KIMENUKA: MCHEPUKO WA MARCO WA ZABRON SINGERS AMEKUJA NA MTOTO MSIBANI ADAI URITHI WA MTOTO

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 12 вер 2024
  • SUBSCRIBE NOW

КОМЕНТАРІ • 3,2 тис.

  • @user-sj3wf5vz7l
    @user-sj3wf5vz7l 15 днів тому +39

    Jamani msifikiri aliyekufa alikuwa mtakatifu kwa sababu yakuimba kwaya.
    Mungu ndie anajua mambo yake ya siri na yataonekanq wazi

    • @lucymlekachuma7879
      @lucymlekachuma7879 15 днів тому +2

      Pamoja hatujakamilika ni biinnadamu sisi

    • @user-he3me7co9y
      @user-he3me7co9y 15 днів тому +2

      Kabisaaa nipe tano ya juu😂😂😂 ndio waislam wamepitisha mke zaidi ya mmoja

    • @lilianeerica3318
      @lilianeerica3318 15 днів тому +4

      Ndio hatukatai ila kwanini asubili afe ndo aje kusema😮😮😮😮

    • @damarismokogoti1428
      @damarismokogoti1428 14 днів тому

      Waaah nimeshangaa

    • @Jacksbalampa
      @Jacksbalampa 13 днів тому +1

      Sawa kwa nini asubili afe mbona hakusema mapema

  • @DanleyDon-vd7zd
    @DanleyDon-vd7zd 14 днів тому +4

    Mmmmmmh!!!!! Kuna mambo chini ya jua!!! Mmh!!!! Pole San dear mama au mke halali WA Marco jipe moyo munguvhatokuach Wala hatokupungukia 💕💕💕💕

  • @KulwaLudovick
    @KulwaLudovick 16 днів тому +19

    Uyo mama na mtangazaji wote wapumbavu sana

  • @ramadhankombe2643
    @ramadhankombe2643 19 днів тому +234

    Acha ujinga!et mme wangu.uliolewa kwa ndoa?yaan mtu hajazikwa et ushaanza kudai urithi?na ww mwandishi ningekuwa karibu na ww ningekuchapa vibao.maana unahoji mambo ya kipuuz wakt watu wana majonzi.pumbavu sanaa.

    • @vailethmsogoth8235
      @vailethmsogoth8235 19 днів тому +27

      Tena Kofi la kisogo Ili ku restore setting za ubongo koblaa kabisa😢

    • @simonogenche913
      @simonogenche913 19 днів тому +1

      Ahk

    • @MashakaMagesa
      @MashakaMagesa 19 днів тому +10

      Kwa kosa Gani Sasa yaani wakristo Sheria ya mke mmoja inawatesa sana mbona kwenye biblia Kuna Watu walioa wake wengi na Mungu akawabariki Watu hao

    • @ayelaeverlyn6373
      @ayelaeverlyn6373 19 днів тому +10

      Hao ni wazimu wawili wamekutana wanataka kutrend wakati mbaya washindwe sana

    • @ayelaeverlyn6373
      @ayelaeverlyn6373 19 днів тому +7

      ​@@MashakaMagesambona hakuja mapema mbona ungojee mtu afe ndo ujitokezee

  • @mamasia9741
    @mamasia9741 15 днів тому +13

    We mpumbavu sikia tukupe habari. Sisi wa sabato hua hatunaga ndoa mbili ndoa ni moja tuu namke anae julikana ni mmoja mke wa marco na sio ww,,,,,kwanza ww tukuulize unawajua ata ndugu zake na kama ni kweli kwann asikutanbulishe ata kwa ndugu ata rafiki,,,,we dada katafute baba wa mtoto wako acha kumchafua mtumish wa mungu kwanza hufananii kabisa. Pole sana

    • @JosephmwitaJosephmwita
      @JosephmwitaJosephmwita 13 днів тому +1

      Kuweni makini na hayo maneno yenu huyu dada sio chizi,,usabato na matendo ya mtu ni vitu viwili tofauti

    • @JosephmwitaJosephmwita
      @JosephmwitaJosephmwita 13 днів тому +1

      Punguza kashifa kwa huyu mama mtumishi wa mungu unamjua

    • @peternjau752
      @peternjau752 12 днів тому

      Pore sana mama

    • @harounmadulesi3608
      @harounmadulesi3608 11 днів тому

      Nimecheka sana.... hafananii na nini?!?! Yaani umeuvaa uhusika wa marehemu?!?!

    • @reginacosmas868
      @reginacosmas868 10 днів тому

      Niko na wew kabsa Hana akili yeye angekua ndo mke wa kwanz ingekuaje ni hv hakuna wake wawili kwa wakristo alambe lolo2 asituchoshe Kwan lazma atangaze

  • @Nzambimanachantal
    @Nzambimanachantal 14 днів тому +7

    😢😢yoooh mungu akulemu we mama hivi ukimucafuwa malehemu unajiskiaje? 😢na wewe mungu akulehemu pia

  • @brigethsauzand3926
    @brigethsauzand3926 19 днів тому +34

    Yaani michepuko inavyopendaga kujipa Hadhi ya mke uwiii!!

  • @finaselemani
    @finaselemani 19 днів тому +26

    Usijue iyo viipii!!
    Wakati marehemu alikuwa superstar duuh!!

    • @user-su8ih2qf8t
      @user-su8ih2qf8t 17 днів тому +1

      Alaf mkavu na uyo anaemuhoji m wananiuzi

    • @user-wl5ft9qp5f
      @user-wl5ft9qp5f 15 днів тому

      Muongo uyo mpumbavu sana

    • @ORPHANYANGAU
      @ORPHANYANGAU 13 днів тому

      Maybe they are just acting ​@@user-su8ih2qf8t

  • @NaomiKibona-y7f
    @NaomiKibona-y7f 17 днів тому +12

    😭😭😭😢 Mungu anawaona atawalipa kwa wajati wake wew mwanamke na mtangazaji wake acheni kuchafua kanisa la Mungu

  • @EmmanuelLucas-of3pc
    @EmmanuelLucas-of3pc 18 днів тому +62

    Huyu dada mjinga sana anatumiwa na Ibilisi kulichafua Kanisa la Wasabato Shida sio mali ila ametumwa kulichafua Kanisa la Mungu.😭😭

    • @EstherOkwon
      @EstherOkwon 18 днів тому +3

      Angalia macho ilivyo simama kama mganga

    • @innocentfortunatus725
      @innocentfortunatus725 18 днів тому +3

      Sasa kama ana mtoto wake ni vibaya, kanisa halihusiki kwani alikuwa malaika

    • @innocentfortunatus725
      @innocentfortunatus725 18 днів тому +4

      Ujinga wake uko wapiii kusema ana mtoto wake au?

