HABIB MAZINGE | UISLAM KATIKA VITABU VYA KALE | MASJID RAHMA BAKARANI MOMBASA

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 2 лют 2025

КОМЕНТАРІ •

  • @duniawadunia4824
    @duniawadunia4824 3 роки тому +17

    Waislam tumuombee Khabib Othuman mazinge innsha'Allah.

  • @jamalathman6219
    @jamalathman6219 3 роки тому +7

    Shukran sheikh mazinge kwa da'waa safii kabisa Allah akuhifadhi akupe umri mrefu na afya njema

  • @jumakumala1337
    @jumakumala1337 3 роки тому +7

    ALLAH akuifadhi sheikh wangu , kwa kazi unayoifanya akulipe jannatul fridhausi amiin

  • @sheikhabdikadir6312
    @sheikhabdikadir6312 3 роки тому +13

    Shekhar wetu bahero Mungu akuhifadhi kumleta mazinge

  • @bazizaziz3910
    @bazizaziz3910 3 роки тому +10

    Allah akuzidishie ilmu

  • @nakundwamkubwe7823
    @nakundwamkubwe7823 3 роки тому +7

    Mashallah Shekhe Mazinge Allah akuweke. Hakika uislam ni Nuru na Neema.

  • @adamhasan8021
    @adamhasan8021 3 роки тому +11

    Shekh mazinge Allah akubariki sana unafanya kazi kubwa sana

  • @ramazecha2877
    @ramazecha2877 3 роки тому +10

    Mashalah mashekh wetu mungu awape nguvu

  • @nasserabdullah8458
    @nasserabdullah8458 3 роки тому +7

    Safi sana shekhe mazinge tunapenda sana mawaidha yako..

  • @issmuking3987
    @issmuking3987 3 роки тому +9

    Wallahi sisi tunajivunia kuwa waislamu na kuwa na viongozi wanaoifundisha vzr dini ya kiislamu

  • @khadijaali5150
    @khadijaali5150 3 роки тому +8

    Mashlh ustadh.Allah akupe maisha marefu

  • @kennah03m
    @kennah03m 3 роки тому +4

    We mzee unaweza hubiri yesu vizuri

  • @abdulkhadirmasuo2504
    @abdulkhadirmasuo2504 3 роки тому +4

    Allah akuhifadhi shekh mazinge.akupe afya uwendele

  • @bazizaziz3910
    @bazizaziz3910 3 роки тому +9

    MashaAllah ustahd mazing e

  • @ahmedaliahmedahmed3003
    @ahmedaliahmedahmed3003 3 роки тому +8

    Jazaka Allahu kher shekh

  • @hamadifosi1179
    @hamadifosi1179 3 роки тому +2

    mungu akupe unalolitaka inshallah akufanyie wepesi

  • @rokiroki1825
    @rokiroki1825 3 роки тому +5

    Barakallah fiykum wajazzakullahu khaira

  • @husnashaibu6312
    @husnashaibu6312 3 роки тому +15

    ماشاء الله تبارك الله ❤️ برك الله فيك وجزاك الله خير 💕 am so proud to be Muslim

    • @bakariomari9778
      @bakariomari9778 3 роки тому

      Erarraaararara

    • @bakariomari9778
      @bakariomari9778 3 роки тому

      Eat raeararararaararaara araeararatarara eraaraararrarearaaraaeararararaerara eraaraararrarearaaraaeararararaerara

    • @husnashaibu6312
      @husnashaibu6312 3 роки тому +2

      @@bakariomari9778 😳

    • @allyjobeck9916
      @allyjobeck9916 3 роки тому

      GjgjvlvjVavkvavaGaVagagagaavagafagagavagavagavavagagavavagagagafagagagagavagafagafagafavavafagavagagavagafafavaffafafagagsfagzfafagaga

