Hivi ndivyo ilivyo kwa binadamu wengi wa kizazi hiki,ubinadamu umeisha tamaa mbaya ndiyo inatawala😂😂😂😂😂 ona Happy alivyo mjinga,hata mwonekano wa mtu tu unamsumbua😂😂😂😂😂😂😂😂😂, wuwiiiii
Mama happy umepotea njia utakapo jua ukweli utashangaa Mungu yupo Mama happy na mwanae hamna msimamo kabisa pole sana Peter Mungu yupo pamoja nawe🙏🙏🙏 shukran Anko Jay kwa simulizi nzuri
Ukipenda mtu basi lazima ukubaliane na kila jambo lililopo beleni mana sio wote wanaopenda kuona maisha mazuri kwa weziwao nakupenda sana Ankojay 🎉🎉🎉🎉🎉❤❤❤❤❤❤❤
😂😂😂😂kah mama happy kakenua meno baada ya kuona simu panguza na huku anajitia hataki akisema Patrick Patrick Patrick nyooo mlisikia kila asiye vaa vizuri ni maskini mbona huyu mama ataumbuka! Tujifunze jmn kuheshimu kila mtu na hali yake aliyo nayo,jmn 🌹🌹🌹 yako hayo mtunzi na msimuliaji napenda sana simulizi za mr. Zach kwn simulizi zake zinampangilio mzuri be blessed ma loved ones
Asante Ankojay kwa simulizi zako nzuri sana zenye mafunzo mema.p Kwa kweli methali inayosema kikulacho ki nguoni mwako kimejitokeza vizuri sana katika simulizi hii ya njia panda kwa mfano mama mwantumu, Patrick na Irene. Nasubiri kuendelea sehemu ya tatu pindi tu utakapoiachilia. Hongera Kwa mwandishi na msimuluzi.
Waoooooo hello dear nimrwai leoo nipeno like zangu jaman nakupenda sana dear Mungu azidi kukulinda kila itwapo Leo Sawa take ❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤mwaaaaaaaaaaaaaaaa
Ijapokuwa simulizi hii ni ya kutunga, lakn kuna jambo hapa wanawake wanatakiwa kujifunza kama mbinu mojawapo ya kumjua mwanaume mwenye mapenzi ya dhati kitu ambacho naamini 95% yao wanazingatia mwonekano wa nje wa mwanaume.
Tunao mpnd peter kwenye hii simulizi tujuane Kwa comment 😂😢😢😅
Tuko pa 1
Tuko sambamba team peter
Tupo pamoj😅
Tupi pmj
Tupo pamoja ❤
Woyoooo Ahasante Akali mambo 🔥🔥🇴🇲 love anko jay 🇴🇲❤️🥰
Uncle j haki hujafanya poa nimesubiri part 2 ya jini mahaba mpka Leo bado tu
Wakwanzaaaaa nipeni likes za anko jay nimpe mwenyew anko chukua mauwa yangu hayo🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉❤❤❤
Anko kama anko
@@AminaMuhammadkuzenzaajQ
Asanteeeeee yqkulalia leoooo🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉 Tim pita like hapa👇👇👇👇👇
usimdharau usiyemjuwa mama happy yuko kimaslay Zaid anataka maisha ya kufahari bila kujuwa wenzake wamepataje😂😂😂
Hivi ndivyo ilivyo kwa binadamu wengi wa kizazi hiki,ubinadamu umeisha tamaa mbaya ndiyo inatawala😂😂😂😂😂 ona Happy alivyo mjinga,hata mwonekano wa mtu tu unamsumbua😂😂😂😂😂😂😂😂😂, wuwiiiii
Leo mimekuwa Wa kwanza❤❤❤ wow
Wa kwanza Leo jmn 👐👐
Wowwwww❤ kwanza kusikiza crash wangu 😂😂😂
Shukrani kwa hii simulizi nimeisubiri kwa hamu much love anko j❤❤❤
Jamani nimewahi nipen like 😮
