PART4:KIFARU JAMBAZI ALIETIKISA JIJI LA DAR KWA MAUAJI&UTEKAJI MPAKA VIONGOZI/NAKUNYWA MAJI YA MAITI

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 8 жов 2024

КОМЕНТАРІ •

  • @soccerupdates5
    @soccerupdates5 Рік тому +1

    Umeona bwana 😂🤣🤣

  • @tatukarume6140
    @tatukarume6140 9 місяців тому

    Wew kifaru kweli mpka kwetu znz umefika

  • @edithaeugeni9695
    @edithaeugeni9695 Рік тому +1

    Waoooo kama kawaida ya Brother Davista ❤️❤️

  • @Teacher_01
    @Teacher_01 Рік тому

    Asante Sanaa davistaa..... ❤️❤️❤️❤️ I'm back

  • @chiefndatu1895
    @chiefndatu1895 Рік тому +1

    Incharg hapa, nakuskiliza kwa makini bosyangu !!

  • @florencerose859
    @florencerose859 Рік тому +5

    Lakini mbona sura haijabadlika bado ni ya matokeo matokeo

    • @rogerabdallah439
      @rogerabdallah439 Рік тому

      Wewe bwana uoga wako tu

    • @hawaamohammed6687
      @hawaamohammed6687 Рік тому

      Bado yupo kundini Mpk anatisha

    • @womanofsteel1402
      @womanofsteel1402 Рік тому

      Kumbe ukiacha matukio sura huwa inabadirika Kama mweusi anakuwa mweupe au Mimi cjakuelewa @FLORENCE ROSE

    • @florencerose859
      @florencerose859 Рік тому

      @@womanofsteel1402 sio hivio yeye baado sura yake inatisha tuu

    • @womanofsteel1402
      @womanofsteel1402 Рік тому

      @@florencerose859 😂😂😂 kwahiyo watu wenye sura za kutisha Ni wapiga matukio 😂😂😂sio kwel bhana huo Ni uumbaji wa Mungu tu

  • @geofreybalyobalyo4538
    @geofreybalyobalyo4538 Рік тому

    Hv hawa hawawez kamatwa tena?

  • @didimeandrewngowi
    @didimeandrewngowi Рік тому +1

    Unavuta trigger, ni kama kiwambo cha kuweka Risasi kwenye chemba,tayari kutumika ( really to shut)

  • @petermshali5157
    @petermshali5157 Рік тому

    Duuuuuh....

  • @mtengwadj9390
    @mtengwadj9390 Рік тому

    Twende Kazi Mr

  • @twaibumikidadi7377
    @twaibumikidadi7377 Рік тому

    Davista muulize gizır huyu labda maisha yake bado sıo sawaswa tunaweza changıa kumpatıa ndugu zangu !!!

  • @driss4957
    @driss4957 Рік тому +1

    Kifaru alivuma kama upepo,Wenzie wengi wamekufa/wameuawa...Ilikuwa ukiamka alfajiri kama mgeni umekabwa..

  • @masoudmasasi1801
    @masoudmasasi1801 Рік тому

    wapi PART 5 kaka mkubwa jamaa simulizi yake imenigusa sana

  • @bahatimbuba8625
    @bahatimbuba8625 Рік тому

    Ukweli ni kuwa mama wa Misugusugu walimuua. Tulisikitika sana.

  • @suzansimon5296
    @suzansimon5296 Рік тому +2

    Mwananchiii😂 utopolo mnamambo nyie😹

  • @kilogreekachananawatuwasio4054

    Babu yangu kifalu mimi sina ya kukufamisha kabra mwisho ya hii story 😁hongera kama tutafutane katika mitandao ya kijamihi nipo ugiriki🇹🇿🇬🇷🇬🇷🙋

  • @zawiyatasha5098
    @zawiyatasha5098 Рік тому

    Good

  • @ramadhanishabani2743
    @ramadhanishabani2743 Рік тому

    Professor shusha mzigo mwingi wa huyu mwamba

  • @emmabrownmissana6996
    @emmabrownmissana6996 Рік тому +13

    Kama kuna mtu anataka number ya simu ya mzee kisiju gonga like!

  • @treyvissy9854
    @treyvissy9854 Рік тому

    Kile kinaitwa trigger sio tiger

  • @herbethlukogela7657
    @herbethlukogela7657 2 дні тому

    Oyaaah we acha ajieleze basi.... acha kuuliza maswali ya kijinga

  • @amurimusema4908
    @amurimusema4908 Рік тому

    Hayuko sawa huyo
    Amesha anza kuathilika

  • @rahaisacl9954
    @rahaisacl9954 Рік тому

    Uwanja wa barafu upo mburahati sio magomeni......

  • @heritier5119
    @heritier5119 Рік тому

    Sio tiger ni trigger

  • @mahengomwenyewe4204
    @mahengomwenyewe4204 Рік тому

    Kifaru namjua huyu jamaa mwenziwe ndonga soko mjinga kwa kindande ccm daban kaburi moja wamekaba sana yan huyu mtu katusumbua hana akili moja huyo mtu

  • @msafirimauridi7990
    @msafirimauridi7990 Рік тому

    Ulikua unnajisaiidia vp kwenye shimo

  • @florencerose859
    @florencerose859 Рік тому

    Lakini mbona sura haijabadlika bado ni ya matokeo matokeo

    • @dennismungai4632
      @dennismungai4632 Рік тому

      Mhhhh weweee eti Sura ya matokeo matokeo

    • @mahengomwenyewe4204
      @mahengomwenyewe4204 Рік тому

      Kifaru namjua huyu katusumbua sana mtoni nimeishi mashine ya maji kwa kindande mtongani maeneo ya jupita wamekaba sana kuna kifaru na ndonga mbwa hawa wametusumbua