Najuwa baba yenu Ramazani Ongala (Ramy) tokeya kwetu Zaïre/Congo. Alikuwa mwimbaji wa bendi ya Grand-Mike Jazza mjini kwetu Bukavu, Kivu. Kweli baba yenu alikuwa na roho nzuri mwenye kupenda watu. Na watu walimupenda. Nakumbuka aliimba wimbo SIKU DJEMBE uko kwetu Zaïre/Congo. Muziki ilikuwa mu damu yake.
Jameni, watoto wa Remy,musisahau kama msingi ni Zaïre - Congo, Bukavu, 1972 à 1978, Baba tenu amepiga mziki mu kundi Grand Mike Jazz pamoja na Rashid King. Kuna zingine nyimbo : Sukuma yembe, No smoking, Kilkenny, Baba oh, pachanga...
A lot to learn from this than just a festival, the POWER OF THE FAMILY....big up the Ongala family and wish you all the best, I will do all my best to be there. GOD BLESS YOU. From Arusha with Love.
Arusha Mix Nawapenda sana japo sijawahi kuona zaidi ya picha kama hivi. Niko mbali na dar yaani hili tamasha nisingekosa just to support them enjoy myself and make funny
Kwanini watu kama hawa hawachange lugha kama ni kiswahili wanajaribu hata habakijuwi muzuri alakini wa Tz wanacanganya sana na Kingereza ni kwa nini ? Mimi si juwi
Tokeya kwetu Congo/Zaïre, Ramy. Sisi tunamuita kwa jina la RAMY. Ongala alikuwa mtu munzuri sana. Na watu walimupenda sana kwetu Bukavu. Hakukuwa na ubaguzi. Mtu ni mtu mbele ya macho yake. Mungu awalinde jamaa ya Ramy. Muko wa Tanzanie. Ila musisahau Congo hasa Kindu-Maniema kwao na baba yenu.
Kwa nini msiwe na you tube chanel yenu ya Ongala family ambayo itawasaidia kuwasiliana na jamii, muwe na blog and website mahususi ambapo mtaweka kila kitu, kuanzia picha, music na kazi zote za Ongala pamoja kujitangaza kama kizazi cha pili cha Ongala muige the Jackson ya Marekani ambayo ni very big and stable family in America musically na economically.
Huyu thomas kalikuwa katoto sana nimecheza nacho mpira shule ya msingi mashujaa na pale kwenye kiwanja cha sigara karibia na super star sinza (sinza makabulini)
Kweli mzee wetu ongala ulikua Baba bola si kwa jamii tu adi nyumbani mwako.Najuliza ni watoto wangapi wa wawa sanii apa tz walio fanya ayo kwaku wakimbuka wazazi wao?lakini ninyi mme fanya mungu awa bariki sana kaka na dada zangu mzee remmy ulikua bora Africa lakini si Africa pekee adi kwa mama yetu ambae ni mke wako kwani mpaka leo bado ana kuenzi mungu akubariki sana mama yetu.najua ni ngumu kuvaa viatu vya mzee ila naomba mpiganie kile alicho kiitaji mzee, mzee aliitaji tuishi km ambavyo leo baadhi ya nchi zinavyo ishi kwa misingi yao wenyewe na sio kupangiwa na wengine mfano,Ulusi,china india izo ni baadhi ya nchi ambazo zinaishi kwa misingi yao ebu sikiliza wimbo kama kilio cha samaki ujumbe ulio ndani ya wimbo sidhani kama una weza uka tengeneza kijana mjinga,tatizo kubwa izi nyimbo zins sikilizwa kama zili pendwa na sio ukombozi wa mwafrica . magufuri akua pekeake kuna watu wali kua kama magufuri watu ambao wali kua na uchungu kwa wengine kuliko nafsi zao mungu ibariki family ya ongala lakini uwape nguvu wasi kate tamaa katika mapambano ambayo baba yao alikua aki pambania juu yaku mkomboa mwafrica.mungu ibariki Africa mungu ibariki Tanzania
I expected hii festival ingefanyika maeneo ya mtaani zaidi (m/mmoja, kawe, jangwani, mbagala, etc) kwa sababu remmy alikuwa ni.mtu wa watu, na haswa wa uswazi. Hii ya kigamboni mtakuwa mmewaandalia wazungu. Haitafana ilivyostahili