Mambo ni moto wakwaza jamani❤❤❤❤❤❤
Mama happy umepotea njia utakapo jua ukweli utashangaa Mungu yupo Mama happy na mwanae hamna msimamo kabisa pole sana Peter Mungu yupo pamoja nawe🙏🙏🙏 shukran Anko Jay kwa simulizi nzuri
Ukipenda mtu basi lazima ukubaliane na kila jambo lililopo beleni mana sio wote wanaopenda kuona maisha mazuri kwa weziwao nakupenda sana Ankojay 🎉🎉🎉🎉🎉❤❤❤❤❤❤❤
Hapo sasa wa kwaaanzaaaa
Mashallah anko Jay Allah akubariki akupe maisha marefu inshallah
Steven Zakaria kazi nzuri bila kusahau kipenzi chetu Ankojay hamujambo
anko j hii simlizi nzuri sana vp part3 jaman inafundisha sana
Tunakupenda ankooo,, ❤❤❤,, tunapat mafunzo ,na njia panda, huku kukisubiria mov yetu
Wuwiiiii 😂😂😂😂😂😂Patrick unaumbuka mchana kweupee😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂
Tuko apa wapenzi wa peter
Nakukubali.san
Amaa kweli wachawi so wale wanao lala wakiwanga kwn hawa wanawake wawili mama mwantum na mama Daniel wamezidi hata wale wachawi walio graduate 😢😢
😂😂😂😂kah mama happy kakenua meno baada ya kuona simu panguza na huku anajitia hataki akisema Patrick Patrick Patrick nyooo mlisikia kila asiye vaa vizuri ni maskini mbona huyu mama ataumbuka! Tujifunze jmn kuheshimu kila mtu na hali yake aliyo nayo,jmn 🌹🌹🌹 yako hayo mtunzi na msimuliaji napenda sana simulizi za mr. Zach kwn simulizi zake zinampangilio mzuri be blessed ma loved ones
Aiseeeee leo nimejalibu kuwai aisee 😂😂😂😂😂Anko asante xn mungu akubariki xn ❤❤❤❤
Asante sna kwa simuliz tamu na yenye mafunzo l say 🎉🎉🎉🎉
Mhuuu , huyu mam mwantumu jamn hapan kiukweli duuuh😮😮
Leo sijachelewa niliowakuta naomba like zenu kila mtu Moja Moja tupeanene plz🙏
Shukrani Habib kwa.muendelezo
Huyoo wa mwishoo amefika
Peter umenifundisha kitu sana katika maisha❤❤❤
Wakwanza kelele moja kwa anko j
Weeeeee, mam mwantumu weeee ,, moto unakusubir kwa mungu wew , unaroh gani wew
Let me enjoying simulizi tu niliomba likes sikupewa😅😅
Oops 😂😂😂😂 nimekupea
Mmmm uwe aise binadamu hapana 🙆♀️🙆♀️😢😢
Uuuuwiii ahsanteee san ankoo
Santariri anko j maupendo dawima😅😅mmmmwaaaah
Wee mama Happy 😂😂😂😂si useme tu marahaba gari badala ya mwanangu 😂😂😂😂jamani dunia simama nishuke 😂😂😂😂😂😂
Wew noma sana
Wawooooo anko j naona unatuletea vitu hatal sana dur
Sawa Kaka nakuelewa sana
Waoooooooooooh Wa kwanza kama kawaida yangu chezea kulala you tube kwenye simulizi za anko Jay 😂😂😂😂😂
Naomba sehemu ya mwisho tafadhali ❤❤❤ I kopoa sana
Jamani anko jay mbana wanafiki niwengi hapo
Hapo sasa njoo mi nko hapa ankojay❤❤❤❤❤🎉🎉🎉🎉
Nibalaaa
Woow anko asante japo nimechelewa 🥰🥰
sin neno la kutia mpeni tu maua makop❤
Maskini happy omba kwabidi Sana anko jay na wewe sauti baba🎉
🔥🔥🔥🔥🔥 hatar jmn
sijachelewa sana 50 min de plus,anko je t'aime mon amie
