Wachungaji wakataa ukristo mbele ya waisilamu part 2 by sheikh Anwar, Hassan and Salim

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 3 гру 2024

КОМЕНТАРІ • 60

  • @ahmedabdirahman8611
    @ahmedabdirahman8611 3 роки тому +4

    We wish ingekua live tukakusaidia ju wanauliza swali tofauti na mada kama kutahiri. ..selam from Turkey 🇹🇷🇰🇪

  • @Sal.0
    @Sal.0 3 роки тому +4

    MashaAllah. Some Da'ais forget to ask reverts to raise the 'finger of Shahada' during the Shahada! Well done team for the Kidole!
    May Allahswt bless the whole team. Ameen

  • @kawtharalbarwani1337
    @kawtharalbarwani1337 3 роки тому +5

    MashaAllah masheikhe wetu Allah awabariki kila la kheir na baraka afya njema na umri mrefu inshaAllah

  • @zeitunadan7597
    @zeitunadan7597 3 роки тому +5

    Mashallah may Allah reward for you

  • @safiaabdullahi8021
    @safiaabdullahi8021 3 роки тому +2

    Masha Allah sheikh wetu Mola akubariki na hio elimu

  • @khalidmata6942
    @khalidmata6942 3 роки тому +4

    MashaAllah God bless you

  • @bashirali2385
    @bashirali2385 3 роки тому +3

    MashaAllah

  • @oro_instru
    @oro_instru 3 роки тому +3

    😍😍😍😍😍😍😍

  • @issmuking3987
    @issmuking3987 3 роки тому +6

    Wakiwa hawafaham mnayowambia na sheikh wangu basi wasubiri moto tu

    • @SalmanMughal-lq5lt
      @SalmanMughal-lq5lt 4 місяці тому

      SubhanaAllah ..sijui.kwanini.hawaelewi

    • @SalmanMughal-lq5lt
      @SalmanMughal-lq5lt 4 місяці тому

      Uwingi.hatasiye.huwagatunatumia.kwamfano.unaweza.kufaa.nguo.ukajikweza.nguo.hii.tunaVaa.watu.kamasisi.na.upo.mmoja.lakini.unatumiawingi

  • @bakariomari3692
    @bakariomari3692 2 роки тому +1

    Kwani wakristo hamjatahiriwa ama

  • @abdur-rahmanmuhammad8531
    @abdur-rahmanmuhammad8531 3 роки тому +5

    Even in English we use plural instead of singular
    Example
    We say "How are you" instead of "How is you"

    • @yatatusimu2498
      @yatatusimu2498 3 роки тому

      Because the conditions of which I am questioning ... that relates to your well-being are many not that you are many ... think my brother

  • @duniawadunia4824
    @duniawadunia4824 2 роки тому +2

    Dada huyo mme wake ajatairi labda me sijuwi

  • @berniegn.983
    @berniegn.983 3 роки тому

    The only people who are going to be confused by Islam...are those who are not well grounded in the word of God.

  • @rahmasoliman489
    @rahmasoliman489 2 роки тому +1

    Kwahiyo nauliza sio Kwa ubaya huyo dada anakaa na mwanaume mwenye ngozi?

  • @johnmwanzia1116
    @johnmwanzia1116 3 роки тому

    when you say we are not baptize i wonder so much when is just clear and well stated in the bible, Mt 28;18-20, the bible says,...Jesus came and said to them, "All authority in heaven and on earth has been given to me. Go therefore and make disciples of all nations, baptizing them in the name of the Father and of the Son and of the Holy Spirit, teaching them to observe all that I have commanded you; and lo, I am with you always, to the close of the age."

  • @hassanimouigni6648
    @hassanimouigni6648 3 роки тому +3

    Wange mjua mungu halaf do wajue anaongea nini msi shtuke kuuliza hayo masuali yasio na mbele wala nyuma

  • @nancynancy7565
    @nancynancy7565 3 роки тому

    Hakuna siku ambayo NITAKUWA mwiislamu pengine niwe nimekuambia,huku n kumkataa mungu

    • @aliabdallah8456
      @aliabdallah8456 3 роки тому +2

      Jitahidi kusoma vitabu vyote alivyoleta Mungu iko siku utajua dini ya Mungu ni ipi na jitahidi kuuliza maswsli juu mambo ya Mungu utajua ukweli upo wapi na uongo upo wapi

    • @fatmamohd2444
      @fatmamohd2444 3 роки тому +1

      pole m.mung atakusaidia pale utapo uwona ukweli

    • @nancynancy7565
      @nancynancy7565 3 роки тому

      @@fatmamohd2444 mm nilishajua ukweli kitambo sasa mbona tupishe hapa,kwanzo ninafanya makosa kwa kupishana na neno la mungu,mm ninajua dini yakiristo ndio ya kweli, sijui ingine mm kuliko hapo,na tusipishane yaishie hapo

    • @muksiniabdallah7947
      @muksiniabdallah7947 2 роки тому

      Utapata khasara sana dd wangu

    • @ahmedabdulle4351
      @ahmedabdulle4351 10 місяців тому

      ​Uzuri haulazimishi na kurani imesema ilo, njia n mbili ukubali ama ukufuru qurani 76-3

  • @a76130
    @a76130 3 роки тому

    Its written in the bible jesus went to the sinagogou, does it mean for the quaran to be complete it needs the bible as a reference?

