UTAMSHANGAA HUYU MWANAMKE HANA MIKONO LAKINI ANACHOKIFANYA UTASHANGAA

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 22 жов 2024

КОМЕНТАРІ • 100

  • @shamzone388
    @shamzone388 3 роки тому +6

    Wallah huyu dada anatia iman sana ... anahitaji kusaidiwa kwa kweli ...lakini anajitahidi kufanya biashara allah amfungulie milango ya kheir apate anachotaka...

  • @wkjshsxbbsbs6392
    @wkjshsxbbsbs6392 2 роки тому +1

    Congratulations dear sister kwa kujitolea hujakataa tamaa ya maisha Mungu akubariki sana

  • @sadanahimana7193
    @sadanahimana7193 3 роки тому +3

    Ya rabbi Da frora sijui nikwambie nini ?? Wwe Allah akupe umri mrefu wenye kheir na baraka wallah kwa unachikifanya yani unajituma kabisa Allah azidi kukulinda kweli unacho kifanya Allah pekee Akulipe firidaus nakuombea Allah In sha Allah

  • @annaawaki5346
    @annaawaki5346 Рік тому

    Pole xna dada na hongera

  • @guwileguwileyasini758
    @guwileguwileyasini758 3 роки тому

    Subuhnllah allah ampe uwepesi wa kazi yake pole san dada alaf da frol nikuuliza ivi uyo uji mi nitaupataje dd na mimi nipo omani madamu wangu anataka unaweza kutusaidiya tunafanyaje ss maana kuna watu wenyi wanataka nisaidia nakuomba unijibu au km uku oman ofsi zenu zipo au dd unijibu

    • @niteetv
      @niteetv  3 роки тому

      check with me on whatsapp +255677555550

    • @sukariyao6537
      @sukariyao6537 3 роки тому

      @@niteetv nakupenda Da frola nami naomba kuwa wakala wa bidhaa zako nitafanyaje kwa ilo naomba nijibu mpz 🥰

  • @katibatanzania3089
    @katibatanzania3089 3 роки тому +1

    Subuanallwaa mungu mjaliye uyu mama atimize malengo yake asaidiwe kwakweli dooo madada mnao jiuza igeni mfano kwa uyu mama

  • @sadikiharuna3244
    @sadikiharuna3244 3 роки тому

    Mwenyez mungu akuongoze kwenye din yahak dada

  • @mwanahalimamwachili9679
    @mwanahalimamwachili9679 3 роки тому +1

    Mungu Hakupi Kilema Akakukosesha Njia,Hongera Bahati Kwa Kujikubali,Kujiamini.

  • @jafarfarhan7749
    @jafarfarhan7749 2 роки тому

    Mungu atakupa mume inshaallah

  • @hibaalfarsi7756
    @hibaalfarsi7756 3 роки тому +1

    Allah atufanyie wepes waja wake, na ampe hitaji la moyo wake.

  • @arnesyaurio6346
    @arnesyaurio6346 3 роки тому +1

    Hongera sana dada kwa kazi unayofanya , Mungu azidi kukutia nguvu zaidi

  • @rachealkitawa2153
    @rachealkitawa2153 3 роки тому +2

    kwaiyo bahati ni bikira daaah flora ilo swali lako aky mungu abariki uyo dada kwakweli anabidii sana

  • @fahadfahadmaabadmzee7437
    @fahadfahadmaabadmzee7437 3 роки тому +3

    MUNGU Mkubwa Akikupa Kilema Hakukosheshi Na Mwendo Da Flora👏

  • @dianashaban7358
    @dianashaban7358 3 роки тому +1

    Hongera dada mungu akupe hitaj lako

  • @omarsharifa5606
    @omarsharifa5606 3 роки тому +3

    Love you flora 🥰😘mungu akupe umri mrefu

  • @priscadaniel7
    @priscadaniel7 3 роки тому +1

    Nimepata some asante

  • @khdigahk4246
    @khdigahk4246 3 роки тому +1

    😭Utaona mtu anaviungo vyooote utasikia nauza mwili ndokz yngu 😭😭

    • @heyumi2340
      @heyumi2340 2 роки тому

      hatariiiiiiiiiiii sana

  • @alshabje7185
    @alshabje7185 3 роки тому

    Flora mungu akujalie dada yangu

  • @latefalatefa2664
    @latefalatefa2664 3 роки тому

    Pole sana dada bahati Mungu atakufungulia milango ilanimeumia sana kwakweli😭😭😭

  • @zeinabmabeka1830
    @zeinabmabeka1830 3 роки тому +1

    Dada flora unana na kaka zahir wa maximum tv ako na fundi waujenzi yuko rahisi.cox zahir anajengea nyumba babu na bibi haijafika hata million

  • @rayaankamene479
    @rayaankamene479 2 роки тому +1

    Allahmdulillahi

  • @rehemamasoud3687
    @rehemamasoud3687 3 роки тому

    Da mungu ni mwema dada anapambana kweli angekua mwingine angeombaomba

  • @alshabje7185
    @alshabje7185 3 роки тому

    Mungu yupo nawe dada amini mungu atakusaidia inshaallah 🤲🙏

  • @edinaclement7714
    @edinaclement7714 3 роки тому

    Mungu akupe itaji la moyo wako Bahati.

