Efm Mimi najuwa mna shida na watu wa yanga na yanga Yani Huwa mnakaa kutafuta visababu ndio mana hata kuwahoji watu wa yanga siku hizi hamuwezi mnategemea tarifa za vyombo vingine mana sio bure yanga iwachukie Yani mashabiki wote wawachukie hapana Ali kamwe hapo kawazihaki Simba ndondo anamanisha mashindano ya shirikisho ndio uhalisia sema mnahamisha mada
HII REDIO NI YA KIPUUZI TU MAANA HUWA HAWANA HABARI ZA MAANA MBALI NA KUIZUNGUMZIA YANGA NEGATIVEY..MWAKA JANA AHMED ALLY KAIITA LIGI YETU DHAIFU MBONA HAMKUMJADILI?
Hiki kituo ni cha hovyo sana. Huwa hawana contents wanapita na upepo wa muda huo. Yaan mtu hajaitaja ligi kasema ndondo cup mmecharuka kweli kweli je km anamtania mtani wake kuw shirikisho?
ACHENI UJINGA LIGI KUU NA CRDB SIO NDONDO?KWANI NYIE WAAMDISHI WA HABARI HAMUIJUI NDONDO????KAMWE AKIENDA MAHAKAMANI ANAWASHINDA,KWANI JPM LAZIMA AWE JOHN POMBE MAGUFURI?SIO JUMA PONDAMALI MENSAH ACHENI TAFSIRI ZA KIJINGA
Eti ndondo ligi kuu ndo ndondo.
Ndodo cup mech kibasama
Wanaume wazima
Kwani kasema ligi ndo ndondo au nyinyi ndio mnasema
Nyinyi mnataka sifa sana
Efm Mimi najuwa mna shida na watu wa yanga na yanga Yani Huwa mnakaa kutafuta visababu ndio mana hata kuwahoji watu wa yanga siku hizi hamuwezi mnategemea tarifa za vyombo vingine mana sio bure yanga iwachukie Yani mashabiki wote wawachukie hapana Ali kamwe hapo kawazihaki Simba ndondo anamanisha mashindano ya shirikisho ndio uhalisia sema mnahamisha mada
Ahmed Ally alidhihaki serikali inasafirisha machawa😂😂,hawa machawa FM walisemaje??
Ndondo ni mapinduzi na muungano
Shenzi kabisa Ahmed Ally alishasema, hawashindani na akina Ihefu wao wanashindana na wakubwa, mbona hamkulisema hilo
Ndondo cup ni cuf champion ligi anakoenda simba
Ila hawa watu punguani tu, Ali kasema caf kwa simba ni dondo cup
HII REDIO NI YA KIPUUZI TU MAANA HUWA HAWANA HABARI ZA MAANA MBALI NA KUIZUNGUMZIA YANGA NEGATIVEY..MWAKA JANA AHMED ALLY KAIITA LIGI YETU DHAIFU MBONA HAMKUMJADILI?
Hiki kituo ni cha hovyo sana. Huwa hawana contents wanapita na upepo wa muda huo. Yaan mtu hajaitaja ligi kasema ndondo cup mmecharuka kweli kweli je km anamtania mtani wake kuw shirikisho?
Sasa kama kocha bora ni Mgunda? Mchezaji bora ni Lusajo hao si viwango vya ndondo au unabisha
Machungu ni Makolo kutoka kapa msimu huu,kila kitu kutoka Yanga sasa hivi ni content kwa vyombo vyenu vya habari
Wachambuzi wa hovyooooo ninafanya nini hapo
Aly anawapa content tu mjadili kaongea kishabiki tu ila mnajua alichokiongea
wanaelewa kabisa makasiriko fc 😂
Wamepata topic, very stupid wachambuzi wa makolo
ACHENI UJINGA LIGI KUU NA CRDB SIO NDONDO?KWANI NYIE WAAMDISHI WA HABARI HAMUIJUI NDONDO????KAMWE AKIENDA MAHAKAMANI ANAWASHINDA,KWANI JPM LAZIMA AWE JOHN POMBE MAGUFURI?SIO JUMA PONDAMALI MENSAH ACHENI TAFSIRI ZA KIJINGA
Haya majamaa hayatakagi kabisa kuona yanga inaenda juu