Ndugu watazamaji na wasikilizaji tunapenda kutoa ufafanuzi kidogo kuwa Video ya Wimbo huu wa NINGEPENDA KUWA BAWABU Utunzi wake David B. Wasonga, imetolewa na Holy Trinity Studio lakini Audio ya Wimbo huu imetolewa na RAJO Production. Hatupendi lawama lakini pia tunatoa angalizo kwa studio au watu binafsi kutorusha nyimbo za Kwaya ya Mt.Cesilia-Kilimamoja bila ridhaa yetu.......Mungu awabariki sana mnapoendelea kuinjilika na wimbo huu.
Hongereni sana Kwa kazi nzuri Mungu aendelee kuwaimarisha katika utume wa uimbaji
Asante sana