    • @noahwamalwa4385
      @noahwamalwa4385 3 роки тому

      @@husnashaibu6312 mohammed alikuwa muuaji hatari sana!
      Narrated Anas bin Malik:
      A group of eight men from the tribe of 'Ukil came to the Prophet (ﷺ) and then they found the climate of Medina unsuitable for them. So, they said, "O Allah's Messenger (ﷺ)! Provide us with some milk." Allah's Apostle said, "I recommend that you should join the herd of camels." So they went and drank the urine and the milk of the camels (as a medicine) till they became healthy and fat. Then they killed the shepherd and drove away the camels, and they became unbelievers after whey were Muslims. When the Prophet (ﷺ) was informed by a shouter for help, he sent some men in their pursuit, and before the sun rose high, they were brought, and he had their hands and feet cut off. Then he ordered for nails which were heated and passed over their eyes, and whey were left in the Harra (i.e. rocky land in Medina). They asked for water, and nobody provided them with water till they died (Abu Qilaba, a sub-narrator said, "They committed murder and theft and fought against Allah and His Apostle, and spread evil in the land.")
      حَدَّثَنَا مُعَلَّى بْنُ أَسَدٍ، حَدَّثَنَا وُهَيْبٌ، عَنْ أَيُّوبَ، عَنْ أَبِي قِلاَبَةَ، عَنْ أَنَسِ بْنِ مَالِكٍ ـ رضى الله عنه ـ أَنَّ رَهْطًا، مِنْ عُكْلٍ ثَمَانِيَةً قَدِمُوا عَلَى النَّبِيِّ صلى الله عليه وسلم فَاجْتَوَوُا الْمَدِينَةَ فَقَالُوا يَا رَسُولَ اللَّهِ، ابْغِنَا رِسْلاً‏.‏ قَالَ ‏ "‏ مَا أَجِدُ لَكُمْ إِلاَّ أَنْ تَلْحَقُوا بِالذَّوْدِ ‏"‏‏.‏ فَانْطَلَقُوا فَشَرِبُوا مِنْ أَبْوَالِهَا وَأَلْبَانِهَا حَتَّى صَحُّوا وَسَمِنُوا، وَقَتَلُوا الرَّاعِيَ، وَاسْتَاقُوا الذَّوْدَ، وَكَفَرُوا بَعْدَ إِسْلاَمِهِمْ، فَأَتَى الصَّرِيخُ النَّبِيَّ صلى الله عليه وسلم، فَبَعَثَ الطَّلَبَ، فَمَا تَرَجَّلَ النَّهَارُ حَتَّى أُتِيَ بِهِمْ، فَقَطَّعَ أَيْدِيَهُمْ وَأَرْجُلَهُمْ، ثُمَّ أَمَرَ بِمَسَامِيرَ فَأُحْمِيَتْ فَكَحَلَهُمْ بِهَا، وَطَرَحَهُمْ بِالْحَرَّةِ، يَسْتَسْقُونَ فَمَا يُسْقَوْنَ حَتَّى مَاتُوا‏.‏ قَالَ أَبُو قِلاَبَةَ قَتَلُوا وَسَرَقُوا وَحَارَبُوا اللَّهَ وَرَسُولَهُ صلى الله عليه وسلم وَسَعَوْا فِي الأَرْضِ فَسَادًا‏.‏
      Reference : Sahih al-Bukhari 3018
      In-book reference : Book 56, Hadith 227
      USC-MSA web (English) reference : Vol. 4, Book 52, Hadith 261 (deprecated numbering scheme)

  • @ukweliwauislamu9590
    @ukweliwauislamu9590 3 роки тому +11

    Masha Allah , Jazakumullahu kheyran sheikh wetu ....

