HAWA NA ZAHIR WANENA MAZITO JUU YA KESI YAO WALIOSHITAKIWA NA FADINA |UTAPELI MZITO

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 8 вер 2024
  • SAD MOMENTS Ni Kipindi Kilichoandaliwa Maalumu na MAXIMUM TV Kwaajili Ya kugusa maisha ya watu wenye mazingira Magumu Ndani ya Tanzania
    kwa Mfano
    1 - WENYE MARADHI
    2 = WALIOTELEKEZWA NA WATOTO
    3 - UNYANYAPAAJI WA KIJINSIA
    4 - UBAKAJI
    5 - MATUKIO YA KIKATILI
    6 - AJALI
    7 - KUISHI MAZINGIRA MAGUMU
    8 - WAZEE NA WATOTO
    ___________________________________________________________________________________
    KWA HABARI ZA MATUKIO TUPIGIE
    Mawasiliano : +255 6254 66848 ( Pia inapatikana na Whatsapp )
    Pia Unawezaa kututembelea kwenye kurasa zetu za instagram , Facebook , Telegram
    Usisahau Ku-SUBSCRIBE Channel yetu ya MAXIMUM TV Ili Kuwa wakwanza kutazama Matukio Mbali Mbali na Kwa ubora zaidi.

КОМЕНТАРІ • 1,3 тис.

  • @mariammariam1187
    @mariammariam1187 3 роки тому +55

    Pole sana kaka Allaah yupo pamoja na wewe ila nawaomba mliopo umu tuombe dua kwa kila mtu na kwa imani yake tumuombee dua kaka yetu zahri

  • @rachelwilly863
    @rachelwilly863 3 роки тому +24

    We dada utavuna ulichopanda,, iwe kwa furaha au kwa machozi, hakika utavuna,, Mungu Akutie Nguvu Kaka Zahir

    • @binaljabirmshihirzanzibar8369
      @binaljabirmshihirzanzibar8369 3 роки тому +1

      Inshaallah kher kwa uwezo wa Allah Allah atamuoneshaa inshaallah na Ramadhan hii atakomaa inshaallah kher

    • @credo7837
      @credo7837 3 роки тому +2

      Shetani kabisa

    • @pilimusa7770
      @pilimusa7770 3 роки тому

      @@credo7837 kabisa

    • @credo7837
      @credo7837 3 роки тому

      @@pilimusa7770 🤔🤔yaan daah

    • @pilimusa7770
      @pilimusa7770 3 роки тому

      @@credo7837 fadina si mtu kweli. Kusaidiwa kote kule. Hana shukurani kabisaa.

  • @mishibaron5021
    @mishibaron5021 3 роки тому +27

    Pole sana imeniuma sana ...binadamu hawana wema yani usaidie mtu alafu aka ufanye ivi aki binadamu hawana Shukrani kweli ...jikaze kaka

  • @wamtafraniwamtafrani9099
    @wamtafraniwamtafrani9099 3 роки тому +1

    Pole sana kaka munguyu pamoja na wewe unapitia magum sana kuliko unaowa saidia kiukweri viatu vyako kuvivaa ni vikubwa sana munguyu pamoja na wewe ni vijana wachache sana wenye moyo kamawako kwa dunia ya saizi watu wanajari sana masrayi lakini wewe unajari utu sana pole sana kaka

  • @faridaessa7844
    @faridaessa7844 3 роки тому +34

    Poleni Sana kwa mtihani mnaopitia nimefurahi kukuona Kaka Zahir,

    • @neemaazizi632
      @neemaazizi632 3 роки тому +1

      Uyo mama anaakili

    • @allamki2661
      @allamki2661 3 роки тому +1

      Kaka zahor usivungike nguvu iyi ni mitihani ya mungu yote kwa uwezo wake Allha taisha

  • @faizaahamd2052
    @faizaahamd2052 3 роки тому +11

    Pole sana my brother ZAHIR Mungu atakufanyia wepes. Na akupe afya njema👏👏dua njema kwako. My kaka zahir. . Yule mama ni shetwani. Kabisa mungu atamuazibu. Walah kama kala hizo pesa Za zuluma atakufa .kasisimama .huwa anajifanya mwema mwehu kabisa. Ushahidi ss tunao mpumbavu kwa kweli .Pole sana kaka ZAHIR

  • @jasminjuma6390
    @jasminjuma6390 3 роки тому +55

    Subhanallah 😭😭 YAni siamini kama ni yule fadina kaamua kufanya hivi malipo ni hapa hapa duniani

    • @aminahassanali1190
      @aminahassanali1190 3 роки тому +7

      😭😭😭mungu yupo pamoja na weny kusubir zahir

    • @user-ij2bf8of8h
      @user-ij2bf8of8h 3 роки тому +6

      Huyu Fadina kasahau pale kaka Zahiri kamtuo wakati alikuwa anashida kwa jua akitengeneza Korosho jamani viumbe kweli wazito.ila Kuna mwenyezi mungu juu mbinguni

    • @user-jz8sj5us1h
      @user-jz8sj5us1h 3 роки тому +1

      😭😭😭😭😭😭

    • @user-jz8sj5us1h
      @user-jz8sj5us1h 3 роки тому

      Kabisa malipo apa a pa ila imeniuma kweli jmn fadina ana akili jmn akumbuki alokotoka 😭😭😭

