Kwakweli sheikh Muhammad Bachu umebarikiwa,Masha'Allah!!..umepewa uwezo wa kujenga na kujibu hoja,umetulia sana,dua yng kwa M'mungu akupe elimu na ufahamu ili uzidi kutuelimisha pia na mwisho mwema ww na familia yako,kuwa na sheikh kama ww Tanzania tunatakiwa kujivunia Wallah
Assalaam alaikum warahmatullahi wabarakatuh sheikh bachu Allah akulinde uzidi kusafisha huu uchafu na sisi tunaoskiza tuwe wenye kuzingatia Ili tuweze kufaulu na majibu alhamdulillah ulijibu vizuri kama yule alivyotaka yule sheikh ,,,,,
Huyo jamaa kauliza swali tayari ana jibu lake mkononi na anaoneka ameuliza kwa hisia ya kuchukia na anaonekana hana elimu na hana ufahamu Allah amuongoze sheikh endelea kukosoa anae kosea Allah yupo na wewe inshallah.
Alhamdulilla kafaham vzr saiv ila kuna kitu washajengwa kwenye nafsi zao hivo nakuomba shekh endelea kuelimisha na inshaallah Mola akusimamie na akuzidishie elimu na hekma
Mtume Muhammad swallaaallahuu 3aleyhiii wa sallaaam Asema... "NamuAhidi mtu Nyumba Katikati ya Pepo,... Mtu Ambae ataepuka Mijadalaa hata kama yupo sahihi....."... Muhammad Bachu zingatia hayoooooo... Afwaan
Nakuombea kwa Allah wasije wakakununuwa kisha wakakutumia kwa maslahi yao ya kidunia Allah akulinde na akuepushe na shari za sheitwani Amiin thumma amiin 😭😭🤲
Masha’allaah tabaarakallah alhamdulillaah Kijana wetu sheikh wetu namuomba Allaah akuhifadhi na akukinge na hasad wewe na familia yako yaarabbal aalamiin. Mimi nimemuelawa huyo ni ghaidh tu Allaah amsamehe na amuongoze aione haki.
Mashallah... Allah akuhifadhi shkh Muhammad. Yaani walimwengu tuna vichwa vigumu mnooooo... yaani tuna vitu vigumu sanaaaa. Na ndio mana tunaburuzwa sana.
Kwel kwanz huyu jama hajasomo kabisa sema sheikh Muhammad bachu katumia hekma tu kumjibu maswali yake lkn kama ni mtu mwengine kashakata simu zaman anaona anampotezea muda tu
Njia hii kwetu sisi waislamu sio jambo zur kwa sababu unapo msema kwa uwazi kipenz cha wengine basi hao wengine watakuwa na chuki dhid yako kwaio kwa njia hii ipo siku sisi wenyew waislamu tutakuwa katika ugomvi mkubwa sana 😭
Chekhe wangu Ilo jamaa zombi lakupitiliza achana nalo mana ata ufahamu halina na ata kuuliza maswali halijui mungu akulinde usichoke kuwanyoosha kuna siku wataelewa tu yy limekusudia kuleta ligi na halijui
Huyu Mkojani wa Mombasa amesha elewa lakini jamii hii ya Wapemba kwa ushindani mnaweza kuchukua siku tatu bila kupata ufumbuzi. Hawa ni jamaa zangu wa Pemba.
