zamu ya hakimu mwenyewe Mungu anaenda kumshughurikia
Viongozi wa Ccm walibadirika tu kipindi cha JPM vinginevyo ni washenzi tu ongeza maombi wote waanguke👏👏👏
Barikiwa ssna na endelea kutusemea mtumishi!!😇😇
Wao pia wafahamu kuwa yeyote atakayeua kwa upanga naye atakufa kwa upanga.
Magufuli aliiawa na Samia tumeona alivoweka majambaz baada Magufuli kufa, Alina nape, makamba hao majambaz kabis
😳😳TUTAJUEA MENGI .
Umeona eee
Mchungaji komaaa Mungu Yu nawe,,,,
👊👍✌.
NATAMANI SANA KAMA KILA MTUMISHI WA MUNGU KWA DINI NA DHEHEBU LAKE ANGEPIGA MAOMBI KAMA HAYA HUENDA HATA MILIMA INGEBADILIKA NA KUWA TAMBALALE AMBAPO HATA HAWA WANAOJIONA WATAWALA WA MAISHA YETU WANGEJIFUNZA NA KUIONA NGUVU YA MUNGU,
SAFI SANA MTUMISHI MAANA HATA FARAO ALIJIFANYA MTAWALA ILA CHA MOTO ALIKIONA NA ALISARENDA MWENYEWE KWA MAPIGO YA MUNGU DHIDI YA WATU WAKE NA TAIFA LAKE
Watumishi wa mungu huwa wanahekima zao sio huyu,
Uzuzu, usukule, roho mbaya na ukatili ndio wanachojua ni hekima.
@@Mbarikiwa_Mwakipesile Kwako hakuna Roho wa mungu kabisa unalo jambo mbona kipindi cha magufuli hujawahi kukemea jambo rotate, wasiojulikana hawakuwepo we munfiki tu unalo jambo
@@safarikeza9143 Eti "rotate?"umevurugika brother! Hata nami sijaona ulilolikemea enzi zile za mzee JPM wala enzi hizi zilizojaa MAASI na UOVU WA AINA ZOTE.
INA MAANA MZEE KWA KWELI ALIKUWA ADUI WA UOVU NA NDIYO MAANA HATA NAWE HAUKULIONA LA KUKEMEA. KUMBE NAWE NI MWANA CHAMA CHA KUUPINDUA WEMA NA KUUFANYA UOVU NA UOZO, NA UOVU KUUITA WEMA? MUNGU AKUREHEMU SANA IKIWA TU UTAHITAJI REHEMA ZAKE.
@@safarikeza9143wewe mwenye hekima si ungeongea sasa ili hekima yako ijulikane
Wapigweeeeeeee....
Wanashindw kula na vipofu kama wamachinga tumeumizwa sana lakini mungu atalipa
Haya hayana budi kutokea ili utukufu wa Mungu uonekane na pia kutimia kwa ujio wa kristo kunyakua kanisa lake,sioni ajabu hapa maana haya yalitabiriwa na nikweli kwamba Upanga wa Mungu utapita juu ya Taifa hili la Tanzania tusipotubu.
MUNGU pigana nao wanaopigana nasi
KIONGOZI WA NCHI HII MIMI NAMSIFU KWA UVUMILIVU WAKE , ILA KWA SASA AMBAPO JAMBO HILI LA BANDARI LIMEFIKIA KUYUMBISHA AMANI YA NCHI INGEFAA ACHUKUKUE UAMUZI WAKE AU MSAADA KWA WENYE HEKIMA SULUHU IPATIKANE KATI YA MAKUNDI HAYA YANAYOCHUANA .
@@daudimichael7338 umeona eee
Ni razima ijurikane. daudi anasema nilikuwa kijana sasa ni mzee sijaona mwenye haki ameachwa.
Kweli kabisa MUNGU yupo nasi siku zote, Amen
Tafazali Sana, ikiwa wewe ni mwanamke na unavaaga suruali usikomenti chochote, maana mahali hapa ni patakatifu
Wazalendo kama ndugai wachache sana muwashukuru hata wabunge wa COVID maana ndio wanatupa na tunayaona madudu haya.
