🅻🅸🆅🅴 CHADEMA WANATOA TAMKO ZITO MUDA HUU

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 14 жов 2024
  • #JAMBOTV
    ...........
    Tufuatilie kwenye mitandao ya kijamii
    ►UA-cam: / @jambotv908
    ►INSTAGRAM: / jambotv
    ►TWITTER: / jambotv_
    ►FACEBOOK: / jambotv
    ►WEBSITE: jambo.tz/

КОМЕНТАРІ • 22

  • @AlphonceTemba-f3d
    @AlphonceTemba-f3d Годину тому +1

    Mungu yupo siku zahesabika

  • @AlphonceTemba-f3d
    @AlphonceTemba-f3d Годину тому

    Safi

  • @ndimimaskati3641
    @ndimimaskati3641 Годину тому +1

    Nchi Inatakiwa iwe GEN Z, kama KENYA ndio serikali itaelewa kuwa serikali mamlaka ni ya Wananchi.

  • @Daudmatonange-i5u
    @Daudmatonange-i5u 47 хвилин тому

    Jamani mbona amani imeisha Tanzania,,IPO soku

  • @ndimimaskati3641
    @ndimimaskati3641 Годину тому

    Ndugu zetu msikubali kuchazewa na ccm na Tamisemi simamisheni Uandikishaji wa wapiga kura, ccm imeandaaa kufanya DHULMA kama walivyofanya 2020.

  • @ndimimaskati3641
    @ndimimaskati3641 Годину тому

    Ccm na Tamisemi wameamua KUDHULUMU mfumo wote wa Uchaguzi pamoja na Uandikishaji wa Wananchi kama walivyofanya 2020.

  • @MathewsSikazwe-up4qd
    @MathewsSikazwe-up4qd 41 хвилина тому

    ccm chondechonde, acheni uo mchezo kufanya ivyo nisawa na kucheza chini ya transformer, inchito itakuwa majivu kwafumya ivyo, acheni upumbavu, watu wameamka usingizini, msilazimishe Mambo.

    • @AlexMnane
      @AlexMnane 16 хвилин тому

      Ndio maana hamtshili Luongo za hii nchi make mmjaliwa na lugha za matusi mmefanya ndio maji went mnafeli snaa

  • @ngotosilasi2099
    @ngotosilasi2099 Годину тому

    Kumbe walisha jua wanainchi hawawataki ndomaana wanachukua wanafunzi nawatoto wadogo ccm hawa siwaelewi

  • @mbwambojulius1602
    @mbwambojulius1602 Годину тому

    Hivi wanafunzi wote wa Sekondari hasa wa mijini je wanaishi maeneo ya shule wanakosoma? Na Kama sivyo je hata Kama umri ni sahihi watapigaje kura kuchagua viongozi wasio wa mitaa yao?

  • @HonorataMafala
    @HonorataMafala 27 хвилин тому

    Polisi kipindi kama hiki hawatakiwi kuwa kwenye hivyo vituo?

  • @ramadhanmahongole9293
    @ramadhanmahongole9293 12 хвилин тому

    KUFANYA UCHAGUZI BILA KATIBA MPYA NA TUME HURU NI KUPOTEZA MUDA

  • @ngotosilasi2099
    @ngotosilasi2099 Годину тому

    Sasa hapo kunauchaguzi kweli sibora tuwekane sawa kwanza wakurugenzi ni shida nibora wananchi tugomee kura zetu maana kura zetu ndozinawapa kibuli wanatukoromea

  • @ndimimaskati3641
    @ndimimaskati3641 Годину тому

    Serikali kama hawataki Democracy bora wavifute vyama vyote vya siasa wabakie chama kimoja ccm peke yao.

  • @Yussuf-b3b
    @Yussuf-b3b Годину тому

    Hawa ma ccm ndio maana hawataki katiba mpya na tume huru ya uchaguzi, SAFARI HII WATAUMBUKA

  • @augustinonestorysasi3683
    @augustinonestorysasi3683 42 хвилини тому

    CCM mtaleta Vita Tusifike hko Kama mmefanya Kwa Nini manahangaka Kwa vituko vyiote hivyio no Aibu mefanyamaedelao alfu manaiba uwandikishaji KURA !!!

  • @OdiloMagungu-uf5is
    @OdiloMagungu-uf5is Годину тому

    Ccm ni tatizo kubwa

  • @AlphonceTemba-f3d
    @AlphonceTemba-f3d Годину тому

    Nchi waisani wanasemaje

  • @davieswillson9782
    @davieswillson9782 58 хвилин тому

    Its so shime!!!!

  • @ndimimaskati3641
    @ndimimaskati3641 Годину тому

    Ndugu zetu msikubali kuchazewa na ccm na Tamisemi simamisheni Uandikishaji wa wapiga kura, ccm imeandaaa kufanya DHULMA kama walivyofanya 2020.

  • @ndimimaskati3641
    @ndimimaskati3641 Годину тому

    Nchi Inatakiwa iwe GEN Z, kama KENYA ndio serikali itaelewa kuwa serikali mamlaka ni ya Wananchi.