Ankojay hongera nikiwa mwanafamilia wa simulizi zako hongera hii simulizi ya jini Kama vile ya kweli inasisimua Ile mbaya lakini haya Mambo yapo kabisa
Nimeielewa hii simulizi Anko Jay,kila laheri mtumishi namkumbuka na mtangazaji wa Tbc enzi hizoooo Hayati Ben Kiko kipindi cha uhai wake🎉🎉🎉.Naiwe Hivyo kama ulivyo nena ANKO JEY
Good job 👌👍 congratulations 👏👏👏🎉🎉🎉 my wetu kipenzi anko Jay mapesa nakukubali sana unatisha sana mambo ni moto moto yani fire BIG RESPECT My brooo ❤❤❤❤ all
ila iyi simulizi jamani tamu saan. anko jay wetu asante ila umejuwa kutuchekesha kwakweli. sasa uyo kijana mupenzi wake suzana alijuwa kwamba ujinini wanaongea EGLISH jamani
Iwenisimuluzi tuu jaman mana kama kunauhalisia kweli wanaume hawana nguvu zakuxaa na mwanamke naye kuzazi hakuna haya mpenzi wamtu yuko ugenini mwali anamtaka wazazi hawataki binadamu mbona kaxi kivumbi leo
Asante Ankojay na team yako na mtunzi wa hii simulizi Ally Mbetu🎉😊 mungu awabariki Leo mmeleta hii simulizi nzuri na ya kusisimua😊🙏
Anko jay" mungu alikupendelea una sauti nzuri sana naipenda..❤️❤️❤️ nakutakia kazi njema yenye mafanikio maishani mwako InshaAllah
Nisipo skia hii sauti huwa nahisi kama naumwa vile dhaaa Anko ulibarikiwa sauti nzuri ya kutoa nyoka pangoni ❤❤❤❤
Ni Majabu sana simuliz hii ankoj nimefurahi sanaa. Tena nimejifunza.
mimi nim geni humu nangoja simuliz m pya
simulizi tamu hongera sn anko jay
Mm nimekua mjinga ata muvi siangalii nasikiliza simuulizi zako tu❤❤❤much love broo kazi nzuri hongera
😊❤ Thank You so much
@@ankojay_ usiwekee makopa mengi jmn naumia😅😅🥰🥰
nakubali san simuliz za aunk jey nakupenda bure na hiy saut yak ndo yanimaliza hii simuliz ni 🔥🔥🔥🔥🔥
Ankojay hongera nikiwa mwanafamilia wa simulizi zako hongera hii simulizi ya jini Kama vile ya kweli inasisimua Ile mbaya lakini haya Mambo yapo kabisa
Thank you so much 😊❤
Nimewahi leo jamani like zenu hata tano tu ❤❤❤
❤❤❤❤
Izo simulizi unazo audio
Jamani mim mwenzenu njee na saut ya anko jay nashindwa kusikiliza simuliz ya mtu mwingn 😮du jmn nakupenda wew kak jamn
Hata mimi nakupenda
Nimeielewa hii simulizi Anko Jay,kila laheri mtumishi namkumbuka na mtangazaji wa Tbc enzi hizoooo Hayati Ben Kiko kipindi cha uhai wake🎉🎉🎉.Naiwe Hivyo kama ulivyo nena ANKO JEY
Merci beaucoup Anky jay 🙏🙏🙏🇨🇵🇨🇵🇨🇵
Haka kamzikiii kananikumbusha move za kanumba😢😢😢❤
Nikweli kamzik hiki kinatukumbusha mbali san enzi za kanumba 😢😢😢😢😢😢
Hakika anko j unasauti nzur mungu akujalie maisha malef ❤ nakupenda😅😅😅❤❤
Hii simulizi nzuri lakini nimechelewa lakini Niko hapohapo ngangari jamani wanaume wetu Wana matatizo mungu apo mungu ndiye silaha ya yote❤❤❤
Simulizi na msimuliaji perfect 😇😍😍
Thank you so much
