DOTTO MAGARI AMTUMIA UJUMBE MZITO BABA LEVO BAADA YA KUMWAMBIA ANAISHI CHOONI/ YUPO TAYALI KUOLEWA

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 29 жов 2024

КОМЕНТАРІ • 68

  • @mahmoudaziz4717
    @mahmoudaziz4717 11 місяців тому +9

    Dotto keto nakuelewa mwanangu toka enzi izo nakuona kinondoni unapiga Debe adi Leo big up Sana Kaka.

  • @najimnagy6020
    @najimnagy6020 11 місяців тому +2

    “Nipige kioo nivunje ujue ni gari yangu” 😅😂
    Hapo nimechoka

  • @DaudFataki
    @DaudFataki 11 місяців тому +1

    Haya maisha doto we jikubari kwan kwao makazuramimba wanapaonyesha af mjin nimjin tu asikudanganyemmtu ndiomana mrume wamungu alitoka maka kwenda madina alivipita vijiji vingi tu mbona hajakaa chamsingi kuheshimiana tu ila wanavijiji tunawavumiliasana

  • @JamesSeleman
    @JamesSeleman 9 місяців тому

    Jeshiiiiiiiiiiiiii.dotoo

  • @jumamaisara7557
    @jumamaisara7557 11 місяців тому +3

    Tupo live dotto magari nahapa ipo choko huyo babalevo salute ninja dotto magari

  • @josephmihayo6236
    @josephmihayo6236 11 місяців тому +1

    Sio pazia, Dotto anaishi chooni chumba Giza katikati kimetengwa na shuka kutenga chumba na sebule.

    • @ghulamhaji7856
      @ghulamhaji7856 7 місяців тому

      Sawa Kodi analipa mwenyewe halipiwi na mwanamme mwezake

  • @ElogbneyoBreezy-yz4vq
    @ElogbneyoBreezy-yz4vq 11 місяців тому

    Nacho mpendea mwamba huu hana upande sijui NLM sijui Konde gang sijui wasafi sijui kings apo utatukusanya mze baba nakufurahia sanaa

  • @OrhanMlanzi-yo3ep
    @OrhanMlanzi-yo3ep 8 місяців тому

    Doto wachane brother

  • @mariamalongo8803
    @mariamalongo8803 11 місяців тому +1

    ❤wakuache mara mia

  • @godfreymongomongo4494
    @godfreymongomongo4494 11 місяців тому

    Nakubal brother

  • @NeymarJunior-m3h
    @NeymarJunior-m3h 11 місяців тому +2

    Baba levoo sio mwanaume jinsia nyengine Hana akili kweli ikaseme ukazaa na mwanaume mwanzako yule choko achana nae hamna kitu askikupijishe kelele hamna kitu

  • @SalumMusafiri
    @SalumMusafiri 11 місяців тому +3

    Dotto magari mzima kuliko mapuwa anaye sifiya mali ya mwanaume mwenzake kuliko kujisifiya mali yake

  • @InnocentPeter-o6z
    @InnocentPeter-o6z 11 місяців тому +1

    Hawakuwez kutoka mteja mpaka kulipa kod me najua iyo broda sio rahis wakuacheeee hao machoko

  • @itunganobalanga5373
    @itunganobalanga5373 11 місяців тому

    Afazali umejikubali❤❤

  • @saidirandon
    @saidirandon 11 місяців тому +1

    Oya mtt wa kzmkaz wape makavu hao makocho 🎉🎉😮

  • @chandeyusufu9570
    @chandeyusufu9570 11 місяців тому

    Baba levo shoga asimuumize kichwa dotto

  • @dannymusictz9442
    @dannymusictz9442 11 місяців тому

    Nice

  • @chandeyusufu9570
    @chandeyusufu9570 11 місяців тому

    Wengi wasafi mashoga tunajua

  • @maulidmtowi3937
    @maulidmtowi3937 10 місяців тому

    Watu wengi tunashindwa kutofautisha nini maana ya tajiri,ni hivi utajiri sio kuwa na pesa nyingi mfukoni,utajiri ni kuwa na uwezo wa kupanga mipango ya kuingiza yani maarifa ya kupata yani pesa kuiita na ikaja kuituma na ikakubali sio kutembea na mabulungutu mfukoni huo sio utajiri

  • @DaudFataki
    @DaudFataki 11 місяців тому +2

    Doto anamtihan mkubwa kubishana na mashoga kazisana

  • @rizikiabdalla2501
    @rizikiabdalla2501 11 місяців тому +1

    Ila ukija kwetu kizimkazi hatuvai misarabaaa uwachee bandarini usije nao hukuu Doto

