MAOMBI YA KUOMBA UTULIVU WA MOYO - Innocent Morris

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 25 тра 2024
  • MAOMBI YA KUOMBA UTULIVU WA MOYO - Innocent Morris
    Haya ni maombi maalum kwa mtu yeyote ambaye anataka utulivu wa moyo. Mtu aliyeumwa moyo, maana yake mtu mwenye uchungu, majeraha ya moyo, huzuni n.k haya maombi yana kuhusu. Omba kwa imani na hakika utaona Mungu akiuganga moyo wako.
    Ubarikiwe sana.
    Innocent Morris
    +255652796450 (WhatsApp)
    Instagram Page: holyspiritconnect
    Facebook Page: Holy Spirit Connect
    Contact: +255652796450 (WhatsApp)
    Instagram Link:
    / holyspiritconnect
    Facebook Link:
    / holyspiritconnect
    UA-cam Link:
    / holyspiritconnect

КОМЕНТАРІ • 67

  • @AsiaRamadhan-dr2uu
    @AsiaRamadhan-dr2uu 2 місяці тому +20

    Kama umependa maombi like hapo

  • @annadadi3427
    @annadadi3427 2 місяці тому +5

    Asante Yesu Kwa wema wako Naomba Roho ya Utulivu ndani ya zmoyo wangu ktk kila Eneo la Maisha yangu Ikiwa kuna changamoto Magonjwa nk Roho ya Utulivu Itawale Moyo wangu naFamilia yangu Ameen Ameen

  • @LinaMsele
    @LinaMsele 4 дні тому

    Mungu nisaidie niwe na moyo wautulivu ,Mungu nipe moyo wa busara ,Mungu nipe moyo wa upendo ,Mungu nipe moyo ya hekima katika jina la yesu Amina

  • @grecevitariss6363
    @grecevitariss6363 2 години тому

    Nimempokea Bwana YESU awe bwana na mokozi wamaisha yangu

  • @roseboamo5777
    @roseboamo5777 Місяць тому

    Mungu nisaidie niwe na moyo wa utulivu. Mungu nipe moyo wa uvumilivu, mungu nipe moyo wa busara, mungu nipe moyo wa hekima ktk jina la yesu krito amen.

  • @tatubanadi4710
    @tatubanadi4710 27 днів тому

    Nijalie Roho ya utulivu na amani ndani yangu . Bwana Yesu.

  • @mariamwanga464
    @mariamwanga464 2 місяці тому

    Yesu wape watoto wangu na mume wangu roho ya utulivu

  • @feddymwanga5462
    @feddymwanga5462 2 години тому

    Bwana Yesu asante Sana kwa maombi haya

  • @rachelshadrack2896
    @rachelshadrack2896 Місяць тому

    Asante Bwana Yesu Kwa kupata nafac nyingne ya kupata chakula cha uzima neno lako

  • @naeema8155
    @naeema8155 10 днів тому

    Eee Mungu wangu naomba unipe roho ya utulivu kwenye maisha yangu

  • @judithjoseph4028
    @judithjoseph4028 Місяць тому

    Eee Mungu naomba unipe roho ya utulivu katika kila hali. Amen

  • @feddymwanga5462
    @feddymwanga5462 9 днів тому

    Mtumishi nimemokea Bwana Yesu Leo naomba uendelee kunionbes

  • @marystelaswai5174
    @marystelaswai5174 2 місяці тому

    Asante Bwana Yesu kwa kuachilia Roho ya utulivu ndani yangu

  • @rachelshadrack2896
    @rachelshadrack2896 Місяць тому

    Mungu naomba unipe Roho ya utulivu isaya26:3

  • @AntoJojo-ny1yt
    @AntoJojo-ny1yt 3 дні тому +1

    Mungu niumbiye Roho ya utlivu

  • @rachelshadrack2896
    @rachelshadrack2896 Місяць тому

    Mungu naomba unipe Roho ya utulivu

  • @JosepherHerman
    @JosepherHerman 2 місяці тому

    Mungu nisaidie kua na moyo wa utulivu

  • @RebeccaAmisi
    @RebeccaAmisi 2 місяці тому

    MUNGU wangu nipe roho ya utulivu Kwang na watoto wangu

  • @user-gs3hx3kd3r
    @user-gs3hx3kd3r 15 днів тому

    Mungu nipe utulivu wa moyo

  • @judithjoseph4028
    @judithjoseph4028 Місяць тому

    Asante sana mtumishi wa Mungu kwa neno zuri la kunijenga ili niwe na roho ya utulivu. Barikiwa sana.

  • @cesiliamasumu432
    @cesiliamasumu432 2 місяці тому

    Mungu nisaidie nipate Roho ya amani kwenye mapito ninayopitia
    Asamte Mtumishi

  • @annaymakala4508
    @annaymakala4508 2 місяці тому

    MUNGU mpe Roho ya utulivu Binti yangu ktk mitihani yake afanye vizuri na ufaulu mzuri ktk jina la Yesu Kristo wa Nazareth

  • @aminaaa3227
    @aminaaa3227 2 місяці тому

    Baba Mungu naomba roho ya utulivu ndani yangu

  • @annaymakala4508
    @annaymakala4508 2 місяці тому

    MUNGU nijalie Roho ya utulivu ndani yangu

  • @RebeccaAmisi
    @RebeccaAmisi 2 місяці тому

    Hallelujah MUNGU asifiwe sana milele na milele

  • @mariamwanga464
    @mariamwanga464 2 місяці тому

    Yesu nipe roho ya utulivu, nisipanic nikiwa kwenye mitihani yangu ijayo na hata nikiona kitu cha kuniuzi

  • @RestitutaMpipi-tw3dj
    @RestitutaMpipi-tw3dj 22 дні тому

    Mtumishi tuko pamoja nimempokea yesu kristu

  • @user-sj8os4zl5l
    @user-sj8os4zl5l Місяць тому

    Amen 🙌🙌 mungu nipe roho ya utulivu moyo wangu unahangaika

  • @lenajeff1240
    @lenajeff1240 2 місяці тому

    Eee Mungu wangu na baba yangu nakuomba unipe roho/moyo wa utulivu.