    • @EmmanuelLucas-of3pc
      @EmmanuelLucas-of3pc 18 днів тому +3

      @@innocentfortunatus725 Hio sio kweli kama ingekuwa kweli angeenda wakayamaliza kifamilia sasa mtandaoni wamsaidie Nini kama hajatumwa na Ibilisi?

    • @PatriciaAkena
      @PatriciaAkena 18 днів тому

      Shetani hana aibu anasema yeye ni mke haja olewa utakuanjee mke

  • @LEEMORO
    @LEEMORO 19 днів тому +54

    Sema Kiki Zitawaumizaaa Wallah Nawaambia Umaarufu Utawaponzaaa kiki Zinawaumizaaaaaaaaaa

    • @greenberry254
      @greenberry254 19 днів тому +2

      Huyu kunguni hana hata haya😂😂😂

    • @zebedayokatamaduni9676
      @zebedayokatamaduni9676 19 днів тому

      😂😂 Yaani hana lolote

    • @joycemachibya4380
      @joycemachibya4380 19 днів тому +1

      Huyu mdada jinga ata akijitangaza hapati chchte
      Wanawake wanahangaika jmn unaiba mume wa mtu unajitangazaa 😂😂😂aloooo bongo bahati mbaya 😅😅

    • @zulphamushi3700
      @zulphamushi3700 18 днів тому +1

      Kama inakuuma mbn huna machozi macho makavu km gazeti la wiki kenge wew yaan huna hata hayaa kuhojiwa .unajiita mke hujulikan kwwnye familia 😂😂
      Bongo ukiwa na stress utakufa . Yan dada senge hili

    • @evertheobald1811
      @evertheobald1811 18 днів тому

      Tanzania sihami kwakweli 🤔🤔🤔

  • @RizikiMpallateongoogle
    @RizikiMpallateongoogle 15 днів тому +4

    Nitafanya juu chini, mpaka mkamatwe mshatakiwe. Mdhibitishe hili, hizi tabia za kuchafua watu mnadhani ni jambo dogo sana, hii itakuwa mwisho. Jiandaeni kisaikolojia kushughulikiwa

    • @dee_ml
      @dee_ml 14 днів тому

      Naam, this is good, wakamatwe yeye mwanamke huyu na mtoto, wakapime DNA ya mtoto pamoja na kaka wa marehemu, ikidhibitika vinginevyo sheria ichukue mkondo wake.

  • @erickchaula5084
    @erickchaula5084 19 днів тому +38

    We Dada mwogope mungu hizo Kiki zitakuponza

  • @barakabilatanguye
    @barakabilatanguye 19 днів тому +27

    MJINGA MKUBWA SANA SANA WEWE...NYUMBA HAZIJAGAWIWA NA BADO HAJAZIKWA....KWANINI HAPO UKO SEHEMU FICHE HAPO SO MSIBANI

    • @user-hj5mv9bc9p
      @user-hj5mv9bc9p 19 днів тому +1

      Waongo Hawa jamani sehem yenyewe na mtu mwenyewe hataongea yake anaonekana muongo

    • @meshacknyandongo577
      @meshacknyandongo577 19 днів тому

      @@user-hj5mv9bc9p huyu dada kama mganga wa jadi vile

    • @missamirajiiddy7077
      @missamirajiiddy7077 19 днів тому

      Sasa ujinga wake nini?

    • @missamirajiiddy7077
      @missamirajiiddy7077 19 днів тому

      ​@@user-hj5mv9bc9pndio maana Waislamu tunao zaidi ya mke mmoja, haya sasa michepuko kwenu ndio ruhusa. Haya wifi ndio huyo apewe haki yake

    • @emmanuelthomas1078
      @emmanuelthomas1078 19 днів тому +1

      We mdada Mwongo jicho kavu kama la Ahmed Ally🤔

  • @deboramuhoja1777
    @deboramuhoja1777 14 днів тому +9

    Mdada jicho kavu, Hana hata haya!😢😢 Kwa nini hakujitokeza before😢 kuweni na hofu, God is watching,,,!

  • @user-jx8gf6pq9l
    @user-jx8gf6pq9l 19 днів тому +59

    Achen kumdhalilisha mtumish wa Mungu...kapiga vita vyema kashalala mnaanza kuleta maneno...Mungu akuadhibu...

    • @hellenmachibya2681
      @hellenmachibya2681 19 днів тому +2

      Huuu ni uongo,,,haiwezekani kuwa hujui kuwa ana mke,,,wewe ni mharibifu wa NDOA za watu,,,acheni kumdhalilisha mtumishi wa Mungu!! Sio make hivi unajuwa maana ya mke?

    • @hellenmachibya2681
      @hellenmachibya2681 19 днів тому +1

      Ungekuwa mke angekuwa anawajibika,,,,iweje akusaidie kulea?

    • @chillogeorge1383
      @chillogeorge1383 18 днів тому +3

      Wacha kuzuia OLE za Mungu zisiwafikie watu.
      Mtu anajulikana hadi kwa ndg wa marehemu, wewe umekalia kusema mtumishi wa mungu.
      We endelea kuona watu kwenye Tv na kuwaona majukwaani. Ni ujinga mkubwa, na kutokuijua biblia.
      Kuna mtoto alieachwa anahitaji kutetewa. Sio kila kitu ni kutafuta kiki mitandaoni

    • @BelladonaTz
      @BelladonaTz 18 днів тому +3

      Hatumuoni msibani mmejifungia sehem tu mkome na mungu awalaani

    • @AnastaziaMazengo
      @AnastaziaMazengo 18 днів тому +3

      Acha ujinga kumzalilisha wakati alizaa nnje na mtoto wake anahitaji elim namalezi lazima watoe iyo nidamu yako

