MANDOJO AFARIKI DODOMA

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 16 вер 2024
  • Msanii wa Muziki wa kizazi kipya Mandojo amefariki Dunia jijini Dodoma leo baada ya kupata kipigo akidhaniwa kuwa ni mwizi
    Taarifa ya kifo cha Msanii huyo imethibitishwa na rafiki yake wa karibu Msafiri L pamoja na msanii mkongwe Soggy Doggy
    Mungu mpokee mahala pema peponi
    Amen.
    Tafadhali subscribe chanel hii.
    #clouds

КОМЕНТАРІ •