ONGARA MOYO MKUBWA WA UPENDO NAMKUMBUKA KWA MARA YA KWANZA TULIONANA NEW KEKO BAR MAJIRA YA SAA ZA JIONI JIONI ALIKUJA KUTUMBUIZA KABLA HAJANZA SHUGHULI NILIMFUATA STAGE I USEDE TO ADMIRE HIM HAKUA ANATUNGA NYIMBO ZA LONGOLONGO HE WAS FOCUSED ON PEOPLE'S DOWN TO EARTH PROBLEMS
Najuwa baba yenu Ramazani Ongala (Ramy) tokeya kwetu Zaïre/Congo. Alikuwa mwimbaji wa bendi ya Grand-Mike Jazza mjini kwetu Bukavu, Kivu. Kweli baba yenu alikuwa na roho nzuri mwenye kupenda watu. Na watu walimupenda. Nakumbuka aliimba wimbo SIKU DJEMBE uko kwetu Zaïre/Congo. Muziki ilikuwa mu damu yake.
Jameni, watoto wa Remy,musisahau kama msingi ni Zaïre - Congo, Bukavu, 1972 à 1978, Baba tenu amepiga mziki mu kundi Grand Mike Jazz pamoja na Rashid King. Kuna zingine nyimbo : Sukuma yembe, No smoking, Kilkenny, Baba oh, pachanga...
Wow watoto sura nzuri za kupendeza wow big up...from Kenya we love u.
A lot to learn from this than just a festival, the POWER OF THE FAMILY....big up the Ongala family and wish you all the best, I will do all my best to be there. GOD BLESS YOU.
From Arusha with Love.
Arusha Mix Nawapenda sana japo sijawahi kuona zaidi ya picha kama hivi. Niko mbali na dar yaani hili tamasha nisingekosa just to support them enjoy myself and make funny
Nmependa sana huyo jamaa anavyoimba just like his father. Keep good music alive
Safi sana
Wanapendana hii familia
Dr Remmy kaleta watoto wazurii🌷Aziza baba remmy mtupu
Aziza is the female version of Remmy.
Kila kitu kinapendeza sana, hongera sana Ongala Family!
Mashallah, hawa ndio watoto wa kuigwa, mashallah nice
Watoto wazuri japo mama mzungu Ila kiswahili nyororo penda xana nyinyi hamchanganyi kiswahili nakimombo Kama wengine
Wow Thom umenifurahisha sana kifupi unaweza nimependa sana ulivyoimba
Amazing reunion and commemoration. Good job, Team!
Kwanini watu kama hawa hawachange lugha kama ni kiswahili wanajaribu hata habakijuwi muzuri alakini wa Tz wanacanganya sana na Kingereza ni kwa nini ? Mimi si juwi
Haa Haa! Wow! Tom can sing. Beautiful girls Remmy was a blessed man.
hongereni sana familia ya Ongala simamieni vizuri kazi zake,Next time Tamasha tafuteni venue yenye proximity kubwa Dr. Remmy mutu ya watu
Mkongomani Anahenziwa Tanzania Safi Sana,Uhafrika lazima Usonge mbele
Thomas ongala......tisha sana big man.....
Kumbe Dr bao yupo watoto wamenikumbusha sauti..yupo bado. safi sana tunamkumbuka sana Remmy Ongala.
@Thomas Ongala dakika hizo mbili ulizoimba umenisisimua mwili mzima nikimkumbuka ongala mwenyewe originally keep up a good job bro. R.IP Remmy ongala
Mke WA Remmy huyu mzungu anaonekana ana hekima
Yaani mmetisha kinomaa
Thanks for the unity and love u have showed ur late father, rip papa
Mungu awabariki sana kabisa
Asante Thomas Ongala
I like the expression of the family, very encouraging.God bless you
Tokeya kwetu Congo/Zaïre, Ramy. Sisi tunamuita kwa jina la RAMY. Ongala alikuwa mtu munzuri sana. Na watu walimupenda sana kwetu Bukavu. Hakukuwa na ubaguzi. Mtu ni mtu mbele ya macho yake. Mungu awalinde jamaa ya Ramy. Muko wa Tanzanie. Ila musisahau Congo hasa Kindu-Maniema kwao na baba yenu.