  • @frankmlalila1705
    @frankmlalila1705 19 днів тому +82

    Acha usenge we malaya,,mchepuko tangu lin ukalis mali,,nchi ina visa hii

    • @missamirajiiddy7077
      @missamirajiiddy7077 19 днів тому +1

      Usenge wake nini, kosa la marehemu kuwa na mchepuko. Marehemu alimuongopea kuwa hana mke

    • @user-xx8rl1nl2m
      @user-xx8rl1nl2m 19 днів тому +3

      Hahaha

    • @user-fc4pz6ns4q
      @user-fc4pz6ns4q 18 днів тому +2

      😂😂😂😂haki nacheka kwauchungu sana ila mungu tu atupe mwisho mwema

    • @mercywanjiru540
      @mercywanjiru540 18 днів тому

      So you believe her??​@@missamirajiiddy7077

    • @mercywanjiru540
      @mercywanjiru540 18 днів тому +2

      ​@@missamirajiiddy7077where was she ??while Marco was live??isitoshe she says that she never new Marco had a wife,media zipo , etc am Kenya bt awache ujinga

  • @HadijaHadijasyombu
    @HadijaHadijasyombu 11 днів тому +2

    Oh my goodness, bona wee mama ukuwai jitokeza ukiwa na ujauzito wake surely do ata bibiye ajue? Ata hauna huruma kabisaa unaumiza bibi ya mwenda zake ak!

  • @FanuelSteven
    @FanuelSteven 18 днів тому +23

    Unaongea kwa ujasiri dada lakin hunaakili vizuri kwenye kiki hii umekosea marco ulivyo kua ukimwona kwenye nyimbo kama sweet sweet alivyokuaakimkumbatia angel ulizan dada ake??

    • @hidayakiza9364
      @hidayakiza9364 15 днів тому

      😅😅😅😅😅 kwanza yy kila kitu hajui. Alikupigia kukwambia anaumwa hakunambia

    • @Restuta-j7w
      @Restuta-j7w 14 днів тому +2

      Acha kutuchafulia Imani yetu wewe, sisi hatunaga wanaume wachepukaji wala wanawake, na ukiwaona basi nisabato jina tuu, sie wasafiri wakwenda mbingun, mwache mke wa marehemu atuliepo walao, mali tafuta zakwako. Au mtoto akapimwe DNA😊

    • @DeboraDaniel-zp7jl
      @DeboraDaniel-zp7jl 14 днів тому

      Hahaaaa waambie ukweli na huyo mwandishi msenge tu

  • @friminershayo5325
    @friminershayo5325 19 днів тому +32

    Hizo story za kutengeneza kila siku watanzania mnakamatwa hamjifunzi....
    KINDLY POLICE KAMATENI HAO WOTE WEKA NDANI WAFUNGENI KABISA ILI WENGINE WAZIDI KUJIFUNZA BiG JOKES 😮

    • @SalomeCharles-dh7ml
      @SalomeCharles-dh7ml 19 днів тому +1

      Huyu dada mchawi

    • @NdindaFlorence
      @NdindaFlorence 18 днів тому

      Mimi nimkenya nanilikua namheshimu sana Marco. So waende dna wajue ukweli, mimi siamini, mtumishi wamungu alikua nataadhima kuu sana.Mungu wambingu ablaze roho yake pema peponi, kwafamilia yake poleni sana.

    • @BboossBILLY
      @BboossBILLY 18 днів тому

      Uongotu

    • @jacsonbayyo3482
      @jacsonbayyo3482 18 днів тому

      Naye ana haki mpeni mali kidogo

    • @jacsonbayyo3482
      @jacsonbayyo3482 18 днів тому

      Msimtukane dada wa wa watu

  • @MonikaFedrick-td8nv
    @MonikaFedrick-td8nv 2 дні тому +1

    michepuko poleni maliuja tafuta naealafu unataka mali sahauuuuu😂😂😂😂😂😂

  • @Joycenaomi7
    @Joycenaomi7 19 днів тому +52

    Mungu awaadhibu wewe na mutangazaji 😢zababu tanzania 🇹🇿 ninyi mumezidi sana 😭😭😭 mufe mukiojiana 😭😭😭

    • @chillogeorge1383
      @chillogeorge1383 18 днів тому

      Chukua kama funzo, ikiwa kweli unataka kuishi maisha ya kumpendeza MUNGU.
      Ukizuia watu waseme, itamaanisha kuwa unatumika na shetani kukandamiza kweli ya Mungu isiwafikie watu

    • @user-np3fe2sl8d
      @user-np3fe2sl8d 18 днів тому

      Ukweli na iwe ivo ,,,,cjui ak MUNGU ama nisemeje?

    • @user-rf8oq1jd6u
      @user-rf8oq1jd6u 18 днів тому +1

      Nyie wa Tz hamna haya kwahuzuni hyo mtu unatoap nguvu yakujitokeza mara hii from Kenya sijapenda ak

    • @EstherMutiso-t2f
      @EstherMutiso-t2f 18 днів тому +1

      Aky matakataka

    • @betty-uq4sw
      @betty-uq4sw 18 днів тому +1

      Nop apo naona mtakazaji Hana shida juu yeye tu ni mtumwa yeah Hana shida mwenye shida ndio uyo mama apo

  • @wemachristian286
    @wemachristian286 19 днів тому +4

    Mtangazaji ungetafuta jembe ukalime halafu hujui hata kazi yenyewe mnamdhalilisha MARCO wa watu kwa kutaka vijisenti vya hapa duniani kweliiii MUNGU ATAWAADHIBU SAWSAWA NA MNACHOFANYA

  • @MWAMPAMBA
    @MWAMPAMBA 16 днів тому +11

    Aeleze vizuri aseme tuu ya kwamba kabla marco hajao yeye alikuwa na mahusiano naye ila baada ya marco kuoa ndipo mahusiano yao yakavunjika . Sitaki kuamini kwamba marco wakati anahuduma anamtumia Mungu Alikuwa anamcheat

    • @esthergloryshine322
      @esthergloryshine322 16 днів тому

      Kweli kabisa

    • @hidayakiza9364
      @hidayakiza9364 15 днів тому

      Point

    • @user-tp2vk9et8l
      @user-tp2vk9et8l 15 днів тому

      😂😂😂😂😂

    • @AnnaPaul-n6r
      @AnnaPaul-n6r 15 днів тому

      kwani hapo lajabu lipi kwani malehem alikuwa malaika kwahiyo mtu asiongee ukweli??