  • @nooroman2535
    @nooroman2535 3 роки тому +7

    MashaAllah Babu Mazinge

  • @rajababdallah579
    @rajababdallah579 3 роки тому +4

    Allah akupe umri sheikh

  • @shakilaabdallaherio5617
    @shakilaabdallaherio5617 3 роки тому +1

    Shekhe mazinge mungu akupe maisha marefu

  • @husseinibrahim5438
    @husseinibrahim5438 3 роки тому +6

    MA SHA ALLAH

  • @housmanramazani3976
    @housmanramazani3976 3 роки тому +2

    Na mu penda saaaaana mwalimu mazinge na muomba dua mungu amulipe laheri

  • @andallaathman3856
    @andallaathman3856 3 роки тому +9

    Mashaa llah

  • @ramazaniramazanimoise
    @ramazaniramazanimoise 2 роки тому +4

    Quel Allah vous bénisse abondamment sheikh mazinge

  • @Ahmadasshii-raazy8888
    @Ahmadasshii-raazy8888 3 роки тому +4

    ALLAH Awalipe kheir Sheikh wetu bahero na Sheikh wetu mazinge

  • @fatomhalogandy4045
    @fatomhalogandy4045 3 роки тому +5

    Barakallahu fiikum wa jazakallahu Khaira.

  • @fatomhalogandy4045
    @fatomhalogandy4045 3 роки тому +6

    MashaAllah tabarakallah.

  • @fatomhalogandy4045
    @fatomhalogandy4045 3 роки тому +6

    Walaikm salam warahmatulai wabarakatuh.

  • @allanothuman2941
    @allanothuman2941 3 роки тому +3

    Kaz nzur bigup

  • @azizaahmedomarbaryum1335
    @azizaahmedomarbaryum1335 2 роки тому

    Allah akuzidishie hikma Uislamu uzidi kupata nguvu

  • @munirashughuli7224
    @munirashughuli7224 3 роки тому +4

    Masha Allah natamani ningekua hapo🤲

  • @hajilukani4769
    @hajilukani4769 3 роки тому +6

    mashalllllllllaaaaaah

  • @ajumaakange1483
    @ajumaakange1483 2 роки тому

    Allaah akulinde Isha allaah

  • @mkongomanidrc849
    @mkongomanidrc849 2 роки тому +2

    Mash'Allah ❤️❤️🇨🇩

  • @bakariomari9778
    @bakariomari9778 3 роки тому +4

    Swadakta ustdh mazinge

  • @samxx411
    @samxx411 3 роки тому +4

    Jembe linanguruma super Mazinge

  • @abdulkhadirmasuo2504
    @abdulkhadirmasuo2504 3 роки тому +4

    Barakallah

  • @gigxjr9754
    @gigxjr9754 2 роки тому +1

    2 korinto 5:10 Yesu kristo anawasubiri kwa ukumu yake

  • @زينبأمينة-ظ7ق
    @زينبأمينة-ظ7ق 3 роки тому +3

    MashaAllah

  • @jumakumala1337
    @jumakumala1337 3 роки тому +11

    Police wa kimataifa , wakili wa ulimwengu , jina hilo kapewa na sheikh Bahero kutoka Kenya Mombasa , ma asha ALLAH

