SHUHUDIA KIKOSI KILIVYOJIFUA KWA KISHINDO 'GYM' KUELEKEA KWENYE MICHEZO INAYOFUATA YA LIGI

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 11 жов 2024
  • #DaimaMbeleNyumaMwiko #TimuYaWananchi

КОМЕНТАРІ • 30

  • @mwajumampokileomckapela7541
    @mwajumampokileomckapela7541 День тому +3

    Daima mbele nyuma mwiko wananchiiiiiiiii kazi iendelee 💚💚💚💚🖤🖤🖤🖤💛💛💛💛

  • @claratango9262
    @claratango9262 День тому +2

    Mungu Ibariki Yanga Mungu Ibariki Tanzania 🙏🙏🙏

  • @OlivaMHANDO
    @OlivaMHANDO День тому +2

    Mwenyezi mungu peke ndo mwenye utabiri wote,tumuachie yy ndo akawe nguzo ya moto mbele yenu aminaaaaaaaaa

  • @godfreysimoni4270
    @godfreysimoni4270 День тому +1

    Mungu awalinde mkawe na afya njema Hadi mkamalize msimu mkiwa mabingwa wapambanaji wetu.Daima mbele nyuma mwiko 💚🖤 🖤💚💛

  • @DavidHonorath0906
    @DavidHonorath0906 День тому +4

    💚💚💚 fire fire wananch ❤❤
    Ila nashauri, Yanga tukitoka international break huwa tunacheza kwa intensity ya chini sana , hivyo basi mimi kama mshabiki kindakindaki naomba Yanga iwatumi wachezaji waliobaki katika mechi ya mtani( kolo) maana isipokuwa mabiki. Pia wengineo wanaweza kucheza dakika chache, hii itatusaidia kutohadhiliwa na uchovu kwa wachezaji waliioenda mechi za Mataifa yao. Mkiangalia kolo wachezaji wao wengi wapo kambini almost first 11 yao ila sisi almost wote hawapo. Yanga tusiogope waliobaki kambini wanaweza kuleta point 3😘. Nawapenda sana wananchi.

  • @AminoKhalif
    @AminoKhalif День тому +3

    Jeshi letu kazi nzuri 💚💛💚💛

  • @Habibu_manda
    @Habibu_manda День тому +10

    Me wa kwanz naomben like zang yanga wenzang

  • @Shebe_traLove
    @Shebe_traLove День тому +2

    Kazi kazi wana jeshi wetu furaha yetu wananchi mko nayo nyinyi jeuri yetu yakutamba mjini nyinyi njo muna ishikilia kwa sasa dua zetu ziko na nyinyi siku zote

  • @ipyanamwaisekwa8209
    @ipyanamwaisekwa8209 День тому +1

    Amazing! 🎉

  • @aishabakari8040
    @aishabakari8040 День тому +1

    Mungu wajalie afia njema mtupe furaha tarehe 19 Ameen 🤲🏻

  • @SurprisedDivingBoard-mq2nr
    @SurprisedDivingBoard-mq2nr День тому +2

    Naamin tareh 19 Kuna doz kubwa mna tutakayo itoa mashabiki wenzang WA yanga ntwenden kukaujaze uwanja tuna Iman na tim yet

  • @rachelcheyo-p5z
    @rachelcheyo-p5z День тому +1

    Love yanga

  • @BahatiSego
    @BahatiSego День тому

    💛💚💛💚👏👏👏

  • @PriscaBenjamin-ub7lu
    @PriscaBenjamin-ub7lu День тому +1

    Mbona kuna watu wengin hatuwafaham jaman

  • @PeterSevere
    @PeterSevere 3 години тому

    Mbadala wa Aucho anahitajika

  • @OmaryMajivuno
    @OmaryMajivuno День тому

    ❤❤❤❤❤ good 👍

  • @MalinoKadwame-u1c
    @MalinoKadwame-u1c День тому +2

    Mbona mko siliasi san ni simba tu ndo mnamfanyia ivo au kuna kingine

  • @musamshema7838
    @musamshema7838 День тому

    7 yanga 1 simba

  • @EliaMwangobe
    @EliaMwangobe День тому +1

    Mbona kama kuna mchezaji mmoja mgeni jamn n nan uyo

    • @RHODAROBERT-n5u
      @RHODAROBERT-n5u День тому

      Wemepandishwa kutoka under 20 km alivyofanywa mzize

  • @nseyantemi
    @nseyantemi День тому

    🧡💛💛💛💛💛💛💛🧡💛🧡🧡💛💛🧡🧡💛💛🧡🧡💛

  • @radhiamussa1629
    @radhiamussa1629 День тому +1

    Tunahitaji point 3 muhimu wapambanaji wetu nawatakia ushindi mnono wapambanaji wetu umakini unahitajika msiyarudie makosa haijalishi refa yupo hupande Gani muhimu kufocus na mechi hiyo inatizamwa na mataifa mengi naimani furaha itakuja jangwani wapo waliojitapa kuwa waliwazuia Aziz ki na pacome hawakuonekana ngao ya jamii 😂Sasa naimani benchi la ufundi litamfundisha ubora wa wazee wa kazi

  • @sosomacharles9920
    @sosomacharles9920 День тому +1

    Kocho,kocha kocha nimekuita mara tatu,trh 19 hebu mwanzishe Baleke utakuja unishukuru.Dube atokee sub,uhakika wa kuwafunga Simba Baleke upo,Dube yy anakuja kumalizia tu kazi ilishamalizika.

    • @amosyjohn3120
      @amosyjohn3120 23 години тому

      Unachosema Kama ni sahihi vle

  • @mzeke-r9h
    @mzeke-r9h День тому

    Viongozi wa club yetu mshaitwa malofa 19 teache mazoea wakijikanyaga tuwapige turbo.thamani yenu wachezaji inaongezeka game zetu zinaangaliwa duniani

  • @Max_nzengeli
    @Max_nzengeli День тому

    Weka utabiri wako kuelekea tareh 19

  • @lidyamhova8528
    @lidyamhova8528 День тому

    mbona kazi ipo
    Ubaya ubwege mjiandae 😁