Kweli uchizi si lazima uokote makopo
Mpaka tukuone Mungu wetu
Hawataki kusikia polepole yanakuja
Nimeamini serikali ina subira ktk kutoa maamzi, kwa matusi ya huyu jamaa km una hasira, angeshanyongwa, na waumini wanafuata nyuma km mbuzi,😂😂😂 ila kwa ushauri wangu huyu angepelekwa milembe sio jera kuna kitu hakijakaa sawa
Mathayo 5:44
[44]lakini mimi nawaambia, Wapendeni adui zenu, waombeeni wanaowaudhi,
But I say unto you, Love your enemies, bless them that curse you, do good to them that hate you, and pray for them which despitefully use you, and persecute you;. Kwanini usiwaombee waokoke
Wakikataa waendelee kuua? Soma WARUMI 2:4-5 Au waudharau wingi wa wema wake na ustahimili wake na uvumilivu wake, usijue ya kuwa wema wa Mungu wakuvuta upate kutubu?
Bali kwa kadiri ya ugumu wako, na kwa moyo wako usio na toba, wajiwekea akiba ya hasira kwa siku ile ya hasira na ufunuo wa hukumu ya haki ya Mungu,
atakayemlipa kila mtu kwa kadiri ya matendo yake;
Kwa akili yako unajua kuwa atahukumiwa mwisho wa dunia?
acha ujinga na unafki wako apa nyie ndio majitu yenye roho mbaya sana mkifanyiwa mabaya hapa unajifanya kama kondoo na mimaandiko yako acha uchawa wako wewe
Wewe Simon Zakaria nyie mko serikalini ukila Kodi yetu, endeleeni kujamba tu kupitia mdomoni, mavyakula yanezidi tumboni
@@MUSSAPAUL-qo8hj hivi kumbe na matusi mnayajua enyi kanisa la matusi.
@@Mbarikiwa_Mwakipesile anayetoa hukumu ni Mungu siyo wewe unayewatisha watu mitandaoni eti wakuogope.wewe mwenyewe bado unasubiri kuhukumiwa kwa matusi yako na kuzidharau mamlaka
Kitu kimetokea.
Ameeeeee! Hakika wew ni elia mtu wa haki. Hata kufika hapa mim
najua wewe ni mshindi.wapigwee!!!
Imeandikwa alaniwe Samia na selikali yake
AMOSI 2:1-3
Maomb gan hayo sas ni kama unavisa na wanaccm wte mh
Serekali hairogwi
Ccm time hii mmeyakanyaga
Sisiemu kwakweli hawafai kwa sasa kuongoza nchi,zimejaa dhuluma,
Ivi kuna watumishi wanakula bange sikuiz..
IMANI ISIYO TETEREKA
Kwenye clip fulani uliwahi kutoa namba na jina la m-pesa kwa yeyote aliye na mchango kwa ajili ya huduma yenu baada ya kunyang'anywa simu, tafadhali naomba uniandikie namba hiyo hapo ili na Mimi nichangiepo kidogo kwa kuwa niliahidi kwenye clip hiyo lakini namba ilinipotea, ahsante kwa uelewa.
0769015164, 0655436603
Jina. Mbarikiwa Mwakipesile
@@Mbarikiwa_Mwakipesile ok ahsante sana, na Mimi nimeshatupia kamchango kangu kwenye namba hiyo tayari kama nilivyoahidi. Kwa kweli ahadi ni deni, haswa kwa kazi ya Mungu ni nadhiri kabisa, namshukuru Mungu nimeitoa!
@@mbelechimakobola8835 asante sana
Mwakipesile MUNGU atakupa hekima ya kuongea na wakuu ziheshimuni mamlaka zilizo juu yako huwezi kushindana na mamlaka ukawa salama ogopa MUNGU na selikali daima
@@jamesjahasa4726 Wewe unasema hayo Kwa sababu umeshiba na unajamba Jamba tu mpaka kupitia mdomoni, sisi huku Mwanza maji yanatoka mara Moja Kwa wiki mbili, umeme kukata tumeshazoea, kodi wakipita TRA ni shida tu, haya wewe ulie serikalini ukila Kodi yetu ndio unatetea maana mkishiba ni kujambia tu raia, mashetani nyie msio na utu,, Mimi nawaka moto Mimi sijui nipasukie WAPI!!!!!???? HUYU NDIYE SAUTI YANGU, BABA YANGU MBARIKIWA MWAKIPESILE TUKO PAMOJA DAIMA, KOKOTE NIKIPATA ATA KA 5000/- POKEA TU MTU WA MUNGU NIKO KWENYE MSOTO
DUH MAOMBI YA KITOTO SANA HAYA ....YAANI HIVI NI VITUKO SIO MAOMBI😂😂
Ila huyu MTUMISHI inabidi kufatilia anachosema kwa maoni yangu sidhani kama anacholalamikia ni UUONGO sio kwa kujiamini hivi, hebu tulisikiloze hili kwa masikio matatu mwisho wa siku majuto ni mjuukuu. Anaongea maneno makali mnoooo mbona hatupati majibu upande wa pili😭
Mwamba hiyo ni sauti ya wapigania haki kigoma tunakupata JPM mwamba wa dunia
Yesu simba kabila la yuda apite nao tumechoka
Fanya lolote mzee wa siku ama kweli damu ya shujaa WOKOVU HAIENDI BURE
MUNGU TUNAKUOMBA NYOOSHA MKONO WAKO ILI WAJUE WEWE NDIWE UWAPAYE PUMZI
Yanakutoka mate
Unaongea ujinga yes ajawai ombea watu wabaya ubaya
Sijui wewe unatumia kanunigani
hahahahahaaaaaa nimechekaa
😂😂 km ndiyo una roho mtakatifu kaz kweli
Sina huyo roho mtakatifu nina Roho Mtakatifu ambaye anaamini katika haki na utu
unae wewe
Napenda wote walioumizwa na tawala mbalimbali wawe wamoja hakuna raisi ambaye hajaua hata magu aliua
Ni vizuri. Kila anayemjua aliyeua ndugu yake kwa baraka za mtawala na aliyeua yuko mitaani ajitokeze. Itakuwa ni vizuri sana.
