Hii haikuwa ibada ni kumsema magembe tu.nimefuatilia maelezo ya magembe na ya askof mhiche.nimegundua magembe hakuwa na lawama lkn mhiche ni lawma tu.nakwambia wengi watamfuata magembe.
@@joshuajohn8533kwani kipindi Kulola na watu wake wanatoka TAG Magembe hakuwepo? Kwa nini Magembe hakuondoka? kama sio alitofatiana kifikra na Kulola kwa kuona Kulola anakosea ni Nyakati na Unabii hizi kitu
😮😮yaan Majumba sita Leo Leo wameanza nakuvaa wigi na rasta, siamini macho yangu,?? kumbe magembe kaondoka ,?Sasa MAJUMBA ni uhuru na kujiachia kwa kwenda mbele ila yetu macho 😢😢
Wakristo watajua ukweli muda si mrefu, haya mambo yapo duniani kote, naona ukristo ukifutwa na dini ni mbili tuu Noahide na Judaism, hizi zimeshakufa baada ya kuwa na tamaa, madaraka na pesa,
Watakwama kwa sababu TAG na uongozi mpya wamejikita kumshambulia mch. Maghembe na watafanya kazi ya Mungu ki ushindani ili waonekane ni bora zaidi kuliko mch. Maghembe.
Levo ya Magembe niyakumtii anayosema mngepona.Baba zenu walipija kumchagua Mathia kuwa mmoja wa wale 11!.Yesu kristo anamchagua Paulo wa Taso kuwa Mtume kati ya 11.chaguz zenu zimekataa saut ya Mungu!.Yesu anarudi!,atawaziba vinywa vyenu;.Mm siwahukum,nijapo hukum,hukum yangu ina Haki,maana ina Kristo ndaniyake.Nuhu alihubr 120 mpaka alipo anekana kichaa ndipo Ghalika ilipo wadia.Askof kwenu na Mungu afati kila taratibu Mwanadam anayojiwekea.ila anaeweza.Nyinyi TAG mshahac Iman tangu 1980.mmebaki makopo na Neema ya Mungu inawalinda WASHILIKA ambao nyinyi mnawafanya Mashine ya Michango mipya kila Jpili mkilinajis Neno Changizo.wanyang'anyi wakubwa mnatesa kondoo na umasikin
Mungu amtie nguvu Mtumishi wake Moses Magembe.
Hamna mungu humo nyinyi wapigaji TU
Mungu akubariki mchungaji Kwa kiwafariji na kuwapa matumaini upya hawa watu wa Mungu wathamani..
Baba angu wa ki roho , namtukuza sana MUNGU kuwa na baba mzuri sana wa Kunijenga ki roho Sifa na Utukufu Zimrudilie BWANA YESU
Upendo wako unatujenga siku zote tunazidi kumpenda YESU na kubadilika tabia zetu kupitia neno la mungu la kweli mi namushukuru mungu kwa kumpata baba
Hii haikuwa ibada ni kumsema magembe tu.nimefuatilia maelezo ya magembe na ya askof mhiche.nimegundua magembe hakuwa na lawama lkn mhiche ni lawma tu.nakwambia wengi watamfuata magembe.
Great Pastor Kanemba,majumba sita mmepata Pastor mwenye maono makubwa,mtapata baraka sana kupitia yeye
Mahubiri baada ya kumchachafya Mchungaji maghembe kisha kuondoka. 😂😂
Mungu simama na mtumishi wako pamoja na kanisa lako
TAG Majumba Sita tembeeni na kweli mliyoisikia kwa mzee Magembe kama mnataka kwenda mbinguni..
Mr Dickson ahsante sana kwa hoja yako yenye logic.
Hao ni chadema tu😢😢Hela.😢😢
Ingependeza zaidi kama ungenyamaza Kisha Mungu akutamburishe na SI kujitambulisha wewe, ni mapema mno kamanda
Mchungaji ndugu yangu funga na kuomba Mungu akupe jumbe za wakati nanyi waumini Muombeeni mchungaji sn Roho wa Mungu atuongoze
pastor kanemba alinibatiza from TAG magomeni
Mch Sasali alipoondoka TAG Magomeni alipelekwa huyu Kanemba, na leo Magembe kaondoka kapelekwa tena huyu huyu .....??
Sasa malasta na mawigi na visuluali vina chukua nafasi paka akiondoka panya hutaeala
Watu tupo TAG na tumeokoka vizuri tu mengine ni mitazamo tu
WOW
Mambo ya rohoni yanahitaji utulivu sana tusiangalie na kuhukumu kwa haraka nani kakosea na nani hajakosea
Pastor yupo vizuri sana. kanisani ni sehemu ya wapata utuvilivu na faraja. sio sehemu ya kufoka
Mgembo aliifunua kweli. Tag injili ya uzima wa milele hawaitaki iliishaga Tokea Moses Kulola aondoke magembe alianza kufufu uamsho
NASIKIA TAG WALIMTESA SANA KULOLA WAKATI ANASALI KWAO WALIKUWA WANATAKA ASIONEKANE YEYE ANAWEZA KIHUBIRI
@@joshuajohn8533kwani kipindi Kulola na watu wake wanatoka TAG Magembe hakuwepo? Kwa nini Magembe hakuondoka? kama sio alitofatiana kifikra na Kulola kwa kuona Kulola anakosea ni Nyakati na Unabii hizi kitu
Utulivu wa hata ukienda dhambi usiambiwe? Utulivu wa kutosema Yesu anarudi?😂😂
😮😮yaan Majumba sita Leo Leo wameanza nakuvaa wigi na rasta, siamini macho yangu,?? kumbe magembe kaondoka ,?Sasa MAJUMBA ni uhuru na kujiachia kwa kwenda mbele ila yetu macho 😢😢
rasta ni dhambi? wigi ni dhambi? so sad😢
Manywele ya watu kuvaa
@@macaveliMula 😂😂😂wanatheolojia bhna
Mtu uvae nywele za Marehemu?
Kwani walikuwa awavai
Mungu asiyaache machozi haya😢
Taifa lote limeelekeza macho majumbasita. Kuna kitu cha kujifunza🤔
📌📌📌📌📌📌📌📌📌
Majumba vita ni nini?
Wakristo watajua ukweli muda si mrefu, haya mambo yapo duniani kote, naona ukristo ukifutwa na dini ni mbili tuu Noahide na Judaism, hizi zimeshakufa baada ya kuwa na tamaa, madaraka na pesa,
Ubalikiwe sana pastor wewe ni jembe viongozi hawajakosea kukupereka hapo
TAG nidhehebu la wapigaji
Hawezi kuvaa viatu vya Magembe hata kidogo