Part12_USHUHUDA WA MCH.KATEKELA ALIYEKUWA CHIFU WA WAGEREGERE KABILA LA KICHAWI

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 21 жов 2024

КОМЕНТАРІ • 301

  • @mariahyera3737
    @mariahyera3737 2 роки тому +44

    Nimeacha mapambo na vikorokoro vyake na sasa nipo huru kweli kweli. Ibadani nafunga zangu kilemba maisha yanakwenda.

    • @nemaodhiambo7274
      @nemaodhiambo7274 2 роки тому +1

      Amen 🙏🏿 Mimi pia dada yangu MUNGU wetu anatupenda hivi tulivyo

    • @maryandason1815
      @maryandason1815 2 роки тому +1

      Ongeraa wajina wang.niombee n mm niache wajna wangu

    • @emmanuelzani2889
      @emmanuelzani2889 2 роки тому +1

      Upo vizuri sana Dada, Mbingu ni ya maana sana, kuliko mapambo.

    • @jamessemwnda5035
      @jamessemwnda5035 2 роки тому +2

      Niombeeni NAMI niache kusuka Rasta huyu ni jezebel spirit Bado napambana nae niombeeni wapendwa

    • @Faraja2023
      @Faraja2023 2 роки тому +1

      Good@ Maria hyera

  • @everlynemiriam5943
    @everlynemiriam5943 Рік тому +2

    Amen Amen Asante barikiwa sanasana mutumishi Nimeokoka Sasa hivi kupitiya wewe through my phone yesu ni bwana be blessed alot man of God

  • @neemamwalende9740
    @neemamwalende9740 2 роки тому +10

    Amen mtumishi ubarikiwe na bwana YESU kichwa kilikuwa kinaniuma ulipo omba kimeacha hapo hapo Asante YESU kristo.

  • @dokasa9176
    @dokasa9176 2 роки тому +18

    Kwa shetani kweli ni kazi ngumu,Mungu wetu tusaidie,safari hii hatutaweza pekee yetu

  • @emmanuelbuyombo.3882
    @emmanuelbuyombo.3882 2 роки тому +17

    Mwenye masikio na Asikie, na mwenye mashikio na ashikee, huu Ushuhuda Umefunuliwa kwetu katika kizazi hiki tupate Wokovu. Tuweni watendaji si wasikiaji tu.
    Be blessed Rev. Amiel Katekela.
    and Jacktan Masafiri Mungu awatunze sana. Amen

    • @PromovertvTz
      @PromovertvTz  2 роки тому

      Amen

    • @eliasmusa3421
      @eliasmusa3421 2 роки тому

      @@PromovertvTz ndugu. Naomba kama inawezekana unisaidie namba ya amieli

  • @mishinema8719
    @mishinema8719 2 роки тому +3

    Huh Asante sana mutumishi amieli nmejifunza mengi kupitia Huu ushuhuda sasa nko Imara n mungu

  • @PromovertvTz
    @PromovertvTz  2 роки тому +13

    KUJIUNGA WHAT'S APP GROUP LA MARAFIKI WA MCH.KATEJELA NO.2 BONYEZA LINK👇
    chat.whatsapp.com/G6ymOcE6bc7IigyFRL1bML

  • @tabithajeremiah2657
    @tabithajeremiah2657 2 роки тому +5

    Asante sana Promover tv na mchungaji Katekela

  • @margarethsaumu5602
    @margarethsaumu5602 2 роки тому +3

    Asante sana Mch Katekela kwa kutufunulia mambo mengi ambayo sikuyajua. Yesu nisaidie nikujue zaidi, na nisaidie kuacha dhambi.ninakutaka Yesu na l nguvu zako. Asante Promover Tv kutufikishia ushuhuda huu. Mungu azidi kuwainua.

  • @judithbett420
    @judithbett420 8 місяців тому +1

    Asante sana Mchungaji kwa mafunzo mazuri

  • @everlynemiriam5943
    @everlynemiriam5943 Рік тому +1

    Asante Sana barikiwa kufika Kenya be blessed my country needs prayers

  • @tamarali8325
    @tamarali8325 2 роки тому +10

    Mungu alituumba kwa mfano wake. Tusiongeze chochote. Mungu atusamahe. Barikiwa pastor Amieli
    Jacktan Barikiwa sana. Tunamshukuru

  • @florencemueni1183
    @florencemueni1183 2 роки тому +5

    My brothers in Christ nawapenda sna katekela naomba tupatane siku moja kma ni mapenzi ya Mungu ushuhuda wko unipea nguvu za kiroho sna

  • @rebecashindika3091
    @rebecashindika3091 2 роки тому +5

    Mungu aendelee kuwapigania kwa kazi ya Mungu

  • @adelehakizimana1894
    @adelehakizimana1894 2 роки тому +2

    Asante.mutumishi.wamungu.kutobowasiri.zawacawi.nashetani.iyo.nikazikubwa.Sana.mbereyamungu.mung u.akubarikisana

