GEAH HABIBU AMPA KICHAPO MALKIA KAREN|PAULA SHULE IMEMSHINDA|"MKOROGO NAPAKA"| ASEMA ZITO KWA KAJALA

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 22 жов 2024

КОМЕНТАРІ • 126

  • @mkundemosha1046
    @mkundemosha1046 2 роки тому

    Geah mara nyingi ana busara sana ktk utangazaji wake.. upo vzr geah mzuri pia ... Allah aendelee kukupa nguvu

  • @kibuhakihuha5555
    @kibuhakihuha5555 2 роки тому +1

    Kafanana na shilole hv

  • @shamsakiobia6421
    @shamsakiobia6421 2 роки тому +9

    Waoo Ghea Habibu mungu aendelee kuilinda ndoa yako.

  • @asiamohd5516
    @asiamohd5516 2 роки тому +6

    Nakupenda sn dadangu fanya utuletee zai kijiwe nongwa 😘😘

  • @godfreyally7787
    @godfreyally7787 2 роки тому +6

    Ningekua hapo tz ningekuja 77 nikuone live Dada geah nakupendaga sana

  • @saumusalimuhassan2499
    @saumusalimuhassan2499 2 роки тому +4

    Mashallah, majibu mazuri sana Geah.

  • @nanceaidan6622
    @nanceaidan6622 2 роки тому +20

    Mtangazaji sauti Kali sana

  • @TheSalma1999
    @TheSalma1999 2 роки тому +7

    Utakuwa Somo yangu na mimi nikiolewa nakupendaaaaaa sana my dada

  • @stelamwakatulile2455
    @stelamwakatulile2455 Рік тому

    Geah mzuri na Wala ulingi nakupenda♥️♥️♥️

  • @baimarrajahbuayan6237
    @baimarrajahbuayan6237 2 роки тому +5

    Kwanza jaman Kqmq. Unapigwa Kila. Siku au unyanyasika unasubil nin!! Anaekupenda awez kukunyanyasa jaman
    Hata mim siwez kukaa sehemu ya kupigwa au kunyanyasika
    Kqmq ipo ipo tu

  • @mohamedsalum8933
    @mohamedsalum8933 2 роки тому +6

    I love you Geah. Keep it up kumbe uko busy sabasaba ndomana hutupostii hekaheka🤣🤣🤣

  • @kekiplus1andonly
    @kekiplus1andonly 2 роки тому +3

    Ya Mungu mengi

  • @shaneshane4175
    @shaneshane4175 2 роки тому +5

    Mtangazaji unatetemeka hama vipi mbona sauti sio kabisa kwavipi uongee kwa sauti ivyo

  • @johnmwasilu7087
    @johnmwasilu7087 2 роки тому +10

    Mtangazaji ana maswali ya hovyo na sauti inaumiza masikio

  • @annastaziapaul239
    @annastaziapaul239 2 роки тому +5

    Maswali ya mtangazaji ya hovyo kweli, hadi aibu naona Mimi

  • @asiakumpuni1512
    @asiakumpuni1512 2 роки тому +1

    Gea anafanana na Shishi kwa mbali Hadi sauti na uongeaji au Mimi t ndo naona hvyo

  • @joycekalago532
    @joycekalago532 2 роки тому +5

    Mtangazaji sauti kama kachanganyikiwa jifunze kwa wenzio na maswali yako ya kipuuzi hafi geah mwenyewe anakushangaa na viswali vyako vya kibwege

