UTACHEKA: Kama uko hivi mwaka huu 2020 usiende kwa CHALII YA R
Вставка
- Опубліковано 10 лют 2025
- Muendelezo wa video kali za kuchekesha kutoka kwa wachekeshaji waliosajiliwa na kampuni ya Timamu TV, Kupitia channel hii utapata video pekee za comedy!
Follow us on social media:
Timamu Comedy - / timamucomedy
Timamu Movies - / timamumovies
Director: Timoth Conrad
Instagram: / timothconrad
Facebook: / officialtimothconrad
Twitter: / timothconrad
Actor: Hassan Daffur 'Bwana Mjeshi'
Instagram: / hassandaffur
Facebook: / bwanamjeshi-1925841417...
Twitter: / bwanamjeshi
Actor: Brian Mrikaria 'Mr beneficial'
Instagram: / mr_beneficial
Facebook: / mr-beneficial-30764660...
Twitter: / beneficialtz
Guys hata mm nataka kuanzisha platform ya pranks video hapa Tanzania plzzz naomba support yako kwakuweza kusubscribe hapa👉ua-cam.com/channels/fqOIzgLcMq0A5DJdCCR72g.html 🙏🙏
Cheka Point_ abdulaziz_vlogs 👈👈
Utafungwa
Adonie Adoncam 😀😀 hapana
@@RAMADONCAM cyo kufungwa wabongo watamuwa tulivyo na hasira 😂😂😂
Njoo ujifunze jinsi ya kuhack (kusoma) messages za mpenzi wako kwenye whatsapp bila kushika simu yake!
Gusa link hapo chini kutazama full video👇🏾👇🏾👇🏾
ua-cam.com/video/rwj7w4k4DMA/v-deo.html
Hahhahhaha kama bdo unacheki 2020 gonga like tuwe pamoja
You guys are the best men😂😂😂😂😂
aisee hii noma aisee gonga like apa jombi
Sitaki utani na kima 😹😹😹😹😹😹😹😻😻😻😻😻😻
Makin Sana chaliii
Hamna kitonga ni mlii... mlima wa moto🔥😂😂😂
Ni moto machalii
😀😀😀
Hiyo ndio arusha one. Timamu TV mko goodyyy. Like ones
❤️🥂♥️🥳❤️🥂😍nawapenda sana
Gonga like kama unawakubari hawa t comedy
Tunawakubali
Jabali Tz Hahahaha
Jabali Tz Enjoy Your Favourite Official New Video Song... ua-cam.com/video/1N_f8LpIJTc/v-deo.html
Jabali Tz mnatisha
Nyokoooooo weee had mlima wa Moto unaujuwa kafue 😂😂 unapenda vya mteremko
Uko vizuri
Kiukweli hawa wajamaa wanatisha kama unawakubali Pita na like
🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣 😂😂😂😂😂😂😂 Na yy mwenyew anajua kabisa eti nisamehe tuu ohooo eti naomba sabuni yani hamjawahi kinichosha na mimi sijawahi kuwa hoka wallah
Uko poa
@@venancechekawa3080 yap nko p
Haaaa uyu jamaa anavituko mzee anakula ajui nini kimatokea mbele
@@mustafajuma2036 🤣🤣🤣🤣
Chalii nakubali aseee Mwaka Umeanza vizur..... Nakubal asilimia zote vijana Achen kujilegeza fanyen kaz 🚶
Hey mary
🙋
Fanya kweli bas izo namba
Thanks....+254au +255?