    • @Awatee
      @Awatee 3 роки тому

      @@aminahassanali1190 Swadakta ALLAH kareem

  • @mesajuma4843
    @mesajuma4843 3 роки тому +36

    Kuna watu awana fadhila kabsa kwa hii dunia,yan vle unajitoa muanga kusaidia watu alafu wanakugeuka Mungu atakulipa kkngu 🙏

    • @mwanalikhamis9875
      @mwanalikhamis9875 3 роки тому +2

      Kweli tunakumbuka kaka zahr poleni sana

    • @user-jk5ir4ke3z
      @user-jk5ir4ke3z 3 роки тому +2

      Pole.kaka yetu ,jambo za heri gumu sana pepo.ngum sana ila mungu atakupa ushindi, usijali kaka yangu kafanya mazur magufur naleo anatukanwa mungu atawapa faraja

    • @khatibuhijja459
      @khatibuhijja459 3 роки тому

      @@user-jk5ir4ke3z we nawe tuondokee na uyo mtu wako hapa,hujui siasa wewe, tuwape pole huyo Zahir na huyo dada ila ya mambo mengine yaache usihamishe mada bure

    • @tivanndalu956
      @tivanndalu956 3 роки тому +1

      Pole kaka zahir Mungu yupo atatenda

    • @hadija846
      @hadija846 3 роки тому

      Amiin🙏🏼😭

  • @neemandayishimiye7744
    @neemandayishimiye7744 3 роки тому +25

    Jamani poleni sana tendawema nendazako kaka zahir

  • @fahadfahadmaabadmzee7437
    @fahadfahadmaabadmzee7437 3 роки тому +9

    Dah! Pole Sasa Kaka Zahir Viumbe Wazito Ila Usichoke Kutusaidia Sisi Wanyonge Ila Kumbuka Kaka Malipo Hapa Hapa Dunia Akhera Kuhesabiwa👏

  • @twocounrieslady7165
    @twocounrieslady7165 3 роки тому +27

    Wana uhaho wana ha ha
    Endelea na kazi yako kaka usaidie wanyonge kila jambo lenye manufaa halikosi changamoto.

    • @judithmelvinealuchio8968
      @judithmelvinealuchio8968 3 роки тому +3

      Amen kweli kabisaa hata yesu aliyapitia hiyo ni thibitisho kamili kuwa zahir ni mutumwa kutoka kwa mungu na mungu alali yupo na maombi yetu na chozi la wengi huyo mama atakatika miguu hata na mikono asipo chunga na fathina nivile ashaa tishiwa maskini anatumiwa tu 🙏🙏🙏🇰🇪🇪🇺

    • @omarytausi8039
      @omarytausi8039 3 роки тому +1

      Polen sana

    • @zuwenasungura2090
      @zuwenasungura2090 3 роки тому

      Pole mtetezi wetu

  • @aminahassan3588
    @aminahassan3588 3 роки тому

    Pole sn zahir mungu siku zote hasimami na madhalim piga kazi usivunjike moyo fungu lako liko kwa allah na mwisho wa ubaya ni aibu

  • @nurahyusuph9771
    @nurahyusuph9771 3 роки тому +8

    Kila kazi iko na changamoto zake.mshukur mungu kwa kila hatua kak juu kila tatizo hua na sababu mung awazidishie afya njem ,nguvu na pia usikate tamaaa .lakin pia poleni sana ndug zetu katik imani💯❣🙏

    • @ashazuber6548
      @ashazuber6548 3 роки тому

      Hakika hakuna kaz rahisi katika hii dunia

  • @ramlamohammed1661
    @ramlamohammed1661 3 роки тому +2

    Tenda wema nenda zako,
    Allah atakusimamia
    In Sha Allah.

  • @princebabu6977
    @princebabu6977 3 роки тому +34

    Wa kwanza leo Alhamdulillah
    Allah akulipe Kheiri nyingi sana bila hesabu Zahir na poleni kwa Mtihani Allah ataleta Kheiri zake

    • @salharamazansuleiman8957
      @salharamazansuleiman8957 3 роки тому

      inshallh alet hery yarab

    • @born_2_shine_genge160
      @born_2_shine_genge160 3 роки тому +1

      Da roho imeniuma hivi kweli mungu atashindwa kumuazibu huyo mbibi alieiva usoni maskini wa mungu kwa alichokifanya lazima majibu ya mungu yapo aisee

    • @born_2_shine_genge160
      @born_2_shine_genge160 3 роки тому +1

      Jamani tunomba haki za wanawake watusaidie muheshimiwa raisi mama samia najua unakazi kubwa usichoke tusaidie yani roho inauma sana

    • @hadija846
      @hadija846 3 роки тому

      Amiin🙏🏼

    • @sakinat2527
      @sakinat2527 3 роки тому +1

      Amiin

  • @Mono-jx4cp
    @Mono-jx4cp 3 роки тому +18

    Allah yuko pamoja na ww zahir na hawa musiwe na wasiwasi duwa zetu zitawasaidia inshaallah

  • @faridaessa7844
    @faridaessa7844 3 роки тому +22

    Pole Sana hawa mweshimu Sana Kaka Zahir

  • @florencemlay9333
    @florencemlay9333 3 роки тому +1

    Huyu kaka anajitoa mnoo kwa jamii jamani!yaan kanifanya niangalie hii maximum Tv online .Much love from 🇺🇸