  • @ahebwaedinah3218
    @ahebwaedinah3218 Рік тому +1

    Amen 🙏🙏🙏 Amen thank you so much am watching from Ugandan naitwa edinah

  • @maryandason1815
    @maryandason1815 2 роки тому +4

    Amen blessed promover TV. YESU awazidishiee mlipopunguza kwa namna yyote ile Ili sisi tuapate ufunuo wa KRISTO YESU.tuache uovu.asanten.barikiwa pastor katekela

  • @elizabethopere2784
    @elizabethopere2784 2 роки тому +6

    Asante kwa sala ya toba yako kuanzia sasa nmeokoka. Amen

    • @nkugi
      @nkugi 2 роки тому +2

      Amen. Mungu akuongoze ktk safari yako uliyoianza

    • @maryandason1815
      @maryandason1815 2 роки тому +1

      Blessed onger kwa kuokoka

    • @daisymuthoni675
      @daisymuthoni675 2 роки тому

      Hongera kwa kuokoka karibu kwa Ufalme wa Mungu

    • @jameskotte-endtimegospel
      @jameskotte-endtimegospel 9 місяців тому

      Umekiri Kristo ila ujaokoka....hadhi utubu na kubatizwa....mark 16:15-16 ....pia acts...2:38 kundelea na mandiko zingine nyingi

  • @paschalpaul5793
    @paschalpaul5793 2 роки тому +7

    Jaktani asante kwa kuniulizia swali nzuri kama hilo, mimi nimechagua kuacha kabisa vitu vya mapambo kiujumla lakini pia nashauli na wengine waache

    • @janethmwihumbo1289
      @janethmwihumbo1289 2 роки тому

      Kuna nabii w channel y unyakuo tv alisema alimuona mtu kwenye chuo uko mbinguni amesuka nywele zake sio dhambi labda marasta

    • @ngwanafabian4612
      @ngwanafabian4612 2 роки тому

      @@janethmwihumbo1289 una uhakika gani na huyo nabii? Yamkini ni nabii wa shetani ama ni pepo katika fomu ya binadamu.

    • @maryandason1815
      @maryandason1815 2 роки тому

      Mmmmmmh kikubwa n kuach vyote tu

    • @petermageta4987
      @petermageta4987 2 роки тому

      Shetani naye anajigeuza pia kama malaika wa nuru

    • @EuniceKija
      @EuniceKija 6 місяців тому

      Ni bora kuacha tu ili kuwa huru kabisa.

  • @josephmutemi7494
    @josephmutemi7494 2 роки тому +3

    Ameeeeen mbarikiwe sana watumishi wa BWANA

  • @happykajeli5453
    @happykajeli5453 2 роки тому +1

    Asanteni Mungu awabariki somo ni zuri damu ya Yesu iwafunike mch amiel tueleze yote tupate kupona

  • @irenek7280
    @irenek7280 2 роки тому +1

    Thanks mtumishi Amiel na promover nasoma kila siku mungu awabariki

  • @fadhilisimfukwe8035
    @fadhilisimfukwe8035 Рік тому +1

    Ubarikiwe kwa ushuhuda

  • @inesfeliciano9235
    @inesfeliciano9235 2 роки тому +1

    Asante sana mungu awajalie

  • @tembelaabdalah4153
    @tembelaabdalah4153 2 роки тому +1

    Mungu akubariki mtumishi na akuongoze kwayale ambayo anapenda wewe kuyatenda

  • @sallymumia8425
    @sallymumia8425 2 роки тому +5

    Glory,to Jesus Christ.,for promover tv,and the man of GOD.

  • @liesharehema5193
    @liesharehema5193 2 роки тому +12

    Mungu anakataza mapambo mtumishi haya sijahadithiwa na mtu mungu mwenye ananiongoza huzunguza na Mimi nimeacha vyote sijipambi siku hizi akaanza kunifunulia kuhusu vyakula pamoja na mavazi mpaka viatu

    • @ngwanafabian4612
      @ngwanafabian4612 2 роки тому +6

      Vyakula siyo najisi lakini siyo vyote vinafaa kwa kuliwa. Baadhi ya vyakula hudhoofisha hali ya kiroho ya mtu.

    • @liesharehema5193
      @liesharehema5193 2 роки тому +9

      Mimi sifundishwi na mtu ni mungu mwenyewe vyakula nivichafu siku hizi mpendwa uwe macho nakuambia mungu huniambia vitu vingi Sana hata visivyompendeza yeye yaani aliniambia hivi ukitaka kuingia mbinguni mambo ya Dunia hii achana nayo nawala usimfuate fulani kavaa nini nawewe usiogope kuchekwa maana wengine watakuita chizi na anasema watakaoteswa au kutukanwa kwaajili ya Jina lake nawaliojikana Hao uzima wa milele ni halali yao

    • @maryandason1815
      @maryandason1815 2 роки тому +2

      @@castorykapinga6425 n kwel vpo vyakul vngne havifai usibishee kapo kibinadam kujuwaa n ngumu Sana mpk MUNGU akufunuliee ipo cku utafunuliwa n wew maan shetan yuk bize San kutek kanisa kwa gharama yoyote..anatafuta watu wa MUNGU il awaangushe kwa gharama yyote at vinywaj chakula.mavazi.nk.yhn dunia saah imechanganyikiwaa kulko unavyonadhn mda n mchache. Sana YESU anarud

    • @liesharehema5193
      @liesharehema5193 2 роки тому +3

      Hujui ninachokuambia Mimi mungu ananifunilia vitu vingi sibishani namtu yeyote site safari nimoja yakwenda mbinguni jitahidi usijikwae ubarikiwe sana

    • @maryandason1815
      @maryandason1815 2 роки тому +1

      @@liesharehema5193 ok blessed..

