Nimejenga Hotel Kubwa na WaPoland/ Zanzibar z Deo/ Tour guide from Zanzibar Tanzania

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 23 січ 2025

КОМЕНТАРІ • 14

  • @hamisdume
    @hamisdume Місяць тому +1

    heee sawa baba

  • @MuhammedAliOmar-c9u
    @MuhammedAliOmar-c9u Місяць тому +4

    Wazanzibari hawawezi kufaidi uchumi wao kama wanavyofaidi watu wa SEYCHELLES au MAURITIUS .kama si huu uvamizi inayoitwa Muungano basi Wazanzibari wamekuwa na maisha mazuri sana.. ukisema utaambiwa ubaguzi.

    • @hamidkasim-gz9sm
      @hamidkasim-gz9sm Місяць тому

      Sio ubaguzi ni uroho na sisi wazanzibari hatuwexi kazi

    • @MuhammedAliOmar-c9u
      @MuhammedAliOmar-c9u Місяць тому

      @hamidkasim-gz9sm muongo hayo yote unayoyaona tulianzisha wenyewe wazanzibari kilichotokea ni kupigwa vita chini kwa chini na kufukuzwa na kubaguliwa ndani ya visiwa vyetu na kupenyezwa watu sisi tukale pembeni.

    • @zanzibarboyzanzibar509
      @zanzibarboyzanzibar509 Місяць тому

      Huyu Kaja Zanzibar Mwaka 2009 alikua anauza Vinyago Mji Mkongwe, badae akajifundisha English Saivi kawa Mlevi wa Gongo

    • @RonnieBertin
      @RonnieBertin Місяць тому

      Idadi ya Zanzibar na Seychelles ni tofauti usifananishe Zanzibar na Seychelles Seychelles idadi 90000 watu

    • @MuhammedAliOmar-c9u
      @MuhammedAliOmar-c9u Місяць тому

      @@RonnieBertin idadi ya zanzibar imekuwa kubwa kwa sababu zanzibar haina uhamiaji wala mamlaka yake milango uko wazi watu wanajiingilia tu kila siku kukicha . SEYCHELLES ins mamlaka yake huwezi kuingia kiholela

  • @meddyzanzibar
    @meddyzanzibar Місяць тому +2

    Naomba muweke full video jamani au muendelezo wake

    • @safaripodcast2024
      @safaripodcast2024  Місяць тому

      Muendelezo unatoka kesho jumapili asubui kila episode mpya inatoka jumatano na jumapili #safaripodcast

  • @abeidmohamed2100
    @abeidmohamed2100 Місяць тому

    Wa poland weng wana asili ya israel ,

  • @Chw_Kdmn83
    @Chw_Kdmn83 Місяць тому

    Hilo suala la utumwa hujui historia sijui uliwadanganyaje watalii?
    Juzi tulikua na pasta wa kingereza kanisani mkunazini alichokisema mbele ya raisi mwinyi ni kuomba radhi kuhusu biashara ya utumwa iliofanywa n waingereza kupitia kanisa la mkunazini.....

    • @machintangachibwena5922
      @machintangachibwena5922 Місяць тому +1

      Hawajau Kitu hao wanadanganya tuu kuwa waarabu ndio walio kuwa wakifanya biashara ya utumwa wakati ukienda hizo sehemu za utaliii picha zote Original zinaonyesha waingereza ndio walio fanya biashara ya utumwa na wala sio warabu ma tourguide wengi waongo tuuu hawajui hata Historia

    • @RonnieBertin
      @RonnieBertin Місяць тому

      @@machintangachibwena5922 muingeleza alikuwa anakamata boti za watumwa akisimamisha boti anawatoa watumwa. Kwenye boti na kuwaweka kwenye visiwa jirani mfano kama Seychelles Mauritius na visiwa vingine Kwa meli za watumwa katika ukanda wa Africa mashariki soko la watumwa lilikuwa Zanzibar muarabu ndio anausika kwenye biashara ya utumwa walikuwa wanawatoa watu kila sehemu congo Rwanda Burundi walikuwa wanatembea Kwa miguu mpaka bwagamoyo Sasa ndio bagamoyo