    • @kiuje
      @kiuje 11 місяців тому

      Makocho mboni wapo huko

  • @BTON_TV.
    @BTON_TV. 11 місяців тому

    JAMAA ANAJITAMBUA SANA

  • @JacklineNamundengozi
    @JacklineNamundengozi 11 місяців тому

    Dotto ❤😂

  • @moseskulola6913
    @moseskulola6913 11 місяців тому

    Hawa kuwezi

  • @Satier47
    @Satier47 11 місяців тому

    Dotto❤❤🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉😅😅😅😅😅😅

  • @twalhamnyira5318
    @twalhamnyira5318 11 місяців тому

    Dotto kibali unaishi karibu na chooni

  • @hassanchuji8965
    @hassanchuji8965 11 місяців тому +2

    Wee magali wahambie ukweli pumbavu hao

  • @Whoisthismantalking
    @Whoisthismantalking 11 місяців тому +1

    Wamuache doto 😅

  • @jafalingozi
    @jafalingozi 10 місяців тому

    kaka mchane mshamba huyo

  • @mbonijabut1405
    @mbonijabut1405 11 місяців тому

    Msalaba shingoni kaka yangu uku unaswali

  • @binthkhamis8042
    @binthkhamis8042 11 місяців тому

    Ilaa mahann wadau huyu dott mwislm mbn kifuan kwake kabeba zigo la msl7

  • @saidirandon
    @saidirandon 11 місяців тому

    Oya broo inabid wakupe ktengo cha kuatumbua wasio na mkole maana wapowengi atakwetu wapo

  • @MosesMongo-p6z
    @MosesMongo-p6z 11 місяців тому +1

    Jump jump no position 😂

  • @NasirSaleh-y1m
    @NasirSaleh-y1m 7 місяців тому

    Doto nakuku bali lakini usivae msalaba kama wewe muislamu sasa ndo unamaanisha nini?

  • @ndayisengaamissi6102
    @ndayisengaamissi6102 11 місяців тому

    Wengi wa meLEFT ma GROUP

  • @magrethmagonza186
    @magrethmagonza186 11 місяців тому +2

    Dotto magari anaongea sana kapigwa kwenye mshono panauma

    • @regiuskasomo3360
      @regiuskasomo3360 11 місяців тому

      Aliongea darasa, Nan mjanja, mzawa alochoka au shilole alojipata kutoka igunga

    • @sidemashine7168
      @sidemashine7168 11 місяців тому +1

      Acha dharau mtoto wa kike hii Dunia tunapita

    • @magrethmagonza186
      @magrethmagonza186 11 місяців тому

      @@sidemashine7168 welcome Dotto magari kwenye ulimwenguwa wambeya na bado hujasema mpaka useme

  • @tonnytonie7423
    @tonnytonie7423 10 місяців тому

    Saf

  • @cheiknamouna2058
    @cheiknamouna2058 11 місяців тому

    Ila kweli wakiongozwa na Lokole group lao moja😂😂😂

  • @MbongoBoy-yg9tq
    @MbongoBoy-yg9tq 11 місяців тому

    Kee basisiodoto uyo nimendekamaanaishichooni

  • @Rajabukajutikajuti
    @Rajabukajutikajuti 11 місяців тому

    Iforensa brother na ukiitajika utaitwa...

  • @pavillioncry5241
    @pavillioncry5241 11 місяців тому

    Unavaaa mislabelled mbwa ww

  • @IbrahimNdonga
    @IbrahimNdonga 11 місяців тому

    Kweli anakaa chooni ana mpango anajiona fala tu

    • @regiuskasomo3360
      @regiuskasomo3360 11 місяців тому

      Unaeza zaliwa dar na Bado ukaonekana fala, wakuja wakaja beba kiwanja chako 🤣🤣

  • @margarethpolepole7438
    @margarethpolepole7438 11 місяців тому

    ujue tunechoka kusikiliza au kuona habari ya Doto kila siku mnakazi yakubadilsha tarehe tu

  • @djkush2547
    @djkush2547 11 місяців тому

    dotto dotto kaka wewe ni OG.....baba lavo.. ni chiziiiiii,,,,,,,,,,,

  • @aboudiga6381
    @aboudiga6381 11 місяців тому

    Bunda hilo lakupiga picha nalo daily anatuonesha hyo iyo tumia hela wacha ubakhili sio tu kupiga picha nalo

    • @JumaJuma-fu7ji
      @JumaJuma-fu7ji 11 місяців тому

      Ela zinafanana

    • @hajikhamis3288
      @hajikhamis3288 11 місяців тому

      Mfanyaaa biasharaaa huanapesaaa kilaaa sikuuu so kuamuelewa wewe na comnt zko

  • @JumaJuma-fu7ji
    @JumaJuma-fu7ji 11 місяців тому

    🤣😂eti naweka vipi pamnzia kati nimecheka kifala

  • @abisaimuhanji3687
    @abisaimuhanji3687 10 місяців тому

    hahaha

  • @kombakomba7922
    @kombakomba7922 11 місяців тому

    Doto unasema ukweli na uhalisia wa maisha.

  • @nziyumviraassina1429
    @nziyumviraassina1429 11 місяців тому

    Huyu sio mu Islam anava musalaba

    • @JohnPamfil
      @JohnPamfil 10 місяців тому

      kwani msalaba dini?

  • @ANTHONYDCOSTA-u5p
    @ANTHONYDCOSTA-u5p 11 місяців тому +1

    Mbona huwa anasemaga yeye msilamu hafu anamsalaba

    • @Kidotii
      @Kidotii 11 місяців тому +1

      Huo sio msalaba ni Alama ya kujumlisha

    • @ummulkulsum6124
      @ummulkulsum6124 11 місяців тому

      Subhannallah watu wadunia dini jina

    • @kiuje
      @kiuje 11 місяців тому

      Uwe muislam uwe mkriso wote kwa mungu sawa Sisi afrika msituretee matabaka muacheni