    • @khdigahk4246
      @khdigahk4246 3 роки тому

      😅😅Yaan kamvika taji 🎓🎓🎓km zoote

  • @haydarhamad6532
    @haydarhamad6532 3 роки тому +7

    Mashaallah

    • @suraiyabadar9262
      @suraiyabadar9262 3 роки тому

      P0⁰⁰pp

    • @noahwamalwa4385
      @noahwamalwa4385 3 роки тому

      @@suraiyabadar9262 mohammed alikuwa muuaji hatari sana!
      Narrated Anas bin Malik:
      A group of eight men from the tribe of 'Ukil came to the Prophet (ﷺ) and then they found the climate of Medina unsuitable for them. So, they said, "O Allah's Messenger (ﷺ)! Provide us with some milk." Allah's Apostle said, "I recommend that you should join the herd of camels." So they went and drank the urine and the milk of the camels (as a medicine) till they became healthy and fat. Then they killed the shepherd and drove away the camels, and they became unbelievers after whey were Muslims. When the Prophet (ﷺ) was informed by a shouter for help, he sent some men in their pursuit, and before the sun rose high, they were brought, and he had their hands and feet cut off. Then he ordered for nails which were heated and passed over their eyes, and whey were left in the Harra (i.e. rocky land in Medina). They asked for water, and nobody provided them with water till they died (Abu Qilaba, a sub-narrator said, "They committed murder and theft and fought against Allah and His Apostle, and spread evil in the land.")
      حَدَّثَنَا مُعَلَّى بْنُ أَسَدٍ، حَدَّثَنَا وُهَيْبٌ، عَنْ أَيُّوبَ، عَنْ أَبِي قِلاَبَةَ، عَنْ أَنَسِ بْنِ مَالِكٍ ـ رضى الله عنه ـ أَنَّ رَهْطًا، مِنْ عُكْلٍ ثَمَانِيَةً قَدِمُوا عَلَى النَّبِيِّ صلى الله عليه وسلم فَاجْتَوَوُا الْمَدِينَةَ فَقَالُوا يَا رَسُولَ اللَّهِ، ابْغِنَا رِسْلاً‏.‏ قَالَ ‏ "‏ مَا أَجِدُ لَكُمْ إِلاَّ أَنْ تَلْحَقُوا بِالذَّوْدِ ‏"‏‏.‏ فَانْطَلَقُوا فَشَرِبُوا مِنْ أَبْوَالِهَا وَأَلْبَانِهَا حَتَّى صَحُّوا وَسَمِنُوا، وَقَتَلُوا الرَّاعِيَ، وَاسْتَاقُوا الذَّوْدَ، وَكَفَرُوا بَعْدَ إِسْلاَمِهِمْ، فَأَتَى الصَّرِيخُ النَّبِيَّ صلى الله عليه وسلم، فَبَعَثَ الطَّلَبَ، فَمَا تَرَجَّلَ النَّهَارُ حَتَّى أُتِيَ بِهِمْ، فَقَطَّعَ أَيْدِيَهُمْ وَأَرْجُلَهُمْ، ثُمَّ أَمَرَ بِمَسَامِيرَ فَأُحْمِيَتْ فَكَحَلَهُمْ بِهَا، وَطَرَحَهُمْ بِالْحَرَّةِ، يَسْتَسْقُونَ فَمَا يُسْقَوْنَ حَتَّى مَاتُوا‏.‏ قَالَ أَبُو قِلاَبَةَ قَتَلُوا وَسَرَقُوا وَحَارَبُوا اللَّهَ وَرَسُولَهُ صلى الله عليه وسلم وَسَعَوْا فِي الأَرْضِ فَسَادًا‏.‏
      Reference : Sahih al-Bukhari 3018
      In-book reference : Book 56, Hadith 227
      USC-MSA web (English) reference : Vol. 4, Book 52, Hadith 261 (deprecated numbering scheme)

  • @mashallahroook7637
    @mashallahroook7637 3 роки тому +2

    MashaAllah ❤️ ❤️ ❤️ ❤️ ❤️

  • @egetinginyemachoka2726
    @egetinginyemachoka2726 3 роки тому +3

    TAKBIR

  • @ahmadamigeyo3929
    @ahmadamigeyo3929 3 роки тому +3

    Mashaallah ALLAH atuongoze vyema 🤲🤲🤲

  • @sawdaasawdaa7903
    @sawdaasawdaa7903 3 роки тому

    Masha Allah sheikh wetu Allah akulipe sana na sana

  • @MbuladuzaAmisi-t6j
    @MbuladuzaAmisi-t6j Місяць тому

    Mungu akudjaliye Kila la heri sheikh

  • @abdoulkarenzo3138
    @abdoulkarenzo3138 3 роки тому +3

    Shukran

  • @arrisalastriker9813
    @arrisalastriker9813 3 роки тому +1

    Barakallahfiiq

  • @kassimrajabu7805
    @kassimrajabu7805 2 роки тому

    Masha Allah.

