VIBE LA WANANCHI KUTOKA MWANZA BAADA YA KUWASILI JANGWANI KUELEKEA MECHI NA MAMELODI

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 11 жов 2024
  • Спорт

КОМЕНТАРІ • 31

  • @moshielfesty7992
    @moshielfesty7992 6 місяців тому +7

    Mungu atujalie ushindi kesho insha'Allah

  • @TwahirMohammed-x2h
    @TwahirMohammed-x2h 6 місяців тому +2

    Hongera mwenyekiti kwa kazi nzuri

  • @PhyinaElias-mu4wf
    @PhyinaElias-mu4wf 6 місяців тому +10

    😂😂😂😂 nacheka kama mazuri 🤣🤣🤣ila bora alivyo fungwaaaa,,, Mmmmmh mwenzko akinyolewa zako weka majii, Kila la kheri jeshi langu la maangamizi mkatupe furaha wananchi 💚💚✨💚💚✨💚💚✨💪🏼

    • @consokigosi6354
      @consokigosi6354 6 місяців тому +1

      Angalau tutacheza kwa utulivu maana wangetusumbuansana

  • @amaniomar1755
    @amaniomar1755 6 місяців тому +2

    Safi sana wanajeshi wetu Daima mbele nyuma mwiko 🎉🎉🎉

  • @kamanapeter4751
    @kamanapeter4751 6 місяців тому +5

    Kesho tunashindaaa kwa neema za mwenyezi Mungu

  • @FirdausyAbubakary-bl2wo
    @FirdausyAbubakary-bl2wo 6 місяців тому +4

    wenzetu washanyolewa Hukooo😂😂😂😂 kesho Allah atujaalie tuwafute machozi na Kuwafunga midomo inshaAllah😂😂😂😂😂

  • @sylvestercameo6263
    @sylvestercameo6263 6 місяців тому +5

    Ni mwanachama wa Yanga tawi la Pasiansi, Mwanza Hongereni sana mmetuwakilisha vema wananchiiii!

  • @Mcmashe
    @Mcmashe 6 місяців тому +1

    Wao hao ni wananchi tawi la igoma home

  • @mwanangusana
    @mwanangusana 6 місяців тому +4

    😂😂....tukipata vuvuzela 10 kama hawa kesho uwanjani ......patanoga sana

  • @TatuQadir
    @TatuQadir 6 місяців тому +1

    Inshallah mungu atujaalie furaha ya kupata ushindi Tanzania kupitia tim yetu ya Yanga

  • @SHINJEBUHANGIJAOPPI
    @SHINJEBUHANGIJAOPPI 6 місяців тому +1

    Bora makolo yamepunguzwa kelele😮

  • @AllySalim-vg5vv
    @AllySalim-vg5vv 6 місяців тому +1

    Tabia hujenga mazoea kaka,,,tusiwacheke,,hayo kwao ni mazoea😂

  • @shaibusaady2420
    @shaibusaady2420 6 місяців тому +2

    Allaah Akbar

  • @thetanzaniaanimalchanel1564
    @thetanzaniaanimalchanel1564 6 місяців тому +2

    Mimi tena😂

  • @EzekiaSimoni-q2r
    @EzekiaSimoni-q2r 6 місяців тому +1

    Wana mwanza mtuwakilishe tawi la chifunfu sengerema tuko pamoja kabisa

  • @furahamoja6582
    @furahamoja6582 6 місяців тому +1

    Watu wanaloga mwezi mtukufu halafu unategemea usafiri salama na ushindi

  • @MassoudAbdalla-v9g
    @MassoudAbdalla-v9g 6 місяців тому +1

    Kila la kher yanga dam dam

  • @FucianeBulemo-nd4wc
    @FucianeBulemo-nd4wc 6 місяців тому +1

    Huyo jamaa wa ukura ,nimemkubali

  • @luwanda03
    @luwanda03 6 місяців тому +1

    Mtani wenu keshapigwa huko....

  • @beatusmajumbi7125
    @beatusmajumbi7125 6 місяців тому

    MWAKAROBO MKIENDELEA HIVI MSIMU UJAO MTAKUA MWAKAKUNDI

  • @aminaabasi2146
    @aminaabasi2146 6 місяців тому +3

    Alwatan ulikua wapi cha ustaarabu wetu tulikumiss bhna😊🎉💛💚

    • @FirdausyAbubakary-bl2wo
      @FirdausyAbubakary-bl2wo 6 місяців тому +2

      Umwona eeh weyee pia ulimmiss eeh
      Mstaarabu Handsome na Anajua duuh MaashaAllah

    • @amaniomar1755
      @amaniomar1755 6 місяців тому +3

      Yuko vizuri huyu kijana mashallaah 🎉🎉🎉

    • @trice_yanga
      @trice_yanga 6 місяців тому +3

      alikuwa hanmon😂😂

    • @FirdausyAbubakary-bl2wo
      @FirdausyAbubakary-bl2wo 6 місяців тому +1

      @@trice_yanga harusi yake bado

    • @trice_yanga
      @trice_yanga 6 місяців тому +1

      @@FirdausyAbubakary-bl2wo kumbe ile ilikua nn sasa

  • @amanizavala
    @amanizavala 6 місяців тому +2

    Utopolo mnaenda kutia aibu kesho

    • @zeddymourice4249
      @zeddymourice4249 6 місяців тому

      Makolo zamu yenu ndio imefika na tayari mshatia aibu🤣🤣🤣

    • @amaniomar1755
      @amaniomar1755 6 місяців тому

      Pole kwa kupoteza Dunduka

    • @EliaMkumbo-wn7bm
      @EliaMkumbo-wn7bm 6 місяців тому

      Leo mmetia nn nyie makoroboi