  • @rahmaomary8021
    @rahmaomary8021 3 роки тому +6

    Kusema ukwel uyu mama sijawai mfagiliaga hata siku moja saabu nilimuona akshen zake. Ila akumbuk malipo nihapaha dunian ahera kwenda esabu. Mwenyenzi mungu ato waacha salama kabla ya mwaka kuosha. Pole Sana Kaka Zahir na mdogo wetu hawa

    • @husnahilda7025
      @husnahilda7025 3 роки тому

      Dah binaadam bwanaa ila usikate tamaa kaka zahir mungu atakusaidia

    • @cheiknamouna2058
      @cheiknamouna2058 3 роки тому

      Kama unakumbuka kipindi alifungua group nlicoment kuhusu huyu mama tabia zake zinaonekana za kitapel huwezi amini nlipigwa remove kubwa kuwa nalalamika sana youtubu sasa ndo tunajionea utapeli hadharani ila sikuko.a kufuatilia hii story mungu atawapigania tu yule mama ni lipepo

    • @mariasaid6053
      @mariasaid6053 3 роки тому

      Namm sijawah kumsaport huyu mwanamkee mshezi sana mungu atalipa hapa hapa

  • @Hellennafula48
    @Hellennafula48 3 роки тому +1

    Huyo mama anakaa mlevi pia ni tapeli tuu fadina a chunge atafukuzwa kama umbwa huyo mama ni mwizi tupu liangalie limama Halina respect mungu yupo na nyinyi Hawa na Zahir Baraka zipo nanyi jipeni moyo penye mazuri lazima vurugu itokee ndo ukue mshindi msiogope na mambo ya watu wenye hawana shukran mungu atawalipia

  • @maryamkhamfar4029
    @maryamkhamfar4029 3 роки тому +11

    MwenyeziMungu atawasaidia in sha Allah🤲🏽🤲🏽🤲🏽

  • @hamidaalhabsi8568
    @hamidaalhabsi8568 3 роки тому

    Da poleni sana subhanaallah eeemwenyezi mungu binadamu hana kheri ni Bora kufadhili mbwa Kuliko binadamu Yule dada ni tapeli sana mungu mkumbwa atamuonyesha inshallah yaarabi 🙏🙏🙏🙏🙏

  • @rogerhunda8616
    @rogerhunda8616 3 роки тому +13

    Dah poleni sana ila yule mama mshenzi sana na InshaAllah yatamrudia tu malipo hapa hapa duniani

    • @khadijaangore4408
      @khadijaangore4408 3 роки тому +3

      Ameen yaraab alamiin

    • @sakinahkenia9426
      @sakinahkenia9426 3 роки тому +2

      Uyo fadina hiyo pesa ameipata kwajili zahir kutangaza ngoja na yy msaada uishe atakuja kutolewa mguu shuzi km mweziwe yule ni zaidi ya firauni

  • @semenimohamed8156
    @semenimohamed8156 3 роки тому +1

    Pole sana kka zahir mwenyezmungu akuepushie na Shari zote hakika mungu atalipa kwa kila alifanyalo hyo dada

  • @nyadundogerald4828
    @nyadundogerald4828 3 роки тому +22

    Dha pole sana kaka zahir uwe makini na watu unaowatangaza kusaidiwa dha!! watu wana roho mbaya🤔😓

    • @swahibaswaleh1348
      @swahibaswaleh1348 3 роки тому +1

      Swahiba oman pole zahiri

    • @robbynyamriba251
      @robbynyamriba251 3 роки тому +3

      Sema unapotoa msaada huwezi kujua mtu mzuri ni yupi na m baya ni nani?ni kumuombea tu

    • @ashnuhu1420
      @ashnuhu1420 3 роки тому +3

      Kabisa maana sio wote wenye roho nzuri siku ya pili bora zahiri awe makini siku y mtu akimtishia ni heri aripoti mapema maana watu wengine wanaroho za shetwani

    • @mariamfaki1166
      @mariamfaki1166 3 роки тому

      Hii inakatisha tamaa hata watu wengine kusaidiwa

    • @maryjonh311
      @maryjonh311 3 роки тому

      Ubinadamu kazi sana.bora umfadhili mbuzi

  • @namungolubala1788
    @namungolubala1788 3 роки тому

    Pole sana Kaka Zahir huyomama aliona amesha kulapesazote za fadina ndipomaana anatengeneza kesihizo zote zenyehazina msingi .Analaanahuyo Kwa hiyo kangongamwamba.atapigwafimbo na mwenyezi Mungu.Mwenyezi Mungu atawashimamiya kwenye kesihizo zenyehazina msingi

  • @peninahmutonyi4973
    @peninahmutonyi4973 3 роки тому +31

    Poleni Sana kaka Zahir, mungu atawapigania, msife moyo.

    • @udaku..travel8506
      @udaku..travel8506 3 роки тому

      Lakini zahir video c unazo wanyeshe zote

    • @msimualikhamis5906
      @msimualikhamis5906 3 роки тому +1

      Aslmalkm tupo pamoja nanyi M.mungu atawalinda

    • @allamki2661
      @allamki2661 3 роки тому +1

      Jamani watu hawana kheri kaka zahor ana tenda wema watu wana mlipa ubaya Mungu mlipie uyu kaka apa duniani

    • @allamki2661
      @allamki2661 3 роки тому +1

      Mungu ni mwuweza wa kila kitu na yote yataisha in sha Allha

    • @allamki2661
      @allamki2661 3 роки тому

      Lakini kaka zahor siuko na udalili wote?