+255
😂😂😂😂
Chali ya R nishida
Dhuuhh
Aki ya Mungu niatari
😂 😂 😂 Chalii umetishaaaa
Ni motooooo
Wako vizuri jamaa nawakubali sana hongera kwao B blees
jamaa ana write tuy 🤣🤣🤣🤣🤣af
Chalii hajagundua
gonga like...kwa chaliiii ya R
Chaliii you made ma day
Og san
Umetisha
Sory hivi hiyo nyimbo arioimba anaitwa nani
Nawakubali
Moto San👍👍
Daah, we chalii anakupa vitu unakubali tu😂😂
Nitogeshe hela yangu 🤣🤣🤣🤣🤣🤣
😌😌😌chalii nlijua leo kashukiwa na malaika wa ukarimu kumbe doooh 😂😂😂😂
Rahma Khassani 😂😂😂.mm mwenyewe nilikuwa najiuliza ukarimu wote huu wa chalii kuna shida itakuja mbeleni 😁😁😁😂
Afelist Michael 😂😂😂😂😂😂
Rahma Khassani 😅😅😅😂😂
Rahma Khassani unalipia hadi kuangalia tv wakat ww ni mgeni 😲😲
Ila mzee baba umefukia hatar 😁😁🤣🤣
Bwana mjeshe maongezi yako yananinogea sana.
Hahaha -- sema ukweli nijue vizuri
😂😂😂😂😂😂😂Nimecheka jamn hadi machozi kafuwe ukimaliza kuosha vyombo majeshi 🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣
Nilitaka nishangae huu ukarimu wa chalii vip?😂😂😂
hiyo haipo
0788996844
Nilichogundua cheki WhatsApp
hii nouma sana....hakuna kitonga ni mlima wa mto 😂😂😂
😂😂😂😂☝️sawa bhna
Hivi vichwa😂😂😂😂
Umetisha chuga hakuna vya bule
Mlimaaa wa motoo...atoeee io kimango..........mpe soap
😄😄 ngoja nkuwashiie jombii
Atar faya from manyara 😁😁😁😁😁
Huhuh akiamungu uyu afai
Nimependa sana kinyimb hicho msan gan huyo
Hahaha hii ya motooo
Falcon Stratergy ni moja ya stratergy ambayo imesaidia watu wengi sana ikiwemo sisi wenyewe katika kujifunza biashara ya FOREX kutokana na unique approach yake katika Technical Analysis ya FOREX MARKET. Strategy hii imeandaliwa na founder wa FALCON TRADING COMMUNITY ambaye ni raia wa uingereza MARK HUTCHINSON ambaye ametrade FOREX kwa miaka 10😇 ....... Ili kuipata strategy hii lazima uwe member wa FALCON COMMUNITY ,na ada ya kujiunga ili uwe member ni Pounds 97 {300,000 tsh} kwa mwezi au pound 247 {750,000 tsh} kwa miezi mitatu😫😢.. Lakini sisi kama vijana tunatambua kuna watu wengi wanatamia kujifunza FOREX na kuweza kuendesha maisha yao kwa uhuru {FINANCIAL FREEDOM} lakini kwa sababu za kiuchumi wameshindwa kujifunza coz siyo kila mtu anaweza lipia FOREX COURSE kwa laki 2 au 3 au zaidi , na wapo baadhi wamepoteza pesa zao kwa matrader wengine ambao wanawafundisha nusu nusu na baadae kuwaacha kwenye mataa..😒. Hivyo basi tumeona tusaidie watu ambao wangependa kujifunza FOREX ila hawana uwezo wa kulipa malaki au mamilioni.. Kwa Tsh 24,000\= tu tutakupatia FULL FALCON FOUNDATION COURSE kuanzia mwanzo kabisa yaani introduction to FOREX mpaka mwisho🤩,ambayo kwa kawaida inapatikana kwa Tsh 300,000 kama ni member wa FALCON COMMUNITY ya bwana MARK🤔. Lakini sisi tutakupatia kwa 24,000Tsh tu,na utakua ume-save Tsh 270,000😊. Lakini pia tutakuadd kwenye group letu la whatsapp ambako utakutana na traders wengine hivyo tutakua tukibadilishana mawazo na kushare analysis zetu pamoja na Weekly webnair ambazo tutakua tukianalyze pair mbali mbali kwa pamoja kila jumapili... Malengo ya kufanya hivi ni kusaidia vijana wengi wapate Financial Freedom na kujipatia kipato cha kuendesha maisha kupitia biashara ya FOREX.. Wasiliana nasi kupitia whatsapp number +255737550632 @BeesFx
Nakubali san
Nakukubali sana chsli angu yani nakupa comment yahela yote haikatai haikatoksi
Nakubali mkubwa
beneficial is a 🐐🔥🔥
Nimeipenda! Kali sana ila pale anaposema "Naona unaandika?" wangesubiri hadi mwisho ili iwe surprise tosha! Sisemi hivi kudhalilisha ila ni kujengana tu roho safi.Tena nime-subscribe.
