Kwaya ya Mt.Cesilia Kilimamoja
Kwaya ya Mt.Cesilia Kilimamoja
  • 7
  • 21 063
TWENDENI TUJONGEE - KMC KILIMAMOJA
Wimbo huu wa Komunyo,unakupa tafakari na hamasa ya kuijongea altare ya Bwana wetu Yesu Kristo. Karibuni sana kwa tafakari, Mungu awabariki sana.
Переглядів: 854

Відео

ROHO MTAKATIFU - KMC KILIMAMOJA
Переглядів 632Рік тому
Utunzi wake E.F.Jissu, karibuni sana wapendwa kwa tafakari ya Roho Mtakatifu.
SHAMBA LA MIZABIBU - KMC KILIMAMOJA
Переглядів 6 тис.Рік тому
Karibuni tumtukuze Mungu kwa vipaji alivyotujalia. Kwaya ya Mt.Cesilia-Parokia ya Yesu Mchungaji Mwema - Kilimamoja, Karatu-Arusha, Jimbo Katoliki la Mbulu.
NINGEPENDA KUWA BAWABU - KWAYA YA MT.CESILIA KILIMAMOJA, JIMBO KATOLIKI LA MBULU.
Переглядів 3,4 тис.2 роки тому
Kwaya ya Mt. Cesilia Parokia ya Yesu Mchungaji Mwema Kilimamoja Jimbo katoliki la Mbulu, tunakukaribisha kutazama na kusikiliza wimbo huu. Mungu awabariki sana.
MCHUNGAJI MWEMA -KWAYA YA MT.CESILIA-KILIMAMOJA Na Sebastian Geay
Переглядів 6 тис.2 роки тому
Ndugu Watanzania na watazamaji wote kwa ujumla.....Tumsifu Yesu Kristo. Karibuni msikilize wimbo unaoitwa MCHUNGAJI MWEMA kutoka Kwaya ya Mt.Cesilia, parokia ya Yesu Mchungaji Mwema kutoka Jimbo la Mbulu. Usisahau ku-LIKE,COMMENT na KU-SUBSCRIBE kwenye Channel yetu, Mungu awabariki sana kwa Wimbo huu.
PEKEYANGU SIWEZI KMC KILIMAMOJA Mtunzi; Hendry P Kimario (Official Video)
Переглядів 3,2 тис.2 роки тому
Karibuni msikilize muziki mzuri kutoka Kwaya ya Mt.Cesilia, Parokia ya Yesu Mchungaji Mwema Kilimamoja, Jimbo Katoliki la Mbulu. Sifa Heshima na Utukufu zimrudie Mungu Pekee.....Mbarikiwe sana.
KMC-KILIMAMOJA - UZINDUZI-PEKE YANGU SIWEZI-VOL II
Переглядів 1,1 тис.2 роки тому
Tumsifu Yesu Kristo wapendwa. Ni Uzinduzi wa Albamu ya Pili ya Nyimbo za Kikatoliki za Kwaya ya Mt.Cesilia Parokia ya Yesu Mchungaji Mwema - Kilimamoja, Jimbo la Mbulu. Ni siku ya Tarehe 08 Mei, 2022-Karibuni sana na Mungu awabariki.

КОМЕНТАРІ