HAYA MAMBO NI MAKUBWA!!FWATILIA HEKAHEKA HII

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 22 жов 2024

КОМЕНТАРІ • 63

  • @oliviaseth4652
    @oliviaseth4652 6 років тому +4

    Pole sana, nimeumia sana. Loh!!!! Kwani UKIMWI kapenda? Sote tutakufa

  • @zakyahya4645
    @zakyahya4645 5 років тому +12

    Wanao muona uyu dada muongo mungu atawaonyesha kwani ayaja wakuta uyu dada kuongea ajui angejua kuongea uyo kaka angejua wampe mtoto wake km ni ukimwi njia nyingi za kulea mtoto na asipate maambukizi sheria uchukue mkondo wake

  • @carolinamushi5555
    @carolinamushi5555 6 років тому +1

    pole sana Dada natamani ningekufaha Mungu atakusadia sijui uliko .

  • @cdeleo9336
    @cdeleo9336 5 років тому

    Tatizo hujaikubali hiyo hali mungu akupe nguvu uikubali hiyo hali uanze maisha upya usimng’ang’anie baba wa mtoto

  • @rosehillary8742
    @rosehillary8742 6 років тому +6

    Hapo ndo shida ya watu weusi...Kwani huyi dada kuadhirika inashida gani huyo dada kisaikolojia anaumia...wampe mwanae aondoke tu

  • @khakikah7365
    @khakikah7365 6 років тому +1

    pole sana Dada usikate tamaa kuasilika sio ndo mwisho wa maisha.Lakini we ndo mkolofi tulia tu ulee mtoto wako

  • @rahimaaaaa8699
    @rahimaaaaa8699 Рік тому

    Waharabubl hao wa Maganzu NDIO wafiraji

  • @beatricekarisa7145
    @beatricekarisa7145 6 років тому +3

    Hiyo ni hatia kubwa kumtangaza mtu ana ukimwi awe yuko nao ama hana,kuna sheria na huyo kaka angejuta kufunguwa kinywa kuzungumzia hayo kwa watu,anatakiwa kufahamisha watu yy mwenyewe kwa iyari yake...pole sana dada

    • @zakyahya4645
      @zakyahya4645 5 років тому

      Nikweli nimeumia xn

    • @malaikamushi6032
      @malaikamushi6032 5 років тому +1

      Ukimwi kwenye maombi unapona kabisaaa

    • @fatmafeisal442
      @fatmafeisal442 5 років тому

      @@malaikamushi6032 Subutuuu acha kudanganya watu! Hamna tiba ua ukimwi 👐

  • @fathimamct232
    @fathimamct232 Рік тому +1

    Wengine wanawahukunu Watu pasipo kujuwa inawezekana huyu Bint amepata maambukizi kutoka Kwa wazazi wake na ndio mabinti na watoto wetuwakiume mnatakiwa mduwate sheriya muache naasi na mkipata wenzao muwe wepesi kwenda kupimwa kwanza na SI kujiingiza kichwakichwa TU

  • @saumuhassan1365
    @saumuhassan1365 6 років тому +2

    Mackini, pole sana dada kwa mitihan iliyokukuta, kuna dada mmoja yamemkuta akiwa mjazito hivyohivyo, tatizo ilikuwa kwenye kuongezewa dam

    • @blandinasaulo3725
      @blandinasaulo3725 6 років тому

      Duh inauma sana jaman ila Mtoto anauma pamoja na ugonjwa pia mungu Akutie nguvu

  • @suzanalucasemanuel7006
    @suzanalucasemanuel7006 Рік тому

    Pole sana dada

  • @Kidotii
    @Kidotii 3 роки тому +1

    Pole jamani! Huyu ni unyanyapaaji jamani!