  • @Maureenjason9651
    @Maureenjason9651 Рік тому

    Mungu aliyekuoa wewe Mch. Katekela na atamuokoa pia Kanumba kutoka kuzimu na wengine pia waliopotelea kuzimu. AMINAAAAAA!!!

  • @pillykasegu7679
    @pillykasegu7679 2 роки тому +2

    Mtumishi mungu akubariki sana unacho kijua na ulichojifunza na kuielewa biblia mungu akutangulie maana watu wanazijua Zambi kilakitu dhambi jamani kilakitu Sasa ni changamoto mungu atuongoze na sio akilizetu

  • @Gospo_beats
    @Gospo_beats 2 роки тому +4

    Yaan swala la nywele umeeleza vema kabisa mtumishi 👏🙏

  • @josiaamos8010
    @josiaamos8010 2 роки тому +5

    Mtumishi apo pa nywere sijakuelewa mungu amekataza kusuka kwa watumishi walio pelekwa mbinguni na kuzimu na maandiko yamekataza

  • @raitonjafali6783
    @raitonjafali6783 2 роки тому

    Barikiwa sana mtumish wa Mungu je vp kuhusu dawa wanazoweka kubadil hizo nywele kuwa ndefu kama wzungu nazo znatoka kuzm

  • @violettendih...8452
    @violettendih...8452 2 роки тому +1

    Amen, Amen Mtumishi wa mungu asante sana God bless you.

  • @suzanakumburu9035
    @suzanakumburu9035 2 роки тому +1

    MUNGU awabaliki watumishi kwa kazi kubwa mnayoifanya balikiwa sana kaka Jacktan

  • @jeremiahkausi2987
    @jeremiahkausi2987 Рік тому

    Asante Kwa ushuhuda MUNGU akurehemu

  • @mtumbaclassic9472
    @mtumbaclassic9472 10 місяців тому +1

    Point nimeipata hapa

  • @owenomwanawayesu6961
    @owenomwanawayesu6961 2 роки тому +7

    I concur with my brother on what he says,100%

    • @nkugi
      @nkugi 2 роки тому

      I came to agree with this man of God from the first episode of his testmony. Several issues in his testimony are in line with other testimonies of former devil worshippers in this channel. Only the wise will learn and understand

  • @aminaally4163
    @aminaally4163 2 роки тому +13

    NYWELE BANDIA ZOTE NIMBAYA HAKUNA NZURI.BWANA YESU HATAKI TUVAE VITU BANDIA

  • @miriamtutorial
    @miriamtutorial 2 роки тому

    Glory to God
    Asante sana mtumishi

  • @kasorerushumuza5419
    @kasorerushumuza5419 2 роки тому +7

    Mimi nitasimamiya ushuhuda WA Adamu mbaya kuhusu kusuka nisijenikasikiya badaye nikawakama muke walutu

  • @danielmatemu9698
    @danielmatemu9698 2 роки тому +1

    Mchungaji uko vzr sana barikiwa. Nimeelewa vzr ulivyoelezea 1 Pet 3:3.

  • @stamilinchimbi6547
    @stamilinchimbi6547 2 роки тому +1

    Mungu akubariki kwa ushuhuda huu naamin tutajifunza mengi kupitia maisha yako

  • @koletajeanne8824
    @koletajeanne8824 2 роки тому +1

    Iyo nikwali mungu hakubariki mtumishi

  • @annehaysanday9214
    @annehaysanday9214 Рік тому +1

    Zidi kubarikiwa sana mtumishi wa Mungu

  • @everlynemiriam5943
    @everlynemiriam5943 Рік тому +1

    Amen Amen

  • @lilianmanase761
    @lilianmanase761 2 роки тому +1

    SASA NIMEELEWA KWA KINA KWANINI WASABATO WANASHERIA KALI KWA WAUMINI WAO JUU YA KUSUKA, MAPAMBO N.K.. HERI FEDHEHA KULIKO LAWAMA NA KINGA NI BORA KULIKO TIBA. Mwenye masikio na asikie.. MUNGU ROHO MTAKATIFU ATUSAIDIE KWAKWELI. AMEEN

  • @mauriceishengoma5955
    @mauriceishengoma5955 2 роки тому +3

    Ndugu zangu, msiwe waalimu wengi,mkijua ya kuwa mtapata hukumu kubwa zaidi. endelea kupata shule ya Roho Mtakatifu. ukiishika sheria yote ukajikwaa katika neno moja umekosa juu ya yote.