alimuuwa nanai yako mbona ulikaa kimya kipindi yopo minafki mikubwa nyie
TAIFA LIMEFIKA PABAYA SANAAA
Tunaomba ila tunaomba vibaya sidhani kama hayo ni maombi ya mlokole, hamna utofauti na mpagani na ajabu mnayaleta mitandaoni kama mafarisayo waliosimama njia kuu wakidhani maombi marefu ndio yanasikika kweli tumekosa maarifa heri mwisho mwema
Kwa uelewa wako hata Eliya ni farisayo. Kwani yeye alisema nikaribieni mimi wakati naomba. Kwa wewe una mwisho mwema ila unamfuatilia mwenye mwisho mbaya? Bila shaka unataka mwisho huu? Au umevimbiwa asali?
@@Mbarikiwa_Mwakipesile kiburi cha uzima
Wewe ambaye sio mpagani uliyeokoka kuliko wote ikiwa tukio lililompata Mbarikiwa lingekupata wewe,unge ropoka hayo!? au wewe umevaa ngozi ya kondoo!? .Inawezekana wewe ni MTU mbaya Sana uliyevaa ucha Mungu.Tumepewa mamlaka yakufanya vita,lakini sio dhidi ya watu wema Bali waovu na uovu Ndio maana waovu wanafanya Vita na wema.Sidhani Kama hayo waliyofanya nimabaya na waendelee hata sisi huku nje tunaomba hayo Wala hatutanyamaza maana hao wapo Kila mahali.Ukipiga Mungu amepiga ukinyamaza Mungu amenyamaza,Mungu unapoomba yeye anajua ajibu kwa njia Gani adui akianguka unafrahi na kucheza
Uyu mbwa ndo atakae ondoa amani kwenye hii nchi
Kenge hujui hata amani nini. Je amani yaweza kuwepo penye mauaji? Yaani muue alafu muwe na amani? Basi ninyi ni mashetani.
Ila fahamu kuwa amani hiyo ya kuua watu na kujilimbikizia mali inatakiwa kuondolewa kwa njia yoyote.
WANGECHEZA NA DINI ZAO, WAGANGA WAO, WACHUNGAJI WAO NA KAZI ZAO KULIKO KUMDHIHAKI NA KUMKEJELI MUNGU KIASI HICHO.
JE, HAWAJASOMA, HAWAJAAMBIWA AU KUSIKIA KUWA TANGU KUWEKWA MISINGI YA DUNIA MUNGU HADHIHAKIWI NA HAKUNA ALIYEWEZA KUPAMBANA NAYE?
MUNGU AWATIE NGUVU NA MIOYO YA TOBA IKIWA WATAONA HAJA YA KUTUBU. HATA NAMI NAJIFUNZA KITU. AMEN!
Hakuna lisilo wezekana kwamungu Asante yesu na bado
Kama MUNGU nimwanao atafanya. Lakini yeye ni MTAKATIFU PIA sio wamitandao jifunze hekima, hayo mbaombi TUNAYA HARIBU TUNAYA BADITILISHA KWA DAM YA YESU , Bro dini si kivuli cha kufichia maovu yako kua makini ,
Ana maovu gani Mbarikiwa? Taja..