  • @jescajohnson-lv6he
    @jescajohnson-lv6he Рік тому

    Uyo kaka yey ndo atakufa vibaya

  • @ashuraatanas5967
    @ashuraatanas5967 6 років тому +2

    Pole sana mamy Geah naomba nitumie namba ya huyo dada

  • @happymwakajila499
    @happymwakajila499 6 років тому +4

    Nyie hamjui wanaume walivyo wanafikiiii nimemsikilizaa yule mkaka muongo mtupuuuu wanaume sio watu wakibadilikaaaa fyuuuuuu

    • @rahmaramadhan7537
      @rahmaramadhan7537 5 років тому

      Happy Mwakajila kabisàaaaa

    • @juliethhouseofdesigns147
      @juliethhouseofdesigns147 3 роки тому

      Wanaume wanapenda kunyanyasa wanawake, na kama akiwa na familia wanamtia kiberiti nyuma anadhani sifa atakuja kushagaa anakufa yeye mama mtu na ugonjwa wake anabaki watu wengine sijui tupoje

  • @sabihahamadi2287
    @sabihahamadi2287 2 роки тому

    Da geya nakupenda huishiwi na hekaheka

  • @hawamajid1850
    @hawamajid1850 3 роки тому +1

    Duh mpk nimelia 🙄🙄😭😭 jmn mbona watu wengi wagonjwa tunawajua na wanalea watoto wao dah

  • @richardkigono2645
    @richardkigono2645 5 років тому

    Dda pole sana usiogope sijui unasali dini gani kikubwa ni dua tu

  • @aminakawawa1935
    @aminakawawa1935 6 років тому +2

    khaaaa wampe mwanae jamani kwani kuumwa ndio nn watu kibao wagonjwa kama katupa dawa kamripot

    • @zakyahya4645
      @zakyahya4645 5 років тому

      Nikweli nimeumia xn aende police

  • @shambuwamajengo9453
    @shambuwamajengo9453 6 років тому

    Mmmhhh huuu mtihani kwakweli sijui Hata tumuamini yupi Ila huyo Dada alikusudia kumuambukiza hataki kufa pekeake jamani walimwengu tumeharibika ..Allah atusaidie

  • @alimaalima6016
    @alimaalima6016 6 років тому

    Mmhh makubwa ela pole sana Mungu akupe subra

  • @khadijamohamed580
    @khadijamohamed580 5 років тому

    Duh mwambie aende tena hospital mungu anaeza kuwa hana

  • @hafsamaulid1256
    @hafsamaulid1256 5 років тому

    Ndo pale inapothibitika tabia ya wanawake katka Kuelez tu naanzia mwisho Kisha tu nakuja mwanzo Daaaah

  • @sikudhanibusanya4585
    @sikudhanibusanya4585 3 роки тому

    Pole sana

  • @maryakinyi6672
    @maryakinyi6672 5 років тому

    Pole sana dada mungu yupo.

  • @fatwimamakungu5456
    @fatwimamakungu5456 6 років тому +2

    Yani uyo dada ukimsikia tuu unajua mohongo anavo jikanyaga mwanaume wake mstarabu ila ww unataka kumuuwa mwenzio kwangoma maana kwaunivoonekana muongo wala sikupi pole ila ndio tujifunze nasisi wengine maana ulikua unajua umeathilika ila unataka kiondoka na mwenzio

  • @namirihamisi3899
    @namirihamisi3899 4 роки тому +1

    Huyo kaongopa kuwa ww umekufa na yy hawezi kutunza mtoto kwa sababu anashughuli zake

  • @magretmdachi3550
    @magretmdachi3550 3 роки тому

    kumbe huu ugomvi wa pampas upo kwa wengi

  • @haniballbashirw2731
    @haniballbashirw2731 6 років тому

    Gea mbona hurushi heka heka mpya

  • @nfnf9780
    @nfnf9780 4 роки тому

    Jamani waampe mtotoke wangapi wanaumwa nawalewa mtoto

  • @fauziaabdullah3733
    @fauziaabdullah3733 3 роки тому

    mungu yuko

  • @latiphajohn8793
    @latiphajohn8793 5 років тому

    pole xna dada ila kuwa makini na mwenzio mbona alikubali kutumia kinga ww ndio umezingua ila mungu atakupa nguvu usijali