  • @mauriceishengoma5955
    @mauriceishengoma5955 2 роки тому +2

    Mch. Roho wa Mungu hakushuhudii kuona ukivaa hata za katani ni kumkosoa Mungu kuwa nywele alizokupa hazifai endelea kumwomba Mungu utafunuliwa tu ndoa Adam na Eva ni Mungu aliyewaunganisha aliwavisha pete Biblia inasema hiyo ni miungu migeni wewe unasemaje? Mwz 35:2-4,Kut:33:3-6,Hos2:13,1Pet3:3,1Tim2:9-10

  • @liesharehema5193
    @liesharehema5193 2 роки тому +9

    Nikweli mtumishi wamungu Mimi mungu ananisaidia Sana nasikia sauti yake sauti hii huniambia nisivae kitu chochote cha bandia kuanzia nywele bandia kumtumia mikorogo kupaka wanja poda kuvaa hereni vitu vya shanga mpaka nguo Kuna nguo nazo zinamatatizo mpaka vyakula sauti hii huniambia chakula salama nikile nilichopika mwenyewe sauti ya mungu huniambia nikitaka kusuka nisuke nywele yakwangu mwenyewe bila kuongea kitu chochote aminaaa

    • @abdimohamed3953
      @abdimohamed3953 2 роки тому

      Aisee hongera sana

    • @williamntungilahe5598
      @williamntungilahe5598 2 роки тому

      Niunge yaani ushuhuda nzuri sana

    • @maryandason1815
      @maryandason1815 2 роки тому

      Niombeee n mm niache kwel au unpe no yako nkutafte kwa msahahda Zaid w kiroho.alfu naomba kuulza kwan kusuka nywel zang n dhambi??piya kunyoosha je nywel zang n dhambi??

    • @liesharehema5193
      @liesharehema5193 2 роки тому +2

      Kusuka nywele zako mwenyewe sio dhambi Dada mungu anatukataza vitu vya bandia mpaka shanga za kiunoni chotechote cha bandia hataki kama kujichubua kupaka wanja poda lipstiki kuvaa hereni cheni napia kuvaa nguo ambao hazisitiri mwili hivi vyote mbele za mungu niuchafu

    • @omuze1290
      @omuze1290 2 роки тому +2

      Hakika huyo ni Roho Mtakatifu na hapendezwi na vitu hivyo!

  • @emelivaly1720
    @emelivaly1720 2 роки тому +1

    Amen 🙏. Mtumish. Wa. Mataifa. Yote. Asante. Sana. Kwa. Kutuelemisha.

  • @rmaryp6269
    @rmaryp6269 2 роки тому +8

    Kikubwa ni kuachana tu na hizo katani ili awe ushuhuda kwa wengine. Mi nasimamia andiko, sisuki. Na pia mtumishi Aston alioneshwa watu hawakuingia Mbinguni kwaajili ya hayo. Heri niachane na mambo ambayo yanaweza kunikwamisha kuingia Mbinguni; 7bu hayo yoote hayanipunguzii kitu ktk kuishi kwangu.

    • @nemaodhiambo7274
      @nemaodhiambo7274 2 роки тому

      Amen 🙏🏿

    • @maryandason1815
      @maryandason1815 2 роки тому

      Blessed my

    • @navongelysrlynsozsye8494
      @navongelysrlynsozsye8494 2 роки тому

      Umelielewa neno na Mungu atakusaidia.

    • @nemaodhiambo7274
      @nemaodhiambo7274 2 роки тому +2

      Amuhurumie mume wake kwasababu ktk maelezo ya Mtumishi amekwishamuonya lakini anampa wakati mgumu bado Mtumishi ndo akamnunulie hayo ni makwazo na akumbuke kwamba Kila mtu atahukumiwa peke yake Ile siku ya kutisha tutengeneze maadamu MUNGU anapatikana Damu ya YESU ndio make-up yetu

  • @edinajossephatgeorg6246
    @edinajossephatgeorg6246 2 роки тому +8

    Kuhusu kusuka: nikujenge mch kwa kuwa umesema unajua ya upande mmoja( kuzimu), unavijua vitu vya kuzimu tu, lakini kuna vitu vya dunia hii, na vya mbinguni, sasa vitu vya mbinguni havitakiwi kufanana na vya dunia, hata stail ya kusuka ni mifumo ya kidunia na pengine kuzimu, mungu wa artem yupo kwa namna nyingine ,majira haya kanisa limebebwa na urembo wa kidunia wala si katika roho, na wana amani Sana💯, viko viwango vya mbinguni, katika mavazi,misemo,matendo,mawazo, nk, hakika hata misuko ya nywele asili inamfanya mtu kuikosa mbingu,

    • @josephomuto3240
      @josephomuto3240 2 роки тому +1

      Naomba unionyeshe mstari mmoja tu unaosema moja kwa moja kwamba na wasukao nywele hawatauona ufalme wa mbinguni.

