MASHIA SIO WAISLAMU SHEIKH NASSOOR BACHU

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 20 січ 2025

КОМЕНТАРІ • 11

  • @Abdallahlipipa
    @Abdallahlipipa 26 днів тому

    allah atailinda diniyake na washirikina allah muhifadhi shekh nasoro bacho inshallah

  • @Abdallahlipipa
    @Abdallahlipipa 26 днів тому

    mimi nduguyangu hasa wadamu yupohuko na hatamke wamemuozesha na ndo kiongozi ktk mtaa muakilishi hapo kitonga ukibisha basi

  • @selemankishema5780
    @selemankishema5780 26 днів тому +2

    Nyie mnatafuta tu viewers tu kila clip zenu kichwa cha habari ni fitna tupu tunajua mashia wabaya lakini bachu hajatoa hiyo kauli hiyo katumia hekima saana kufikisha lakini mnamzushia uwongo mtakuja ulizwa kiamani

    • @madrasatulfurqani
      @madrasatulfurqani  26 днів тому

      KWAHIYO mashia ni waislamu!

    • @madrasatulfurqani
      @madrasatulfurqani  26 днів тому

      Nini hukumu ya mtu anaewatukana na kuwakufurisha maswaahaba?

    • @selemankishema5780
      @selemankishema5780 26 днів тому +1

      @madrasatulfurqani nimakosa sawa hatukatai mie nimelaumu kumuwekea sheikh bachu jambo ambalo hajalisema

  • @maase2023
    @maase2023 19 днів тому

    Muislam ni ww peke yako tu!

    • @madrasatulfurqani
      @madrasatulfurqani  18 днів тому

      Anaewatukana maswaahaba WA mtume SIO muislamu

    • @maase2023
      @maase2023 18 днів тому

      @madrasatulfurqani hawatukani mtume wala masahaba labda unachukua taarifa za migahawani tu! Tuambie kitabu kipi chao kinamtukana mtume wakati hata adhana zao zinataja muhamad rasulullah? Acheni kuongeza maneno tafuteni ukweli

  • @maase2023
    @maase2023 19 днів тому

    Kazi ni hiyo kupita kubeza na kejeli tu wakati anayetamka lailahailallah muhamad rasulullah ni muislam kisheria kamili ya dini! Mnakaa mnaleta mfarakano wa kijinga tu