  • @nevergiveup7116
    @nevergiveup7116 3 роки тому

    Pole sana Zahil, walimwengu ndo walivyo nia yao ni kukukatisha tamaa tu kwa kazi unayoifanya, ila yule mama hata video ya mwazo kabisa ukiangalia unajua kabisa huyu mama ni mwizi

  • @aishafrancis7714
    @aishafrancis7714 3 роки тому +30

    Malipo ni hapahapa duwa za watu hazitamuacha salama huyo dada MUNGU atatenda INSHALLAH🤲

    • @udaku..travel8506
      @udaku..travel8506 3 роки тому +1

      Video zote tumeziona huyo mwanga

    • @aishafrancis7714
      @aishafrancis7714 3 роки тому

      @@udaku..travel8506 tena ataadhirika vibaya sana ni bora angeomba msanaha yaishe

    • @credo7837
      @credo7837 3 роки тому

      @@aishafrancis7714 inasikitisha kwakwel

    • @credo7837
      @credo7837 3 роки тому

      Tena alikuwa mchafu 😥😥

    • @mename6020
      @mename6020 3 роки тому

      Huyu mwanamke anategemea nguvu za giza... Allah atamshinda kwa kweli ataazirika tu... Mungu amfichi zwalimu...

  • @agnesslyatuu8026
    @agnesslyatuu8026 3 роки тому

    Pole sana Zahiri! Kweli watu huwa wanajisahau kama sio wewe huyu mama hata watu wasingemfahamuu umemsaidia sasa anakugeuka.Tunakuombea mwaya na tupo pamoja na wewe usiikate tamaa kusaidia wanyonge. Ila watajutia walichokifanya.

  • @mariamfataki8025
    @mariamfataki8025 3 роки тому +12

    Mateso ya mwenye haki ni mengi sana lkn Mungu humponya nayo yote. 😭😭😭 Siamini macho wala masikio yangu Wallah yule dada kitakachomkuta hatokaa asahau yeye na kizazi chake chote amechuma laana kubwa mno 😭😭😭

    • @julietmlaki2816
      @julietmlaki2816 3 роки тому +1

      MARIAM ,MM NIMELIA.JAMANI MUNGU AHUKUMUYE KWA HAKI.NA AHUKUMU SAWA NA HUKUMU INAVYOHITAJIKA.FADINA NA DADA YAKE,WAMESAHAU KAKA ALIVYOWARUSHA MPAKA WAKAONWA NA WANADAM WENYE KUSAIDIA.EE MUNGU,NAKOSA LA KUSEMA.MAOMBI NA DUA JAMANI TUSIFANYE MZAHA KWA HILI NDUGU ZANGU.

    • @hadijasaidi7709
      @hadijasaidi7709 3 роки тому

      Ila huyo chizi wakati vielelezo na ushahidi vyote vipo atajuta na mihemuko yake ya uroho wa pesa atapata stahiki yake we subiri na huyo fading akili za ming'o no atajuta kuburuzwa km mjinga atatupwa huyo na hatopata msaada atarudi km zamani

    • @mariamfataki8025
      @mariamfataki8025 3 роки тому

      @@hadijasaidi7709 kwa roho ya yule ibilisi Fadina ajiandae kufa atamuua tuu kupoteza ushahidi ili yeye aenjoy maisha yake. Kwa akili yake fupi anaona ameshawini anasahau kuwa maisha haya yana fumbo kubwa sana na hakuna ajuaye kesho

  • @fannimohamed364
    @fannimohamed364 3 роки тому

    pole sana zahir Allah atakulipa kwa wema unaowatendea hawa viumbe usikatishwe tamaa ni changamoto ndogo MUNGU atakufanyia wepesi inshaAllah

  • @ameenaameena1224
    @ameenaameena1224 3 роки тому +30

    Leo nimewaha angalau Poleni Sana kaka zahiri pamoja na mdogo wetu hawa

  • @mwajumakabesha5662
    @mwajumakabesha5662 3 роки тому

    Pole sana ALLAH Atawasimamia, Africa ni Africa kweli, Apa hapa you Tube ushaidi tosha. Kwa video za mwanzo. Vile uyo mama Alikuwa Akihojiwa kuhusu pesa za mjengo vile fadina Alihojiwa kuhusu kuona mjengo wake Akasema Ajaonyeshwa.

  • @ramadhanidaudihaji2174
    @ramadhanidaudihaji2174 3 роки тому +7

    Kunawatu akili zao ziko kwenye pesa Tu
    Mtu kajitolea kusaidia halafu unakwenda kumfungilia kesi mtihani kweli daah inasikitisha sana zahir Allah akufanyie wepesi kwa kila Jambo insha'Allah ☝️

    • @hadija846
      @hadija846 3 роки тому +1

      Amiin🙏🏼😭

  • @habibaa9503
    @habibaa9503 3 роки тому +1

    Subhanallah pole mdogo wetu Hawa pamoja na kaka zahiri,in shaa Allah Mungu atawasimamia na mtashinda kesi kwa uwezo wa Allah, Mti wenye matunda daima hupigwa mawe be strong kaka zahir usikate tamaa hata mitume pia walipigwa vita na hawakuchoka kutangaza Dini Omba mungu utashinda kwa uwezo wake Allah.

