🚨Uchambuzi Crownfm,Simba 2-0 kenGold,Kiufundi Tathimini dkk 90,Ubora wa wachezaji wa Simba na mfumo.

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 20 гру 2024

КОМЕНТАРІ • 9

  • @GilbertAmani-c4g
    @GilbertAmani-c4g 2 дні тому +3

    Fadlu ni kocha Mzuri sanaa ila wachezaji ndyoo wanamuangushaa

  • @shamissuleyman4894
    @shamissuleyman4894 День тому +1

    Sahivi mtamsifia kocha ila timu ikipoteza utasikia hamna kocha pale

  • @chriskudilla5355
    @chriskudilla5355 День тому +1

    Simba wana match 3 in 6 days , walishapata matokeo first half kwa nini wajiumize?

  • @BoazWashington
    @BoazWashington 2 дні тому +1

    Crown mume potea yutube😊

    • @SaidMkome-p6s
      @SaidMkome-p6s 2 дні тому

      Kwa akili zko hpo crown ndyo wamurusha hpo matangazo😮

  • @ABDALLAHMWATANDA
    @ABDALLAHMWATANDA 2 дні тому +3

    wewe SIO KOCHA acha KUBANA PUA....timu yako KESHO. ITACHEZA VIZURI ILA ITAKOSA USHINDI....

  • @Kaizadannymgawa
    @Kaizadannymgawa 2 дні тому

    Yube huku hatuwapati nini shida

  • @festozmgogotz2120
    @festozmgogotz2120 2 дні тому

    Tunasaka mtu kimiy kimy

  • @Kaizadannymgawa
    @Kaizadannymgawa 2 дні тому

    UA-cam huku hampo crown kwann