The Safari Podcast
The Safari Podcast
  • 569
  • 181 627

Відео

NILIONA ONLINE INVESTMENT NI NZURI NILTAPELIWA DOLLAR $800
Переглядів 27512 годин тому
Safari Tour Guide and Also Museum Resident Guide Pendaeli from Oldvai Gorge is here to teach us about our ancestors from hundreds of thousands of years ago. #safaripodcasttz #museum #oldvaigorge #residentguide #tours #safari #safaripodcast #tanzaniatourism #africansafari #serengetimigration #tanzaniatiktok #kenyantiktok #travel
"WADANGANYE HAWAO ALAFU TUONDOKE" CHANGAMOTO ZA KUA MUSEUM GUIDE BY PENDAELI
Переглядів 56821 годину тому
Safari Tour Guide and Also Museum Resident Guide Pendaeli from Oldvai Gorge is here to teach us about our ancestors from hundreds of thousands of years ago. #safaripodcasttz #museum #oldvaigorge #residentguide #tours #safari #safaripodcast #tanzaniatourism #africansafari #serengetimigration #tanzaniatiktok #kenyantiktok #travel Chuo kinaitwa Professional Tour Guide kipo Arusha Sanawari. Unaweza...
Part 2 Wageni Wasumbufu with Karim from Endless Tanzania Safari
Переглядів 900День тому
Part 2 Wageni Wasumbufu with Karim from Endless Tanzania Safari
WAGENI WASUMBUFU WA KICHINA PART.1
Переглядів 2,1 тис.14 днів тому
Karim Abdullah is a young Tour Operator with having done over 30 safaris to Tanzania National Parks with Clients from Poland Belgium China and America. In this Part one of our Interview he speaks about the challenges he faced while working with Chinesse Clients and how he turned them in allies and now Safari Agents #safaripodcast #serengetimigration #thesafaripodcast #safari #chinese #tours #ch...
Part 3. MI NINGEPAJUA KWA IZOBA MIAKA 17 ILIYOPITA NINGEKUA MBALI SANA
Переглядів 52514 днів тому
WAJE KWA IZOBA HAPA MI NINGEPAJUA KWA IZOBA MIAKA 17 ILIYOPITA NINGEKUA MBALI SANA NA NIMEENDA MPAKA MWEKA NI SEMA SCIENTIFIC NAME ZIKA NIKANIPOTEZA TOUR GUIDE KUTOKA ZANZIBAR DEO KUTOKA ZANZIBARS DEO AMEONGELEA MARA YA KWANZA KUJA CHUONI PRPFESSIONAL TOUR GUIDE SCHOOL AKA KWA IZOBA #safaripodcasttz #protscollege #protsdna #safaripodcast #tanzaniaunforgetable #serengeti #mweka #kwaizoba #kwaizo...
UKIPEWA DOLLAR LAKI MOJA NI SAWA NA MILLION 280
Переглядів 89921 день тому
UTALII UNAWEZA PATA HELA YA GHAFLA UBAGUZI WA WAICHANA MLIMANI PART 2 WITH GLORY SELEMA #safaripodcast #africansafari #thesafaripodcast #safari #tanzaniaunforgetable #protsdna #safaripodcasttz #serengetimigration #tanzaniatiktok #huntingsafari
USITAFUTE MZUNGU TAFUTA MAISHA PART 2 YA STORY ZA SIMON SIRIKWA VERY FUNNY AND FULL OF KNOWLEDGE
Переглядів 83021 день тому
USITAFUTE MZUNGU TAFUTA MAISHA PART 2 YA STORY ZA SIMON SIRIKWA VERY FUNNY AND FULL OF KNOWLEDGE #safaripodcast #serengetimigration #safari #thesafaripodcast #africansafari #africa #protsdna #tanzaniaunforgetable #huntingsafari #safaripodcasttz
JE UNAJUA SABABU TANZANIA INAPENDWA KULIKO NCHI ZINGINE. UTALII NA KULINDA MAZINGIRA
Переглядів 77728 днів тому