    • @hamidaabdul556
      @hamidaabdul556 2 роки тому +1

      😅😅😅😅😅 kabisa sauti daah

  • @kinglishalhassni1129
    @kinglishalhassni1129 2 роки тому +2

    Mmmh ckwaumbea huwo mtanga zaji unakingine chakuhoji🙄

  • @waukweelinikkon6555
    @waukweelinikkon6555 2 роки тому +3

    Ila geah bhana ,eti kafanya mambo ya kikubwa vizuri sana kwa hiyo atulie🤣🤣🤣🤣

  • @Hermajestypurityjr
    @Hermajestypurityjr 2 роки тому +5

    Shkamoo geah uko vizuri unamweza kumjibu

  • @aliceallys7028
    @aliceallys7028 2 роки тому +7

    Mtangazaji hujui kuongea 🤣

  • @JJ-fb9jp
    @JJ-fb9jp 2 роки тому +4

    Geah nakupenda sana nakuonaje? Just kukuona kwa macho

  • @nurumrisho6073
    @nurumrisho6073 2 роки тому +2

    Kafanya mambo yakubwa atariii nakupenda munooo

  • @ziadamashallah447
    @ziadamashallah447 2 роки тому +2

    Nakupenda sana geha

  • @aishatanzania1194
    @aishatanzania1194 2 роки тому +6

    Ila gea eti kafany mambo ya wakubwa tu kwaio atyulie😂😂😂😂🤸‍♀️🤸‍♀️

  • @nasrahozza9231
    @nasrahozza9231 2 роки тому +1

    Mmmmm mtangazaji unachosha

  • @fauaulit209
    @fauaulit209 2 роки тому +1

    Mashaallah

  • @lilianilimbe4508
    @lilianilimbe4508 2 роки тому +12

    Geah anafanana na shilole

  • @afraalex2366
    @afraalex2366 2 роки тому +6

    HV haya maswali yanamuhusuje

  • @mwatumumstafa5341
    @mwatumumstafa5341 2 роки тому +1

    Napendaga sauti yake huyu dada acha kbs

  • @saadamasoud7694
    @saadamasoud7694 2 роки тому

    Aaah geah wew nakupenda bureee dada, allah akupe maisha maref inshallah

  • @ashurahaji4794
    @ashurahaji4794 2 роки тому +2

    Mtangazaji sauti kama churaaaaaa

  • @mamacaroline6046
    @mamacaroline6046 2 роки тому +5

    Mfano umekuwa kwa Luiza Mbutu.

  • @preciouspeter6126
    @preciouspeter6126 2 роки тому +4

    Huyu anayehoji hajui

  • @marthamkasi3511
    @marthamkasi3511 2 роки тому +2

    Nampenda Da Gea

  • @maishamapya2866
    @maishamapya2866 2 роки тому +4

    Nampenda huyu Dada

  • @asiakumpuni1512
    @asiakumpuni1512 2 роки тому

    Kwan hii interview ya kujua maisha ya watu au muulizaji hana maswali ya kuuliza

  • @maimunaulotu2075
    @maimunaulotu2075 2 роки тому +2

    Jmn mm nampendega huyu mama🥰🥰🥰

  • @mariamally1244
    @mariamally1244 2 роки тому +1

    Kweli kabisa

  • @helenkambi3918
    @helenkambi3918 2 роки тому +3

    Sasa huyo nandy alikua anafundwa nini kama anajua kupanua miguu mpaka mimba ikaingia kabla ya ndoa huyo anahitaji kufundwa. Vichekosho

    • @radhiyageorge2204
      @radhiyageorge2204 2 роки тому +4

      Ndoa ina mambo mengi sio kupanua miguu tuu dada

    • @swaumdodoma7591
      @swaumdodoma7591 2 роки тому

      Make kwanza 😂 😂 😂 😂 😂 He kwani Ata kupanua miguu nako kunahitaji mafunzo?

  • @roselynealima3618
    @roselynealima3618 2 роки тому +7

    Geah dada huku Kenya tunakupenda weweeee!

  • @shaneshane4175
    @shaneshane4175 2 роки тому +2

    Uku unatafuna li jojo huku unamuhoji mtu jamani🤣🤣🤣🤣🤣

  • @inongee1141
    @inongee1141 2 роки тому +4

    Wewe mtangazaji bado sana. bora hata ngariba mtoto.

  • @rukiarashid3669
    @rukiarashid3669 2 роки тому +5

    Mtangazaji hauji kuhoji alaf unamuoji mtangazaji mkongwa anaokuona kama unamsumbua na maswali yako hayaeleweki

    • @zaynabmwanjovu8277
      @zaynabmwanjovu8277 2 роки тому +2

      Tena yakisenge,,wakat kuna wenzie hapo wanamtaman geah wamuhoj..halafu geah mtu wa kunyooka yan angepata mengi

  • @leiratykisura6718
    @leiratykisura6718 2 роки тому +5

    Nampenda sana dada gea❤❤❤

  • @fatmaaweso8702
    @fatmaaweso8702 2 роки тому

    Safi

  • @kiri5807
    @kiri5807 2 роки тому +8

    Mkorogo huyo hapo anatumia asikataye .

    • @mwanaidyibrahim1913
      @mwanaidyibrahim1913 2 роки тому +1

      Kbsaaa

    • @serianjamal8254
      @serianjamal8254 2 роки тому +1

      Geah hajakataa kama anatumia mkorogo siku nyingi tuu huwa alisema wala hafichi khaa
      Kwani mnamlishaa ovyoo
      Tunampenda Daa Geah she's very humble 🙄🇬🇧

    • @stellahgeofrey174
      @stellahgeofrey174 2 роки тому +1

      Da geah anamoyo maswali ya kipumbavu

    • @kiri5807
      @kiri5807 2 роки тому

      @@serianjamal8254 So what ? caim down hata km siku nyingi hajakataa lakini hapo kakataa hayo ya siku nyingi unayajua wewe na hao wenzako munaompenda na kufuatilia vipindi vyake lakini sio kila mtu anamfuatilia nakumjua km unavyomjua wewe.

