Waooooooh waooooooooh waooo kaka yetu yani kama mi sipitwi na simuliz zako yan niko makimi sana 🥰🥰🥰🥰🥰🥰🥰🥰🥰ongera sanaaaa anko jey wetu tunakupend sanaaaaaaa❤❤❤❤❤❤❤
Jamani anko Jay pale patamu mtu yuwatega sikio vizuri ndo nawe JE! Msikilizaji, anko wewe kiboko yao, zidi kubarikiwa sana kaka pamoja na watunzi wote anko Jay family ❤❤❤🎉🎉🎉
Kina mama tuwe makini na Akili zetu,Tusiwe kmmama Happy kwa kumuamin mtu kwa Muonekano na kumdharau mtu kwa muonekano vlvl Acha 2ione akili ya Happy mwenyewe ni kweli Njia Panda
Jamani wakwanza leo munipe ata like mbili basi ntashukuru pia🎉🎉🎉
Wow...
Sauti tu mwenzio taabani ❤❤❤❤🎉🎉🎉🎉
Waooooooh waooooooooh waooo kaka yetu yani kama mi sipitwi na simuliz zako yan niko makimi sana 🥰🥰🥰🥰🥰🥰🥰🥰🥰ongera sanaaaa anko jey wetu tunakupend sanaaaaaaa❤❤❤❤❤❤❤
Jamani anko Jay pale patamu mtu yuwatega sikio vizuri ndo nawe JE! Msikilizaji, anko wewe kiboko yao, zidi kubarikiwa sana kaka pamoja na watunzi wote anko Jay family ❤❤❤🎉🎉🎉
Ancle sauti unaitendea haki kwakwel ❤ uwii ilaumetuach njiapanda Tunaomba sehemu ya pili🙏🙏🙏🙏
Nimewahii leo like hata kumi basi wana familia ya anko j❤❤❤❤
Chukuwa haya basi🌹🌹
@@wilkisteradhiambo3072 asante my
Ucjal mwaya tuko pa 1like 2 haya chukua 🌹🌹🍇🍇ya upendo kwa ajili ya Anko J mapesa
Tuko pamoja faminya chukuwa mauwa yako🎉🎉🎉🎉🎉❤❤❤❤❤❤
@@fatmahmkuzi asante my
Mnao fika Leo pinga like hapa❤
Shukrani kwenu anko jay na steven zacharia kwa kazi safi kwa mafunzo mazuri zaidi katika ulimwengu huu
Wa Kwanzaa jaman leo baada ya miaka kadhaaa
Finally ❤❤
@@shantellekwamboka7444kwakweli jaman loooh ❤❤❤❤🎉🎉🎉
Hongera 🎉😊
@@ankojay_ Asante sana anko wang Yan leo uuuuwiiiiii😄😄😄😄😄😄😄😄😄😄😄😄😄😄😄😄
Pendaa anko jay❤❤❤
Nimewahi uwiii 🔥🔥
I say kama kuna kitu huyu mkaka alibarikwa nacho ni sauti ana sauti tamu sana ❤❤❤❤❤
Ni mzuri poa😂😂
@@LispaKadzoKalu Yani wanaume wote wangekua na sauti kama hii ingekua Raha jameni 😂
Nimechelw kidogo tu jamn🎉🎉
Leo nimewahi, like kama kumi tu basi
Sipo mbali nami nimefika like zanguuu❤❤❤❤❤
Anko asante kwakitu kipy lakini nimewahi nami nimeka nasubiri kila mda nilikuwa nikichungulia 😂😂😂
Hata kama nimechelewa!!! Mapenzi jamenii😢😢😢❤
Simulizi nzuri yenye mafunzo, tafadhali tuma sehemu ya pili
Kama laws ankoj pamoja sana❤❤❤🙏🙏🙏
Pamoja anko ...mapenzi jameni 😢😢😢😢
Sijachelewa sanaaaa❤❤❤😂😂naomb msinijime like.