  • @olphamoraa6683
    @olphamoraa6683 3 роки тому +20

    Mmmmh pole sana kaka mungu atakupigania na wataona matokeo yao tuko pamoja 🙏🇰🇪

    • @hadija846
      @hadija846 3 роки тому

      Amiin🙏🏼

    • @sakinat2527
      @sakinat2527 3 роки тому

      Malipo ni hapa hapa na Allah yuko pa nae zahir

  • @fatumanaliaka2210
    @fatumanaliaka2210 3 роки тому +1

    Poleni Sana nyote Mwenyezi Mungu aendelee kuwa nanyi nyote awapikanie awashindie na kuwawesesha vyema kwa yote katika Jina La YESU KRISTO Aliye Bwana na Mwokozi wetu amen 🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏

  • @dalilahrashid4077
    @dalilahrashid4077 3 роки тому +12

    Ukiskia wema inakuchochea ndio hii sasa.... but Bro Zahir Never give up Malipo yako iko kwa Allah

  • @devothaignatus5911
    @devothaignatus5911 3 роки тому

    Pole sana zahir,,mungu atacmama upande wako nauyu mama atapata pigo moja matata mungu atamuaibisha nawatu wote watashangaa pole sana Zahri

  • @elizabethsiara9528
    @elizabethsiara9528 3 роки тому +15

    Poleni sana kwa mitihan mnayo ipata Mungu atawatiy nguvu InshaAlla

  • @tawhidaom7849
    @tawhidaom7849 3 роки тому +1

    Ama kweli mfazili mbuzi hata kunyima mchuzi ukimfazili bunadam atakufanyima mauzi ndio km hayo pole sann Kaka jitahid kusaidia watu wa hali y chini mungu atakulipa pepo yako

  • @judithmelvinealuchio8968
    @judithmelvinealuchio8968 3 роки тому +4

    niwazuri ya kwamba hata yesu alipigwa mawe akavikwa taji la miiba na akadungwa misumari nothing good comes easy naye mungu yuko nawe sana kaka zahir and Hawa soon atakuwa mtu mwenye kueshimiwa na huyo mama atamutamani zahir na your team mungu azidi kuwa protect 🙏🙏🙏🇰🇪🇪🇺

  • @fatumasaleh5497
    @fatumasaleh5497 3 роки тому

    Pole sana mwanangu kwa mitihani unayoipitia mwenyezimungu atakulipa nahao wanakufanyia ubaya utawarudia wenyewe

  • @pendezabahombwa6377
    @pendezabahombwa6377 3 роки тому +6

    Hamtafungwa in jesus name

  • @nanaathman6721
    @nanaathman6721 3 роки тому

    Alhamdulillah Kaka Zahir Allah atakulipiya haki yako wewe na Hawa Inshaallah nakuombea kwa Allah kesho ukenda Kotini itakuwa kunfayakun Inshaallah na Ramadhan hini ya kheir Inshaallah nakuombea huoni shida maadamu wasaidiya maskini Inshaallah huoni shida watapata shida ni wao tuu

  • @bibifadhili1737
    @bibifadhili1737 3 роки тому +4

    Hii kazi ni ngumu kwa kweli ila Allah atakulinda in shaa Allah

  • @zakiahaeuna1849
    @zakiahaeuna1849 3 роки тому

    Ndug yng zahir usjal pamoj nakushtakiwa bila hatia mung yupo mbele yako yatafika mwisho, kwajuhudi ulizonazo kuwasaidia wat weng kulingan namoyo ulopewa namung leo hi yanakuwa hayo amin mung yupo naww 🤲♥️

  • @amour5535
    @amour5535 3 роки тому +14

    Tangazo tangazo fadina akiomba mchango tusimchangie 😭😭😭😭😭😭pole hawa pole kaka zahir mungu awape subraa

    • @ruqayaruqaya4283
      @ruqayaruqaya4283 3 роки тому +4

      Apewe na nani tena ndugu yn ndio.imetoka hiyo na ataendelea kusota hivyo hivyo hd kufa kwake na mungu anisamehe 😢😢

    • @heyumi2340
      @heyumi2340 3 роки тому +2

      Aende kwenye korosho kwao mtwara akasote vizuri weusi urudi upya

    • @aishabenson960
      @aishabenson960 3 роки тому

      Pole Kaka zahir

  • @doggodallas8412
    @doggodallas8412 3 роки тому

    Mnyonge mnyongeni na haki yake apewe, zahir Mungu yu pamoja na wanaosubiri, kuaeni na Subra nyote mlioshtakiwa,tuko nanyi kuwaombea dua ila mwisho wa ubaya Aibu,Fadina na dadake wataumbuka Inshallah.mtetezi wa wanyonge yu hai.

  • @Lissarams
    @Lissarams 3 роки тому +9

    Lkua nasubiri mrejesho 🙏

  • @stevengeorge6279
    @stevengeorge6279 3 роки тому +2

    Pole sana kaka zahir, mungu ana sababu kuruhusu hilo litokee,siku nyingine usifanye kosa kupuuza mambo ambayo unaona ni madogo lakini kwa wakati ujao inakuwa ni tatizo kama hivyo, huyu mama ungemchukulia hatua toka awali yasingefika huko, mungu awalinde na kuwatunza naamini yana mwisho

    • @subiraharuna1737
      @subiraharuna1737 3 роки тому

      Mara nyingi wema huzua matatizo ila penye ukweli uongo hujitenga huyo mm mungu atamlani kuanzia hapa duniani hadi ahera tuko pamoja namungu anaona mambo yote uliowafanyia atamuumbua alikuwa anajiliza machozi yaubafki ili watu wamuonw nimwema kumb nimshenzi

  • @victoriadaizy5277
    @victoriadaizy5277 3 роки тому +22

    Hayo maroho ya giza na mikosi back to sender 👋 nayabadilisha kua Nuru. in the name of our Lord Jesus Christ.