JE UNAJUA SABABU TANZANIA INAPENDWA KULIKO NCHI ZINGINE. UTALII NA KULINDA MAZINGIRA
Part 2.WAGENI WA KIZUNGU NI KAMA WATOTO TOUR GUIDE ANABIDI AWE MAKINI SANA
Переглядів 680Місяць тому
Part 2.WAGENI WA KIZUNGU NI KAMA WATOTO TOUR GUIDE ANABIDI AWE MAKINI SANA
Nimejenga Hotel Kubwa na WaPoland/ Zanzibar z Deo/ Tour guide from Zanzibar Tanzania
Переглядів 3,6 тис.Місяць тому
Nimejenga Hotel Kubwa na WaPoland/ Zanzibar z Deo/ Tour guide from Zanzibar Tanzania
MGENI ANAMPIGA MKE MBELE YA BABA AKE TOFAUTI YA TAMADUNI ZA KIRUSSIA NA EUROPE AU MAREKANI
Переглядів 609Місяць тому
MGENI ANAMPIGA MKE MBELE YA BABA AKE TOFAUTI YA TAMADUNI ZA KIRUSSIA NA EUROPE AU MAREKANI
TULIONA CHUI AKIWINDA NAKUPANDISHA JUU YA MTI
Переглядів 947Місяць тому
TULIONA CHUI AKIWINDA NAKUPANDISHA JUU YA MTI
CHAKULA KILINIPONZA NIKAHARIBU KAZI MILLION 40 NA ENGLISH PROBLEM
Переглядів 1,7 тис.Місяць тому
CHAKULA KILINIPONZA NIKAHARIBU KAZI MILLION 40 NA ENGLISH PROBLEM
MECHANICAL ENGINEER KAWA TOUR GUIDE
Переглядів 630Місяць тому
MECHANICAL ENGINEER KAWA TOUR GUIDE
Je unajua National Geographic wanafanyaje kazi?
Переглядів 3,4 тис.Місяць тому
Je unajua National Geographic wanafanyaje kazi?
TAXI DRIVER TO TOUR GUIDE WORKING WITH ASILIA CAMPS & LODGES
Переглядів 3 тис.Місяць тому
TAXI DRIVER TO TOUR GUIDE WORKING WITH ASILIA CAMPS & LODGES
CHANGAMOTO ZA KAZI YA TOUR GUIDING
Переглядів 1,1 тис.2 місяці тому
CHANGAMOTO ZA KAZI YA TOUR GUIDING
Million 30 per week just tip . Biggest Tour Safari Companies in Tanzania
Переглядів 9312 місяці тому
Million 30 per week just tip . Biggest Tour Safari Companies in Tanzania
PART 2: SIMBA NJEE YA HEMA LANGU NA NYOKA MKUBWA
Переглядів 1,1 тис.2 місяці тому
PART 2: SIMBA NJEE YA HEMA LANGU NA NYOKA MKUBWA
NAKULIPA MARA MBILI YA UNACHOLIPWA
Переглядів 2,4 тис.2 місяці тому
NAKULIPA MARA MBILI YA UNACHOLIPWA
NJIA ZA KUMUWINDA SIMBA NDANI YA SIKU 21
Переглядів 1,9 тис.2 місяці тому
NJIA ZA KUMUWINDA SIMBA NDANI YA SIKU 21
HOW I GOT MY JOB AT THE UN
Переглядів 3592 місяці тому
HOW I GOT MY JOB AT THE UN
NIMEISHI EAST AFRICA NZIMA CONGO KENYA RWANDA BURUNDI
Переглядів 5382 місяці тому
NIMEISHI EAST AFRICA NZIMA CONGO KENYA RWANDA BURUNDI
NANI MKALI KWENYE UTALII ?
Переглядів 5443 місяці тому
NANI MKALI KWENYE UTALII ?
CAPTAIN MAPUNDA MT. KILIMANJARO IKO KENYA AU TANZANIA STORY ZA UTALII NA MZEE KASHASHA
Переглядів 5883 місяці тому
CAPTAIN MAPUNDA MT. KILIMANJARO IKO KENYA AU TANZANIA STORY ZA UTALII NA MZEE KASHASHA
MAFANIKIO YANGU NIKIWA SERENGETI
Переглядів 1,5 тис.3 місяці тому
MAFANIKIO YANGU NIKIWA SERENGETI
World Traveler and Philaphropist Madam Angel Izoba Mollel. Episode 10 Hosted by Zulfa
Переглядів 7683 місяці тому
World Traveler and Philaphropist Madam Angel Izoba Mollel. Episode 10 Hosted by Zulfa
HOW TO START A TOURISM COMPANY
Переглядів 5904 місяці тому
HOW TO START A TOURISM COMPANY
Owned by Woman ran by women. Serengeti Queens Camp
Переглядів 5 тис.4 місяці тому
Owned by Woman ran by women. Serengeti Queens Camp

