DDC Mlimani Park - Sungi

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 4 січ 2025

КОМЕНТАРІ • 6

  • @lutheramani8078
    @lutheramani8078 2 місяці тому

    Duh! Nimeutafuta sana Wimbo huu na sikujua jina lake kumbe linaitwa (SUNGI)😄😄!
    BONGE la SONGI kwa kweli Ahsante sana sana 🙏🏽🙏🏽

  • @Fredrick_Libena
    @Fredrick_Libena 7 місяців тому

    Asante sana, huu wimbo nimeutafuta sana, hatimaye leo nimeupata 😂😊😅

  • @hemedbakari8997
    @hemedbakari8997 Рік тому

    Magoma yenye kuheshimisha

  • @peterkipugulu147
    @peterkipugulu147 2 роки тому

    Àtapataa shidaaa,àtapataa tabu. Ahaaaa ngideeeee

  • @ghalighali4974
    @ghalighali4974 2 роки тому +1

    Shukran kaka kwa kutuekea ngoma tamu za nginde ngoma kubwa, nakuomba tuekee ngoma moja inaitwa mbio za sakafuni, album hii ya full squad.

    • @zilipendwatz7494
      @zilipendwatz7494  2 роки тому +1

      Sawa kaka, thank you for reaching out, pendekezo lako litakujia wiki hii hii inshallah, tutakapoiweka tutakuwekea special_hashtag