Kaka upo wap
Asanteni
Narudi nyumbani I love dat song sanaaa
Aziza Ongala, umeiva mrembo, sijui nikupataje, mrembo, uko sawa kabisa. Nimekutamani mno.
Dah! Poleni sana family ya ongala
Thomas Keep up the spirit of your father...Your true father's son.
Nimempenda sana Aziza ongala yaani naona sura ya baba yake mpaka raha.
Hongera
Kwa nini msiwe na you tube chanel yenu ya Ongala family ambayo itawasaidia kuwasiliana na jamii, muwe na blog and website mahususi ambapo mtaweka kila kitu, kuanzia picha, music na kazi zote za Ongala pamoja kujitangaza kama kizazi cha pili cha Ongala muige the Jackson ya Marekani ambayo ni very big and stable family in America musically na economically.
athumani simba ... Very good idea kufanya kitu Kama hicho ...
athumani simba hili pia neni
points
athumani simba
ua-cam.com/video/M8GMok5N8O8/v-deo.html
Kweli tena sema tu Ana rangi
Wow safi kabisa
Huyu thomas kalikuwa katoto sana nimecheza nacho mpira shule ya msingi mashujaa na pale kwenye kiwanja cha sigara karibia na super star sinza (sinza makabulini)
Mashallah, Aziza copyright na Babaake, kasoro rangi tu
Kweli mzee wetu ongala ulikua Baba bola si kwa jamii tu adi nyumbani mwako.Najuliza ni watoto wangapi wa wawa sanii apa tz walio fanya ayo kwaku wakimbuka wazazi wao?lakini ninyi mme fanya mungu awa bariki sana kaka na dada zangu mzee remmy ulikua bora Africa lakini si Africa pekee adi kwa mama yetu ambae ni mke wako kwani mpaka leo bado ana kuenzi mungu akubariki sana mama yetu.najua ni ngumu kuvaa viatu vya mzee ila naomba mpiganie kile alicho kiitaji mzee, mzee aliitaji tuishi km ambavyo leo baadhi ya nchi zinavyo ishi kwa misingi yao wenyewe na sio kupangiwa na wengine mfano,Ulusi,china india izo ni baadhi ya nchi ambazo zinaishi kwa misingi yao ebu sikiliza wimbo kama kilio cha samaki ujumbe ulio ndani ya wimbo sidhani kama una weza uka tengeneza kijana mjinga,tatizo kubwa izi nyimbo zins sikilizwa kama zili pendwa na sio ukombozi wa mwafrica . magufuri akua pekeake kuna watu wali kua kama magufuri watu ambao wali kua na uchungu kwa wengine kuliko nafsi zao mungu ibariki family ya ongala lakini uwape nguvu wasi kate tamaa katika mapambano ambayo baba yao alikua aki pambania juu yaku mkomboa mwafrica.mungu ibariki Africa mungu ibariki Tanzania
Huyu kaka mwenye tsht nyeupe i thnk alisoma cbe
Ooooh! Very nice
I love it nawish kuwa huko jmn
unaimba vizuri nimependa sana
Uhuru wa Tanganyika
Mimi.namuita.king remy.ongala.will love so.much. kifo.hakina.huruma.nilikuwamdogo.nasikiliza.doctor. remy
shadei Manshallah umependeza
Mungu awape wepesi kwa kumuenzi mpwendwa wetu sote remmy ongala
hawa watoto inaonekana wa wanawake tofauti but wana umoja na upendo hadi rahaa hakuna kubaguana hata kidogo
Ni kweli kabisa, halafu unakuta watoto wa baba mmoja, mama mmoja aka "Toka-Nitoke", wanabaguana kama vile wao ni Pik Botha au Ian Smith,
I love this family
daaaah kaolewa huyu binti????nampenda sana.
