MUME WAKO HAJATULIA ANA WANAWAKE WENGI HUKO NJE HELA ANAKULA NAO WEWE UNATESEKA "PASTOR MGOGO
Вставка
- Опубліковано 8 вер 2024
- Kuendelea kupata mafundisho yangu mazuri yanayohusu mahusiano yako na Mungu,Utakatifu,Uchumi na Biashara kupitia mitandao yangu kila siku kama ifuatavyo:-
Facebook: Daniel Mgogo / revdanielmgogo
Instagram: Pastor Daniel Mgogo / pastordanie. .
UA-cam : Pastor Daniel Mgogo www.youtube.co....
#PastorDanielMgogo#ImaniYaKweli#InjiliYaKristo
Mungu akulinde paster
Yes ni neno la Mungu, mahali unalishwa kiroho ni pale unatiya moja ya kumi na sadaka, hiyo ndiyo malipo ya watumishi wa Mungu
Amien ubarikiwe sana
Umesema kweli mtumishi asante kwa kutupatia nondo za kweli.mwenye sikio na asikie
Mtumishi wa Mungu hongera Sana ,kwamahubiri Yako Mungu akuongeze nguvu ili uendelee kushusha nyundo,unanibari Sana Sana.
Utalipwa na Mungu, endeleya tu kumutumikiya Mungu
Amina sana baba Mungu anendelee kukutunza maana ni watumishi wachache sana kama wewe ❤🙏
Kweli pasta
Thankyou so much pastor
Vraiment ilenikweli
Mtumishi wa Mungu ubarikiwe usemayo yote ni kweli kabisa
I receive I the mighty name of Jesus
Nakupenda Sana mtumishi SEMA tuelewe baba
tutakuelewa kimya kimya dondosha nondo dozi iendelee
Mungu akulinde❤❤
Mwenyezi mungu atusaidie
Mungu akubariki sana pastor🥰🥰🥰🥰🥰
Wewe pastor tosha wanaume tukonashida Sana
Barikiwa sana mushugaji
Amina mtumishi
Kama Rose mhando hazeeki, janefa mgendi hazeeki watching from Capetown ❤❤
Kwa Mungu sio kwa Muzungu na kwenye shamba la miwa huvuniwi mihogo
Mungu akubariki mtumishi
Baba mungu akubariki sana
Kweli Baba ni machungu ila tunalikubali
Ubalikiwe baba😂😂😂😂
MUNGU atusamehe
mchungaji wengine wameokoka lakini Ni Malaya balaaaa mmmmm wengine tumechokaa uumbaji wa MUNGU uendeleee
Nikweli wachristo ambao hajakuwa kiroho wanashida sana tena sana hasa hasa huku marecani watu wanatuma sadaka Africa chakumi Africa lakini kanisa anayo sali huku hata sadaka hata chakumi hatowi akipata shida sasa mushindwe kufanya nyambo lolote ndo anakuwaga wakwanza kununa kuteta kanisa mambo mengi . Huruma sana
Toboa siri pastor mgogo napenda mahubiri yako barikiwa
Nitapataje namba huyu pastor,mahubiri yake ni ya kujenga kondoo wapotevu.
Dondosha nondo kabisa baba
CONGO 😢😢😢😢😢😢 hata maombi Congo, Hata vita CONGO 😢😢😢 Sisi wa CONGO poleni 😂
😂😂😂😂😂watanzania mumebarikiwa
Pasta upewe ulinzi baba nakuelewa
😂😂😂😂
Ndgha wakukaja 😂😂
dozi iendelee mtumishi type dozi