  • @ashaa497
    @ashaa497 3 роки тому +1

    Pole sana hawa dada yangu yataisha lnshaallah allah yuko nanyi

  • @zuhurasaidy4838
    @zuhurasaidy4838 3 роки тому +15

    yaani siamini huyu mama anachokifanya

  • @asmahanyally3225
    @asmahanyally3225 3 роки тому +1

    Poleni sn yule mama mbaya sn amesaidika sn anachukua pesa za fadina lkn wanachokufanyia kk Zahir MUNGU akujalie akuepushe na huyo mama ibilisi

  • @halishmwarua2957
    @halishmwarua2957 3 роки тому +3

    Subhanallah zahir in sha Allah maan huu mitihani dont give up bro ushaidi wote huko kwenye mitando mungu hakupe subra na nguvu in sha Allah utashida🇰🇪🇰🇪

    • @sulemohd4812
      @sulemohd4812 3 роки тому

      Watu.wanajiamino

    • @neemathomas2764
      @neemathomas2764 3 роки тому

      Atawatokea kwa njia moja lakni watatawanywa kwa njia saba mwachieni mungu

    • @neemathomas2764
      @neemathomas2764 3 роки тому

      Dah mfadhili mbuzi utamla nyama kuliko binadam

  • @ummsalyass1096
    @ummsalyass1096 3 роки тому

    Poleni sana mwenyezimngu atawafanyia wepesi usife moyo kaka zahir Mungu hasmami na mdhalim haki itasmama tuu na uongo utatoweka

  • @hebronsdaughter1661
    @hebronsdaughter1661 3 роки тому +3

    Wakati wake wa kuumbuka umefika huyu mama mshenzi asiye kuwa na shukrani kaka Zahri Mungu atawashindia nasimama pamoja nanyi kwa maombi

  • @paulinasteven6902
    @paulinasteven6902 3 роки тому

    Pole Sana kk thahiri maana mti wenye matunda ndio unaopigwa mawe lile jiwe na lile kombeo alilotumia mtumishi wa mungu daudi likamwangamize huyo mm mahali popote aliko kwa jina la yesu

  • @mtitagirloriginal6890
    @mtitagirloriginal6890 3 роки тому +14

    Sas hao uko police ndio wameenda kujichongea wenyew hel za watanzania haziend bure

  • @salmamkadam9111
    @salmamkadam9111 3 роки тому

    Pole sn zahir mwenyenzi mungu atakulipia tu hapa hapa duniani pia usikate tamaa kaka allah atakupa nguvu na atakusimamia

  • @twocounrieslady7165
    @twocounrieslady7165 3 роки тому +8

    Mwizi ni yy alaf asingizia wengine muachie hio simu kama haki ya mtu yalika.

  • @al-mamarial-mamari5457
    @al-mamarial-mamari5457 3 роки тому +2

    حسبي الله ونعم الوكيل.kweli huu ni mtihani. Jamani Yule mama amefikia yote hayo. Mungu yupo pamoja na nyinyi brother Zahir na Sister Hawa. Iyo mama kakusudia ushari na kuweni makini Sana hata ktk Safari zenu anaweza hata kutumizia watu wake kuwafanya chochote kile. Mungu amlainishie Moyo wake na akumbuke hisani yako brother. Shukran

  • @namirihamisi3899
    @namirihamisi3899 3 роки тому +5

    Huyo mama akamatwe atapike zile.pesa ili fadina asaidiwe kama ilivyopangwa sababu atateseka sana baade yaani atamfukuza pale kama mbwa.

    • @taslimanyange2850
      @taslimanyange2850 3 роки тому +1

      Acha afukuzwee kwa nini asiungane na hawa kumtetea zahir na siyo huyo shetani

    • @namirihamisi3899
      @namirihamisi3899 3 роки тому +1

      @@taslimanyange2850 Unajua huyo fadina hapo alipo ana hofu ya pakuishi ukizingatia kwao hana makazi mama ake anamnyanyapaa nankuu kwa maelezo yake mwenyewe fadina na mtoto wake ndi9 huyo kashamuhamishia dar na yupo kwa huyo mama kwa hiyo yy ameshika makali huyo mama kashika mpini anaogopa akivuta kisu atajikata.

  • @Awatee
    @Awatee 3 роки тому

    Subhana ALLAH wanawake tumuogope ALLAH tumeonekana wengi moton tumuogope ALLAH Dhulma mbaya na Mola hawapend madhwalim

  • @basirabasira8282
    @basirabasira8282 3 роки тому +9

    Allah atakulipa zahir atakujlie nguvu na atakupa ufumbuzi wa haya matatizo atakuepusha na mafisadi wanafiki na kazalika amiin basir 🇴🇲 🇴🇲 🇴🇲

    • @tausimussa9777
      @tausimussa9777 3 роки тому

      Huyumama mungu atamlani kwauwizi wake mama mzima jambazi

  • @Farida-uz3vr
    @Farida-uz3vr 3 роки тому

    Pole sana kaka zahiri nahawa mungu awapengu naujasiri wakushinda kila kikwazo nahuyo fadina hanaadabu hatachembe ila mungu atawaalani naramazanihi uwongosikuzote haujifichi na mbwasikuzote haachikubweka niyulemama kaona hapatitena pesa