Kila LA kheri nimependa umoja wenu wana Wa Ongala hata baada ya baba kufariki. Nakumbuka msiba wake mitaa ya Igesa Sinza makaburini.
Good music
huyo jessica ni pisi kali mhm.😫🔥🔥🔥
Kuzaa kuzuri aisee. Dingi kaacha copy. Big up Thomas
safi sana
kipenda rohoo,
Thomas umechukua kipaji cha mzee
Jamani me nimempenda Jessica 😍
safi sana..lazima niende.
ingawa hawajataja ni mwezi gani Ila nadhani ni tare 23-25 ya mwezi August?
A beautiful family of legendary Dr Ongala
Safi sana kijana na hongereni kwa umoja wenu. Bibi big up
I expected hii festival ingefanyika maeneo ya mtaani zaidi (m/mmoja, kawe, jangwani, mbagala, etc) kwa sababu remmy alikuwa ni.mtu wa watu, na haswa wa uswazi. Hii ya kigamboni mtakuwa mmewaandalia wazungu. Haitafana ilivyostahili
Thomas is a beautiful name.My sons name from grandmother second name.Most popular name in English speaking Australia. Tommy represent.
Remmy -ongala est un congolais ( zaire ), son âme repose en paix 🙏🙏🙏♥️♥️♥️♥️♥️🤏👍
Wow nice family nimewapenda sana
mubarikiwe sana familia wa Remi
I used to listen to his music when I was a kid, like the song ,ukiuza yanya utapata pesa,
naweza kupost
Mtangazaji masha Allah umependeza
Mumetisha sana,,,,,am a kwa hakika mzee remmy alitisha sana ktk tasnia ya muziki wa dansi
Hogera sana..
kitu kizuri sana, mfanikiwe vijana.
Hiyo kiswahilo mazeee nishida
Safi sana
Thomas Ongala ana sauti kama ya baba yake..
❤
❤❤❤
Remmy
Jamaa huyu noma, like his father
Aziza kafanana sana na baba yake
Big Poppa ila anavuta sigara ni hatari kwa afya yake
Big Poppa kwahyo unamaanisha ni mweusi9
Stima Onelifetz huoni macho hayo copyright na mdingi. Sio rangi
Aziza mkwe yupo
yaaaaaah upo saiii good one big poppa
Tom mbona wewe ni Remy
Huyu mzee alikufa kaacha watoto WANGAPI?
Watoto watano huyu mzungu Alizaa watoto 4 nawa nje 1
dah bro nimkubali kaz ndugu big up
Aziza is very beautiful 😍
vincent nyauke pia kafanana saana na baba ake kasoro rangi tu
Aziza ni babake mtupu damu ya mtu kweli haipotei
like father like son keep it up Thomas
Aki we kaka umenfulaish nice
Kumbe ana watoto wazur hivyo wadhunguu
ONGARA MOYO MKUBWA WA UPENDO NAMKUMBUKA KWA MARA YA KWANZA TULIONANA NEW KEKO BAR MAJIRA YA SAA ZA JIONI JIONI ALIKUJA KUTUMBUIZA KABLA HAJANZA SHUGHULI NILIMFUATA STAGE I USEDE TO ADMIRE HIM HAKUA ANATUNGA NYIMBO ZA LONGOLONGO HE WAS FOCUSED ON PEOPLE'S DOWN TO EARTH PROBLEMS
Nimpenda Sana huyo aziza
Remmy by all means
Jessica unaongea vzr cjui uwe mtangazaji
Yupo wapi Kali Ongala?
Aise mumetisha watoto Wa remi
Thomas ongala nakuelewa sana
xafi xana big up
He is just like his dad 💯
Safi kabisa
Leo umependeza shoga mpk rahaaa
Duh lemy alikua nadam Kali kinoma hakuna mtoto mzungu hapo
Like father so is the son!
Fantastisch!
✊🏾🇧🇮
❤👍👌