❤❤❤❤❤🎉🎉🎉🎉 waoooooh anko mapesa
As long as sauti ni ya Anko mapesa..im ready to listen.❤❤❤❤❤
Kama mm yani sjazoea ile nyingine
Tuko wengi😂
@@shanikiwele3111 si wewe pekee my dear last time nisema hivyo nkaitwa mchawi
Me too. I just can listen to any other voice. Love ya AJ
@@shanikiwele3111😢😢😮
Kwa kweli hii ndiyo njia panda mwandushi hajakosra kusema njia panda😅😅😅😅😅😅
From 🇰🇪🇰🇪🇰🇪 am listening ❤❤
tupo njia panda ❤❤❤
Jaman nimewahiiiii like zenu nimekuwa wa kwanza
Hongela sana anko jey Kwa sauti pale unapoweka kipozeo ❤❤❤
Mwanzot tu tammmmm jamn ngoja niendelee Kwanzaa❤❤❤❤
Yaani anko Jay akipata simulizi ambayo anafaa kuvaa uhusika inanoga sana kuliko akielezea nafsi ya pili👌👌Ila na enjoy ❤❤
Wakwanza❤😂
Anko mapesa i love you more❤❤❤ sauti ikiwa yako kwisha mimi😂😂😂,, asante kwa njia panda🎉🎉🎉
Mashallah tabarak Allah habibi kazi mzuri Allah akubariki
Nimewai mnipe like tukisubiria X❤❤
Peter ana mapenzi ya dhati kwa happy Patrick hana mapenzi ya dhati happy yuko sahihi mama happy kua makini na kauli zako shukran Anko Jay
Kina mama tuwe makini na Akili zetu,Tusiwe kmmama Happy kwa kumuamin mtu kwa Muonekano na kumdharau mtu kwa muonekano vlvl Acha 2ione akili ya Happy mwenyewe ni kweli Njia Panda
VIP Mumbi Wa Naivasha ako Ndani wapi likes
Nimewai Leo mapemaa🔥🔥🔥
Tupoooo timu. ankoooo tupe matamuuuuuuui
Allah akulindeeeee ❤❤❤❤❤
Simulizi zuri Anko Jay asante 🇨🇵🇨🇵🇨🇵
Kazi zuli sana❤❤❤❤❤
Wow yaani tunakupenda ankoj sisi familia yako twakupenda sana. Yeyote anae mpenda ankoj nakupenda pia ❤❤❤❤❤❤❤
Anko j simuliz nzur sanna hii inatufunza vitu vingi kwel.🥰🥰🥰 ila tunaomba part 2 bac
Tunashukuru sana anko j ila nilikuwa nimesubiri sana x
Leo nimefurah nimeskia saut ya Ankojay 😂❤❤❤ kwenye simulizi mpyaa ❤❤❤
Angalau nimewah na mm japo mpo vizur❤❤❤
Tuachilie njia panda hhi ya X tumeimaliza❤❤❤❤
Much love 😍😍anco jay simulizi
Jmn c ungemalizia hapooo❤❤
😂😂😂😂😂mzee Mwita,mkuki kwa nguruwe kwa binadamu mchungu😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂
Ankojay mapesa much love
Asante sanaa ankojay kwa simulizi hii bomba kweli kweli ❤️❤️❤️❤️❤️❤️🎉🎉🎉🤣🤣
Leo namimi nmewai❤❤❤❤
❤❤❤❤❤❤❤ kesho in shaa Allah nitaisikuza leo nimetigwa
Siku zote usisahau unachoomba kwaajili ya wengine,ndicho utakacho kipokea toka kwa Mungu,kama ni kizuri au kibaya utapokea hicho
🙏🙏🙏 ANKO JAY MUNGU AKUBALIKI SANA UNAWEZA SANA
Yaan notification imechelewa kuingia kwangu 😊
Mapenzi yanatesa watu uku nnjee mm wacha nipendee pesa na Eddy crash wangu 🤣🤣🤣🤣🙈
Mm nalia Leo nime chelewa lakini ankojey god bless you
Mashalla angalau leo tumesikia sauti ya ancojay ❤❤😂❤
Tnx
❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤🥰🥰🥰🥰🥰🥰🥰🥰🥰🥰🥰naoenda kazi zako sana asanta sana
Asante sana similizi zako zinafundisha ankoj
Ubarikiwe uncle
Simulizi tamu sana Ankojay ❤❤❤❤ shukrani sana kwa simulizi hii🙏🙏
Nachelewa nowadays but tuko pamoja ,much love from Kenya Anko
Asante kaka nakuelewa sana
Nasikiliza tuu ila ndiyo nimerudi tena jamaniii 🇴🇲😘😘
Eeh huenda mapenzi sio sehemu yangu ya maisha acha 😢
Usjali dear wakati wa mungu ni sahihi zaidi kwenye maisha yetu usikiri mabaya mpenzi😊
Amen my
Kbsaà yaan
Dah Raha sanaaaaa
Ubalikiwe ankojay kwakutoa mpya❤❤❤❤
Nimewahi kidogo 😂😂😂
Nimekuwa wapili leo ❤❤❤❤ Ilove anko jei
Hongera dear
Ankol jay 😢 ulisema mbili moja simulizi ingine movie 🍿 bona hamna movie 😮
Dieu est grand!🇧🇮🇧🇮🇧🇮🇧🇮 Ankojay courage c,est une belle histoire much ❤❤❤ from Burundi.
Anko Jay tupe x 10
Amazing 👌👌👌❤
Wawooooooo bonge LA simlizi
Anko jay❤
Nimewai❤❤🎉🎉
Anko jay mwenye mihela yake mjini❤❤❤❤❤
Kazi zuri 😍😍😍
Naona katika picha huyu wakofia tuu ndo pat😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂jamaa wakufagilia
Anko j leo unaumwa na kifua pole sana tuna enjoy
Yes I gach you 💖💖💖💖💖💖💖🌹🌹🌹🌹🌹🌹🌹🌹😂😂😂
Hiyo sehemu ya pili nasubiria kwa hamu sana
hmmm jaman hata urauke lazima uchelewe
Jamn mbn sioni mwendelezo
Lovely ❤❤❤❤❤
Tupe mambo akojay
Tunasubiri mazishi ya Rais katik move ya x
Antoine jey❤❤❤❤
Ankojey❤❤❤❤
Pol san hep😢😢
Solute Anko jay ❤
Ata kama nimechelewa lkin naakikisha hii saut ya anko ainipoti
Na mm cija chelew❤❤
mzee mwita ni mzee asiyo jielewa yani ukikatariwa ndio unaenda kwa mganga kumroga mtu awe mlemafu kweli 😢
Wamwisho 😮😮
Ankojay Asante Sana ❤❤
Kazi safi ❤❤
Wow so Amazing Anko