Kuongea koooooote mwisho akiri kwamba jawabu alilojibiwa sheikh wake hajaona kosa lolote kwa maana sheikh kajibiwa swali lake !!!! Swali la sheikh mziwanda: Hivi kwa kutumia tu akili , je katika hafla ya mawlidi ya Mtume, nikisema صلوا عليه nitaadhibiwa ? Jawabu la ustadh Muhammad Bachu: Hapana hutoadhibiwa kwa kumswalia Mtume bali utaadhibiwa kwa kukhaalif sunnah alofundisha Mtume katika kumswalia Mtume Mwanafunzi wa sheikh mziwanda: Sijaona kosa lolote katika jawabu la ustadh Muhammad Bachu
Kuna Aya nyingi zinazungumzia kilimo, misitu, ufugaji na uchumi kwa ujumla, fundisheni hayo sio kubishania maulid kila siku hali ya kuwa waislaam vijijini wako Hoi kiuchumi wengine wanaritadi
mimi kama mpemba wa kwale micheweni nakiri kua huyo jamaa SI MSEMAJI WETU SISI KAMA WAPEMBA, NA SI MSEMAJI WA AHLU SUNNAH, BALI NI MSEMAJI WAVUVI WALIOKO AGONI HUKOO MAZIWANG'OMBE MICHEWENI
Akhy Kam unayo naiomb nmm ni muda mrefu San nazitafut mda mref ni kwa ajili ya faida ya umma Kun makosa watu wanfny San ntk ayawekee muda ayazungumze@@YahyaYahya-vp2pp
Masuffiy ni masufuria kweli. Yaani mtu asikupe dalili. .yaani dini bila ya dalili itaenadaje Masuffiy maghurafi jitambueni ?? Tukaswali kwanza tuje kuendelea kusikiza baraakanllah fiikum
Maulidi ni mubaha ukitaka fanya usipotaka usifanye,ama kumlazimisha mtu kufanya maulidi ama kumlazimisha asifanye hayo ni makosa.yako mengi ya kufanya siyo kupimgana kila siku.
Sheikh Allah akuzidishie subra !Ningekuwa mimi Nisingeweza kuongea na dunduka kama hilo mda wote huo
Radd ni muhimu sana kwa kuwa ni moja ya njia za kuelimisha ummah na pia Sheikh aliyekosea
Kwakweli sheikh Muhammad Bachu umebarikiwa,Masha'Allah!!..umepewa uwezo wa kujenga na kujibu hoja,umetulia sana,dua yng kwa M'mungu akupe elimu na ufahamu ili uzidi kutuelimisha pia na mwisho mwema ww na familia yako,kuwa na sheikh kama ww Tanzania tunatakiwa kujivunia Wallah
Assalaam alaikum warahmatullahi wabarakatuh sheikh bachu Allah akulinde uzidi kusafisha huu uchafu na sisi tunaoskiza tuwe wenye kuzingatia Ili tuweze kufaulu na majibu alhamdulillah ulijibu vizuri kama yule alivyotaka yule sheikh ,,,,,
السلام عليكم ورحمة الله وبركاته. Allah awabariki masheikh zetu na Waislamu wote kwa ujumla kwa kuwaonesha haki na kuifuata. Ameen
Huyu hana hoja ataka vurugu tu...sheikh Muhammad Bachu Allâh Akuhifadhi
Simba ..Allah akupe umri mrefu wa amani. Birmingham
Itabidi tumualike sheikh bachu aje UK kutupa darsa
Itapendeza Allah awafanyie wepes @@fahadrachid2352
Shekh Muhamad mashallah hao washrik sio level yako hao wamezoea kutupotesha maulid ni ushirikina tuache shirki Jamanii mbona masahaba hawajawai kusherekea uzawa wa mtume
Huyo jamaa kauliza swali tayari ana jibu lake mkononi na anaoneka ameuliza kwa hisia ya kuchukia na anaonekana hana elimu na hana ufahamu Allah amuongoze sheikh endelea kukosoa anae kosea Allah yupo na wewe inshallah.
Kweli kabisa
Yani uyu muulizaji kilaza kweli
MASHAALLAH ALLAH akuhifadhi sheikh Muhammadi bacho
Shukran Sheikh wechu Muhammad
Huyo mpemba hana hoja .
Ni ushabiki tu
Mtu km huyo hukupotezea mda wako tu.