  • @jacklineelias3091
    @jacklineelias3091 Місяць тому

    Mtumishi nimepokea bwana yesu na neno lakoamen

  • @alinependo-bk4jj
    @alinependo-bk4jj 2 місяці тому +2

    Mungu azidi kukulinda mtumishi wa Mungu maneno yako yamenisaidia sana kujuwa kuomba

  • @favoredbyJesus
    @favoredbyJesus 2 місяці тому

    Amen Asante Yesu

  • @roseboamo5777
    @roseboamo5777 Місяць тому

    Mtumishi nimepokea bana yesu Leo l

  • @JusDreemurr
    @JusDreemurr 2 місяці тому

    Mungu ameona nilivyo leo! Oh my God nimekuwa na mfadhaiko mkubwa mawazo, wasiwasi, na woga fulani.
    Hakika Mungu ninmwaminifu.
    Amen mtu wa Mungu

  • @marymessay2768
    @marymessay2768 2 місяці тому +1

    Room mtakatifu naomba unipe utulifu ili nifanye mapenzi yako ktk maisha Kanisani Taifa let na Taifa teule israel

  • @user-qi9gc7br4n
    @user-qi9gc7br4n 2 місяці тому

    Ameen and amen 🙏🙏 barikiwa sana mtumishi wa Mungu

  • @carolinelucky9199
    @carolinelucky9199 Місяць тому

    Mtumishi nimepokea bwana yesu

  • @alinependo-bk4jj
    @alinependo-bk4jj 2 місяці тому

    Amen amen 🙏🏽 🙏🏽🙏🏽🙏🏽

  • @benardndunguru8186
    @benardndunguru8186 2 місяці тому

    Amen Mteule wa Mungu

  • @espererancesudi7600
    @espererancesudi7600 2 місяці тому

    Amen 🙏

  • @user-ey1ws9cb7i
    @user-ey1ws9cb7i 2 місяці тому +1

    Eeh Mungu unipe roho ya utulivu ndani yangu🙏🙏🙏

  • @user-nc5cp5ge1e
    @user-nc5cp5ge1e Місяць тому

    Amen

  • @judithnaliaka972
    @judithnaliaka972 2 місяці тому

    Amen 🙏 🙏

  • @francisomary5284
    @francisomary5284 2 місяці тому +1

    BWANA anipe Roho ya utulivu na Amani na wote walio jeruhiwa

  • @esperancesudi2842
    @esperancesudi2842 2 місяці тому

    To be continued 🙏🏻

  • @Sally1to
    @Sally1to 2 місяці тому +2

    Amen. Mwema Mungu naomba unipe utulifu ndani ya Moyo wangu.

  • @RehemaRahima
    @RehemaRahima 2 місяці тому

    Mngu nipe roho yautulivu

  • @florencekwamboka9717
    @florencekwamboka9717 2 місяці тому

    Mungu nipe roho you utulivu kila eneo la maisha yangu pamoja na familia yangu katika jina la Yesu kristo

  • @florencekwamboka9717
    @florencekwamboka9717 2 місяці тому

    Mungu nipe roho ya utulifu kila eneo la maisha yangu katika jina la Yesu kristo

  • @ninabizimana6869
    @ninabizimana6869 2 місяці тому

    Najiunganisha na mathabaho Haya

  • @zaramuneer3257
    @zaramuneer3257 2 місяці тому

    natamani sana kupata number za hyu mtumish wa Mungu ,, ananigusa sana😢

  • @prayerwomen3444
    @prayerwomen3444 2 місяці тому

    MUNGU nisaidie kuwa na moyo wa utulivu na kutulia ndani yangu katika kipindi chakujaribiwa ao changamoto mbali mbali

  • @stellathomas9987
    @stellathomas9987 2 місяці тому

    Baba wa Mbinguni naomba unipe Roho ya Utuli

  • @GraceMbasha
    @GraceMbasha 2 місяці тому +2

    Mungu nijalie roho ya utulivu maana moyo wangu umekuwa na majeraha mno🙏🙏🙏

  • @Fridah-jt8en
    @Fridah-jt8en 2 місяці тому

    Naomba roho ya utulivu ndani yangu

  • @user-im5vf4fo6x
    @user-im5vf4fo6x 2 місяці тому +1

    Kwa mfano me nifanyeje ili nipate roho ya utulivi

    • @holyspiritconnect
      @holyspiritconnect  2 місяці тому +4

      Omba haya haya maombi. Nimefundisha vizuri na nimeomba pia. Kwa hiyo sikiliza hilo somo kwa makini, na uombe haya maombi kwa imani

  • @remymukosa7928
    @remymukosa7928 2 місяці тому

    Namimi naomba mungu anipe roho ya utulivu

  • @floradavid5216
    @floradavid5216 2 місяці тому

    Amen

  • @floradavid5216
    @floradavid5216 2 місяці тому

    Amen