Hii ni ya leo leo maeneo ya Mpendae Zanzibar November 2024

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 2 лют 2025

КОМЕНТАРІ • 23

  • @alihassan3648
    @alihassan3648 Місяць тому +2

    Mbona kama msumbiji😅😅😅😅

  • @SalumSafkim
    @SalumSafkim 2 місяці тому +1

    Asnt sna mama samia

  • @RahmaIddi-s2s
    @RahmaIddi-s2s Місяць тому

    Hizo bara bara hizo siku 2,3 znabomoka miundo mbinu mibovu watu pesa wanachakachua...ikisha wanazibaziba juu khalasiiiii......utapeli na udanganyifu mwinyi pesa wanazila wahisika Mungu atawauliza

  • @MuhammedAliOmar-c9u
    @MuhammedAliOmar-c9u 2 місяці тому +2

    Tunashukuru kwa haya haijambo kidogo. Ila Mamlaka kamili ya Zanzibar yetu ndivyo unachokitaka ili basi tujivunie nchi yetu na utambulisho wetu kama nchi nyengine yeyote duniani. Heshima ya nchi yetu ya Zanzibar na watu wake. Wazanzibari tunadharauliwa nkusimangwa na kutawaliwa na kunyimwa haki zetu na nchi yetu . Tuachiwe tupumue.

  • @ramadhansururujuma2394
    @ramadhansururujuma2394 2 місяці тому +1

    Hi itakuwa SIKU ya IJUMAA maduka mengi huwa yanafungwa huku Zenji

  • @zuhuramuhanga5400
    @zuhuramuhanga5400 Місяць тому +1

    katuonyeshe barabara inayo jengwa yajuu nachini kule kwerekwe na amani daraja bovu

    • @discoverzanzibar
      @discoverzanzibar  Місяць тому

      Bado hazijaanza kuonekana vizuri zimezibwa na mabati

  • @mahadhihamad308
    @mahadhihamad308 2 місяці тому +2

    Nzuri sana ila vizuri andika mda na maeneo unayopita au mitaa

  • @AminaAbdallah-lu2tm
    @AminaAbdallah-lu2tm 2 місяці тому +2

    Zanzibar iyo naona kama singapor

  • @3aliq
    @3aliq 2 місяці тому +1

    Mitano tena kwa Raisi wetu Dr Hussein Mwinyi ..Miki yetu iimarike na kuvutia ishaAlllah

    • @discoverzanzibar
      @discoverzanzibar  2 місяці тому

      Ameen

    • @JCMaxima
      @JCMaxima Місяць тому

      Greening... Greening... Greening ... Please! ☘️🍀🌱🌿🌲🌳🌴🌵🌻🌹💐🌺🏵️🌸🪷🌷🌺🍁🌵🍀🍀☘️🍃🌴🍀☘️ Itapendeza zaidi!

  • @MshamAli-o4e
    @MshamAli-o4e 2 місяці тому +1

    Hizi ni huduma za jamii😅😅 si maendeleo

  • @section8ight174
    @section8ight174 2 місяці тому +1

    PANDENI MITI ZAIDI NA MUWEKE VYUMA VITENGANISHI BRBR, ALAMA ZA CHINI NA MABANGO ELEZI!!!!

  • @KhadijaHussein-qn2ge
    @KhadijaHussein-qn2ge 2 місяці тому

    Ndo nn sasa