КОМЕНТАРІ

  • @remembermmasy6482
    @remembermmasy6482 Годину тому

    Very proud of this man he's such an amazing tour guide👏👏

  • @cynthiaowino
    @cynthiaowino 23 години тому

    We are always happy to have him as our guide whenever we are in town He really knows and understands his work.He is also welcoming Proud to meet you Francis.Keep up the good work,😍😍🥰

  • @mwajabuhamisi4598
    @mwajabuhamisi4598 День тому

    I know him he is good guide , big up broh!

  • @OscarKimaro-p3z
    @OscarKimaro-p3z 2 дні тому

    Available any time noma san

  • @pastor_jac_elias
    @pastor_jac_elias 3 дні тому

    Be blessed brother. I learned a lot from you

  • @richardxwilly5945
    @richardxwilly5945 4 дні тому

    Uyu jamaa History na physical Geography ni mbaya sana tangu kitambo

  • @Kijaji.h
    @Kijaji.h 4 дні тому

    Yupo vizuri huyu brother nishawai kukutama nae Olduvai wakati wa field studies big up brother🎉

  • @bigboys016
    @bigboys016 5 днів тому

    Forex is not for investment,

  • @Abeidjuma1241
    @Abeidjuma1241 5 днів тому

    Mtag huyo jamaa mkuu

  • @samwelimiagie
    @samwelimiagie 5 днів тому

    Bro is on 🔥🔥 keep it up

  • @masoudmasoud8138
    @masoudmasoud8138 6 днів тому

    Sasa icho kizungu wapi na wapi na tz

  • @Young_fighters_store
    @Young_fighters_store 6 днів тому

    From the bottom to the top 💯💯💥

  • @jeremiaaugustino7187
    @jeremiaaugustino7187 8 днів тому

    sweet stories

  • @jeremiaaugustino7187
    @jeremiaaugustino7187 8 днів тому

    Akili kubwa sana

  • @johndotto-g8e
    @johndotto-g8e 8 днів тому

    Congrats bro

  • @JoshuaNkya21
    @JoshuaNkya21 8 днів тому

    Kazi nzuri.

  • @SwahiliMafu
    @SwahiliMafu 9 днів тому

    Anaongea kiswahili gani uyu😅😅

  • @ImuKidege
    @ImuKidege 9 днів тому

    Kiswahil bro tupat kuzid kujifunza sio wt wanao elew kingerez waon fatilia

  • @dvjmiloow
    @dvjmiloow 9 днів тому

    Jamaa yuko vizuri ila pia ingejaribu kutumia na kiswahili kwa wastani mkubwa.

  • @bazzohtv9488
    @bazzohtv9488 9 днів тому

    Brother if possible fanya interview na tour guide anae Toka southern circuit tupate na experience ya ruaha,mikumi, Nyerere and kitulo national parks

    • @safaripodcast2024
      @safaripodcast2024 9 днів тому

      @@bazzohtv9488 Sawa Kabisa Tutawatafuta

    • @kelvinmwenda8029
      @kelvinmwenda8029 9 днів тому

      @@safaripodcast2024 TUPO

    • @twotimes503
      @twotimes503 6 днів тому

      ​@@safaripodcast2024 Nitafute kaka nikuunganishe na mmoja ni professional Guide wa miaka mingi ana story nzuri sana.....

