Bila kuunda m23 yetu watanzania,hawa ccm watatutesa milele,maana majeshi yoooote yaitwayo ya umma,yako kwaajili ya kuilinda ccm tu,kwahio tusipochukua hatua kali na ngumu,tutaishia kusema tu humu mitandaoni,nipo hapa
Kupuuza kauli kama hizi ni kuzalisha mauti, maana hizi hisia zimejaa katika mioyo ya watanzania waliowengi na kusubiri kuja kuzizima kipindi hicho ni kurutubisha nyukilia ambayo ilitegwa siku nyingi pasipo kujua.
Ni kweli kabisa "no reforms no elections".Lakini kwa mitutu hii ya bunduki,tutafanyaje ndugu zangu?
Bila kuunda m23 yetu watanzania,hawa ccm watatutesa milele,maana majeshi yoooote yaitwayo ya umma,yako kwaajili ya kuilinda ccm tu,kwahio tusipochukua hatua kali na ngumu,tutaishia kusema tu humu mitandaoni,nipo hapa
Wakati nisasa.
Kupuuza kauli kama hizi ni kuzalisha mauti, maana hizi hisia zimejaa katika mioyo ya watanzania waliowengi na kusubiri kuja kuzizima kipindi hicho ni kurutubisha nyukilia ambayo ilitegwa siku nyingi pasipo kujua.
Bira shaka, kile kilicho zungumzwa na wana press hii kina ukweli na 100% tuna watu wanaitwa polisiccm ambao nao ni sehemu ya chama b kwa ajiri ya ccm.
Makelele bure front hawaonekani
Hii ni live