    • @miriamwinston9908
      @miriamwinston9908 2 роки тому +1

      Sio mkorogo cream ya kung'arisha ambayo haina viambata sumu

  • @Hermajestypurityjr
    @Hermajestypurityjr 2 роки тому +5

    Dada yako nani alafu ni geah sio gaah duuuu

  • @hellenpaul2149
    @hellenpaul2149 2 роки тому +1

    Mpaka rahaaa

  • @asnatidaudi1782
    @asnatidaudi1782 2 роки тому

    Ujui kutangaza hata kindogo sauti mbaya

  • @jasminshemsanga8727
    @jasminshemsanga8727 2 роки тому +1

    Huyu mtangazaji maswal yako ya ovyo sana

  • @تاتوجمعه
    @تاتوجمعه 2 роки тому +6

    Mwadishi wa habari kakalia kuuliza umbea tu

  • @auntmakochela4202
    @auntmakochela4202 2 роки тому +3

    maswali ya upuuzi

  • @happymchomvu6766
    @happymchomvu6766 2 роки тому +5

    Dada hayo mafuta unayopaka yanaitwaje naomba kujua

  • @emmaonalloh5515
    @emmaonalloh5515 2 роки тому

    Geah anajibu kimkato mkato ataki mambo mengi

  • @zawadikininga5706
    @zawadikininga5706 2 роки тому +3

    Nice

  • @juliennenzeyimana3274
    @juliennenzeyimana3274 2 роки тому +2

    Unashindwa sauti na Saidi manyema sauti kali mno.

  • @jacklinekisanga8997
    @jacklinekisanga8997 2 роки тому +9

    Mtangazaji unaongea vbya 😏

  • @tunsumejohntunsumejohn2210
    @tunsumejohntunsumejohn2210 2 роки тому

    Huyu nitangazaj au alipewa maic tu doh

  • @saimasaidi5850
    @saimasaidi5850 2 роки тому

    Gea karibu Mombasa nakupendanga bure

  • @zaidasalumualute6437
    @zaidasalumualute6437 2 роки тому

    Gea anamarienge

  • @jestinamagembe2125
    @jestinamagembe2125 2 роки тому +1

    🤣🤣🤣nakupenda dada Geah

  • @maimunaulotu2075
    @maimunaulotu2075 2 роки тому +4

    Futen hichokichwa cha habar

  • @yousramutwale2463
    @yousramutwale2463 2 роки тому

    Dada mzuri

  • @jescawilson39
    @jescawilson39 2 роки тому +1

    Maswali yana maelezo mengi yanachosha kusikiliza

  • @hejmabohejhej9
    @hejmabohejhej9 2 роки тому

    Wanavumilia da Gea eti waonekane wameolewa na watu

  • @faudhiasalum7279
    @faudhiasalum7279 2 роки тому +2

    Ila geah

  • @ruthdavie1175
    @ruthdavie1175 2 роки тому +1

    Mtangazaji unaboa😏

  • @queenmilan2024
    @queenmilan2024 2 роки тому +1

    mtangazaji hajui kuhoji

  • @vero57
    @vero57 2 роки тому +5

    Nani kasikia dagaa 😃😃

  • @ablashaffy2860
    @ablashaffy2860 2 роки тому

    Kujchubua ni kujichubua tu hakun cha viambata sumu wala nin

  • @judithjulius5993
    @judithjulius5993 2 роки тому +1

    Huyu anatumiag mkorogo

  • @Hermajestypurityjr
    @Hermajestypurityjr 2 роки тому +3

    Ww dada interviews zako

  • @Hermajestypurityjr
    @Hermajestypurityjr 2 роки тому +2

    Ww dada unameita mwenzio dagaaaa

  • @kitonekantasha1687
    @kitonekantasha1687 2 роки тому +2

    Namfananisha sana na JENNIFA KANUMBA. Ni mimi tu??

  • @estherkimario7940
    @estherkimario7940 2 роки тому +3

    Umefanana na shilole

    • @AliAli-rx6wu
      @AliAli-rx6wu 2 роки тому

      @Zai Twaha weeeeh!!!! Weeeeh! Weeeh !!! Acha zakooooo!!! Sasa unazima tapas tamuuuu!!!

  • @dijahmbinyo7301
    @dijahmbinyo7301 2 роки тому +1

    Uyu mtangazaji apunguze maneno jmn Yani huwa anaongea sana kulko adi anae muhoji.... Awe na maneno machache yenye kutoa maana.

  • @btylove1870
    @btylove1870 2 роки тому +1

    Mtangazaji anaongea vibaya mpaka hutamani kumsikiliza sauti yake inaweza kukufanya ukang'oa nywele kichwani!! Uwiii so annoying 😤

    • @zoeybendera1034
      @zoeybendera1034 2 роки тому +1

      Kabisaaaaa

    • @btylove1870
      @btylove1870 2 роки тому

      @Zoey Bendera Samahani Jina lako Bendera ninarafiki wanaitwa Bendera, wewe ni mtu wa tanga?

  • @johamussa1413
    @johamussa1413 2 роки тому

    ❤️❤️❤️❣️

  • @saumusalimuhassan2499
    @saumusalimuhassan2499 2 роки тому +2

    Mama ya walimwengu

  • @mwanaidyibrahim1913
    @mwanaidyibrahim1913 2 роки тому +1

    Pambe

  • @navokisembo
    @navokisembo 2 роки тому +1

    ❤️😘😘😘😘❤️❤️❤️❤️❤️❤️❤️❤️❤️❤️❤️❤️❤️

  • @zaydelabay9776
    @zaydelabay9776 2 роки тому +2

    🤣🤣🤣

  • @jasmeenmpota6280
    @jasmeenmpota6280 2 роки тому

    messi