DIAMOND alizaliwa AMANA HOSPITAL, RC CHALAMILA alimpigia simu kwa ajili ya kufanya jambo hili muhimu

Поділитися
Вставка

КОМЕНТАРІ • 15

  • @robertmisako9443
    @robertmisako9443 25 днів тому +3

    Uyu jamaaa simwelew kabisa ana utoto mwingi

  • @ContentSmartphone-rq6po
    @ContentSmartphone-rq6po 25 днів тому +3

    Huyu kafanya mbagala zakhem soko lipo tupu watu wengi wanauzia nje wanashidwa kulipa kodi ya pango watu wapo barabarani frem hazina watu harafu anaongea kishujaa mama alikosea hapa huyu kiongozi kwanza dar hauwijui hata mitaa kituko hiki

  • @user-xc7qj7ze7m
    @user-xc7qj7ze7m 25 днів тому +2

    Siyo pointi iyo

  • @fidelfidel-jz4iw
    @fidelfidel-jz4iw 25 днів тому +1

    Wewe unaeleweka wasiokuelewa wanayo kichwani😂😂😂

  • @aliakrabi8321
    @aliakrabi8321 23 дні тому

    maneno mengi yasiyo na maudhui

  • @user-qt7jd5on4z
    @user-qt7jd5on4z 25 днів тому +1

    Awagom kwasababu wamuhinu wanaumia na kod zenu embu kuwen waelewa

  • @mtzhalisi2232
    @mtzhalisi2232 25 днів тому +2

    Mama ametuletea kituko dar es salaam... Leo utasikia hotuba mama.. Utafika kariakoo kwa aibu sana.. Jafo atakutafuta.!!! Mama leo kaongea vizuri sana sana sana kabisa!! Amejua umuhimu wa kariakoo kwa tanzania... Kodi za kariakoo zinaweza kuhudumia wizara tatu!! Sasa wewe ulienda ukaongea ujinga ujinga.... Kuna dalili unatumia madawa ya kulevya wewe

    • @jizzotheking9238
      @jizzotheking9238 24 дні тому

      Mdomo utakuponza pale ambp utstakiwa kutoa uthibitisho kam kweli anatumia madawa ya kulevya

    • @mtzhalisi2232
      @mtzhalisi2232 24 дні тому

      @@jizzotheking9238 kacheze na Dada zako hakuna kitu unajua

    • @mtzhalisi2232
      @mtzhalisi2232 24 дні тому

      @@jizzotheking9238 endelea kucheza na Dada zako

  • @user-sm9dg8bn5d
    @user-sm9dg8bn5d 25 днів тому +1

    ila harmonaize bwana 😂😂😂😂

  • @mtzhalisi2232
    @mtzhalisi2232 25 днів тому +1

    Yan wewe unaongeaga ujinga ujinga tu....

  • @lailafakhihaji
    @lailafakhihaji 25 днів тому

    Wasikilizeni wafanyabiashara wenu walipa Kodi wazuri mnawasumbua TRA mnawalinda unachoongea hakifanani na migomo migomo

  • @ramadhanmlunga2338
    @ramadhanmlunga2338 25 днів тому

    Nadhani Mkuu wa Mkoa amekosa logic,,,, kwasababu sio kwamba wafanya biashara wa kariakoo wamegoma kwakuwa wanajiona wao wanaumuhimu kuliko wenzao,,,ila wanagoma kupinga rushwa wanazolazimishwa kutoa kwa hao wafanya kazi wanaojiita TRA...sasa nchi inaendeshwa kwa Kodi hao wakusanya Kodi wanawaharasi watoa Kodi kwa kutaka rushwa mpaka wameamua kugoma na Mkuu wa Mkoa anakuwa upande wa wala rushwa wanaosababisha serikali ikose Kodi na watu wanapiga makofi... Au ndio ile kauli ya King Kaka wa Kenya kwamba "Wizi hauishi kwasababu OCS anayake ya kila Mwizi hapana ya kila Mwezi....??"