    • @RegulaShirima
      @RegulaShirima 15 днів тому

      Huyu dada ni mpumbavu.hamna ukwe ndani yake.
      Anatafuta kiki ilinayy aonekane mtandaoni.
      Mbona hata chozi hana

  • @johnmndeme8743
    @johnmndeme8743 19 днів тому +38

    Nyie yaan hata huo mchezo hamjaucheza vizur mtangazaji hujui huyo Malaya AKO HAJUI KUIGIZA KENGE NYIE

  • @niyuhirecharlotte112
    @niyuhirecharlotte112 18 днів тому +37

    We malaya,toka shetani kati ka jina la Yesu.hivi njoo unaona kuj kutaj kam una mtoto na Marco we shetani,acha mtumishi wa Mungu apmuzik kwa amani.

    • @GlorryMariki-ee6dc
      @GlorryMariki-ee6dc 18 днів тому +1

      😂😂😂

    • @RonardoKatagara
      @RonardoKatagara 18 днів тому

      ​@GlokwerryMariki-ee6dc

    • @fridagustaphmwenda6658
      @fridagustaphmwenda6658 17 днів тому

      Kama ni kweli damu yake huyo mtoto atapewa haki yake

    • @LAZORANAILS
      @LAZORANAILS 17 днів тому +2

      Wewe unayemtetea huyo mtumishi wako ulikuwa kwenye moyo wake? Acha hizo, watumishi wengi wanawatoto nje ndoa

    • @stellanyagoe2073
      @stellanyagoe2073 17 днів тому

      ​@@LAZORANAILSwaaah kumbe hakuna mtakatifu Hadi Marco Ako na mpango wa kando

  • @OTILIAKOMBA
    @OTILIAKOMBA 14 днів тому +1

    Huyu msenge sana mwenzio yupo kwenye majozi na anamfwata ety mume wangu mjinga wewe mwanamke koma kabisaaaa ungekuwa mstaarabu basi hata ungesubiri afu ndo uanze mambi ya mali.....toka weweew mwanamke afu anaongea kwa ujasiri 😢😢😢asa wewe ni mke yupi hata wazazi hawafahamu daaa....mke hata mahali hamna unanitia kinyaaa mbwa wewe wewe ungejitambulisha kama mchepuko sio mke daaaa.........mchepuko wewe

  • @zittamwambanga87
    @zittamwambanga87 19 днів тому +38

    Acheni bibi ya marehemu azike mumeo kwa Amani. JIHESHIMU MWANAMKE.

  • @JemimahNyangasi
    @JemimahNyangasi 18 днів тому +15

    Wanadamu ukristo ngumu kweli,mungu atusaidie sana na atupe uvumilivu wanawake wote, shetani ni mwongo,,,,me from Kenya utamwamini nani,kama wakristo ni hao,maaaaajabutu Kwa kafiri kama Mimi,men still men

    • @nasinyariengera6458
      @nasinyariengera6458 18 днів тому +1

      Kwani unaposema utamwamini nani yeye mtume, nabii au ni binadamu wa kawaida mwenye kipawa cha uimbaji!? Binadamu wote sio wakamilifu ndio maana tukapewa toba! Tulishaonekana ni wakosefu ..hamjasikia mchungaji kafumaniwa au shekhe ,ustadh kaharibu mahali! Tusihukumu tumuachie Mungu hata unapokuwa kwenye ibada fuata neno linasema nini sio yule muendesha ibada anaesoma neno anafanya nini!

    • @dianamvuzwa-eh9ov
      @dianamvuzwa-eh9ov 17 днів тому

      Yani huu anamuchafuwa tu nakuchafuwa ukristu lakini shetani Hana nafasi

    • @robertkaseko9596
      @robertkaseko9596 17 днів тому +1

      Kuwa makini usipende kuamini kila kitu. Hii ni mbinu ya adui shetani kulidhoofisha kanisa. Jifunze kwa hayati Prophet TB Joshua, Usishangae hata akifa Mtumishi wa Mungu mkubwa leo watatengeneza skendo kama hizi wakijua kabisa kuna wakristo wakisikia hivi watakata tamaa wokovu

    • @MINISTERBAHATIMPUME-px4pf
      @MINISTERBAHATIMPUME-px4pf 14 днів тому

      Shida ni kufuta kitu chema alichokifanya Marco, kwanini asiende huko kwenye familia aje huku mtandaoni, angetuambia basi mtoto wake amekataliwa aweke na ushahidi,, wewe Dada na mtangazaji wako mwogopeni MUNGU acheni kiki

  • @zainabumshana9466
    @zainabumshana9466 17 днів тому +3

    Acha ujinga umalaya umekupoza ndo faida hiyo mjinga wew kuharibu ndowa zawatu

  • @CellestineFikirini-do8xc
    @CellestineFikirini-do8xc 19 днів тому +13

    Sasa unadai ni mume wako na kwao haujapelekwa...acha tamaa😂😂😂😂😂

    • @AfirenAfiren
      @AfirenAfiren 19 днів тому +1

      Akisema mume wangu nasikia kutabika😂😂

    • @fatmaalnabhani3609
      @fatmaalnabhani3609 19 днів тому +1

      Mume wako vp na hujaolewa jamani? 😮😮

    • @mercywanjiru540
      @mercywanjiru540 18 днів тому +3

      Huyu angekuwa Kenya to ungemnyorosha vizuri

    • @user-ii6wt5zt9w
      @user-ii6wt5zt9w 17 днів тому

      Mume wake kiaje,aaje ujinga huyo mwanamke

  • @LucyJohn-co2di
    @LucyJohn-co2di 18 днів тому +23

    Dada pole umepotez@ mwenyehaki ni Mke wandoa enderea kutafut danga mwingne😂😂😢😢😢

    • @FaizaChama
      @FaizaChama 17 днів тому

      😂😂😂😂😂 hatari sana damu ya watu arudishe,,,, ili akadange vzr,,,, ila hopo kunaukweli sema dada yetu kajichanganya. Rudisha damu ya watu,,, wanaume kudanga ni haki yao