  • @josephkiswili1955
    @josephkiswili1955 3 роки тому

    Huyu mama amekutandiko K O Au chobo.hadi ukaongea kisomali hatari

  • @yatatusimu2498
    @yatatusimu2498 3 роки тому +1

    @Oscar Ramazani Mlio weng munapokea ya kuambiwa bila ya KU THINK pia wenyewe. SO hebu Kwa dakika Moja, tutanzue hii logic yako, eti kuwa Uislamu ni dini ya Yesu. It is a desperate little lie you let Satan use in order to confuse yourself and others who do not study history and theology with. Hebu tutafakari Kwanza. Kati ya Mohamed na Yesu Nani kamtangulia mwengine?? YESU /ISSA ALIMTANGULIA MOHAMMED BY 530 YEARS!! ISSA KAZALIWA (Bethlehem) 4BC KAFA (Calvary) 31AD, Sasa MOHAMMED -S A W, KAZALIWA (Mecca) 570AD KAFA 632AD (Medina) ... Na Kama UISLAM, MNADAI kuwa HAUJAINGIA DUNIANI, MPAKA ALIPOKUJA MOHAMMED mwanzilishi wake, ... NA WAKATI HUO YESU AMESHAKUFA KITAMBOOOO ... ZAIDI YA MIAKA 539 IMEPITA, BASI UISLAMU SIO DINI YA YESU, KWA SABABU, UISLAMU HAUTOKEI DUNIANI MPAKA MOHAMED ANASHUSHIWA QURAN NA KIUMBE KEWENYE PANGO ... Mwaka 610AD NA HII TUMEONA KWA MUJIBU WA MWAKA AMBAO YESU ALIKUFA 31AD, HAPO JUU, KUWA NI ZAIDI YA MIAKA 579 BAADA, SIO KABLA ... No MIAKA 579 BAADA YA YESU KUFA!! SI NDIYO? - SASA YESU ALIKUWA ANATUNZA DINI GANI MIAKA YAKE YOOOTE MPAKA ANNAKUFA??, HAPO SASA HUWEZI SEMA NI UISLAMU TENA. NA TENA UKISEMA BADO NI UISLAMU BASI MOHAMED SIO TENA MUANZILISHI WA UISLAMU, NA MNATAKIWA KUMFUATA YESU NA SIO MOHAMMED TENA ... SHIDA HAMSOMI ILI KUELEWA, ILA MNASOMA ILI KULUMBANA. ...

  • @dekathuva6443
    @dekathuva6443 3 роки тому

    Muhammad is not mentioned explicitly or ;implicitly in the Bible, God's oldest written revelation (and the only written revelation as far as Christians are concerned). But Christ Jesus is found in the Quran.

  • @johnmwanzia1116
    @johnmwanzia1116 3 роки тому

    naomba msome biblia vizuri na muende kupingana na watu ambao wamesomea biblia vizuri bila kuchukua watu njiani na kuwauliza maswali maswali....kama imani ya muislamu inamtayarisha kwenda mbinguni ama kuwa na uzima na wakristu pia wanamwamini Mungu ili kupata uzima wa milele, shida ipo wapi jamani, nawaombeni mu hubiri sio kuleta utata..naombeni .tusubiri baada ya kuondoka kwetu hapa ardhini Mungu anatujua sisi na usafi ama udhaifu wetu, anafhamu nani wa kwake ..alafu nawaombeeni msome biblia please please sio lkitabu tu bali chenye maneno ya uzima

    • @salimdaawah123
      @salimdaawah123  3 роки тому

      Hawa wakristo wanajua bibilia kukuliko wacha kuwadharau

  • @josephkiswili1955
    @josephkiswili1955 3 роки тому

    Anwari danganya waislamu ndio hawajui BIBLIA unasema ubatizo ni sheria ya kale jee,kutahiriwa ni sheria ya sasa au ni yakalee nausisahau umeambia uma hakuna kutahiwa ndani ya Quran nauliza umesema ubatizo ni mambo ya zamani kutahiri ni mambo ya zamani au sema ukweli wacha uongo,