Maashaallah shehewetu Bachu umejibu vizuri❤
Mno
Tena kwa hekma kubwa mungu Amlipe kher Muhammad bach
Alhamdulilla kafaham vzr saiv ila kuna kitu washajengwa kwenye nafsi zao hivo nakuomba shekh endelea kuelimisha na inshaallah Mola akusimamie na akuzidishie elimu na hekma
Maashallah shekh Muhammad bachu umemjibu vizuri sana na Allah akulipe duniani na aakhira Allah atuongoze sote Aamiin Aamiin
Maashaallah swahihi Akhiy Muhammad Bacho
Shk Bachuu Allah akuhifadhi uzidi kutuelimisha umma mzimaa
Mashaaallah Allah akuhifadhi na hasad wewe nimwalim ktk masala ya kisheria
Jazaqallahu khaira Sheikh Bachu Allah akuzidishie Umri
Allah akuhifadhi shekh Muhammad bachu zidikuwelimisha umma itafikia pala watafahamu tu
Ma Shaa Allah Ma Shaa Allah Ma Shaa Allah kwa usulub huu ni mzuri sana sheikh langu unawaradd hawa masufi kwa Haqq Allah akuepushe na Makruhu
Mashallah swali limejibiwa vizuri sana watu wa maulidi hawana elimu wanafuata mashekh zao tu bachu uko vizuri kaka...
Barakallahu fik Sheikh Bachu
Jamani sina uwezo mwenye namba yake anipatie Wallah nimtumie hata buku2 sheikh wangu Allah atanilipa.
Allah Akuhifadhi, Sheikh Muhammad Nassor Bachu
Mtume Muhammad swallaaallahuu 3aleyhiii wa sallaaam Asema... "NamuAhidi mtu Nyumba Katikati ya Pepo,... Mtu Ambae ataepuka Mijadalaa hata kama yupo sahihi....."... Muhammad Bachu zingatia hayoooooo... Afwaan
Nakuombea kwa Allah wasije wakakununuwa kisha wakakutumia kwa maslahi yao ya kidunia Allah akulinde na akuepushe na shari za sheitwani Amiin thumma amiin 😭😭🤲
Alhamdulilah sheihk bachu Alla akuzidishie na azidi kukuimarisha, na atuongeze sote..
Masha’allaah tabaarakallah alhamdulillaah
Kijana wetu sheikh wetu namuomba Allaah akuhifadhi na akukinge na hasad wewe na familia yako yaarabbal aalamiin.
Mimi nimemuelawa huyo ni ghaidh tu Allaah amsamehe na amuongoze aione haki.
❤❤❤ muhammad Allah akulipe ujira mkubwa unafanya kaz mzur
Jamani umetumia eshima kumuelekeza sauti yaka chini masha Allah
Haki sheikh Mohamed nasoro nakupenda bure kwajili ya Allah.
Mashallah... Allah akuhifadhi shkh Muhammad. Yaani walimwengu tuna vichwa vigumu mnooooo... yaani tuna vitu vigumu sanaaaa. Na ndio mana tunaburuzwa sana.
Allah Akbari mm nimekuelewa vizuri saa sheikh nikija Tanga tena nitaomba dua kwa Allah uwe na muadhara tene kama Mwaka juzi
Umejibu vizuri sh baju
allah ajulipe sheihk wangu hakuna mwenye hoja huyo kama katumwa tuh au kajituma na amepanic
Kwel kwanz huyu jama hajasomo kabisa sema sheikh Muhammad bachu katumia hekma tu kumjibu maswali yake lkn kama ni mtu mwengine kashakata simu zaman anaona anampotezea muda tu
Allaah, Akuhifadh,, shekh wetu, kwani ukitumia Akili huwezi kwenda kuadhibiwa na Allaah,,,, ukitumia Akili, lkn ukija kiusomi utaadhibiwa,, shekh,, shukrani Allaah akulipe ziada ya thawabu,,,,
Shekh Muhamad mashallah Allah akupe umri uzidi kutuelimisha na huyo aliepiga simu hana elimu
Duhhhh ni mazungumzo yeny mafunz ila jamaa mbishi allha atufanyie wepes
Hahahaha
Allah atuhifadhi na atuunganishe kwenye kheri Inshallah
Mashallah sheikh Mohammad yuwajibu maswali kiufasaha na kwa hoja mashallah kwa mwenyekuelewa
Sheikh Mohammed bachu sema ukiona kuna mahali kunashida usiogope sisi tutacuambua maana nyote ni walimu wetu
Mashallah sh Muhammad nassor bachu Allah akubaarik
Mashaallah, jazaakallahu khairan shk
Maa shaa allah sheikh muhammad umemjibu vizuri sanaa.
