TAZAMA NDEGE ZA "URUSI"/ZINAVYOTISHA KWENYE VITA/NI HATARI..

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 12 вер 2024
  • #Russia #Ukraine #War
    Dar24 ni chanzo namba moja cha habari kwa watanzania mahali popote walipo duniani. Kwa habari za uhakika kutoka nyanja mbali mbali.
    JE, NA WEWE UNA HABARI?
    ⚫️ WASILIANA NA DAR24 MEDIA: +255 679 979 786
    ⚫️ Email: dar24news@gmail.com
    ⚫️ Website: www.dar24.com
    ⚫️ Instagram: @Dar24Tz
    ⚫️ Facebook: @dar24news
    ⚫️ Twitter: @Dar24News
    #Dar24 #Dar24Media

КОМЕНТАРІ • 31

  • @nzeyimanaambari9754
    @nzeyimanaambari9754 Рік тому +2

    Naflahi sana hao wauwaji wa nato siwapendi napenda muokozi wa ulimwengu na, africa urusi pongezi sana mtangazaji hongera sana

  • @habibrwegoshora6624
    @habibrwegoshora6624 2 роки тому +2

    Ww Shabiki wa Marekani auko fear

  • @christiankambuga9338
    @christiankambuga9338 Місяць тому

    Nomaa

  • @jacksonmartin8485
    @jacksonmartin8485 Рік тому +2

    Je unaijua sukhoi 57 au china j20 embu😂fuatilia😂hizo Ione au checkmate ya mrusi

  • @nelsonjastin2601
    @nelsonjastin2601 Рік тому

    Mrusi noma uliona usipo weka kichwa Cha habari neneo mrusi atuta sikiliza

  • @komumbughuni8301
    @komumbughuni8301 Рік тому

    Unachosema sio kweli, acha ushabiki

  • @nakeidepaulo2766
    @nakeidepaulo2766 Місяць тому

    Actual combat scenarios atuzioni kihivo Bora ata f-15 ambayo ina rekodi zinazojitosheleza

  • @jacksonmartin8485
    @jacksonmartin8485 Рік тому +1

    Kaka hizo ndege zimetumika wapi au kwenye vitabu fuatilia za Mrusi zimetumika Syria 🇸🇾 alafu hakuna😂ndege inaweza kupita bila kuonekana mbele ya mifumo ya ulinzi ya S 400 au S 500 ya mrusi bro

  • @johnmwangove9928
    @johnmwangove9928 2 роки тому +2

    Mbona unaielezea ndege ya kimarekani sio ya kirusi? Na hiyo story ni ya 2021 tupe mambo motomoto ya Ukraine huko

  • @evancymassawekenya7521
    @evancymassawekenya7521 2 роки тому

    Na zinadunguliwa mbaya Sana

  • @sulleyally5040
    @sulleyally5040 2 роки тому

    Ww dogo ni kichwa sanaa nakukubali sana

  • @abdallazuberi414
    @abdallazuberi414 2 роки тому

    Pamoja sana

  • @jafariHabibu-jc9zf
    @jafariHabibu-jc9zf Рік тому

    Mambo mazito huko

  • @allykilimanjaro1430
    @allykilimanjaro1430 Рік тому

    Dogo uwa nakuelewa sana

  • @omariadidja5600
    @omariadidja5600 Рік тому

    Kichwa cha habari na kusimulia tafau kabisa duh 😂😂😂

  • @gasparmargwe5341
    @gasparmargwe5341 2 роки тому

    Kamera yenu Bado mbovu upande wa visibility

  • @MosesMshan
    @MosesMshan 2 роки тому

    Wako vzr

  • @burilomalima
    @burilomalima 2 роки тому

    Maelezo ni ya F22 wakati kichwa cha habari ndege za Kirusi umetupiga nyundo ya kichwa.

  • @JumanneAbdu
    @JumanneAbdu 10 місяців тому

    Mwambie.apereke.urus.ikayayushwe

  • @jumajux6995
    @jumajux6995 2 роки тому

    Urus je Awana ndege bola

  • @rashidjuma1969
    @rashidjuma1969 2 роки тому

    Zungumzia Urusi na Ukrein ambako saivi Kuna Vita tunataka tujue hizo silaha zinazotumika hukoo ww unatupa Darsa

  • @evancymassawekenya7521
    @evancymassawekenya7521 2 роки тому

    Unazisifia Ila vyenye zinadunguliwa utaamini

  • @maxpesa8811
    @maxpesa8811 2 роки тому

    Yani kumaliziana bando tu kichwa cha habari kingne maelezo mengne shenzi

  • @christiankambuga9338
    @christiankambuga9338 Місяць тому

    Sema wewe Dupange ni shabiki wa marekani hauko fea Rusia ni no1 kaka nyoosha maneno

  • @isaacndashuka5959
    @isaacndashuka5959 2 роки тому

    Baba F35 ndio bora kulikozote

    • @saidmasoud8449
      @saidmasoud8449 Рік тому

      Wala si bora. Kwa kipindi hiki SU-57 pamoja na ndege jamii ya Sukhoi na Mig ndo balaa. Kwa marekani labda uniambie F 16, F 15, F22. Lakini pamoja na kuwa na udhaifu F 35 bado haifikii hz ndege. Imewazidi kwa teknolojia lakini si uwezo wa kupigana km ndege hz nlozitaja hapa juu.😊

  • @MosesMshan
    @MosesMshan 2 роки тому

    Mbn ujataja za urusi