Izi simulizi unazo audio
Wakwanza leo nipeni likeszenu
Thanks anko j kwa simulizi nzuri pokea🎉🎉🎉🎉🎉kutoka kwangu
Thank you so much
❤ napenda Sana saut yako anko jay,yaan simuliz nzr Sana na Ina mafunzo ndan yakee❤🥰
Daaah jamaa kweli anajua kusimulia
Sisi kama wafuasi wa anko jay tunaenjoy sana much love for you 🥰❤
My brother hakika Una voice nzuri sana pia simlizi zako nazipenda sana Allaah akulinde akupe umri mrefu
Thank you so Much
Asante Anko Kwa simulizi nzuri,
❤❤chukua upendo wangu kijana unkol j,kijana mwenye sauti ya kuvutia❤❤❤😊😊😊
Mm n mgeni ila napenda sana simulizi zako anko j,,,waga kila siku mpk niskilize ndo nishinde vzr n zanifunza vitu vng🎉🎉
😊leo nimechelewa
Anko j simulizi tamuu sanaa lakini iyo background song ina sauti sanaa
Great nmemiss sauti yako 😢wewe ankol jay
Enjoy
@@ankojay_ mmh hatimae leo nasikia saut yko Anko J kwan nliipeza
Anko jay ❤️simulizi zako nzuri sana,
Yan simulizi hii ni 🔥🤭😂🤣🤣 ahsante AnkoJay 🙏
Nimechelewa leo,, japo tu pamoja,, anko jay thank you
Amazing story🎉🎉🎉😂😂😂😂 Brighton amepatikana malkisi wacha kueka watu roho ju ju 🤣🤣🤣💃💃💃🥱🥱🥱
Haya like kwa wale wa mwisho Leo🙏
Waoo!❤❤❤❤❤❤🥀🥀🥀🥀🥀🥀🥀🥀🥀🥀 kwenu Ankojay na Dr Ally Mbetu
😊❤ Thank you so much
Napenda simulizi zako za kusisimua yaan za kutisha
Asante Anko jey nzuri sana❤❤❤
Yaan natamn siku zote uwe unasimulia ww na sio mwingine jmn anko jay 🥰
Safi
😂😂😂😂😂yes it's true me to love her 😂😂😂😂 umemaanisha nini Anko jay sijakuelewa 😂
Story nzuri😊
Thank You So Much
Good job 👌👍 congratulations 👏👏👏🎉🎉🎉 my wetu kipenzi anko Jay mapesa nakukubali sana unatisha sana mambo ni moto moto yani fire BIG RESPECT My brooo ❤❤❤❤ all
👏👏 Ahsante sana, nawapenda pia
@@ankojay_ pamoja my love wetu kipenzi
Upo vizuri mkuu
Jamani anko jay nakupenda sana sema ujui TU,, nahii sauti Yako ndo inanimaliza kabisa
Asante anko nilimic sana sauti yako 🎉🎉🎉🎉
Sija jelewa lakini tuko pamoja nipeni liké ❤❤❤😂😂😂
Kka hongera unajua kusimulia allah akupe umri mrefu wenye amali njema
Ameen Allah andika kwa herufi kubwa Shukran
Anko jay achilia moreni part 2❤❤❤❤❤
Utaona nipen like zangu huwa nawaza upewe like ili iweje kwa mfano
Kaz nzur brother
Sawa
bado sijawai amini hizi simulizi🤷but hii leo heee kali🙋inaelimisha 😊hizi vitu sinatokea duniani🙆
Mimi mwenzenu nilishaolewa na sauti ya ankoy😂 Yani nisipoisikia sina amani kabisa i say❤❤❤
😂😂😂
Mimi kazini nasingizia ugonjwa wala wengejuwa sauti ya Anko Jey ndio inayonikosesha Amani ningetimiliwa kazini bana🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣
@@wilkisteradhiambo3072 yaaani ni kama dose nisipoipata sina Raha, ni kama mgonjwa vile
@@ankojay_ anko unacheka wala sikuongopei nilishadata 🤣🤣
Wacha weee!
