MASANJA ATEMBELEA KABURI LA YESU ISRAEL
Вставка
- Опубліковано 10 лют 2025
- MASANJA ATEMBELEA KABURI LA YESU ISRAEL #FREECHURCH #FREECHURCHDSM
Karibu Kanisani Free church siku za ibada ni
Jumatano saa9 -12 jioni
Ijumaa saa 9-12 jioni
JUMAPILI IBADA INAANZA SA4 MPKA SAA8 MCHANA
Kwa maombi / maombezi au jinsi ya kufika kanisani tupigie kwa namba
+255 713 855 855 MUNGU AKUBARIKI
Amen siku Moja nitafika pastor
Ubarikiwe sana mtumishi wa Mungu wa thamani masanja mkandamizaji
Yesu akifungua hapana awezae kufunga mkuu
Yesu ni mwamba katika miamba yote duniani na mbinguni.
Ameen napokekwa imani yote.yalio kufa yakafufukekwajina ra yesu 🙏🥰
Amen Mtumishi wa Mungu umenibariki sana
Ameeeen ameeeen masanja kwakweli umenibariki Sana
Umenibarikiiiiiii saana
Ameni na hakika yesu ni mwanaume wa wanaume
yesu yupi jmn wa kwenye ile movi ya yesu au
Nakukubali Sana Mtumishi wa Mungu
Aàmen be blessed
I believe Yan siku moja ntakuona live bila chenga naomba Mungu anipe Kibali
Subilia ukifa utamwona
Mtumishi na mimi ni support niende Israel nikaone hayo makumbusho.
Mm nabarikiwa na hiki kipindi hakika nabarikiwa🙏🙏
Absolutely Amen Amen 🙏
Amen Amen Amen in Yesus Christ name
Amina naimani sikumoja ntafika
Amena mtumishi wa mungu
Ameen mtumishi
Ni rahaa sana kumfata alie hails,
Acheni kudanganyana Yesu hakufa
Hakufa wala hawakumua na wala hawakumsulubu
Duh jmn wenzetu poleni sana kweli moto utawachoma wale wenye akili
AMINA AMINA
Amina
Amina sanaaa
Aminaaa 🙏🙏
Amen amen
Amen kubwa
🙏AMEN
Inakuaje mtu mnaemuita mungu afeee yaani hapo ndio danganya toto na kama mungu anakufa kama aliowaumba huo ni udhaifu mungu hafi
Ameeeen👏👏👏
Amen 🙏🏾
Haleluya masanja
Aminaa
YESU AKUZIKWA HAPO MNADANGANYWA...YESU ALIPAISHWA NA MUNGU MBINGUNI AKAMNUSURU NA UNYAMA WALIOTAKA KUMSURUBISHA..MUNGU ALIYAKATAA
Sasa kabla hata hakuja dunian tayar alishatabiriwa atateswa atakufa lkn atafufuka...wewe ni nan tukuamini mganga wa kienyej?
@@josephosborne3072ha wa watu wa proud to be sijui wanafanya nn huku
Hawakumua wala hawakumsulubu ,mtume ambaye allah amenusuru,kuanzia siku aliozaliwa,nasiku atakapokufa na siku atakayofufufuliwa na kuwa hai ,na allah asemi uongo
Aaaaaamen
Yesu alikufa kwa ajir yk
Amen
AMEEEEEEN
Ameeeeen
Ameni
Huyo nyinyi munaemuita yesu sisi tunamjuwa vzr Zaid kulikoni mnavyodanganywa nyinyi na hao wachungaji wenu Yesu ni Mtume kama walivyokuwa mitume wengine tuuulizeni sisi sio hao wanaokudanganyeni
Acha uongo,unamfaham ulikutananae wapiii,kumbuka tunaish kwahistoria zakale mnoo,ukitoka Amin usipotaka acha,maana hataww utaongea stor,tuu lkn haunauhakika maana hata bibiyako hakuwepo
Ameen
Upuuzi mtupu, mungu wa wakristo amewahi kufa😅😅
Mara paaaaa yesu katoroka makaburini😂😂😂😂😂 lazima masanja awekwe yeye badala ya Jesus
Naomba namba yako mtumishi
Daaah miili ya mitume hua haiozi ikizikwa sasa humo alizikwa au alihifadhiwa
Duuuuu hatari sana
Sema mwenyezimungu ni moja tu bas hakuzaa wala hakuzaliwa wala hakuna anaefanana nae
Endeleeni kudanganyana tu
🇹🇿🇹🇿🇹🇿✌👍
Natamani na Mimi ningefika hapo
Usidanganye watu yesu hajawai kufa bali alipaa na kwenda mbinguni hakuna andiko hata moja linalo onyesha kua yessu alikufa ndio maana bibilia inasema kua alie lala kwenye Kristo amepotea
Biblia Ya wapi unayosoma wewe 🤣
Yesu tunaye msoma kwenye biblia alikufa na kufufuka,ila yesu wa kwenye quran ndiye hajafa
What is Bible?