  • @hassanimouigni6648
    @hassanimouigni6648 3 роки тому

    Yinamana hamjui kwamba mko kwenye usingizi bila kua waislam mko kwenye usingizi

  • @josephkiswili1955
    @josephkiswili1955 3 роки тому

    Anwari wacha uongo eti ibatizo ni sheria ya zamanii jee swali kwako kutahiriwa ni sheria ya sasa au ilikuweko kitambo na umetangazia uma kwamba ndani ya Quran hakuna kutahiri, waislamu wanatahiri kwa sheria ya sasa au ya kalee,maana umesema ubatizo ni sheria ya kale.nyoosha maelezo wacha kihepahepa

    • @omaar5693
      @omaar5693 2 роки тому

      katika Quran hukuna kutahiri,,,,
      Unajua kwa nini???
      Ilikuwa ni utamaduni tangu huko kwa Ibrahim sasa utamwambiaje mtu nenda ukatahiriwe wakati hana govi,,,
      Si unaona hapo wote wamevaa nguo ndio maana hatufundishani kuvaa

  • @terryexawer3034
    @terryexawer3034 3 роки тому +1

    Kuhusu yesu kubatizwa ipo dhahiri katika kitabu cha mathayo Mathayo 3 13
    Wakati huo Yesu akaja kutoka Galilaya mpaka Yordani kwa Yohana ili abatizwe.
    Mathayo 3 15
    Yesu akajibu akamwambia, Kubali hivi sasa; kwa kuwa ndivyo itupasavyo kuitimiza haki yote. Basi akamkubali.
    Na kubatizwa ni kutimiliza haki yote means things u should do cz nilazima walakini yesu mwenyewe alijua kuwa kuna watu hawato muamin akasema Yohana 6 44
    Hakuna mtu awezaye kuja kwangu, asipovutwa na Baba aliyenipeleka; nami nitamfufua siku ya mwisho.
    Yohana 6 45
    Imeandikwa katika manabii, Na wote watakuwa wamefundishwa na Mungu. Basi kila aliyesikia na kujifunza kwa Baba huja kwangu.
    Maybe Mungu ajakuvuta kuja kwake au kakuvuta umegomea huko huko na kufanya shingo ngumu sasa je kama wewe wamfahamu isa bin mariam je huyo ni mesiha ambaye nabii isaya aritabir atakuja au siye ?

    • @terryexawer3034
      @terryexawer3034 3 роки тому

      Na kingine mimi nimejifunza Biblia zaidi ya Quran ila kwanamna injili inavotakiwa iwe nikuhubiria na kutafsir kile kitu unachoamin kwa mfano hubiri watu waache dhambi na kumrudia mwenyezi Mungu kwa jinsi unavo amin na Quran ilivokufundisha mtu kutubu nasi kukosoa na kuhukumu

    • @terryexawer3034
      @terryexawer3034 3 роки тому

      Ukiangalia mkristo anaejielewa awezi kuanza kusema uislam sio din yakweli no who knows dini ya kwel but nina amini yesu ni Messiah na agizo alilotupa sisi tuhubiri watu waache dhambi Marko 16 15
      Akawaambia, Enendeni ulimwenguni mwote, mkaihubiri Injili kwa kila kiumbe.
      Marko 16 16
      Aaminiye na kubatizwa ataokoka; asiyeamini, atahukumiwa.
      Marko 16 17
      Na ishara hizi zitafuatana na hao waaminio; kwa jina langu watatoa pepo; watasema kwa lugha mpya;
      Marko 16 18
      watashika nyoka; hata wakinywa kitu cha kufisha, hakitawadhuru kabisa; wataweka mikono yao juu ya wagonjwa, nao watapata afya.
      Na ukisoma Quran 5 117 isa bin mariam alisema ckuwaambia chochote bali vyote ulivyo niagiza so kama yesu kila alosema ni aliagizwa na MUNGU mimi ni nani nikapinga

    • @terryexawer3034
      @terryexawer3034 3 роки тому +1

      Na ukisoma ata kwenye Quran 5 117 nyie mna mwita isa bin mariam alisema sikuwaambia lolote bali ulilonituma ivyo bac mwenyezi MUNGU aliagiza tubatizwe kama yesu alivosema kwenye marko

    • @johnmalembo6464
      @johnmalembo6464 3 роки тому

      @@terryexawer3034 ameni.

    • @seifabdulwahid4579
      @seifabdulwahid4579 3 роки тому

      Hayo magugu mnopandikiza .Waziristan funuweni macho

  • @hassanimouigni6648
    @hassanimouigni6648 3 роки тому

    Mama hajawahi kuona mtu alio twahiriwa awu nini?

    • @moshantoj
      @moshantoj 3 роки тому

      Kama Muhammad hakutahiri

  • @BURHANDAWAHMAN
    @BURHANDAWAHMAN 3 роки тому +4

    MashaAllah

  • @myoutubecom-gg7sb
    @myoutubecom-gg7sb 2 роки тому +3

    MashaAllah