  • @lostmusic3103
    @lostmusic3103 10 днів тому

    Bro Dani Big Up sana Respect Sanawari Long time 😎👏🏾

  • @lostmusic3103
    @lostmusic3103 10 днів тому

    Noma sana 😂😂

  • @kazikazini1042
    @kazikazini1042 14 днів тому

    Kivuko

  • @kingkendrickk
    @kingkendrickk 15 днів тому

    Tumia Google translate

  • @Theconnect_05
    @Theconnect_05 15 днів тому

    Isebania, Sirari, Tarime❤

  • @SaddZakry
    @SaddZakry 16 днів тому

    Mbona podcast zenu fupi fupi jaman

    • @mremamanywele9536
      @mremamanywele9536 15 днів тому

      aisee cjajua kwanini Ama ni EP?? 😂😂😂😂

    • @benniemcnhungo3124
      @benniemcnhungo3124 13 днів тому

      Naongeza msisitizo, Kwenye main channel hupati fulle ep au hata vipande vyenye series

  • @Kijaji.h
    @Kijaji.h 16 днів тому

    Nice , Karim unatufunza mengi

  • @safaripodcast2024
    @safaripodcast2024 16 днів тому

    Karim Abdullah is a young Tour Operator with having done over 30 safaris to Tanzania National Parks with Clients from Poland Belgium China and America. In this Part one of our Interview he speaks about the challenges he faced while working with Chinesse Clients and how he turned them in allies and now Safari Agents #safaripodcast #serengetimigration #thesafaripodcast #safari #chinese #tours #chineseclients #safaripodcasttz #tanzaniaunforgetable #africansafari #tanzaniatiktok #huntingsafari #china

  • @bigboys016
    @bigboys016 16 днів тому

    Kunamafundisho mengi ssna kwa hizi interview,ila interview ni fupi sana

  • @Sezar7iBryson
    @Sezar7iBryson 16 днів тому

    Resilient young Hustler Man alive - Karim Juma 🙌🏾🔥🔥.. vijana tuiishi nae vizuri Kuna mengi ya kujifunza kutoka kwake...

  • @twotimes503
    @twotimes503 16 днів тому

    Nice,Najifunza mengi

  • @Ndu-wa.uroony2
    @Ndu-wa.uroony2 19 днів тому

    Naomba mawasiliano ya huyo dada nina dada mwenye shauku ya kua tour guide

  • @ezrajimmy4097
    @ezrajimmy4097 19 днів тому

    Nice content Safaripodcast team

  • @yoelmrisho
    @yoelmrisho 26 днів тому

    Interview Safi sana sauti tu ndo tatizo

  • @honestkiwia2264
    @honestkiwia2264 26 днів тому

    Interview Safi Sana niponje ya industry ya utalii kwa muda napiga issue nyingne ili niingie class Ila inatarudi uyu jamaa kanipa motisha sana

  • @afrotv3982
    @afrotv3982 26 днів тому

    😂😂

  • @BarakaMamasita-zs8vf
    @BarakaMamasita-zs8vf 26 днів тому

    🎉

  • @stefanofidelix1393
    @stefanofidelix1393 29 днів тому

    Best podcast ever!! I see it in safari channel! Bro little bit advice improving edit only. Superbe keep goin 💪

  • @bigboys016
    @bigboys016 Місяць тому

    One of the best posdcast in east africa kwakweli,kuna kitu nakiona kwako mkuu maboresho,podcast itoke nje uwe ynafika mpaka site huko mbugani tupate na uoande wapili kutoka kwa watalii wakiwa huko

  • @JosephMlay-n5w
    @JosephMlay-n5w Місяць тому

    Sea urchins

  • @DennisMoshi
    @DennisMoshi Місяць тому

    😢🤔

  • @safaripodcastclips
    @safaripodcastclips Місяць тому

    Zanzibar Tour Guide Deo talks about clients fighting until he had to intervine WAGENI WANAGOMBANA ADI WAKATAKA KUSHUKA KWENYE GARI #tourism #safaripodcast #zanzibar #safaripodcasttz #safari #tanzaniaunforgettable #tanzaniatiktok #kenyantiktok

  • @Abeidjuma1241
    @Abeidjuma1241 Місяць тому

    Mtag huyo jamaa mkuu

  • @abeidmohamed2100
    @abeidmohamed2100 Місяць тому

    Wa poland weng wana asili ya israel ,

  • @Chw_Kdmn83
    @Chw_Kdmn83 Місяць тому

    Hilo suala la utumwa hujui historia sijui uliwadanganyaje watalii? Juzi tulikua na pasta wa kingereza kanisani mkunazini alichokisema mbele ya raisi mwinyi ni kuomba radhi kuhusu biashara ya utumwa iliofanywa n waingereza kupitia kanisa la mkunazini.....