Sijui waislam huku mnafata nn simtulie na mtume wenu Muhammad ili mpk mwisho ndo uamue nani mkweli
Njaa , ujinga , upumbavu ukiongozana na elimu ya magharibi basi uwezi kujielewa asante😢
Mungu akuhurumia wewe Ambaye ni sio mjinga
We mjanja umegundua Nini au umefanya Nini
Stupid people
Wafia dini ni zaid ya vifafa
Acha uwongo hakuna kaburi hapo mbona mnakuwa waongo
Nitafka tu
Amen
Amefufuka Nasi kweli kweli...
Huo ni mtihani mlipewa waliopewa wanasara ila wamefeli
Kunasiku atashuka na kuwakanusha na kuongea ukweli wote siku hiyo kama alikuwa mungu,mtoto wa mungu ,alikufa na kua na kukfufuka?
Sijui wenzetu watakuwa na akili lini waachwe kudanganywa
Maandiko yanasema yesu alikufa na kufufuka sasa we nani unayepinga
Nchi za ki Africa ndio maana haziendelei kwa kurithishwa elimu ya kipumbavu na wazungu licha ya unyama wote walio ufanya kwetu Bado tunaona bila ya wao hakuna maisha, kiongozi anapelekwa Ulaya kusoma akikamata madaraka baada ya kuwa msaada kwa Taifa lake anakuwa msaada kwao Ili watuibie.ndio maana wamewapumbaza kuwa YESSU amefariki na wanaamini sababu mzungu kasema.
Sasa mbona alieigiza anasema sio yesu je tumain lipi?
Dunia ina mambo, yaani waislm ambao mtume wao ni wanyuma sana kabla ya yesu, yaani hawajui picha ya Muhammad lakin yesu wa miaka mingi yeye ana picha?
Sasa hata hizo taarifa pia zina utata
Uongo
😂😂😂 hakuna nchi inayo itwa Israel acheni unafik
ISSA bin mariamu yesu hakufa Wala hakusulubiwa jjamni tumieni akili
😅😂😂😂😂😂😂
Kwani afe wakat biblia inasema kuwa yesu aliomba dua kuwa kikombe hicho kiniepuke na huyo ni mtume wa mungu kwanini amuoneshe mgongo asimkubalie? Mpaka muamini kifo chake ?
Alipo fufuka alienda wapi kama haudangayi wapi...hajafa achakudanganya watu
Kumbe yesu alivishwa sanda sasa nyinyi mbona mnavalishwa suti kama unaenda kuoa wakati unapelekwa kwa mungu baba kwanini msifanye kama alivyofanyiwa yesu.kweli mnamfuata yesu au mtani bado upo the comedy au kaole mwanangu? Alafu mtani kwanini mungu alimtoa mpendwa wake katka ardhi hiyo na kwamuonekano tu hapavutii kama sehemu ya heshima kumekaa kimajanga tu?
Astaghafirullah
Ujinga tu..tuoneshe na makaburi ya mitume wengine basi .dini yenu ina mtume mmoja tu
Amen 🙏
Amen 🙏 🙏 🙏
Ameeeeeeeeeeeeeen
Ameen
Amen
AMEN
Amen
Amen
Amen Amen barikiwa Sana mtumishi wa Mungu
Amen
Amen
Amen
Amen
Amen
Amen
Amen
Amen