  • @dayana5513story
    @dayana5513story 3 роки тому

    Nisamehe mungu wang kwakufuru,

  • @hizamwaimu3918
    @hizamwaimu3918 3 роки тому +7

    Mungu yumwema akikupa kilema hukunyimi na mwendo

  • @elisiaassey5656
    @elisiaassey5656 3 роки тому

    Huyu mama namjua sana tupo nae Tabora,anapambana ssna

  • @abdulsimba7052
    @abdulsimba7052 3 роки тому

    Uyu mama namuona sana tabora anauza machungwa au sabuni

  • @gracebilahibilahi8069
    @gracebilahibilahi8069 3 роки тому +4

    Dada flora. mm nataka hizo sabuni na miracle Chai na Unga wauji.. Mm nimkenya

  • @rosejoseph9378
    @rosejoseph9378 3 роки тому

    Mungu ni mwema utafika mbali

  • @frdausmwawughanga9047
    @frdausmwawughanga9047 3 роки тому

    M mungu atamfungulia njia insha'Allah

  • @alshabje7185
    @alshabje7185 3 роки тому +1

    Jamani msaidieni huyu dada jamani apate iyo nyumba apumzike jamani 🙏🙏🙏🤲

  • @masalakulwa7601
    @masalakulwa7601 3 роки тому

    Dina marios hawa ndo wanawake wa mwaka...sio hao wengine...huyu mama ubongo wake ulimuaminisha sio kilema..akaamka akatenda...i heart you mama

  • @judithmwambe4767
    @judithmwambe4767 3 роки тому +1

    Maskini jamani....Mungu wangu mtetee mama huyu

  • @veronicasanga5375
    @veronicasanga5375 3 роки тому

    Mungu wangu waone watu awa

  • @khdigahk4246
    @khdigahk4246 3 роки тому

    Ilibid apate meza au kibanda jmn 😭😭

  • @gloriamwanjali9371
    @gloriamwanjali9371 3 роки тому

    Namfahamu Hutu dada Tabora

  • @emanuelj.mpinga9047
    @emanuelj.mpinga9047 3 роки тому +1

    TUNAKUOMBEA DADA WATANZANIA TUTAKUSAIDIA

  • @dicksonkilupa6881
    @dicksonkilupa6881 2 роки тому

    BAHATI HONGERA SANA HADI UMENUNUA KIWANJA MUNGU NI MWEMA SANA ENDELEA KUMTEGEMEA NA KUDUMU NA WOKOVU

  • @namungolubala1788
    @namungolubala1788 3 роки тому

    Kwa kweli Mungu anamaajabu yake
    Watu wazima wanashindwa kufanya kazi
    Alakini walemavu wanafanya kazi🙏🙏🙏 Mwenyezi Mungu akusaidiye dada Bahati Mungu ikojuu yako 🙏🙏🙏🙏

  • @alshabje7185
    @alshabje7185 3 роки тому

    Hata mimi naona Sawa bora apatiwe iyo nyumba

  • @edithlushatuka3293
    @edithlushatuka3293 3 роки тому

    Eeee Mungu msaidie dada huyu

  • @hibaalfarsi7756
    @hibaalfarsi7756 3 роки тому

    ataka mtaji wa milion 20 m, pesa, nalo neno.rabda ujengewe iyo nyumba.

  • @rehemamasoud3687
    @rehemamasoud3687 3 роки тому +1

    Bahati mtaji mkubwa sana huo m.pesa ni ml 2 zinatosha kama kuna mzunguko wa wateja angalau kwa siku watu 40 kamishna nzur tu

  • @zakiamsafiri123zakiamsafir7
    @zakiamsafiri123zakiamsafir7 3 роки тому +1

    Jamani uyu ndo mama wa nguvu

  • @emmanuelraphael679
    @emmanuelraphael679 3 роки тому +1

    Kiukweli inauma sana ila pia dada zetu mnao tumia mili yenu ili kukidhi maitaj yenu jifunzen kupitia huyu dada nimlemavu lakin anajituma bila kujali upungufu waviungo vyake mwenyez amfanyie wepes dada yetu
    😥😥😥😥

  • @swaumujuma6333
    @swaumujuma6333 3 роки тому +1

    Mashallah

  • @shamzone388
    @shamzone388 3 роки тому +1

    Dada flora nipo oman wapi nitapata miracle chai yako please please wakala wako oman no ya simu