Ntumie no. Yako ustadh bachu
Sheikh Bachu yupo vizuri sana
Dah tusome jamani uyu jamaa anaonekana kauliza kwa asila ya shekhe wake karadiwa
ماشاء الله
Sheikh Muhammad bachu
جزاك الله خيرا يا شيخنا
بارك الله فيك يا شيخ محمد
Njia hii kwetu sisi waislamu sio jambo zur kwa sababu unapo msema kwa uwazi kipenz cha wengine basi hao wengine watakuwa na chuki dhid yako kwaio kwa njia hii ipo siku sisi wenyew waislamu tutakuwa katika ugomvi mkubwa sana 😭
Asalaam alaykum sheikh Muhammad Bachu huyu hanaelimu na swali analo uliza asikupotezee muda hajielewi kabisa achana nae.
Baraakanllah fiikum
❤❤❤❤❤❤.....masha Allah
MashaAllah sheikh bachu
Yesu wasaidie waislamu wakujue, Dunia iwe na amani.
Yesu haja oa ww umezaliwa kwa msingi gn au unaoa kwa msingi gn? Au ww umeshushwa
@@nassorkhamis6233 kiswahili kigumu? "haja oa" ndio nini? Acha kuchafua lugha yetu adhimu! Rudi kwenu Uarabuni ukafuge majini
Yesu Tunamjua vizuri na tunampenda vizuri kuliko nyinyi mujiitao wakristo
@@HansiKatumbi Njoo ubatizwe kama kweli unampenda
Ww kafiri silimu utakuja kujuta
Al akhy channel ipo kimya sana
الله يحفظك
Chekhe wangu Ilo jamaa zombi lakupitiliza achana nalo mana ata ufahamu halina na ata kuuliza maswali halijui mungu akulinde usichoke kuwanyoosha kuna siku wataelewa tu yy limekusudia kuleta ligi na halijui
😂
Masufi bhana ni mtihani mzito.
ما شاء الله
Baraka llahu fiyka jambo limeeleweka hamna hoja tena hapo ni jazba tu
Huyu jamaa asome kiswahili kwanza
Mimi ninahitaji nije kusoma kwako Sheikh Muhammad Bachu. Na sijui ninafika vipi kwako naomba pia kwa anayejua nafikaje kwake naomba anipe maelekezo
mashekhe wa kisufi hivi ndivo wanavowalea vijana wao huwez kumkuta mtu wa sunna anazungumza utumbo hivi jaman tumuogope allha
Ni uchafu2 tena sheikh ana subra sana kama ningekuwa mimi nshakata simu mda2 siwezi kabisa kumskiliza huyu kiande
Sheikh muhamad huyo mpemba mwezangu elimu yake ndogo ,na anaubishi wa kipemba bila elimu ,
Huyu Mkojani wa Mombasa amesha elewa lakini jamii hii ya Wapemba kwa ushindani mnaweza kuchukua siku tatu bila kupata ufumbuzi.
Hawa ni jamaa zangu wa Pemba.
السلام عليكم ورحمة الله وبركاته
Ndugu yangu mpemba huna elimu wala hutaki kufahamishwa
Huyo jamaaa hajielewi ndo akauliza maswali yasio na muguu wala mikono
Amina
Hiyo ndio tabia ya Haw ndugu zetu wa kikojan ni wabishi bila hoja ya msingi
Usitaje kabila la mtu ukanzisha chuk na wala huna ushahid kama ni mkojan huyo
Hiyo ni tabia ya wajinga wasio na elimu na sio u pemba wala ukojan Acha dharau
Asalm alaykum huyo sufi anakupgsha kelele
Shekh Bachu Huyu haulizi kutaka kueleweshwa wala hayupo tayari kuelewa huyu katumwa kuleta fujo
Huyu jamaa kauliza tu lkn anaonekana hana elimu ata kidogo
Huyu muulizaji kalewa????
Shkh bachoo Allah akuhifadhi na akuepushe na shari za majuha kama huyo jamaa 😢😢😢😢
Kwanza amekuja kihuni sana na ungemuuliza kwanza yee ni man afu anazungumza kwa kiburi. Wala usinge mjibu
Kuongea koooooote mwisho akiri kwamba jawabu alilojibiwa sheikh wake hajaona kosa lolote kwa maana sheikh kajibiwa swali lake !!!!