  • @ibrahimukakinda7823
    @ibrahimukakinda7823 Рік тому

    Mungu akubarik

  • @ahmedabdulkadir6256
    @ahmedabdulkadir6256 3 роки тому +1

    Nineema kubwa kutoka kwaallah
    Kuwa na mashekhe kama hawa
    Allah awajazi kila lakheri

  • @Footballer-1992
    @Footballer-1992 3 роки тому +3

    (9)“Kisha akasema: “Niko hapa, ee Mungu, tayari kufanya matakwa yako.” Hivyo Mungu alibatilisha tambiko za zamani na mahali pake akaweka tambiko nyingine moja. (10) Kwa kuwa Yesu Kristo alitimiza matakwa ya Mungu, sisi tunatakaswa dhambi zetu kwa ile tambiko ya mwili wake aliyotoa mara moja tu, ikatosha.”
    ‭‭Waebrania‬ ‭10:9-10‬

    • @sarahabusayid8114
      @sarahabusayid8114 3 роки тому +5

      Kwa hivyo wafanya dhambi kwa kusudi ukijua zitafutwa fungua macho kiama karibu

    • @samxx411
      @samxx411 3 роки тому +4

      mbona unaenda kanisani na unaomba usamehewe dhambi, dhambi gani wkati Yesu amejitoa kwa ajili yako

    • @sarahabusayid8114
      @sarahabusayid8114 3 роки тому

      @@samxx411 masha Allah

    • @nakundwamkubwe7823
      @nakundwamkubwe7823 3 роки тому +4

      @KISAISA kama mshatakaswa dhambi zenu kule kanisani mnakwenda kuungama dhambi zipi ? Mnasema wenye dhambi hawataingia paradiso sasa wenye dhambi wanatoka wapi wakati Yesu ameshabeba dhambi zenu ? Alafu Yesu huyuhuyu anasema kila mtu atabeba dhambi zake mwenyewe ? Yani ni full mkorogo hamjui lipi ni lipi . Hujachelewa ndugu milango ya toba ipo wazi slim kabla milango haijafungwa.

    • @edsonndomba1049
      @edsonndomba1049 3 роки тому

      Yesu ni njia ya kweli na uzima hakuna usipo mfuata unahakika ya kwenda motoni

  • @paulduke6712
    @paulduke6712 3 роки тому

    Mazinge mongo bamojana mutume wake mushindiwe katika jina la Yesu

    • @abdallahyunus7538
      @abdallahyunus7538 2 роки тому

      Acha makasiriko Kama huna hoja

    • @mbarakahussein9107
      @mbarakahussein9107 2 роки тому

      Sema usahihi uliokua nao ww ili tujue ukweli wako

    • @eastafrica6858
      @eastafrica6858 2 роки тому

      Ww hata ukifundishwa vp mtafata kina Paulo Paulo sio mtume wala mmungu hakumteremshwaa na yesu ni muislam alisujudu na kutawadha sio kukalia viti wazungu kwanza Hawana manabee mmungu ni mmoja tu hana mshariki Ibrahim hajatokea Kwa wazungu ni ardh I ya warabu Beth lehem ni nyumba ya nyama Kwa kiarabu

  • @tvfoa7115
    @tvfoa7115 3 роки тому

    Jazzakallah

  • @amorauzdop3040
    @amorauzdop3040 3 роки тому +2

    Jmn naitaji namba za ustadhi mazinge🙏🏽🙏🏽🙏🏽🙏🏽

  • @manixawadh7198
    @manixawadh7198 3 роки тому +4

    Mashaallah mabrouq Sh: Habib Mazinge and Akasha production... But try to edit the date. Is 05-12-2021 not 2020.

