Kisa cha Mwalimu Nyerere Kulishwa Sumu - Mohammed Said

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 29 лис 2024

КОМЕНТАРІ • 24

  • @aliyissa9857
    @aliyissa9857 13 днів тому

    Ndugu yangu Muhammad Said tunakushukuru sana kwa juhudi unayoichukua kufichua ukweli

  • @djumakonki1964
    @djumakonki1964 2 місяці тому +2

    Aksante Shekhe Mohammed Said kwa historia hii Adhim.

  • @Mapenzi2635
    @Mapenzi2635 2 місяці тому

    Hii ndiyo maana Tanzania ni tofauti kabisa na Nchi nyingine za Afrika. Asante sana Ndugu Mohammed kuhuisha undugu wa Watanzania.

  • @mathewmshiu1424
    @mathewmshiu1424 2 місяці тому +7

    Wa kwanza leo naombeni like 5 tu

    • @sonnyr1899
      @sonnyr1899 2 місяці тому +2

      Vijana wa kuomba omba like kuliko kuomba kazi mnakera

  • @MpwataOmari
    @MpwataOmari 2 місяці тому +2

    Tumechoshwa nasiasazenu nyerere ndo muuajimkuu ongeeniukweli tumechoshwa na ngonjerazenu

  • @safiaothman5175
    @safiaothman5175 2 місяці тому

    Inna Lillahi Wainna Ilayhi Raji'un.
    Mwenyezi Mungu Subhaanahu Wata'ala ampe kauli thabiit na amrahamu na kumweka mahali pema Peponi, Aamiin Yaa Rabbal 'Alaamiin

  • @peterjanuary7972
    @peterjanuary7972 2 місяці тому +3

    Nawaza kwanini hawasemi ukweliiiii!?

  • @SalvatoryMtunga
    @SalvatoryMtunga 15 днів тому

    Hivi huyo huwa simwelewi, mbona anapandikiza chuki kali sana. Udini unasaidia nini?.

  • @Atmospherec3
    @Atmospherec3 2 місяці тому +1

    Haya tuandae kitabu kikubwa zaidi ya biblia ili tuwaandike wote walioshiriki mpaka wapishi waliopika chakula, walinzi,majirani wamiliki wa kumbi za mikutano kila kitu na kila mtu pamoja na wake zao na wototo wao ili wenye chuki za ndugu zao kutokuandikwa wasuuzike miyoyoni mwao na waache kujenga chuki miyoyoni mwao tujenge nchi.

    • @hemedbamja3197
      @hemedbamja3197 2 місяці тому

      Unaweza usimwandike mpishi wa TAA,ila walau muandike mwenyekiti wake aliyemtangulia Nyerere.Tatizo ni pale utakapomsifia Samia kukamilisha SGR halafu hutaki kabisaa magufuli atajwe kwa kuanzisha ujenzi wake

  • @111dudi
    @111dudi 2 місяці тому

    Kazi ya "Asante mama Maria,kutupatia Uhuru"

  • @fidelfidel-jz4iw
    @fidelfidel-jz4iw 2 місяці тому

    Kwanini hawasemi ukweli kimywaaaaaa

  • @Nedjadist
    @Nedjadist 2 місяці тому

    Kumbe walianza zamani, sumu thing?

  • @TitusBangu
    @TitusBangu 2 місяці тому

    Mwamba ms

  • @QasammaMachibya
    @QasammaMachibya 2 місяці тому +1

    tunakuombasana,mohamedi andikeni kitabu,chakuwatetea wazee wetu bira kupepesa . wamefanyiwa ubaguzisana nakuinuliwa mtu wakuitwa fezehasanahiyojaman

  • @samsonhamery3809
    @samsonhamery3809 2 місяці тому

    Ninyi fufueni makaburi ya chuki za,udini mtachuma mnachopanda:sijui kusudi lenu hasa Nini? Sasa umepelekea watu kuanza kumtukana baba wa Taifa: Acha uongo syakis ametajwa sana katika kitabu kiitwacho "Historia ya TANU"

    • @allythabiti8150
      @allythabiti8150 Місяць тому

      Ukweli huo

    • @samsonhamery3809
      @samsonhamery3809 Місяць тому

      @@allythabiti8150 Ukweli,gani wewe Ally mwenyenzi Mungu amekatazs kuwasakama marehemu kwakuwa watu Kama hao hawezi kukitetea,pili wametoka machomi penu wako katika hatima ya Mwenyezi.Mungu mwenyewe wenzenu Rwanda walianza kufufua makaburi ya kikabila,wakauama Kama,wanyama anchi itulie usitutee balaa zako

    • @Kabeya410
      @Kabeya410 Місяць тому

      Ati udini 😅maskini hujui kwamba nyerere ndo mtu wa kwanza kuleta udini maana ingekua udini nyerere asingepewa uongozi kwanza alikua hajulikani kaja na kaptura waislam wamemvisha suruali heshima. Wakamweka mbele kwa kuheshimu na mapenzi ila akawageuka kafukuza wazee wote Waislamu mkristo Rupia tu jumla walikua watatu au wanne.

    • @samsonhamery3809
      @samsonhamery3809 Місяць тому

      @Kabeya410 Je wewe hujui,uongo ni dhambi? Rashid kawawa ndiye alikuwa Waziri,wake Mkuu,Abed Karume Makamu wake wa Rais,Jemedali,Abdalah Twalipo Mkuu wa Majeshi Mstafa,Myang'anyi Waziri Miongoni mwa mawaziri wake Sasa ukimsakama,Nyerere leo hali amshatangulia,mbele ya,haki,unajichumia,dhambi mwenyewe je hujui hilo

    • @Kabeya410
      @Kabeya410 Місяць тому

      @samsonhamery3809 wewe umesema kuhusu udini nimekupa ingekua udini nyerere asingekubaluwa na wazee wa TAA baadae TANU Walikua waislam watupu wakamkubali bila kumbagua na hawa uliowataja walikuja baadae kabisa tunasema mwanzo. Acha kupoteza point

  • @jiddahmaulidi3572
    @jiddahmaulidi3572 2 місяці тому

    Kumbe watz ni wajinga tu kuuwana laana imeanza muda