Muhadhara kukuru kakara waendelea ujumbe umefika

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 6 лис 2024

КОМЕНТАРІ • 57

  • @MohdJuma-w6l
    @MohdJuma-w6l 12 днів тому +6

    Subhanallaaah jaman tuwaombeeni wahadhir wetu hii kazi inahitaji takua na subra kubwa

    • @salimdaawah123
      @salimdaawah123  12 днів тому +1

      Masha Allah ni kweli bila subra daawah inakuwa ngumu

  • @MwangiMuhammad-q8r
    @MwangiMuhammad-q8r 12 днів тому +3

    Mazbut Wa Alaykum Salaam Warahmatullahi Wabatakatuhu

  • @ZakiyaAnwar-w1r
    @ZakiyaAnwar-w1r 10 днів тому +1

    MashaAllah

  • @abdiazizabdi2313
    @abdiazizabdi2313 11 днів тому +2

    Masha Allah sheikh wakristo sikuhizi wamekuelewa hawana fujo nikupata elimu tu

    • @salimdaawah123
      @salimdaawah123  11 днів тому

      Wanaelewa vinzuri sana Allah awaongoze waione haki na waifuate

  • @JamilaJumanne-u7q
    @JamilaJumanne-u7q 13 днів тому +18

    Asalam alykm umatil MUHAMAD S W S wapili leoooo❤❤❤

    • @salimdaawah123
      @salimdaawah123  12 днів тому +3

      Walykum msalam warahmatullah wabarakatuh tunakupenda sana kwa ajili ya Allah

    • @Fumokale
      @Fumokale 11 днів тому +1

      Waàlykum saalaam warahmatullahi wabarakatuh...umati MUHAMMAD s.a.w

  • @josemu870
    @josemu870 13 днів тому +4

    Allahamdhulla kwa neema ya uislamu barikiweni sana sana kwa mafundisho bora yenye utaratibu yani mawaidha ya Koran mwenyezi Mungu amulide ampe afya subra dawa iendelee

  • @spinicahakama4500
    @spinicahakama4500 12 днів тому +3

    Mashallah ❤❤❤

  • @SaidMgeni
    @SaidMgeni 13 днів тому +2

    مشأ الله تبارك الله

  • @ZayyanaBamuni
    @ZayyanaBamuni 13 днів тому +5

    Waalaikum salaam warahmatullah ❤❤❤

    • @salimdaawah123
      @salimdaawah123  12 днів тому

      Masha Allah tunakupenda kwa ajili ya Allah

  • @ZakiyaAnwar-w1r
    @ZakiyaAnwar-w1r 13 днів тому +2

    MashaAllah Allah awabariki sana

  • @AzizSalumu
    @AzizSalumu 13 днів тому +2

    Waaleikum salaam allahu barik

  • @KhamisJuma-ni1vk
    @KhamisJuma-ni1vk 12 днів тому +2

    Walahykum Salahm warahmatullah Wabarakatuh

  • @hassanmpemba5747
    @hassanmpemba5747 12 днів тому +2

    Asalam alaikum sheikh salim subra ishallah wataelewa tu

    • @salimdaawah123
      @salimdaawah123  12 днів тому

      Walykum msalam warahmatullah wabarakatuh inn shaa Allah

  • @aishahazary4097
    @aishahazary4097 13 днів тому +3

    Waalaykum Salaam Warhamatullah Wabarakatuh

  • @ibruzah001
    @ibruzah001 13 днів тому +2

    ALLAHU AKBAR ♥️

  • @faridbashuu
    @faridbashuu 13 днів тому +3

    Assalam aleikum warahmatullahi wabarakatuh Dawa inataka Subra ... Ni Ngumu. Wagalatia ni wazito ... Subhan'Allah.

    • @salimdaawah123
      @salimdaawah123  12 днів тому

      Walykum msalam warahmatullah wabarakatuh bila subra utawapiga makofi

    • @faridbashuu
      @faridbashuu 12 днів тому +1

      @@salimdaawah123 kweli Ust. Allah awafanyie wepesi. Barakallahu feekum

  • @mahmudmugarura2175
    @mahmudmugarura2175 13 днів тому +4

    Walaikum salam warhmatillah wabarakat

  • @Mwanasha-cf9vd
    @Mwanasha-cf9vd 12 днів тому +2

    Huyu hajielewi kabisa ushindani mwingi

  • @mamasiham9287
    @mamasiham9287 13 днів тому +3

    Allhamdullilah

  • @Kadija-xh1lt
    @Kadija-xh1lt 12 днів тому +2

    Mashaa Allah mafundisho kabisa

  • @AbdouliHasani
    @AbdouliHasani 8 днів тому +1

    Mashaalla kwelii rahaaa❤❤❤❤❤

  • @Kadija-xh1lt
    @Kadija-xh1lt 12 днів тому +2

    Mafundisho mazur kabisa Allah awazidishie umri mrefu

  • @shabanirukundo4272
    @shabanirukundo4272 12 днів тому +2

    Kwakweli ustadh utapata maswali ya jabu sana

  • @MohamedHozi-p1u
    @MohamedHozi-p1u 12 днів тому +2

    😂ati nkimpokonya bibi ananipatia paka mtoto..ukristo unasarakasi sana

  • @kadhyanassor5046
    @kadhyanassor5046 12 днів тому +3

    Hiyo wallahi mbona mimi naisikia sana wakiristo wakiapa au wanaiga tu na hawajui maana yake...? Hata shukran naona wanatumia mpaka nashangaa hee kwani wanaongea arabic hawa..

  • @F.j84
    @F.j84 13 днів тому +3

    Huyo mwenye white anapinga maandiko lkn anafata imani ya kanisa.

  • @nayef3903
    @nayef3903 12 днів тому +3

    Huyu anayejiita Omar pengine sio jina lake anajiita hivyo aonekane alikuwa muislamu akaona amepanic akasema ni mkristo

  • @bashirmahero7021
    @bashirmahero7021 12 днів тому +2

    Umaaaat Muhammad Raha kweli

    • @salimdaawah123
      @salimdaawah123  12 днів тому

      Alhamdulillah ujumbe unafika pole pole tu

  • @SaleheKijazy
    @SaleheKijazy 13 днів тому +2

    Tupo pamoja siku zote inshallah

    • @salimdaawah123
      @salimdaawah123  12 днів тому

      Masha Allah tunakupenda kwa ajili ya Allah

  • @abdallasuleiman8785
    @abdallasuleiman8785 12 днів тому +2

    Omari anakwepa kwa kujifanya mjanja na amekuja kushindana mwalimu.

  • @bahsansheikh6042
    @bahsansheikh6042 12 днів тому +2

    Ati omari😂😂😂😂😂😂

  • @nayef3903
    @nayef3903 12 днів тому +2

    Asalam aleykum kuna hao jamaa wakupoteza time huwa wametumwa kuwa wasikubali maandiko ya ukweli wanafanya kusudi na wanajua ni ukweli. Watu kama hawA musiwape time nyingi. Ukiwapa time nyingi mwengine akija ataweza kupoteza mda

    • @salimdaawah123
      @salimdaawah123  12 днів тому

      Walykum msalam warahmatullah wabarakatuh tutaliangalia hilo