  • @ilovejesus666
    @ilovejesus666 3 роки тому +4

    Siwezi kuacha dini ya haki na kurudi kwenye ukafiri mwenyezimungu anifishe nikiwa muislamu

  • @justblackcode
    @justblackcode 2 роки тому

    Assalamalkhym Habib Mazinge....mi nina swali kuhusu dini na ibaada za kihindi, ina maana wao wana miungu tofauti tofauti au? Kwa maana wao uabudu michongo tofauti tofauti. Takbir!

  • @gigxjr9754
    @gigxjr9754 2 роки тому

    Wewe na Mazinge Wako unamutukuza Sana Soma:

  • @TeamKRX
    @TeamKRX 3 роки тому

    Shekh Mazinge comedy 🤣🤣🤣

  • @Footballer-1992
    @Footballer-1992 3 роки тому +2

    (7)“Hapo nikasema: ‘Niko hapa, ee Mungu, kutimiza matakwa yako kama ilivyoandikwa juu yangu katika kitabu cha sheria.’” (8) Kwanza alisema: “Hutaki wala hupendezwi na tambiko, sadaka za kuteketezwa na za kuondoa dhambi.” Alisema hivyo ingawa sadaka hizi zote hutolewa kufuatana na sheria.”
    ‭‭Waebrania‬ ‭10:7-8‬ ‭

  • @husha6372
    @husha6372 3 роки тому

    Bahero DAAWAH Yake ilikuwa ni kukufurisha waIslamu na ukichukan vaislamu

  • @mozartshukuru3742
    @mozartshukuru3742 2 роки тому

    Elimu Yako iko chini

  • @husha6372
    @husha6372 3 роки тому

    Bahero DAAWAH Yako ilikuwa ni kukufurisha waislamu

  • @Footballer-1992
    @Footballer-1992 3 роки тому +2

    “Sadaka za kuteketezwa au za kuondoa dhambi hazikupendezi.”
    ‭‭Waebrania‬ ‭10:6‬ ‭

  • @salisali3738
    @salisali3738 3 роки тому +2

    Mazinge ww😂😂😂😂 piapia🤣🤣🤣

  • @charlesjoseph2092
    @charlesjoseph2092 3 роки тому +1

    Wenye kuvimiliki hivyo vitabu vya kale ni kina nani?

  • @kennah03m
    @kennah03m 3 роки тому +1

    Mazinge keshazeekaa huyu😆😆

  • @husha6372
    @husha6372 3 роки тому

    Ni laana ya mashirifu ambavo ukivachukana na kuwakufurusha waislamu na kuwavachia vacuum kwenye ukafiri

  • @husha6372
    @husha6372 3 роки тому

    Hushishie ADABU mwanangu Ali mkizi Rudi tena madina ukasome Wewe Ali Bahero uwe ni mkizi

  • @kennah03m
    @kennah03m 3 роки тому +1

    Swali rahisi tuu tuonyeshe mwalimu neno uislamu ndani ya torat injil na zabur baadae tuambia walitoa shahada gani??

  • @sawdaasawdaa7903
    @sawdaasawdaa7903 3 роки тому

    Bithday nikujifurahisha siku yako yakuzaliwa ndio nikufurahi ila unakuta mutu anaangaika kwa keke ya bithday ila hawezi hangaika amupe masikini bithday ni upuuzi tu

  • @charlesjoseph2092
    @charlesjoseph2092 3 роки тому

    Wenye hivyo vitabu vya kale kwa sasa ni kinanani?

