Ustadh Salim somo ya babangu Allah akupe umri zaidi na baraka nyingi.. Na ustadh Ali nakupenda bure kwa ajili ya Allah bila wewe hatupati uhondo.. Allah atujaalie umma bora na atukutanishe jannah ameen
@@F.j84 Afadhali hata hiyo dhana ya Yesu kufa ili kusamehe dhambi kuliko kuamini nikibusu jiwe dhambi zangu zinasamehewa. Isitoshe wudu pia inasamehe dhambi Imepokewa kutoka kwa Abu Huraira: Amesema Mtume wa Mwenyezi Mungu (rehema na amani ziwe juu yake): "Mja-Muislamu au Muumini anapoosha uso wake (katika kutawadha), kila dhambi anayoifikiria kwa macho yake, itaoshwa kutoka kwenye uso wake. pamoja na maji, au kwa tone la mwisho la maji; anapoosha mikono yake, kila dhambi waliyoifanya itaondolewa mikononi mwake kwa maji, au kwa tone la mwisho la maji; na anapoosha miguu yake, kila dhambi iliyoiendea miguu yake itaoshwa kwa maji au kwa tone la mwisho la maji na matokeo yake ni kwamba atatoka msafi kutokana na dhambi zote. Mtume wenu ndiye alikuja kuleta ujinga ya jiwe kusamehe dhambi, maji kuyaosha dhambi na kumpiga shetani kwa mawe. Wewe mtu mzima mwenye akili timamu huoni kama kuna kupumbazwa hapa.... tafakari hayo!
Ustadh Salim somo ya babangu Allah akupe umri zaidi na baraka nyingi.. Na ustadh Ali nakupenda bure kwa ajili ya Allah bila wewe hatupati uhondo.. Allah atujaalie umma bora na atukutanishe jannah ameen
Aameen ameen ameen sote tunakupenda sana kwa ajili ya Allah
Bismillah wapili leooooo❤❤❤❤ taqbirrrrrrrriii
Uko sawa😂
Allahu Akbar 🎉🎉
@@alilim1958 😂sina habariiiii kwa sauti ya salim ngugwi wanyweke🙌🏽😆
@@JamilaJumanne-u7q tunawapenda sana kwa ajili ya Allah
@@salimdaawah123 alhamdulilah nafrah sanaaaa!!
Àlhamdulillaah..
Wengine tushakuwa walevi wa Daawah ... ❤ Hatulali mpaka tupitie channel ya Sheikh Salim .. (Allah amhifadhi)
Baanae😂
Ukweli 😫🙏❤️
@@swafiirbulbul819 tunawapenda sana kwa ajili ya Allah
Asalam alykum warahmatullah wabarakatuh. Kazi nzuri sana Masha Allah Allah awahifadhi
Walykum msalam warahmatullah ameen ameen sote
Assalam Alaykum Warahmatullahi Wabatakatuhu,,, Maa Shaa Allah ndani ya njia kuu, last mgala Katia maneno mengi,,Allah awahifadhi nawapenda sana
@@MwangiMuhammad-q8r walykum msalam warahmatullah wabarakatuh tutampa dawa akirudi
Waalaykum Salaam Warhamatullah Wabarakatuh
Waaleiqum salaam warahmatullahi wabaraqatuh❤❤
@@MohdJuma-w6l masha Allah tunakupenda kwa ajili ya Allah
Walaikum salam warhmatillah wabarakat
Asalam aleikum waramtulah wabarakatu mafunzo mazuri salimia Mwalimu Hasana hop ako vyema
Walykum msalam warahmatullah wabarakatuh inn shaa Allah
Mashaallah baarakallah mafunzo yenu mazuri Mashaallah mnamjibu kwa quran unamtibitishia kwa biblia
Kabisa mpaka waelewe inn shaa Allah
Assalamu Alaykum team
Waaleikum Salam warahmatullah wabarakatuh
@@HisMajesty64 walykum msalam warahmatullah wabarakatuh
Asalam aleikum warahmatullahi wabarakatuh Allah azidi kuwabariki
Walykum msalam warahmatullah wabarakatuh ameen ameen ameen sote
Assalam aleykum warahmatullahy wabarakatu,nawapenda kwa ajili ya Allah
Walykum msalam warahmatullah wabarakatuh tunakupenda sana kwa ajili ya Allah
ALLAHU AKBAR ♥️
Huyo Antony ni innocent inheritor.😅😅😅 Tusimlaumu.
Imani ambayo mpaka utumie kifua kuieleza mwisho anasema hana muda.
😂🤣😂😂😂😂 mchungaji huyo alijua akikaa kitaeleweka ndio akahepa
Tupo pamoja siku zote
😂😂😂huyo hakuja kwa ilmu watu kama hawa wakate wanapoteza mdaa
Inn shaa Allah
Eti tumeua mtu (Yesu) na tumesamehewa badala ya kupata dhambi.
Allah tu ndiye anaweza kutoa ruhusa ya kuua mtu.
Wakristo ni kama hiyo biblia tuna wafundisha cc hawanayo ufahamu
Kabisa hawaisomi
Kwanini utamu unakuja mwisho mwisho 😅😅😅
Hata ukila chakula utamu unakuwa mwisho😂😂
Huyo mtume wenu alitumwa kwa watu wote kufanya nini?
Kukutoa kwenye ujinga km wa kusema eti yesu afe ili wewe uende mbinguni😂
@@F.j84 Afadhali hata hiyo dhana ya Yesu kufa ili kusamehe dhambi kuliko kuamini nikibusu jiwe dhambi zangu zinasamehewa. Isitoshe wudu pia inasamehe dhambi
Imepokewa kutoka kwa Abu Huraira: Amesema Mtume wa Mwenyezi Mungu (rehema na amani ziwe juu yake): "Mja-Muislamu au Muumini anapoosha uso wake (katika kutawadha), kila dhambi anayoifikiria kwa macho yake, itaoshwa kutoka kwenye uso wake. pamoja na maji, au kwa tone la mwisho la maji; anapoosha mikono yake, kila dhambi waliyoifanya itaondolewa mikononi mwake kwa maji, au kwa tone la mwisho la maji; na anapoosha miguu yake, kila dhambi iliyoiendea miguu yake itaoshwa kwa maji au kwa tone la mwisho la maji na matokeo yake ni kwamba atatoka msafi kutokana na dhambi zote.
Mtume wenu ndiye alikuja kuleta ujinga ya jiwe kusamehe dhambi, maji kuyaosha dhambi na kumpiga shetani kwa mawe. Wewe mtu mzima mwenye akili timamu huoni kama kuna kupumbazwa hapa.... tafakari hayo!
@@F.j84soma sura Mariam 71 inasemaje?