    • @fridagustaphmwenda6658
      @fridagustaphmwenda6658 17 днів тому

      Kama ni kweli mtoto wa huyo marehemu atapata haki yake

    • @user-es2iu4jh2h
      @user-es2iu4jh2h 17 днів тому +1

      Umeona eeeeeeh hana akili zero brain

    • @mukeragabilodiana9391
      @mukeragabilodiana9391 17 днів тому +1

      😂😂😂😂

    • @kambakambatena6878
      @kambakambatena6878 16 днів тому

      ​@@fridagustaphmwenda6658haki gani

  • @GladysGogo-u3b
    @GladysGogo-u3b 11 днів тому +1

    Yaweza kua ni ukweli Yuko na mtoto wake mbona Mimi sijaenda hapo nikadai Niko na mtoto muache kumtetea Marco anae jua Siri zake ni MUNGU

  • @JackieLuhembe
    @JackieLuhembe 18 днів тому +12

    Tafta za kwako achana na maswala ya urithi dada Kwan mtoto mmja unashindwa kumhudumia 😂😂

  • @VicysebaNyambeta
    @VicysebaNyambeta 19 днів тому +26

    Mhhh Yan mfiwa ndo anakuwa na uso mkav Kama nn, araf ww Marco alvo maaruf usmjue mke wa wake kwel mungu anawaona

    • @vailethmsogoth8235
      @vailethmsogoth8235 19 днів тому +3

      Haon hata aibu et mume jaman

    • @felistermichael979
      @felistermichael979 19 днів тому +2

      Makubwa

    • @ReginapauloSamila
      @ReginapauloSamila 18 днів тому +1

      Kabisa yaani mtu marufu Kama huyo husijue Kama anamke he michepuko daini haki mapema kabla wajafariki duuh hii kali

  • @SavinaNjagiKathii
    @SavinaNjagiKathii 15 днів тому +1

    Bwanako na hauna huchungu Hadi macho yamekauka kama unakariri shairi? May God give you knowledge

  • @user-os3lh8rr3c
    @user-os3lh8rr3c 18 днів тому +12

    Marehemu nani mbona hutaki jina lake msenge sana wewe mwandishi mpuuzi sana yaani maelezo yako tofauti na kichwa cha habari narudia tena mwandishi msenge sijui kutukana lakini mwandishi malaya sana wewe mwandishi tena mpuuzi sana

  • @hakizimanaviolette1564
    @hakizimanaviolette1564 18 днів тому +11

    Shalom, nakumbuka kuna mmama huko Rwanda anakuja kwa mtumishi wa Mungu agasema anamtoto wake kwer niuongo, Mungu wasamehe waongo niwengi

    • @marthakibona
      @marthakibona 16 днів тому +1

      Ulichukua majukumu gani wemwanamke kualibundoa yawatu

    • @ElBlancaÔg
      @ElBlancaÔg 15 днів тому

      Uyo nimushenzi kbs zamani amekuwa wap lofa san

  • @user-uq4he9zy7v
    @user-uq4he9zy7v 17 днів тому +2

    Mwanamke wa hovyo sana huyu dada mjinga siku sote hujatambulishwa kwenye familia ya mume unasubiri akifa ndo uje kujitamubulisha mwenyewe acheni ujinga michepuko tafuteni waume zenu acheni waume za watu huna haki atakidogo weww mbwa

  • @user-dc2nr7pu9y
    @user-dc2nr7pu9y 18 днів тому +12

    Ulaaniwe wewe dada unawezaje kumchafua mtumishi wa mungu

    • @maryiamdenah7187
      @maryiamdenah7187 18 днів тому

      Ako na ujinga mwingi ata kuigiza halijui alie fiwa hawi ivi linakera na lisura lipana kama nn mungu n samehee ila lipuziii

    • @JemimahNyangasi
      @JemimahNyangasi 17 днів тому

      @@user-dc2nr7pu9y hapa hamna laana ni mungu atusamehetu, ukristo kamili ningumu,iyo make wapili,shida ni kujifichatu...

    • @Yoelfabian
      @Yoelfabian 16 днів тому

      Eti hajui kama ameoa ila watu bhana kuwa na akili watu wanaomboleza afu wewe na mambo ya ajabu iv uoni aibuu

  • @ElizabethJackobo
    @ElizabethJackobo 19 днів тому +8

    Kilichokupeleka nimalitu Mungu atawanyosha

  • @patriciamuganda4498
    @patriciamuganda4498 16 днів тому +2

    Yaani mtumishi wa Mungu anaweza kujishusha na kuwa na mwanamke wa type hii? Si kwa Usabato tunaoujua ukihubiriwa.

  • @AnitaNamutosi
    @AnitaNamutosi 19 днів тому +12

    Iyo mim siwezi amini uyo mwanamuke asiaribie mujugaji safari yake ya mwisho ashidwe katika jina la yesu

    • @mkmkj7425
      @mkmkj7425 18 днів тому +1

      Huyu ni fala sana

  • @mariaikombe7839
    @mariaikombe7839 19 днів тому +5

    Huyu mama hana hata uchungu wa kufiwa na mme yupo kimaslahi zaidi Mungu anamuona

    • @avelinabaluhya2804
      @avelinabaluhya2804 18 днів тому +2

      Kwani hujui michepuko unatafutaga nini kwenye ndoa za watu

  • @ceedanstan6780
    @ceedanstan6780 11 днів тому +1

    Hahi hili jitu halina hat aibu mimacho sasa kuyazungusha ulikuwa wap zamani umechanganykiwa maisha huna lolote

  • @AliceMoraa-nb4cs
    @AliceMoraa-nb4cs 19 днів тому +8

    Huyo mwanamke Ako n ujinga sana ningekuwa karibu ungetoka mbio bila kiatu kwa mguu,,mshenzi ww komaaa😊

  • @ujumbekwawaulimwengu
    @ujumbekwawaulimwengu 18 днів тому +6

    Mme wako haunata haya kweli eti unadai mali Dunia kwili imefika ukingoni hatakuogopa dhambi hakuna,eti mme wangu ushindwe we malaya kwajina la Yesu kazi yako kutamani wa ume za watu Mungu anakuona

  • @AshuraBingwa
    @AshuraBingwa 3 дні тому

    Ww ni mjinga pamoja na huyu mtangazaji mbon hukujitokeza wakati.yupo hai😂

  • @FabianJeremiah-p3t
    @FabianJeremiah-p3t 19 днів тому +8

    Uko mpumbavu emu acheni kumchafua kaka wa watu mke utakuwa wewe pumbavu jicho lenyewe kavu mmeona kuna hera tu mmeanza choko choko kumsumbua huyo dada emu muacheni amlilie mume wake