  • @neemamagoma2993
    @neemamagoma2993 5 років тому

    Kulea jamani inawezekana wapowengi sana wakohivo nawanatunza watoto wao

  • @gracemsanjila327
    @gracemsanjila327 6 років тому

    Dada muongo eti kaenda kituo kikubwa kushitaki kuwa amemtupa mtoto mala eti kwavile me muaslika 😁😂😂😂😀😀

  • @heyumi2340
    @heyumi2340 3 роки тому

    wadada yaan mnaua wezun makusudi unajijua uko hivyo unaingia kwenye mahusiano bila mwenzio kujua kama hauko sawa

  • @naymahh3504
    @naymahh3504 5 років тому

    Mbona mwanaume kanyoosha maelezo vizuri

  • @mauvaisecompagnie951
    @mauvaisecompagnie951 3 роки тому

    Nitafute nikupe msaada

  • @bimaisarankamia4153
    @bimaisarankamia4153 5 років тому

    Ila mh mtihani pole.huyu dada hana makosa wampe mtotoake amlee tu

    • @latifahhamisi9733
      @latifahhamisi9733 5 років тому

      Bi maisara Nkamia jamani huyu dada ana umiya sana, hakupenda kuambukizwa sasa kwanini wana munyanuasa?

  • @heyumi2340
    @heyumi2340 3 роки тому

    sasa wataka kumnyonyesha mtoto wakati uko na ukimwi utamuua mtoto ww

  • @nuruhussein5318
    @nuruhussein5318 6 років тому

    lakini mke kama anatumie vidonge vizuri mume hawezi kuambukizwa

  • @tatut3889
    @tatut3889 6 років тому +3

    Mmh kwanilivyo msikia mmeo ww unadanganya afu ww ulii unaimba 😟😟😟emu kaa utulize akili upewe mtoto kuasilika sio kufa tatizo ww umepaniki rakini pole

    • @sashababy1321
      @sashababy1321 6 років тому

      Wanaume wa tanzania ni wafanyaji wa makosa na wajuaji wa kuongea uyu dada yote yamemkuta sema ajui kuongea

    • @tatut3889
      @tatut3889 6 років тому

      Duuh

    • @beatricekarisa7145
      @beatricekarisa7145 6 років тому

      +Manaasha Athuman Nakuunga mkono dadangu nakwambia kungekuwa kuna mahakama mbinguni mwanamume wa kitz angekuwa anashinda kesi siku zote

  • @faridaabdallah7620
    @faridaabdallah7620 5 років тому

    Makumbwa hayo kishida mwenyezimungu tuepushie sswajawako

  • @zaharaallymwndelezotunatak818
    @zaharaallymwndelezotunatak818 4 роки тому

    Kiukweli waume si watu

  • @danielymlelwa5520
    @danielymlelwa5520 6 років тому

    Pole dada

  • @tibajuma7330
    @tibajuma7330 6 років тому

    na nyinyi mchuee wanaume kwenye vitengo hayo ndiyo madhara yake

    • @salamasaidi7363
      @salamasaidi7363 6 років тому +1

      Nenda kwenu kwani kakua?? acheni kuzini jamani? wewe kaka mpe mtoto wake hawezi muua na akimuua utajua pia atafungwa yeye ila mtoe kwako hana nia nzuri na wewe achana nae atakuambukiza kusudi kachanganyikiwa huyo na hali yake Bado anataka kufanya siri kuficha hali yake ili aeneze virus

    • @salamasaidi7363
      @salamasaidi7363 6 років тому

      umeolewa???

    • @zainabuabdalnjookwangunipo3282
      @zainabuabdalnjookwangunipo3282 6 років тому

      Pole dada loho inaniuma sana wanaume siwatu wazuli

  • @happinessmwaipopo7426
    @happinessmwaipopo7426 6 років тому

    Huyo asipewe atamuua ili kumkomoa huyo kaka mfyuuuuu maana ni muuaji kwasababu alimficha mumewe tangu mwanzo. Halafu hawa wanaoliaga ni wanafiki sana

  • @carolinamushi5555
    @carolinamushi5555 6 років тому

    pole sana Dada natamani ningekufaha Mungu atakusadia sijui uliko .