Swali la sheikh mziwanda: Hivi kwa kutumia tu akili , je katika hafla ya mawlidi ya Mtume, nikisema صلوا عليه nitaadhibiwa ?
Jawabu la ustadh Muhammad Bachu: Hapana hutoadhibiwa kwa kumswalia Mtume bali utaadhibiwa kwa kukhaalif sunnah alofundisha Mtume katika kumswalia Mtume
Mwanafunzi wa sheikh mziwanda: Sijaona kosa lolote katika jawabu la ustadh Muhammad Bachu
Ustadhi saidi tu kashindwa
Kuna Aya nyingi zinazungumzia kilimo, misitu, ufugaji na uchumi kwa ujumla, fundisheni hayo sio kubishania maulid kila siku hali ya kuwa waislaam vijijini wako Hoi kiuchumi wengine wanaritadi
Bachu upo sawa huyo anayeuliza ni bakwata hamna kitu
yaonyesha muuliza swali amelewa hayupo sawa au anatafuta shari baada ya kutafuta elimu
Imam shafi kasem nibora kuongea na wenye elimu 10 utawashida kulimo mjinga moja 2 hutoboi
Bachu nishia kma wengine kma anamuweza aende kwa mziwanda
Muulizaji kasome kwanza mbele ya kujadili
mimi kama mpemba wa kwale micheweni nakiri kua huyo jamaa SI MSEMAJI WETU SISI KAMA WAPEMBA, NA SI MSEMAJI WA AHLU SUNNAH, BALI NI MSEMAJI WAVUVI WALIOKO AGONI HUKOO MAZIWANG'OMBE MICHEWENI
Hhhh kwanz amfundishe kujenga swal 2.
We pemba mizang hun hoja kasom kwanz eeeeee
Na kwann haumpigii Shafii Basalim na Haji Upepo yy Hadi anawambia Mashekhe ni Makafir au sababu wao ni Wenzie ndio anashindwa kuwailiza?
Pumbavu zake
Wakojani wabishi
Jamaninaombanambayasimuyabachu
Nimekupa namba mpigie kwq heshima usijeleta mambo kama ya huyo jamaa hapo
0776005717
Akhy Kam unayo naiomb nmm ni muda mrefu San nazitafut mda mref ni kwa ajili ya faida ya umma Kun makosa watu wanfny San ntk ayawekee muda ayazungumze@@YahyaYahya-vp2pp
Muuliza suala kichwa mchungu
Na hadithi kama hizi ni nyingi sana.
HIVI HATUELEWI AU UNATETEA MTU?
Masuffiy ni masufuria kweli. Yaani mtu asikupe dalili. .yaani dini bila ya dalili itaenadaje Masuffiy maghurafi jitambueni ?? Tukaswali kwanza tuje kuendelea kusikiza baraakanllah fiikum
Wana Tisha masufi
Tena wanafanya Yao ki akili c kitabu na Sunnah na hizo mbili ndo mwongozo wetu kutoka kwa mtume salallahu alayhi wasalam na hawataki kufuata haki
لا يلزمُ من القيامِ بالجزء التسميةُ بالكُلِّ.
Amekuja na swali la ushindani sio kutaka kufahamu Allah amuongoze ndugu kake huyu.
Maulidi ni mubaha ukitaka fanya usipotaka usifanye,ama kumlazimisha mtu kufanya maulidi ama kumlazimisha asifanye hayo ni makosa.yako mengi ya kufanya siyo kupimgana kila siku.
Sijawahi kuwaona watu mapocho kuliko Ahlul-Bidaa wal-hawaa masufi.
Acha chuki izoo mpemba mwizang
Huyu jamaa atoe namba tena kama alivyo toa kwa abu khawla 😂😂
Jamaa yupi?
Ww akili huna mjomba
nyinyi ndio akili hamuna ...mumesha ambiwa tumieni akili
Halaf uyu jamaa kwanza ateme ayo mate ya tumbaku ndo aongee na shekhe