    • @edinajossephatgeorg6246
      @edinajossephatgeorg6246 2 роки тому +1

      Nioneshe mstali unasema kuvuta sigara huendi mbinguni, nami nitakuonesha

    • @emes602
      @emes602 2 роки тому

      @@edinajossephatgeorg6246 tena nyie wa maremba mbona mnasuka mabutu na twende kilion?? Hamjui na ivyo ni kusuka kule kule.

    • @PaulDeus-jh7jn
      @PaulDeus-jh7jn Рік тому

      Tufuateni tu maandiko,,,,kusuka acheni wanawake ili musiwe na wasiwasi na Mbingu.

    • @jameskotte-endtimegospel
      @jameskotte-endtimegospel 9 місяців тому

      1john 2:15 - 17 kundelea nafikir

  • @VictoriaMachozi
    @VictoriaMachozi Рік тому

    Mungu Wangu akubariki

  • @owenomwanawayesu6961
    @owenomwanawayesu6961 2 роки тому +1

    YESU Kristo awabariki sana!

  • @marcelinekahawara8304
    @marcelinekahawara8304 2 роки тому

    nashukuru sana mtumishi wa Mungu

  • @julietnelima3253
    @julietnelima3253 Рік тому +1

    Mungu atusaidie kujua roho wa Mungu ili atuongoze tuweze kujua utofauti wa nywele tunapo zinunua haswa kwa watoto wetu kwasababu sisi tunaelewa lakini watoto hawaelewi tuwaombee kabisa.

  • @petermageta4987
    @petermageta4987 2 роки тому +3

    Mtumishi kusuka ni dhambi, kusuka za asili au A bandia petro 3:3-6/1timotheo 2:9-10

  • @sharonwalubengo7628
    @sharonwalubengo7628 2 роки тому +3

    Mungu akubariki pia siamini nilitoa wapi nguvu ya kupenda huu ushuhuda toka mwanzo

  • @perrywanjiru2754
    @perrywanjiru2754 2 роки тому

    Ubarikiwe sana mtumishi wa Mungu
    Nivyema ungefungua UA-cam yako pia maana itakuwa inasaidia watu wengi kama abavyo tumebarikiwa

  • @glorymwalukuta
    @glorymwalukuta Рік тому +1

    Nmekuelewa sana juu ya kusuka 🙌 umenipa moyo

    • @glorymwalukuta
      @glorymwalukuta Рік тому

      Ndyo maana Mimi n msukaji lkn nmeokoka nampenda Yesu shetan kwangu namgalagaza na moyon nna aman nitaingia mbinguni hivyo hua sielewagi juu ya mambo ya kusuka n dhambi asa Mimi kama kipaji Mungu amenipa nifanyaje naweza kufikiri Mungu n Mungu gan lkn kumbe formula n ndogo tu nimejua kweli kupitia huyu mtumisg

    • @mcchilo13
      @mcchilo13 11 місяців тому

      ​@@glorymwalukutaBiblia inasema. Msifurahi kwa sababu pepo Wana watii. Bali furahini kwakua majina yenu yameandikwa Mbinguni. Kikubwa muombe MUNGU kwa bidii ukimuuliza kuhusu kazi hiyo. Naamini Atakupatia majibu. Ubarikiwe mpendwa

  • @sarhkimboi9085
    @sarhkimboi9085 2 роки тому +8

    Me hapo kwenye kusuka tyu, bado ninpnga lazima tuwee matakatifu Na tusimkosoe Mungu kwa vile alivotuumba.

    • @annaandrea2812
      @annaandrea2812 2 роки тому

      Sasa Kama unamkosoa Mungu mbona unavaa nguo wakati umezaliwa uchi

    • @mcchilo13
      @mcchilo13 11 місяців тому

      ​@@annaandrea2812Tujaribu kuwa Waelewa na kutafautisha Mambo. Kusuka na kuvaa hauwezi vifananisha. MUNGU aliwapa vazi Adam na Eva. Kwaajili ya kujistiri. Lakini pia yapo maandiko yanazungumzia Kuhusu kuvaa na kujistiri. Lakini sijaona andiko linalokubali kusuka. Ushauri wangu kama umesikia watu wanazungumzia hilo. Fanya maombi muulize MUNGU kupitia ROHO MTAKATIFU utapata majibu sahihi. Lakini usipinge kabla hujahakikisha.

    • @mcchilo13
      @mcchilo13 11 місяців тому

      ​@@annaandrea2812 kwani kusuka kunafaida gani hasa? Mimi sielewi. Na kama Mtu asiposuka anapata hasara gani?

  • @kimsamespa8490
    @kimsamespa8490 2 роки тому +11

    Sisi tulifuzwa na Aston mbaya haturudi nyuma tuliambiwa mapambo yatatupeleka jehanam

  • @christanaluka6031
    @christanaluka6031 2 роки тому +11

    Usishauri mtu avae katani Aina maana yoyote awe na nywele zake

  • @rebeccaomar3523
    @rebeccaomar3523 2 роки тому +12

    Ni AFADHALI TUSITUMIE KABISA HIVI VITU BADIA

  • @mindenlightenment
    @mindenlightenment 2 роки тому +1

    We get Deep spiritual understanding ..