Jaman madam lissa tunamtafuta kapotea 😂😂😂 au uwongo
Siyo uwongo mimi napata utapiamlo jamani
Asante sana ❤❤❤
😅😅karbu nipitwe😁much love 🥰
ila iyi simulizi jamani tamu saan. anko jay wetu asante ila umejuwa kutuchekesha kwakweli. sasa uyo kijana mupenzi wake suzana alijuwa kwamba ujinini wanaongea EGLISH jamani
Jamani yapili ❤❤
Nimekuwa wa kwanza❤😂🎉🎉
safi 🎉🎉
Leo namba one ❤❤❤❤
Hongeera 🎉🎉
@@ankojay_ thanks you anko jay wetu
Anko jay mapesa ndani ya mjengo 🥰🥰🥰
Woow nimewahi
safiii 🎉🎉
Mm sina meng ya kuongea ila makopa yako ❤❤❤❤ ankoj wacha niendele kusikiliza
Ndani cjachelewa jmn 👊👊
Sijachelewa sanaaa ❤❤❤❤❤❤
Kinanda jamani kinanikumbusha filamu za kanumba dah
Hapo sawa Kaka asante
Hahaha jaman Anko J kizungu ichoooo
Asante kwa kusikia sauti yako tena
❤ nzuri sana 🌹
Ankojay unafaa kupumzika weekend na sio weekdays maana nitafutwa kazini mda wote nipo UA-cam nisipo kuskiza heee hasira zinaishia kwa wafanyakazi wenzangu please do something weekdays 😂😂😂😂😂❤❤❤❤❤🙏🙏🙏🙏
Nilienda kuhakik ebana weee duhh..😢
Nmechelewa kidogo tu jmni
Tuone ilo daraja
Dada Lisa upo wapi mbona kimya mama tumemisi. Simulizi zako mamy
Yaani we acha tu,huyo Lissa Mwala mimi nakuwa kama mtu anakula chakula cha kawaida huku nasubiria biriyani la sikukuu 😂😂😂😂😂😂😂
Anko j naomba part 2 jini la salenda tafadhali saana
Kwa mala ya kwanza nakoment, uko vizur yani sikuhizi hata tv siangalii
❤❤❤
Very stor so much ❤❤
❤❤❤❤❤ tunagupenda kabisa
Sehemu ya pili we humepat
Anko j tuko pamoja sana
Sjui km mm ndo wa mwisho ii😢lakin lazma niskilize bnaaa
Sie wengine utatusamehe anko jay kwa simulizi kma hizi
Nakumbuka simulizi hii niliwahi kuisoma mm mwenyewe
tumesi hizi simulizi
Leo Wa 28 kidogo nimewahi maana humu watu kwa kulala you tube kwenye simulizi za anko Jay ni hatari na nusu 😂😂😂😂😂😂
Yani mm wamenishinda tabiya kwa kweli 🎉🎉🎉🎉🎉❤kwako ankojay
@@mwanamisikifogo869 😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂
Hahaha watu wakesha kwa Anko J mapesa aisee
Anko Jay huyo jino sio ya kutisha tukashindwa kulala haya ngoja nimsikilize jini😂😂
Amazing
Thank you! Cheers!
Tulimis sana saut yako jamn ❤❤❤🎉🎉
Nice❤
Yapili iko wap
Iwenisimuluzi tuu jaman mana kama kunauhalisia kweli wanaume hawana nguvu zakuxaa na mwanamke naye kuzazi hakuna haya mpenzi wamtu yuko ugenini mwali anamtaka wazazi hawataki binadamu mbona kaxi kivumbi leo
Part 2 plzzzzzz nasubiri
Ndio kufika ❤❤❤
Ila ww kaka umebalikiwa saut mkeo katapa neema hataakama na😢
Part 2 plz
Anko Mungu azid kukuweka unasaut nzur ad nzur tena yan ❤❤❤❤❤❤❤
Part 2 plz anko
Leo sasa ndonimekaa kusikiliza sauti ya anko j
Nasikiliza nikiwa mbeya mbalizi ongera sana Ako j
Anko jay mbona hukumalizia jamn nime-download lkn haiishi🥺🥺
Acha tu enjoy na saut tamu ya anko wetu❤❤❤
Ni kweli mzee 😂