  • @nooroman3335
    @nooroman3335 3 роки тому +3

    Poleni sana ndugu zangu kwa mitihan mloupata ndugu zangu hao ndio binaadam wasoshukran wala ihsan zahir ucjal mungu yupo na utashinda tuuu kubwa mshkuru mungu na wala usikate tamaa zahir endelea tuu kuchapa kazi malipo yako utayakuta kwa mungu

  • @jumanatv417
    @jumanatv417 3 роки тому +1

    Duh, itoshe kusema dunia hadaa ulimwengu shujaaa. Wazee wetu waliona mbali Sana. Siamini ninachokisikia. 😱

  • @user-eg1dr6so4c
    @user-eg1dr6so4c 3 роки тому +3

    Poleni sana wapendwa wetu kaka zahir na Hawa Allah atafanya miujiza yake

  • @arafakiloli749
    @arafakiloli749 3 роки тому

    Subhannahllah poleni sana Allah akupe subra na uvumilivu. Allah akuondoshee hayo masibu.

  • @twocounrieslady7165
    @twocounrieslady7165 3 роки тому +5

    Mungu atawatoa katika majanga ya wachawi wachawi

  • @samsungj7pro64gb5
    @samsungj7pro64gb5 3 роки тому

    Subbuhana Allah mh pole sana kka na hawa jamni Allah atakufanyieni wepesi juu ya hili pia atutaacha kuwaombea insha'Allah

  • @husnaiyasulesh4687
    @husnaiyasulesh4687 3 роки тому +7

    Yani uyo fadina mbon atajut nimtumzim lakin hajielew pesa alizochangiw hazion heee

  • @salmare2628
    @salmare2628 3 роки тому +1

    Yaani fadina nae anakusaliti haya mungu anaona fadina huyu siamini nnachokickia hee kweli kuna watu na viatu fadina ah mungu atawalipia

  • @Amina-bq2xe
    @Amina-bq2xe 3 роки тому +5

    Machozi ime nitoka wallah 😭😭😭 leo kaka Zahir anaitwa mwizi na Fadhina wema na huruma yote hiyo uliyo mfanyia. Kweli bora kumfadhili mbuzi kuliko binadamu. Njomana mimi nilisha vunjika moyo na binadamu tena nabaki nawaogopa binadamu.

    • @alibell5246
      @alibell5246 3 роки тому

      Mm naona fadhina asilaumiwe fadhina anaburuzwa tuu isitoshe anakaa nae hana pakwenda

    • @baiaaa2809
      @baiaaa2809 3 роки тому +1

      @@alibell5246 lawama lazima fadina kwani hajielewi

    • @linahsemindu4261
      @linahsemindu4261 3 роки тому

      Jmn fadina wa watu Hana kosa Ila akimtetea zahir atakula wapi? Mana yule mama ndo kamlea toka alivyotoka kijijini

    • @alibell5246
      @alibell5246 3 роки тому

      @@baiaaa2809 fadhina ni kilema pia hana pakwenda na yule dada ndo anamlea kwaiyo kwa vyovyote lazma amtetee kwa sababu hana pakwenda yy na mwanae

  • @zakiamsafiri123zakiamsafir7
    @zakiamsafiri123zakiamsafir7 3 роки тому +1

    Poleni Kaka zahir na Hawa Allah atawasimamia Yule kama ni Zaid ya sheitwani

  • @fauziaabdullah3733
    @fauziaabdullah3733 3 роки тому +3

    poleni sana kaka zahir na hawa mungu atawalipa

  • @ashuraamani2671
    @ashuraamani2671 3 роки тому

    Jamani binadam wanamaudh mungu akupe subra uwendeelee naibada hii ningumu kwani kunavita nawatu wasiopenda mazur ya wenzao, mungu atawasimamia kaka zahir kwanguvu za Allah mtashinda

  • @zuwenajuma2927
    @zuwenajuma2927 3 роки тому +8

    Dunian kuna watu na viatu,zahir mwenyz Mungu akutangulie kwa kila jambo

  • @rukiauledi8179
    @rukiauledi8179 3 роки тому

    Pole Sana kaka zahri ukweli haupingi niukweli Upo tuu uzuri Kirby zote zipo zitaonyesha ukweli naukiona kaka mtu kapunguzwa kiungo na Mwenyezi mungu ujue Anamatatizo yake kusaidiwa kote huko Leo ww unaonekana hakufai na ishaallaah Mwenyezi mungu atawafanyia wepesi yataisha hata huyo fadina Mwenyezi mungu atamuonyesha

  • @mdzainb3722
    @mdzainb3722 3 роки тому +4

    Kwanza nakupa pole kaka Zahiri ,,,,,,, ila najua yote yatakwisha ukweli utajulikana maana huyu fadina anafundishwa chakufundishwa huwa inakuwa ngumu kukumbuka hususani mahakamani atajing'ata tu na ikionekana haupo nakosa ashtakiwe🤲 😭😭😭

  • @ashaali7154
    @ashaali7154 3 роки тому

    Binaadam hawana wema hata uwafanyie nini. Hivyo Mungu atakulipia na atakuondolea yote haya. Pesa ni adui mkubwa duniani. In Sha Allah Mola atampa mazito kwa ubaya wake huyo Fadina. Pole sana Zahir.