  • @emanuelmasanja1627
    @emanuelmasanja1627 2 роки тому

    Mungu ni mwema

  • @rhodalissu6953
    @rhodalissu6953 8 місяців тому

    Ahsante sana mtumishi wa Mungu Jactan Msafiri , swali kwa pastor vipi kuhusu uvaaji wa suruali kwa cc wanawake hili likoje? na vipi kuhusu kusuka nywele kwa mwanaume?

  • @VictoriaMachozi
    @VictoriaMachozi Рік тому

    Amen

  • @joelyjoely7827
    @joelyjoely7827 2 роки тому +1

    Aminakuerewa Sana wakwetu kigoma umetafuta kutobowa kwa MIAKA MING at ukaanza igt kunitabia du kunavitu so kwer vingine ww so fremason izo nikiki

  • @rahimajuma5306
    @rahimajuma5306 2 роки тому

    Mungu ambariki sana na roho mtakatifu akae ndani yako mm nauliza ukifuga rasta ni zambi

    • @johnreemgard4991
      @johnreemgard4991 2 роки тому

      usifuge rasta wala kusokota ni roho kamili ya kirastafarian roho ya uchizi, kina ziporah na watumishi wengine wameonyeha haitakiwi, hata uzi. vaa kilemba kanisani, ukitoka vaa kilemba au bana nywele zako, ukiwa unaomba popote vaa kilemba

  • @estherthomas1975
    @estherthomas1975 2 роки тому +2

    Muongelee pia na madawa ya uzazi WA mpango WA mama wanaangamia

  • @zeldamzena9295
    @zeldamzena9295 2 роки тому +3

    Msafiri tumuone na wifi yetu..mke wa mtumishi

  • @purity234
    @purity234 2 роки тому

    Mimi naeza sema kuhusu nywele bandia na pia mapambo tuachane nazo,kwa maana biblia imekataa Timothy 2:9 na pia 1 peter 3:3 hata bila adhari za kuzimu Mungu ametuonya,, na tunawajibika kufuata masharti yote ya Mungu Ili kuiona mbingu,,si baadhi tu.. sidhani ni vizuri kutafta nywele sisizo na chapa ya kuzimu kuzibandika,,kwa maana hta isipokudhuru humu duniani,,uhusiano wako na Mungu hujakamilika,,pia unaweza ukakosa mbingu kwa kutotii ..tuangalie tafadhali ushuhuda wa Rachael Mushala kuhusu nywele bandia mapambo na mavazi,,tujielimishe kupitia watumishi wengine pia..nawapenda❤️ Mungu akubariki Amieli,,na azidi kukuinua kiroho❤️

  • @monicangongi7891
    @monicangongi7891 2 роки тому

    Nywele zote za bandia Mungu hapendi..mtu abaki kama vile alivyoumbwa...wewe umeyaona ya kuzimu bado hujaenda mbinguni na kuona vitu ambavyo vinawakwamisha watu kuingia mbinguni..mwombe Mungu akufunulie juu ya hilo jambo la nywele naamn Mungu atakufungua wewe na mkeo..

  • @julieluziga1095
    @julieluziga1095 2 роки тому +1

    Mungu wa mbinguni akutunze mtumishi wa Mungu Amiel.

  • @jimmykasinde8439
    @jimmykasinde8439 2 роки тому +6

    Biblia imekataza watu kusuka Mchungaji hakuna andiko linalo ruhusu mtu kusuka wewe waambie watu waache na sio kuwaambia wamuulize roho maana roho wa Mungu hawezi kupoteza mda kwenye hayo mambo 1 peter 3:3

  • @dicksonsomarjosesomarjose3843
    @dicksonsomarjosesomarjose3843 2 роки тому

    Asante sana mchunga ninaswali je kutia dawa yani rilaxa

  • @evelynlehnard3928
    @evelynlehnard3928 2 роки тому +8

    Mathew 7:22... mchungaji kuunguza mapepo au kuyakemea siyo kipimo cha kwenda mbinguni. Wachungaji wanaawake na wanaosuka nywele hata yakemee mapepo yakimbie kama Husein bolt hawataiona mbingu. Maelezo yako kwa hilo swali ni potovu na hayana evidence kwenye maandiko matakatifu.
    Nywele zetu alitupatia akaona zimependeza. Kwanini sisi waafrika tunatamani kufanana na wazungu ?

    • @johnreemgard4991
      @johnreemgard4991 2 роки тому +1

      ubarikiwe sana mamy. msikilize MUNGU maana hakuna mwanadamumwenye uwezo wa kukupeleka mbinguni isipokua MUNGU na nilazima uwe mtakatifu

    • @maryandason1815
      @maryandason1815 2 роки тому +2

      Yey pastor anaelzea ya kwke anayoyajuwa na kuyaelewa,kwa uelewa wake so usimuhuku bureee wew uliyepta NEEMA yako yako ukajuwa Zaid yke bas fanyia kaz uelewa wako.n yye mwache ikifika mahali atafundshwa n roho mtakatifu nae atajuwa tu.