    • @machintangachibwena5922
      @machintangachibwena5922 Місяць тому

      Hawajau Kitu hao wanadanganya tuu kuwa waarabu ndio walio kuwa wakifanya biashara ya utumwa wakati ukienda hizo sehemu za utaliii picha zote Original zinaonyesha waingereza ndio walio fanya biashara ya utumwa na wala sio warabu ma tourguide wengi waongo tuuu hawajui hata Historia

    • @RonnieBertin
      @RonnieBertin Місяць тому

      @@machintangachibwena5922 muingeleza alikuwa anakamata boti za watumwa akisimamisha boti anawatoa watumwa. Kwenye boti na kuwaweka kwenye visiwa jirani mfano kama Seychelles Mauritius na visiwa vingine Kwa meli za watumwa katika ukanda wa Africa mashariki soko la watumwa lilikuwa Zanzibar muarabu ndio anausika kwenye biashara ya utumwa walikuwa wanawatoa watu kila sehemu congo Rwanda Burundi walikuwa wanatembea Kwa miguu mpaka bwagamoyo Sasa ndio bagamoyo

  • @hamisdume
    @hamisdume Місяць тому

    heee sawa baba

  • @MuhammedAliOmar-c9u
    @MuhammedAliOmar-c9u Місяць тому

    Wazanzibari hawawezi kufaidi uchumi wao kama wanavyofaidi watu wa SEYCHELLES au MAURITIUS .kama si huu uvamizi inayoitwa Muungano basi Wazanzibari wamekuwa na maisha mazuri sana.. ukisema utaambiwa ubaguzi.

    • @hamidkasim-gz9sm
      @hamidkasim-gz9sm Місяць тому

      Sio ubaguzi ni uroho na sisi wazanzibari hatuwexi kazi

    • @MuhammedAliOmar-c9u
      @MuhammedAliOmar-c9u Місяць тому

      @hamidkasim-gz9sm muongo hayo yote unayoyaona tulianzisha wenyewe wazanzibari kilichotokea ni kupigwa vita chini kwa chini na kufukuzwa na kubaguliwa ndani ya visiwa vyetu na kupenyezwa watu sisi tukale pembeni.

    • @zanzibarboyzanzibar509
      @zanzibarboyzanzibar509 Місяць тому

      Huyu Kaja Zanzibar Mwaka 2009 alikua anauza Vinyago Mji Mkongwe, badae akajifundisha English Saivi kawa Mlevi wa Gongo

    • @RonnieBertin
      @RonnieBertin Місяць тому

      Idadi ya Zanzibar na Seychelles ni tofauti usifananishe Zanzibar na Seychelles Seychelles idadi 90000 watu

    • @MuhammedAliOmar-c9u
      @MuhammedAliOmar-c9u Місяць тому

      @@RonnieBertin idadi ya zanzibar imekuwa kubwa kwa sababu zanzibar haina uhamiaji wala mamlaka yake milango uko wazi watu wanajiingilia tu kila siku kukicha . SEYCHELLES ins mamlaka yake huwezi kuingia kiholela

  • @meddyzanzibar
    @meddyzanzibar Місяць тому

    Naomba muweke full video jamani au muendelezo wake

    • @safaripodcast2024
      @safaripodcast2024 Місяць тому

      Muendelezo unatoka kesho jumapili asubui kila episode mpya inatoka jumatano na jumapili #safaripodcast

  • @Abeidjuma1241
    @Abeidjuma1241 Місяць тому

    Nimetamani kufanya kazi na huyu jamaa ase kama naweza pata mawasiliano yake ase kaniinspire sana❤

  • @HassanMisanya-t6x
    @HassanMisanya-t6x Місяць тому

    Podcast nzuri ili jitahidini mtoe hio background sound tusikilize madini hayo👏