  • @piscaskasesetv1534
    @piscaskasesetv1534 3 роки тому +3

    Mazinge ni mtu wa porojo ana mu ogopa ndacha

    • @andallaathman3856
      @andallaathman3856 3 роки тому +1

      Ndacha Hana ajualo uwadanganya nyinyi wakiristo mshazoea kudanganywa ati muzini muibe nyinyi kisha yesu kafa Kwa dhambi zenyu hata akili ya Mtoto haingii akilini ndacha hata sheikh kassim na Mohammad hawawezi aliwaximia mic wakiristo wakisilimu mbele yake

    • @Ahmadasshii-raazy8888
      @Ahmadasshii-raazy8888 3 роки тому +3

      Hapa umechemka kama kuna watu hata robo fikra hawana ni wakiristo

    • @babazfirenaya7171
      @babazfirenaya7171 3 роки тому

      nyie watu wakujifuta na makaratasi hamuezi takasika hata kiroho munamfata paulo na sio yesu pumbavu zenu

    • @andallaathman3856
      @andallaathman3856 3 роки тому +1

      @@babazfirenaya7171 naona labda pia yesu alijiosha na maji kwaoshea tayari wao nikupangusa tuu yesu Kesha waoshea kitambo 😂😂😂

    • @eastafrica6858
      @eastafrica6858 2 роки тому +1

      Hamuogopi mana ndacha kashata Paulo ila yesu ni muislam ilala walibadilisha injili Kwa uongo wao mana bee wote ni kutokana na Ibrahim sio waongo wazungu

  • @husha6372
    @husha6372 3 роки тому

    Lakini Sheikh Mazinge hawakufurishii waIslamu kama alivyo KUWA akifanya Ali Bahero Kwa uchache wa ELIMU Yake ndogo na ndio Alitwa Ali mkia

  • @mozartshukuru3742
    @mozartshukuru3742 2 роки тому

    Wadanganye tu.kwani Enzo za suleiman . mtume wako alikuwepo???

  • @asalafiyahhussein7767
    @asalafiyahhussein7767 3 роки тому

    Kuswali na viatu sio makosa ndugu zangu

  • @frankmpembu2505
    @frankmpembu2505 3 роки тому

    Ukitaka kuamini kuwa Mazinge ni muongo,,angalia mdahalo alioufanya Mombasa kati yake na Ndasha. Alipo ulizwa na Ndasha aonyeshe Uislamu nje ya Qur'an alishindwa kujibu 🤣🤣🤣😂

    • @khdigahk4246
      @khdigahk4246 3 роки тому

      Uwislam ni Quran Sasa atoe kwenye nn mnavotaka nyie

    • @frankmpembu2505
      @frankmpembu2505 3 роки тому

      @@khdigahk4246 Atoe nje ya Qur'an, kwenye Zaburi, Torati na Injili, mbele ya Ndasha Mombasa alishindwa

  • @adammasunga5363
    @adammasunga5363 3 роки тому

    Wewe Muongo sana na Kama huna roho mtakatifu huwezi ielewa ndiyo maana unatumia biblia kudanganya watu

  • @Footballer-1992
    @Footballer-1992 3 роки тому

    Mazinge Kweli!!!! Andiko hiyo wakorintho sasa aja gani udanganye wakafiri wenzako????? Eti Yesu Hakufufuka???? Kwa andiko gani???? (20) “Lakini ukweli ni kwamba Kristo amefufuliwa kutoka kwa wafu, wa kwanza wa wale waliolala katika kifo.”
    ‭‭1 Wakorintho‬ ‭15:20

    • @egetinginyemachoka2726
      @egetinginyemachoka2726 3 роки тому

      soma kitabu JA ruke 1 26 soma hiyo

    • @allanothuman2941
      @allanothuman2941 3 роки тому

      Yesu ajafa mbuz ww

    • @andallaathman3856
      @andallaathman3856 3 роки тому +1

      Wajua maana ya kafiri ww mwanzo kafiri ni mtu anae sema mungu ni zaidi ya mmoja na Yule asie kua na dini na Sisi waislam tuna dini ya mungu na nyinyi wakiristo hamna dini sasa kfiri Nani ? Kasome ujue ulipo kisha na anae kanusha mandiko na matendo ya mtume nyinyi nayinyi ndio mnao pinga mitume yote makafiri ndio nyinyi Safi hata janaba hamjui kuoga chooni pia hamuezi tumia maji mwatumia tissue ukafiri huo na uchafu ndani mungu awaoneshe muangaza wa dini ya haki na ukweli ya kislam