    • @Imaniamockgmail
      @Imaniamockgmail 19 днів тому

      ♥️🙏🎉

    • @AmonBora-ve5si
      @AmonBora-ve5si 16 днів тому

      Mke kachunda hiv hajui hadh za wake nn?ety million 3 na laki 6 ndo ampelek kayumba na atafut danga lingn😅😅😅

  • @EliwadaKikoti
    @EliwadaKikoti 17 днів тому +6

    Yan we mwandishi ningekuwa na uwezo nngekufunga maisha yako yote acha ujinga pumbavu mkubwa ww aspewe hana chet cha ndoa ndo sheria yetu wakristo

    • @user-in4uo8tk8r
      @user-in4uo8tk8r 15 днів тому

      Dada kuwa na hofu ya Mungu,acha kumchafua mtumishi.takataka ya shetani

  • @saumumganga7981
    @saumumganga7981 15 днів тому +5

    Mtoto atakuwa,na Mungu atamuongoza zaidi,kikubwa dada asiwe anaongopa,watumishi wa Mungu wana upendo

  • @LidyaWilliam-k2u
    @LidyaWilliam-k2u 18 днів тому +18

    Jamani ata wiki alijaisha duuu pole mke wamalehem michepuko mnatuumiza jamani maumivu juu ya maumivu

  • @hakizimanaviolette1564
    @hakizimanaviolette1564 18 днів тому +9

    Wanalipwa pesa ili wahalibu mtumishi wa Mungu,

    • @alunekyusa4905
      @alunekyusa4905 17 днів тому +1

      Tamaa ya huyu dada,lakini waimbaji wa sasa wake wanawake ni malaya sana hadi kichefuchefu hawamuogopi hata Mungu wanao Matha kwenye nyimbo zao

    • @hakizimanaviolette1564
      @hakizimanaviolette1564 17 днів тому

      @@alunekyusa4905 nihatar, lakiki basi atuone hata sms kweny sim ili tuamini

  • @DoriceBabiligi
    @DoriceBabiligi 17 днів тому +1

    Hajapewa mali coz hujulikan na kabla hajafariki mbona ulikuwa hujajitokeza kujitambulisha, sasa mbona unakuwa muongo maana unasema ulikuwa hujui kama ameoa mara ulijua mtoto akiwa na miaka miwili, kwenda zako mnamchafuria jina marehemu

  • @matildamati9222
    @matildamati9222 19 днів тому +10

    Mbona watu mnadhalilisha maana ya neno MKE,
    1. je ana hati ya ndoa, 2. anafahamika ukweni
    3. Kwa desturi za ukristo mke ni mmoja tu ss yy anajiitaje mke na ili hali marehemu ana ndoa ya kikristo tayar.
    Hapa msema kweli ni DNA tu na mengine yataendelea bde

    • @angeldanniel2041
      @angeldanniel2041 19 днів тому

      Serikal inatambua mke endapo kaishi nae kuanzia miez 6 kwaiyo anahaki ya kudai

    • @RodahAdonice-dz4sm
      @RodahAdonice-dz4sm 19 днів тому

      Msikie anavyokazana ety mume wangu 😂 wacha kimrambe ajiandae kulea mwenyewe alishazoea vinono na mume wa mtu

    • @yasminoluoch169
      @yasminoluoch169 19 днів тому +1

      Serikli hutaMBUa mke mkubwa tu

    • @yasminoluoch169
      @yasminoluoch169 19 днів тому

      ​@@angeldanniel2041NOPE SI kweli huyu ni mchepuko si mke halali

    • @gloriaanaclet6860
      @gloriaanaclet6860 19 днів тому

      Acheni ujinga. Mnajua maana ya mme nyie? Kiki za kijinga.kabisa.

  • @FridaChavala
    @FridaChavala 19 днів тому +28

    Wewe mwanamke kama unataka Kiki Mungu akupe mkuki

  • @sarahsamuelministriesintl5401
    @sarahsamuelministriesintl5401 9 днів тому +1

    Kwanini mnapenda kusumbua wafu.Mbona hukujitokeza akiwa hai.

  • @TheopistaAloyce-ht8kr
    @TheopistaAloyce-ht8kr 19 днів тому +8

    Mmeshindwa kuigiza kabisaaaa duh!! Kweli dunia siyo mbaya binadamu ndiyo wabaya!!!!!

  • @ChristinaMsongole-v7i
    @ChristinaMsongole-v7i 19 днів тому +11

    Du ,jamani huyu msichana huna aibu hata kidogo mungu anakuona, alafu hizo Mali hazikuhusu kama ulishindwa kumiliki akiwa hai imekula kwako

  • @joycerwabanu5961
    @joycerwabanu5961 17 днів тому +1

    Wizi na umaskini
    Msiba haujaisha nyumba zimetolewa vp?

  • @ErnestJams
    @ErnestJams 16 днів тому +4

    hiiii nchi sihami ata kwa bundukii

  • @violambeche2531
    @violambeche2531 19 днів тому +31

    Wewe ni malaya tu

    • @JacksonMutinda-jw5qw
      @JacksonMutinda-jw5qw 19 днів тому +1

      Ata sura nmalaya tu

    • @enocknyakundi-et6ve
      @enocknyakundi-et6ve 19 днів тому

      Ata kuongea kwake mjinga mkuu nkt

    • @verinicamartin6420
      @verinicamartin6420 18 днів тому +3

      Siyo malaya kwani kuzaa sikupo wanaume wangapi wamezaa nje ya ndoa msimtukane kwa hilo jamani

    • @verinicamartin6420
      @verinicamartin6420 18 днів тому

      Wanaume wanashindwa kujitambua sababu kuogopa wake zao lakini wanaume wengi wanawatoto nje sana mtoto ana dhambi gani matusi mengi tu mtoto baraka tulitambue mlete kwangu nimlee wakimkataa umeongea ukweli wanaume jisimamie sana swala la watoto nje unakufa ndo wanakuletea mtoto sema mapema bila haibu

  • @MarthaNtibani
    @MarthaNtibani 14 днів тому

    Jamani we Dad's la kweli ilikuwa mwizi Kwa familia ya Marco, basi ulivo muibia mke wa marehemu ni vingi, Marco hayupo Anzisha kwingineaana we ni mzoefu hata Mamako ndo alivo Mnafurahia kifo Cha mtoto wa mwenzenu, mmm

  • @CatherineBahati-j1i
    @CatherineBahati-j1i 19 днів тому +4

    Mchawi wewe kwenda huko Malaya wewe mtu hata hajazikwa unadai TU mahari ni kama kifo chake kinamfurahisha mjinga sana wewe

  • @TOMNYEREZA
    @TOMNYEREZA 19 днів тому +4

    Huyu dada njaa kali kweli duh!!!!!! Hata.mwandishi amekula dili siamini kama ni profesional wa kazi yake.hiyo, wa kristo tuna mke mmoja tu, ndo ana tambulika, au ulijitongozesha akakukataa??????