  • @vanessadahnilly8551
    @vanessadahnilly8551 3 роки тому +4

    Kwanza kabisa natamani hapa mwenyewe UA-cam kungekuwa na voice note

  • @safoohalseeb9780
    @safoohalseeb9780 3 роки тому

    Hakuna kazi isiyo kuwa na majaribu mungu akubariki zahir na akulinde 🤲🤲🤲🤲

  • @jasminjuma6390
    @jasminjuma6390 3 роки тому +4

    Poleni Sana Allah yuko pamoja nanyi kila hatua mola awalinde

  • @anitashoni7688
    @anitashoni7688 3 роки тому

    Poleni sana kaka Zahir na Hawa kwa mnayoyapitia. Kweli kuna watu wa ajabu duniani, Dada yake Fadina muogope Mungu na wewe Fadina unakubali kufundishwa uongo kumbuka huyo mnayemsemea uongo kaka Zahir ndio Aliyefanya tuwajue nakuwachangia naona hela zimewafanya msahau utu. Narudia tena kumbukeni kuna Mungu na malipo yapo hapa hapa duniani.

  • @moreenmbatha1147
    @moreenmbatha1147 3 роки тому +12

    mtaka yote hukosa yote fadina atateseka kuliko mwazo chazo ni huyo dadake😢😢😢😢😢😢😢😢😢 kumekuwa aje niwa kubebwa sasa

    • @khadijahali4837
      @khadijahali4837 3 роки тому

      Hy dada yk Faidina anataka amfukuze hy Faidina

    • @moreenmbatha1147
      @moreenmbatha1147 3 роки тому +1

      @@khadijahali4837 atapata mateso huyo

    • @fatumakassim716
      @fatumakassim716 3 роки тому

      Tena atarudi kwao huko shamba akalime mbwa na mungu atamlani atapata ulemavu mwengine mpaka kufa kwake

    • @moreenmbatha1147
      @moreenmbatha1147 3 роки тому

      @@fatumakassim716 huyo dadake fadina ameni bore sana hasara atapata kutokana na matendo yake atajuta mara 100

  • @khamisjuma5046
    @khamisjuma5046 3 роки тому

    My brother never lose hope message from USA

  • @davallamchambe5275
    @davallamchambe5275 3 роки тому +6

    Yule Fadina mpuuzi sana anashikiwa akili kiukweli kk ZAHIRI HUSSENI mimi nilikua nataka sana kumuoa ili tupate kustiliana ila nishamuona afai

    • @basirabasira8282
      @basirabasira8282 3 роки тому +1

      Kabisa

    • @teychriss3248
      @teychriss3248 3 роки тому +2

      Ungetumika! Achana nae aendelee kubangua korosho! Mjinga kabisa!

    • @shaloboy3861
      @shaloboy3861 3 роки тому

      Fadina hana kwakenda ila ukweli wote anaujua yy mwenyewe pesa zake zimepigwa

    • @zennahmtoto1867
      @zennahmtoto1867 3 роки тому

      😀😀🤣🤣🤣🤣

    • @davallamchambe5275
      @davallamchambe5275 3 роки тому

      @@teychriss3248 ni kweli wala si uongo

  • @fatumahengo6849
    @fatumahengo6849 3 роки тому

    Pole sana Zaher kila kaz ina changamoto zake kubwa usivunjike moyo pambana tu na sisi tupo nyuma yako hatutakuacha Abadan

  • @shabaniguma8696
    @shabaniguma8696 3 роки тому +8

    SubhanaAllah😭😭 mwanamke shetani sana Zahir na kuombea kila la kheri Allah awafanyie uepesi tuko pamoja Sisi sote tuko pamoja na wewe yule mama roho mbaya na chuki na tamaa tena jambazi kabisa

  • @vickilenad1406
    @vickilenad1406 3 роки тому

    Daaaah ivi uyu mama anaakili kweli kaamuw kutpeli sawa ndokashjijengea Sasa kesi za nn nayeye fadina nimlemavu Ila anayoyafnya kwaajli ya kulishwa mungu atamlipa

  • @raziaamisi2048
    @raziaamisi2048 3 роки тому +4

    Poleni Sana kaka

  • @veronicamsuya1733
    @veronicamsuya1733 3 роки тому

    Pole Kala mungu yupo pamoja naww mana ambacho unakifanya kinahtaji kipaji maalum mungu atakufanyia wepesii

  • @judithmwambe4767
    @judithmwambe4767 3 роки тому +4

    Naomba kaka Zahir tuwekee namba ya huyo mama. Haki ya Mungu huyo mama Mungu atamlipa muda si mrefu na hii sms yangu iwe kisibitisho na asijesema uchawi.....

    • @leilahamadi3040
      @leilahamadi3040 3 роки тому +1

      Yaan ht uchawi niwqkufanyia huyu laana tullah

    • @baiyahcassim1274
      @baiyahcassim1274 3 роки тому +1

      Nitamchamba adi azimie mwizi wa fazila uyo

  • @emmymtambo2874
    @emmymtambo2874 3 роки тому

    Mungu awatangulie kwa kila jambo,poleni sana,wivu na roho mbaya inayomsumbua huyo mama,amenichefua sana

  • @maryamjuma1087
    @maryamjuma1087 3 роки тому +4

    Masikin pole hawa

  • @juniorlaban2078
    @juniorlaban2078 3 роки тому

    Looooo Fadina Fadina u can't do this remember this brother is your God sent I saw your story from the beginning and if u have been missled my sister repent karma inakungonja .My brother is so touching but trust in God he's going to fight for your right late God be your advocate help the needy mafisi waaachie maulana.from Ethiopia following