    • @andallaathman3856
      @andallaathman3856 3 роки тому +1

      Wajua maana ya kafiri ww mwanzo kafiri ni mtu anae sema mungu ni zaidi ya mmoja na Yule asie kua na dini na Sisi waislam tuna dini ya mungu na nyinyi wakiristo hamna dini sasa kfiri Nani ? Kasome ujue ulipo kisha na anae kanusha mandiko na matendo ya mtume nyinyi nayinyi ndio mnao pinga mitume yote makafiri ndio nyinyi Safi hata janaba hamjui kuoga chooni pia hamuezi tumia maji mwatumia tissue ukafiri huo na uchafu ndani mungu awaoneshe muangaza wa dini ya haki na ukweli ya kislam

    • @andallaathman3856
      @andallaathman3856 3 роки тому +1

      Wajua maana ya kafiri ww mwanzo kafiri ni mtu anae sema mungu ni zaidi ya mmoja na Yule asie kua na dini na Sisi waislam tuna dini ya mungu na nyinyi wakiristo hamna dini sasa kfiri Nani ? Kasome ujue ulipo kisha na anae kanusha mandiko na matendo ya mtume nyinyi nayinyi ndio mnao pinga mitume yote makafiri ndio nyinyi Safi hata janaba hamjui kuoga chooni pia hamuezi tumia maji mwatumia tissue ukafiri huo na uchafu ndani mungu awaoneshe muangaza wa dini ya haki na ukweli ya kislam

  • @denisharris2889
    @denisharris2889 3 роки тому

    Kweli Hali mbaya, mpaka Mazinge ameandaa mdahalo wa peke yake. Ili Asiwepo na wa kumbishia. Ndacha umetisha sana. 😆
    Btw... kwenye hiyohiyo Zaburi Daudi katika Roho anamwita Yesu ni Bwana Mungu wake.

  • @patrickkisaka4479
    @patrickkisaka4479 3 роки тому +1

    Kwa waisilamu ndio Hawana dawa ya maudi sisi tuko yesu

  • @kennah03m
    @kennah03m 3 роки тому +1

    Wahabii😂😂

  • @wycliffeshiundu905
    @wycliffeshiundu905 2 роки тому

    It's sad how this man just lie and no one even noticed

  • @Footballer-1992
    @Footballer-1992 3 роки тому

    Kutekeza??? Mazinge acha kudanganya

    • @kutailadifi2854
      @kutailadifi2854 3 роки тому +1

      Kwavile Ww Uko Sawa tupe andiko linalopingana NA aya Za Allah

    • @Footballer-1992
      @Footballer-1992 3 роки тому

      @@kutailadifi2854 nimetoa hapo juu, Mazinge anavyo sema eti kutekeza Sadaka, Yani Mazinge lazima adanganye

    • @Footballer-1992
      @Footballer-1992 3 роки тому

      Kuondoa dhambi kwa kutekeza sadaka bibilia imekataa, Yesu akaja kutukomboa kwa damu wake. Waislamu mkubali Yesu Christo.

    • @kutailadifi2854
      @kutailadifi2854 3 роки тому

      @@Footballer-1992 Kama niivyo swmen Ss mwanaume gn anae tafuta pasina jasho NA Mwanamke gn anae zaa pasina uchung, wachen kumshirikisha Allah

    • @Footballer-1992
      @Footballer-1992 3 роки тому

      @@kutailadifi2854 tena umetoka nje ya Mada???

  • @nooroman2535
    @nooroman2535 3 роки тому +6

    MashaAllah Babu Mazinge

  • @charlesjoseph2092
    @charlesjoseph2092 3 роки тому

    Wenye kutumia hivyo vitabu vya kale kwa sasa ni kina nani?