  • @user-ii6wt5zt9w
    @user-ii6wt5zt9w 17 днів тому

    Ati watanzania wakutetee?kivipi mi ni mkenya lakini sikubali uko na wivu juu marco hawezi akakuwa tena.unatake advantage mchawi wewe

  • @helenamagile4999
    @helenamagile4999 19 днів тому +6

    Mmmh dunia nishushe nipumzike , mwanamke mwenye akili zako timamuma huwezi fanya huu ujinga,

  • @angelaminde1247
    @angelaminde1247 19 днів тому +6

    Hii dunia hii Mungu tu ndio anajua kesho tuu

  • @NickodemMwaipaja
    @NickodemMwaipaja 5 днів тому

    Hiyo hatar sana mtoto apate haki Yake ndugu wa Mme walione hilo

  • @barakabilatanguye
    @barakabilatanguye 19 днів тому +9

    UONGO MKUBWA NYIE MNAONA HAPO NI MSIBANI????? NA WEWE MALAYA ULIKUA HUONI KAMA ANAIMBA NA MKE WAKE

    • @vailethmsogoth8235
      @vailethmsogoth8235 19 днів тому

      Shangaa na ww anafany na komwe

    • @barakabilatanguye
      @barakabilatanguye 19 днів тому

      @@vailethmsogoth8235
      Kajinga ako ka Malaya.....

    • @kenedymusaukavithi
      @kenedymusaukavithi 19 днів тому

      Huna nitoroka na nikifa ndio unakuja kudai no mliachana ,kaa kitako sister😂

    • @SGIT-jd6fg
      @SGIT-jd6fg 18 днів тому

      Hivi kwann mnapenda kuchafua watu kwa maslahi yenu hadi marehemu mnachafua kusudi lenu ni nini?

  • @magdalenajoel4539
    @magdalenajoel4539 19 днів тому +6

    Mtangazaji ungemwambia akuonyeshe no ya marehem

    • @fatumambaruku963
      @fatumambaruku963 19 днів тому +1

      😂😂😂😂😂😂jmn umetisha

    • @KakuEmma
      @KakuEmma 19 днів тому

      Eeeeeh ndio tujuwe

    • @AnnoyedArcticWolf-kf4fh
      @AnnoyedArcticWolf-kf4fh 19 днів тому

      Mtangazaji mwenyew mkundu kabxa

    • @sanifarohimu4964
      @sanifarohimu4964 19 днів тому

      Huyu Dada ni muongo Mara aseme Ni mumewe Mara alikuja kujua anamke jmn haelewek

    • @RosieNgina
      @RosieNgina 18 днів тому

      Hata angeonyesha mawasiliano hata kwa simu vile walikuwa wakiongea

  • @user-jj9ey6qy4h
    @user-jj9ey6qy4h 16 днів тому

    Acha ujinga we shenzi kama umetumwa ushindwe mbona hakujitokeza kabla ha jafa? Sasa mbona hakusema mpema? 😅😅😅😅😅😅 aibuuuuu alifunga ndoa haukujua? Weeeeeee muongooooo😂😂😂😂😂

  • @MagrethMgaya-m4x
    @MagrethMgaya-m4x 15 днів тому +1

    mwogope mungu abiya mbona unawadhalilisha watumishi wa mungu jaman duuuuh😭😭😭😭

  • @AnnaKabuni
    @AnnaKabuni 17 днів тому +1

    Una haki ipi wewe? Mwenye haki ni mke alietafuta nae izo mali kama alikua na wewe mngechuma pamoja nae

  • @MarthaNtibani
    @MarthaNtibani 14 днів тому

    We humjui Baba wa huyo mtoto wako, ulivo mjinga mbona hajakutaarifu kuumwa kwa ke? Huns aibu kutamka kuwa Marehemu alikua mumeo tafuta wako mapema, ondoa Gundu lako kwa Mke wa Heshima

  • @AnnahMwinzi-c2o
    @AnnahMwinzi-c2o 15 днів тому

    Mwanamke ujunga punguza before mpate mtoto pamoja ungeuliza back ground ya Micheal,,,,qwenda huko wewe...hapo hakuna kitu inaeza semeka bwana na Micheal familia yake tunaifahamu....no...no...no..
    .bona unataka kuogeza familia ya Micheal donda na Bado hawajapoa...so painfull 😭😭😭😭

  • @AishaHussein-en3wf
    @AishaHussein-en3wf 16 днів тому

    Watu wana machungu yao,kama uyu dada anafanya masiara akamatwe,ukujua kama ana mke wake,kama ni mambo ya uongo,ushauri mtangazaji na dada wote ndani,pumbavuu kabisa amuoni mnavurùga vichwa vya ndugu sasa ulikubali iwe siri,kimekufanya nini leo ujilete azarani, acheni maigizo

  • @FrolaWangwe-xi1js
    @FrolaWangwe-xi1js 17 днів тому +1

    😂😂😂😂 eti unaomba watanzania wakupe mali, acha ujinga wewe kadange tu huko😏😏😏

  • @salomemwamwaja1841
    @salomemwamwaja1841 15 днів тому

    Naomba Mungu anisamehe katika hili ila huyu dada anaonekana ni muongo na amepangwa tu kuongea ivyo wewe mumeo unaongea mkavu kama ujafiwa kweli😢jamani hapana kufiwa kusikie tu kwa jirani kwakweli huyu bado 😢😢