    • @evelynlehnard3928
      @evelynlehnard3928 2 роки тому +2

      @@maryandason1815 dada Mary tatizo let sisi waafrika nikuamini kwamba mchungaji hawezi kukosea na akikosea hatufai kumkosoa.
      Mungu alitupatia nywele ngumu na akawapa wazungu yao laini, sasa kwanini tunataka hiyo ya wazungu ? Inamaana ni rahisi kumkosoa Mungu kuliko kumkosoa mchungaji ? Kwa sababu inamaana wakati unatamani nywele ya kizungu ni kwamba Mungu alikosea kukupa nywele ngumu.
      Pili 1 pet 3 ingeandika na neno TU tungeelewa kwamba Mungu ametupatian options za kuchagua lakini inasema urembo wetu usiwe wa kusuka nywele.
      Mchungaji ni mwanadamu na kuingia mbinguni ni kwa utakatifi TU..kama anafanya kitu kando na maandiko matakatifu ni JEHANAMU ataishia na mke wake ndiye anamuongoza kwenda huko kwa kukatalia kwa nywele ambazo zitamkosesha mbingu. Mungu anaweza kutumia hata punda kuhubiri injili.

    • @maryandason1815
      @maryandason1815 2 роки тому +1

      @@evelynlehnard3928 saw mama asntee San kwa ujumbe wako blessed.ipo cku ataelewa n atajifunz tu.kwa sbbu kila mtu MUNGU anajifunua kwa jins yke

    • @elizabethopere2784
      @elizabethopere2784 2 роки тому

      @@evelynlehnard3928 samahani dada naomba kuuliza je nikisuka nywele zangu mwenyewe na nikachanganya na uzi je haitakiwi. Napenda kufahamu nisaidie

  • @re.emmanuelmdoe3345
    @re.emmanuelmdoe3345 5 місяців тому

    Nasadiki kwa Sababu maandiko yanakataa mapambo hivyo ushuudaa wako wote Biblia imenithibitisha sanaaaa,
    Mungu akutendeeni mema MCH A,K

  • @nemaodhiambo7274
    @nemaodhiambo7274 2 роки тому +12

    Just b natural without adding anything

    • @naketizainabu7803
      @naketizainabu7803 2 роки тому +5

      The best way be natural

    • @sarahmdindile4301
      @sarahmdindile4301 2 роки тому +4

      Ni bora kuwa natural ,kuliko ukavaa katani mwisho wa siku ukakataliwa kuingia Mbinguni maana huyu anajibu kutokana na uelewa wake.Ila wapo walio pewa maono na Bwana Yesu kuwa hataki bandia yoyote

    • @nemaodhiambo7274
      @nemaodhiambo7274 2 роки тому +1

      @@sarahmdindile4301 AMEN

  • @raelnthangu8216
    @raelnthangu8216 2 роки тому +1

    God looked at everything he made,and he was very pleased.Genesis1:31nvizuri mtu akae vile mungu alivyo muumba.

  • @Yvonne-Kavira
    @Yvonne-Kavira 2 роки тому +3

    Hauwezi ingiya mbinguni, na hiyo nyele ambazo zime sukwa. Tuachetu jamani, kuna mafuta mazuri za nyele zetu. Tubaki natural.

  • @rahelikilunga2445
    @rahelikilunga2445 Рік тому +1

    aminq

  • @sharnamoreen8195
    @sharnamoreen8195 2 роки тому

    Jesus christ is the way, the truth and the life, He says, who comes to me shall never walk in darkness but lights. Thanks Katekela kwa ushuhuda huu, kweli nimeona uliyemtaja Mubarak akihubiri neno na to advise people to go back to Christ, praises to the kingdom of heaven The Father and the Son and the Holy spirit

  • @rusimackems9820
    @rusimackems9820 2 роки тому +1

    Nazidi kubarikiwa na huduma hii

  • @maryamayitsa6181
    @maryamayitsa6181 2 роки тому +1

    Duuh walai leo umemaliza, mm mume wangu tangu amuoe mke wapili, namchukia, sasa ntatubu.

  • @petermalema5702
    @petermalema5702 10 місяців тому

    AMEEEEEEN

  • @SAMWELMBWANA
    @SAMWELMBWANA 6 місяців тому

    Anaehoji kunaswali anatakaaulize ilaanashindwa kuulza kuhusu mitindo je kunamitindo au fasheni je zipofasheni ambazo sinzur? Aumitindo yakunyoa jeipoambayo inawakilsha kuzm?

  • @knowledgecoffers
    @knowledgecoffers 2 роки тому +1

    Mimi ni mwanamume si songi nywele Na ota ndoto nikiwa shuleni kwa miaka zaidi ya ishirini sasa,inanighadhabisha sana.Kwani hii ndoto Ina maana Gani kuzimu jameni🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪

    • @joniajohn4716
      @joniajohn4716 Рік тому

      Pole sana
      Hiyo ni spirit of lateness and delay in life.
      Fast and pray (spiritual warfare)

    • @troymurimi6320
      @troymurimi6320 Рік тому

      Ulisaidika ama nikupe number nikusaidie

  • @irenemunuo1710
    @irenemunuo1710 2 роки тому

    Mtumishi barikiwa sana kwa ushuhuda unaofundisha sana. Umeeleza mengi kwa habari ya resta na nywele za kuzimu, je mafuta ya mubadili nywele (relaxer na hair dye )ni bidhaa za kuzmu pia?