Eti viwango vya tbs duuuuu, anko umetisha😅😅😅😅😅😅😅
Daah katika Maisha usimzarau mtu kisa maskin hii smuliz inatufuza 😂😂😂
Kidogo nimewah
team peter tupo jamani wanawume wema kumbe wangali jamani
Anko jey love u thanks kwa sehemu ya pili ya njia panda❤
Hun mbaya ankojay sauti yako pia ni tam hatariiiiii❤😂
Hongera sana Anko J mungu azidi kukubariki
nice ankojoy part 3 chelewa chelewa jamani mama mwatu ameku. chake😂😂😂
Napenda 🎉❤❤ story ankoo
anko tuko pamoja man
Simulizi uko poa❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤ naipenda saan❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤
Aaah mi pia wakwanza Leo jmn haiwezekani niwe wamwisho Kila siku
Waooo shukran sana ❤❤❤
Waooooo love this story
peter na happinesses mwekeni MUNGU mbele yote ni mitihani na unamwisho
Ila Ankojey munanifurahisha❤❤❤
Asante Ankojay kwa simulizi zako nzuri sana zenye mafunzo mema.p Kwa kweli methali inayosema kikulacho ki nguoni mwako kimejitokeza vizuri sana katika simulizi hii ya njia panda kwa mfano mama mwantumu, Patrick na Irene. Nasubiri kuendelea sehemu ya tatu pindi tu utakapoiachilia. Hongera Kwa mwandishi na msimuluzi.
Anko j pamoja sana😅😅😅
leo nime wahi like zenu 😂❤❤
Waoooooo hello dear nimrwai leoo nipeno like zangu jaman nakupenda sana dear Mungu azidi kukulinda kila itwapo Leo Sawa take ❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤mwaaaaaaaaaaaaaaaa
Jamani peter kapitia mengi 😢😢❤❤❤
Daaa,usilolijua ni kama usiku wa giza!
Nice❤❤❤❤❤❤❤🎉 tunagoja part 3
Jaamqni mauwa yanguu🎉🎉🎉🎉🎉🎉
Maua yako ankoooo🎉🎉🎉🎉
Kimeumanaaaa
Me nampenda Peter
Ila Sabra yupo vizur sana
Ngoja leo tuende na njia panda tusiwe wapweke unatujali sn
Ankoj nakumiss😂😂😂😂
Ijapokuwa simulizi hii ni ya kutunga, lakn kuna jambo hapa wanawake wanatakiwa kujifunza kama mbinu mojawapo ya kumjua mwanaume mwenye mapenzi ya dhati kitu ambacho naamini 95% yao wanazingatia mwonekano wa nje wa mwanaume.
Leo kidogo ni mewahi
ᴺᵈⁱᵒ nafika❤❤❤
Good job kiongozi
I like it
Nmechelewa dah lkn tupo pamoja wasikilizaj wa Anko jay
Warereeeee hooiiiiii🎉🎉🎉🎉❤❤❤❤
Anko j X11 huyu sio Rais Eddy,hapa ni Anko j ,tuletee Edd atusogezee waziri mkuu ampe za nyuuuu 😂😂 lete X12 haraka jamani
Asante Anko jay jaman ,🙏🔥🔥🔥🔥
Asante Ankojay kwa kuletea part 02 acha tuenjoy mach love ❤❤❤❤❤❤🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉twakupenda sana... familia ya Ankojay pamoja mpaka tamati
ANKO J X IMEFUNIKAAAAA
Asante sana Anko J mapesa kwa mwendelezo
Nice❤❤❤❤❤❤❤🎉🎉
Tupe sehemu ya mwisho ankoj tunaisubilia kwa hamu xn
Nice❤❤❤❤😂😂 tunagoja part 3
Chukuw maua yako 🎉🎉🎉🎉🎉
Thankz anko❤❤❤
Wachawi wabaya
Asante anko jay tatizo happy NYOTA
Unaachaje Sasa kumpenda Peter weeeee wenye hatupendi wakaka wenye Sifa kama Patrick gonga like 👇👇👇👇👇👇👇👇👇