Umesheshachelewa kubatilisha. Zaidi ya hayo kwako uovu ni haki na haki ni uovu. Kwa hapo utaendelea Kutukana
wewe kufanyia maovu ndio kivuli Cha kwendelea na maovu kama na wewe uliusika yatakukuta tu subilia ujila wako
Akiuawa ndugu yako wa karibu ndo utajuwa Kama Mungu mwanao au ADUI yako
UKIONA MWENZAKO ANANYOLEWA ZAKO TIA MAJI
Mvua ya vyura
Unajua mchungaji unaropoka sana sijuii Kama akili zinakutoka kwa mda
Usiyeropoka umeongea nini, wapi na kimeleta maana gani? Kenge mna uwezo wa kukosoa kwa comment wakati wewe huna ulololifanya.
Wengine tunaropoka moyoni ila mdomo umekaa kimya
Wacha kuchafua serekal mtoto wako kafa Kama watoto wengine wanavyokufa na Kama nikuuwawa huwez kumuua mtoto wa mtumishi wa Mungu bila Mungu kuruhusu mtoto ako alikufa kutokana na ajali iliyotokea damu itakuwa damu ilivia kwa ndan bila kujua ,Kuna mtu pia alipata ajali na hakuumia popote na ndugu pia na pastor baadaye alikuja kufa kumbe aliumia ndan kwa ndani
@@JojiGeorge-c4f ivi Yule afisa usalama wa taifa aliyesema aliratibu kifo Cha mtoto ndo unamkatalia wewe
Mungu ndiye mtetezi wetu tunakuomba umutetee mutumwa wako Mbarikiwa
To lllllll
Wenzio wakipata mateso unasema ni Mungu anawaadhibu,lakini wewe ukipata mateso UNAONA serikali inahusika??hii akili yako ni ya kishetani Sana wewe jamaa.
Nakuonya kwa jina la Yeshua Hamashiach uache kelele za kishetani NCHINI.
Una Roho mbaya Sana wewe mtu.
Wenzie kina nani? Mbarikiwa anataja wahusika wanaomsumbua, mbona hawajitokezi kukanusha? Serikali si ina wasemaji wake..au wewe ndie unawasemea?
"yeshua Hamashiach" ndio zimwi gani hilo?
kiukweli watu kama nyie mngekuwa mko jirani makofi yalikuwa yanawahusu, shetani baba yako amekutuma uje umtetee
MPOKEE Yeshua Leo hii kabla hujafa ukaenda jehanamu.
Huna wokovu bila kubatizwa kwa jina la Yeshua.
Mbwa wewe....
Wewe ni mutu mudogo sana samia hawezi kuhangaika na wewe mama wa watu
Wewe mpumbavu tu, kuna mtu mkubwa hapa duniani zaidi ya Mungu?
Eti mbarikiwa ni mtu mdogo sana?Wewe ambaye ni mtu mkubwa,je waweza kuyasema yali ambayo huwa anayasema?
Huyu ni kibaraka mweusi(kazi ya uchawa hii); hatari sana! Na wewe (@safarikeza) uwe makini sana na Mungu. Ujue tangu mwanzo MUNGU HADHIHAKIWI.
Wewe kama ni mkubwa kuliko mbarikiwa una Nini zaidi? Ngoja sasa uome ukuu wa Mungu kupitia mbarikiwa
1 Kor 1:27-29.SOMA
bali Mungu aliyachagua mambo mapumbavu ya dunia awaaibishe wenye hekima; tena Mungu alivichagua vitu dhaifu vya dunia ili aviaibishe vyenye nguvu; tena Mungu alivichagua vitu vinyonge vya dunia na vilivyodharauliwa, naam, vitu ambavyo haviko, ili avibatilishe vile vilivyoko; mwenye mwili awaye yote asije akajisifu mbele za Mungu.ACHA KUDHARAU WATUMISHI NA MTU YEYOTE YULE Kama kweli unaamini kuwa MUNGU yupo na alikuumba.
Udanganye wajinga kama wewe Mala usalama wa taifa mara samia unanini wewe wahangaike na Wewe utaishia kuropoka tu kwenye mitandao
Wamekutuma? Hata Farao na watu wake waliongeza matusi hata baada ya ishara madhubuti kutendeka. Acha inyeshe tuone panapovuja.
Wee pumbafu kwani inakuhusu nini wewe...kama wee umelalia gororo piga usingizi wako, wenzio tuliolalia mawe tutapiga kelele..Tutawalaani waovu, wezi wa taifa hili.
Chizi la kisasa na wewe utatandikwa Kama hao wanaotandikwa na BWANA
Mwili nyumba akili kisoda MAOMBI yangu upigwe na wewe maana wamekutuma hujielewi