  • @salimajosephine1673
    @salimajosephine1673 2 роки тому +13

    Wasikiyaji wa shuhuda mbali mbali tuwe makini latika shuhuda tunazo sikiya jana jana tumemaliza shuhuda zawatu waliyo katazwa na Mungu kusuka , navipodozi aina zozote ,
    Eti tusijibadili
    Mushala na Recho , Adamu mbaya nawengine wengi Asa leo tena munatuleteya wengine Eti kuna wingi za Dragon nazingine halali
    , wakristo wa kweli tuwe Macho hange sana nashuhuda ,piya tusome maandiko sana kuliko , kuzama saaana kwa shuhuda. Kujipamba kweku kusiwe kusuka
    Hawa kusema wigi ilikuwatu mwele za kawaida tuwe makini wa kristo

    • @mwigarleysaid5406
      @mwigarleysaid5406 2 роки тому +15

      Hujamuelewa mshuhudiaji amesema Yeye hajawahi kufika Mbinguni na ameshauli kuacha pia lakini pia walioshuhudia kuhusu kusuka wao waliwahi kufika Mbinguni kwahiyo uwe makini kusikiliza na kuelewa huyu mtumishi hajawahi kuona wanaoenda Mbinguni na wasioenda

    • @magdalenapeter6106
      @magdalenapeter6106 2 роки тому +3

      @@mwigarleysaid5406 umejibu vyema sana mpendwa

    • @joelyjoely7827
      @joelyjoely7827 2 роки тому

      Ami namjua Sana katafuta Kiki kwa MIAKA ming nimtoto wa mchungaji wa A G T KIGOMA LUTALE tuwe Makin nahuyuuu

    • @josephomuto3240
      @josephomuto3240 2 роки тому +4

      @@joelyjoely7827 Fafanua tafadhali. Una maana ya kuwa anachotueleza hapa, yaani shuhuda zake zote tangia Part 1 hadi hapa tulipo, ni hekaya tu za kujitungia? Kwamba hakuwahi kua mchawi bali ni stori tu za kumpa kiki?

    • @sarahmichael7538
      @sarahmichael7538 2 роки тому +3

      @@joelyjoely7827 acha mambo ya kizushi

  • @emmyfrank7168
    @emmyfrank7168 Рік тому

    Ila imarisha sana

  • @claudebulonzabalikumwami3656
    @claudebulonzabalikumwami3656 2 роки тому

    I need to know about coronavirus, pastor can advice us to take vaccines?

  • @mgangaruban9383
    @mgangaruban9383 2 роки тому +1

    jaman mm nakua najiapiza naacha dhambi lkn baada ya muda mchache narudia dhambi mtumishi nampenda Yesu nahitaji msaada wa kimaombi nahitaji kuokoka kweli kweli

  • @emanuelmsaky8074
    @emanuelmsaky8074 2 роки тому +1

    Naomba aanze na hizo mbinu za wachawi kujikinga na maombi ya walokole ili tuweze kuwashinda.katika top 3 shuhuda za promover hii ya mtumishi katekela ipoo ndani kabica..

  • @miriamtutorial
    @miriamtutorial 2 роки тому

    I had kwenda kuchukua pete na hereni na cheni zote za urembo nikazitupe kwenye uchafu

  • @sarahmichael7538
    @sarahmichael7538 2 роки тому +2

    Pia tunaomba Mada ya manabii wa uongo ndio ifuate kabla ya mada zingine ili washirika tupate UELEWA

  • @ambassadorkateme5903
    @ambassadorkateme5903 2 роки тому +1

    Mr Jactan umenifurahisha kwa kuwa msikivu, unamhoji nimependa, ninaomba umuulize je shetani hawez kujua kama utamsaliti sik za mbeleni?, Na je ukiwa na Mali za kichawi ukaokok unaweza kuendekea kuzitumia na zisipotee?, Halafu mpe hai

  • @trophywilson7211
    @trophywilson7211 2 роки тому +5

    KUNA WATU WANAPENDAGA USHUHUDA WENU WANAONGEA ENGLISH,IKIWEZEKANA WEKENI SUBTITTLES IN ENGLISH ITAPENDEZA,MBARIKIWE DAKTARI WA KIROHO

  • @sarahjacobs8814
    @sarahjacobs8814 2 роки тому +3

    Brother I'm not understanding how you eat someone alive please tell him to talk more about eating someone Live????🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪

    • @jamessemwnda5035
      @jamessemwnda5035 2 роки тому +2

      Someone will be there alive and witches may be surrounding the person who is alive one witch will take a leg and start eating one Norse one ear one arm one kidney until a person is no more , very scary we need GOD in our lives every day