Ilikuwa Powa zaid alijua labda jamaa anajikumbusha alijebra!
Kizazi sana hii
Gonga like kama unawakubali awaa jamaaaaa
😂😂😂😂😂😂😂 Yani nyieeeeee
Yaaan mm mtuh km huyoo cjuiii namtimua km mbwaaaaa yaaaan
😂😂😂😂😂😂😂😂😂 nawakubali kinyamaa 👆💪
Atar sana ful misifa
Ahhh hatar Sana wazee
Ndo huyoooo yeye chaliii
You guys are creative ❤
Ah kmk simtembelei rafiki yeyote mwaka huu who is with me put a like
Yechu yechu dingiii😂😂☑️
mlima wa moto!!! hahahahaha!!!!! mjeda ee umeniuwa mbavu
Siku yoyote Beneficial akiwa mkarimu kwako lazima uvute aerial, uwe makini maana lipo linakuja. Hapo anaandika andika...duh! Kula vyote kisha agiza juisi ya mwisho, akiondoka kwenda kuandaa, sepa jombi sepa, toka nduki.
😂😂😂😂 Ana andika kumbe Ana maana yake duh
bab imeish hy mwak 2019
anapg mahesb bb ucion anaandk
mla chake Enjoy My New Official Video Song... ua-cam.com/video/1N_f8LpIJTc/v-deo.html
From Chugastan.
@@BossMistari Imeisha iyo!
Mjeshi nàkukubàli sana
Dah hamna baya
Wah Chali wa R 🤣🤣🤣🤣🤣🤣
Hahahaha...Noma sana
og sanaa
Nomaa🤣🤣🤣🤣
Kali sana
atal san
Hahahah!! Hayo mamisosi kwl mtu hatayalipia
Nomaaaasss
Hahahaha nahisi analipa
Hahaha aina kabaya
Iv nlinawaeeee😁😁😁😁
Duuuuu chaliii upo vzr
🤣🤣🤣🤣pilau mwenzake ndizi🤣🤣🤣🤣
Jiandae kulipa siunaona Chali Anaandika Siyo bre
Good comedy 2020 I loked it
Sawa mzee bb
Yan bwana mjesh bogaz kwel.. 😂😂
Wakwanza Ku view
Nimecheka sana
Hivi nilinawa eee duuuuu
😂😂😂😂dah
Hahahahahaha dahh
pole jombi😂😂😂😂
Nawaelew san wazee
Mjeshi ukimaliza utajuta kwenye kulipa
Ni mlima wa moto.
Nice
Hawanaga kazi mbovu
Nan kagundua beneficial alikua amesahau kuandka ndzi🍌🍌2 mjeshi akamkumbusha😂😂😂😂
Challli R atamlipisha jamaa
😂😂😂😂😂😂kula kwa bills machali ya R
haha tunacheka ki 2020 sema kdg mbadilishe cku moja moja tumechoka kila siku mjeshi ndo anaonewaga yeye
Yeaaa
Naomba sabuni🤣🤣🤣🤣🤣🤣
Big up
Kweli mwaka umeanza vizuri
Tamu eeenheeee 😂😂😂
Mlima wa moto
Iyo list iyo....utakoma bro ..wait & seee
Jombiii ni kisanga
Charii mbona wamkazia jamaa yeye tumemis kisambaachake bwana
🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣 uwiiiiiiiihahahhahah