  • @lizbethmeena8044
    @lizbethmeena8044 17 днів тому

    Yaan we dada acha ujinga huo NI msiba ulikua wp kipindi chote hicho mwache mtumishi wa mungu utachomwa Moto ww unagombea Mali eti upewe mtaji kutola kwa nank

  • @AminaSelemani-z5q
    @AminaSelemani-z5q 15 днів тому

    Mtoto huyo nizawadi kwako na sio kwel kama hukujua ni mume wa mtu inamaana wewe ulikua ukimtafuta muda woote yan wewe ushaapigwa mtoto huyo ni dhawadi kwako na mshukuru mungu kwa ulo

  • @AshrafAdam-j3e
    @AshrafAdam-j3e 16 днів тому

    Kama unadai urithi wakat anaumwa ulienda kumwona au unampa dada wa wa2 presha we mchepko acha ujinga fanya mamb yako yanayo kuhusu acha na familiya ya marco mpuuz

  • @IbuGang
    @IbuGang 16 днів тому

    Macho makavu muongo mkubwa unamdhalilisha marehemu kweli,ungekuwa muungwana wala usingesema chochote,baada yamazishi ungewaona wazazi wake,huyo mtoto ni zawadi Yako ww lea.

  • @CONSOLATHAPAUL-c7r
    @CONSOLATHAPAUL-c7r 17 днів тому

    Unajiita mke kwa ndoa gani mshenz ww, kwahiyo ukishazalishwa tu ndo unajikuta mke, mali unazozitaka zitakuponza, cku zote ulikuwa wap kuliweka wazi hili unasubili mtu kafa ndo unataka upewe na mtaji kwann marco hakukupa kabla? na ulaaniwe kabisa ibilic ww

  • @winnybett9436
    @winnybett9436 17 днів тому

    Akh shetani yupo anatembea na dada huyu mara anajichanganya hapo awali alisema hawakuwa wanaishi pamoja katikati waliishi pamoja daah umerogwa wwe ama vipi ...huyu hana majonzi kamwe kamtazame vile anazungumza ...eti mume wangu khaaa

  • @AmaniMsuri
    @AmaniMsuri 9 днів тому

    Aache ujinga mwenzako bd ana machunus Acha kumchafua

  • @YustoInosend
    @YustoInosend 5 днів тому

    We dada hata kama una uchungu na umehua n mke mdgo ungejarbu kuwauliza ndgu wanaokujua wajue wanafanyaje kwa hilo msiba hauish umekosea we n mwiz wenda uijua

  • @EstherChacha-wh3dl
    @EstherChacha-wh3dl 15 днів тому

    Yaan mna Bahamian mm sio mke walk ndugu wa Mareham ningekufyeka huo mdomo kunguni wewe na huyo anayekuhoji ningewachanganya ona sura kama papai

  • @user-tb5bt8lq8j
    @user-tb5bt8lq8j 13 днів тому

    Wadada wananjaa tafuteni ela zenu kumanina nyie ndio maana munalawitiwa yani ingekuwa mimi nakumwagia tindikali 😂😂😂😂😂 🏃🏃🏃

  • @LeahMissana
    @LeahMissana 16 днів тому

    Ahahahaha dah ana uso wa ukauzu hata aibu hana et Mme wangu yani yy aseme alikuwa mwzi hatuwezi kumuadhibu dada ukweli wanao yeye na marehemu dahhhh Ila dada zangu hakuna ndoa ya kikristo ya wake wawili.Mungu atusaidie na hiki kizazi chetu

  • @lydiamasyukoumbalinimetoka444
    @lydiamasyukoumbalinimetoka444 16 днів тому

    Alikuambia ako na shida ya watoto ukienda kumzalia? Alafu sura ni hiyo ama kuna ingine ndio uwe mchepuko? Pea mjane time aomboleze mume wake nan hajui kama alikuwa ba bibi

  • @HerenJohn
    @HerenJohn 17 днів тому

    Nyie Malaya was nje Hannah aibu ulisi was Malaya anaeingilia ndoa ya mtu nikupambana na Hali yake katafute banana mwingine mmbwa usiejiheshim

  • @ZilperTrizah
    @ZilperTrizah 16 днів тому

    mbona unakuwa mjinga dada kwann unakubali kudanganyika na marafikizako tafutapesa hata sisi nimasingle mother ila tunaishi pambanatu

  • @florangaiza
    @florangaiza 16 днів тому

    Lakini kama ana mtoto ni wake ndugu wanajua? Basi hekima ihusike hapo. Sisi ni binadamu kukosea ni sehemu ya maisha Yetu. Kukosea hakuna dini.

  • @yvonne629
    @yvonne629 15 днів тому

    Kwanini hakusema isesiku marco alikuwa muzima 😭😭😭😭😭😱😱😱🙈🙈🤮🤮🤮🤮Heaven fathere protest that young woman who is starting facing this challenges 🤮🤮🤮🤐🤐🤐funga mudomo dada kweri,kweri??😱😱😭😭😭

  • @RahelSalumu-pm9qx
    @RahelSalumu-pm9qx 14 днів тому

    Tunarudi darasa la sheria, cheti Cha ndoa Kiko wapi
    Kuhusu mgao wa Mali kwa mchepuko ni asimia 30, ikiwa anadai talaka
    Alafu Sasa evidence of parentage is DNA
    Je imethibitishwa
    , Narud kwa wanaume wenye familia zenu , je hamridhiki na wake zenu na kwanini msiwe waaminifu katika ndoa??????

  • @FarhiyaBona-z4r
    @FarhiyaBona-z4r 17 днів тому

    Huyu dada kwan hana wazazi jmn mbn anatia aibuuuu jmn hlf hy mwandish nae anavyojifanya mtakatifu utadhan hachepuk😅😅😅😅😅😅😅😅😅

  • @deborangangaji6727
    @deborangangaji6727 17 днів тому

    Huyu mpumbavu sana atakuja baadaye ajidai anaomba radhi kwa kumsingizia marehemu . Halafu hii story haina uhusiano na Zabron

  • @JaneMakala
    @JaneMakala 17 днів тому +1

    Mungu akusamehe mdogo wangu maana hujui unalolitenda pia maji yakishamwagika huwa hayazoleki

  • @yohanaambilikilemtawa3170
    @yohanaambilikilemtawa3170 17 днів тому

    Fara huyo, apeleke njaa zake huko! Alikuwa wap asubiri marehemu azikwe?! Wanawake wengine