    • @neemajuma3138
      @neemajuma3138 3 роки тому

      Kama utahitaji kwa Dar tunatuma dear #0686677822

  • @azizakhamis9371
    @azizakhamis9371 3 роки тому

    Mashaallah

  • @aishahassan9812
    @aishahassan9812 3 роки тому +1

    Subhana Allah

  • @ayubuibrahimu5583
    @ayubuibrahimu5583 3 роки тому

    Mung akupe wepes mama ang

  • @teddymwageni1763
    @teddymwageni1763 3 роки тому +1

    Biashara ni kipaji na nyota km huna kila utakachokifanya utakatoka tyuuu,so kila mtu Mungu kamuumba kwa makusudi na namna yake

  • @jaklinifaustini4259
    @jaklinifaustini4259 3 роки тому

    Pole sana dada MUNGU ataweka njia paspo na njia🙏

  • @masalakulwa7601
    @masalakulwa7601 3 роки тому

    Dah🙌

  • @nurahyusuph9771
    @nurahyusuph9771 3 роки тому

    Mung akubarik mumy

  • @florarwegasila9484
    @florarwegasila9484 3 роки тому

    Milion 20....😔😔😔

  • @rehemamasoud3687
    @rehemamasoud3687 3 роки тому

    Da frola samahani kwani hawezi kuchangiwa akawekewa mikono ya bandia au iyo mpaka uwe umekatwa

  • @stepm2505
    @stepm2505 3 роки тому

    Asante kwa wema wako

  • @sophianyangalio3796
    @sophianyangalio3796 3 роки тому +1

    Subhaallah 😭

  • @matridamwalyoyo1735
    @matridamwalyoyo1735 3 роки тому

    Milion ishirini au amekosea kutaja

  • @masalakulwa7601
    @masalakulwa7601 3 роки тому +2

    Flora tumchangie awekewe mikonon bandia jaman😰

  • @mariamgodfrey53
    @mariamgodfrey53 3 роки тому

    MUNGU huyu basi tu. Kama hauna kilema chochote mshukuru tu

  • @matridalule6477
    @matridalule6477 3 роки тому

    Milion 20 mwee

    • @hamidahamadi1564
      @hamidahamadi1564 3 роки тому

      Hat mm kidogo nimepata shock hpa tigo pesa milion ishilini mbona watu wanaanza milio mbili tu

    • @sukariyao6537
      @sukariyao6537 3 роки тому

      Jamani mwenzenu ajui esabu huyu so kosa lake tumsamehe tuuuh

  • @lightnessmsuya8327
    @lightnessmsuya8327 3 роки тому

    Hakika huyo dada ni kiboko nishakua karanga zake.... Ni mtafutaji mno....

  • @khalfanjuma7678
    @khalfanjuma7678 3 роки тому

    Ddduh😭😭😭😭

  • @lucymagidanga2763
    @lucymagidanga2763 3 роки тому

    Poles mamy angu jamb

  • @gloriamwanjali9371
    @gloriamwanjali9371 3 роки тому

    Samahani nakumbuka 1990s Raisi Mwalimu Nyerere alimpaga nyumba huyu dada bahati kama sijakosea. Nakumbuka alitolewaga kwenye Gazette la uhuru na mzalendo. Kama ni kweli hiyo nyumba imekuwaje?

    • @aishaaisharagp9381
      @aishaaisharagp9381 3 роки тому

      Hata kama alipewa nyumba itabiditu ajisaidie kulikokukaa tu

    • @reginabeno1904
      @reginabeno1904 3 роки тому

      Huyu alishaga saidiwa Sana tabora na kama mwl nyerere alimpa nyumba atakua anayo ila anaficha yn mtaji wa mpesa milioni 20 duh huyu mama anapendaga Sana.hela

  • @irenemwiyava181
    @irenemwiyava181 3 роки тому

    Pol mam

  • @uwimanauwimana7692
    @uwimanauwimana7692 3 роки тому

    mwenye zimungu ni mkubwa. 🙏🏾🙏🏾

  • @stellahmiles2369
    @stellahmiles2369 3 роки тому

    🥰🥰👌

  • @faustnalegembo639
    @faustnalegembo639 3 роки тому

    Tatizo mitaji

  • @namirial4509
    @namirial4509 3 роки тому

    M

    • @agathachikanenda974
      @agathachikanenda974 3 роки тому

      Mungu mfungulie milango huyu Dada jamani.

    • @neemaenzi6231
      @neemaenzi6231 3 роки тому

      Mungu akutie nguvu dada mungu yuko nawe siku zote nimeumia sana lakini Ila ni mipango ya mungu

    • @marymuchina1481
      @marymuchina1481 3 роки тому

      Hongela dada
      Utaenda mbali
      Mungu akupatie nguvu