MKE WA RINGO AELEZA SABABU YA KUKATAA KUOLEWA NA RINGO

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 27 чер 2024

КОМЕНТАРІ • 121

  • @ukhutfatumah1154
    @ukhutfatumah1154 День тому +7

    Yaaaan waandishi wengine waovyo sana yaaan kilichosemwa kingine ili MLADI TUangalie interview

  • @eggysulle7988
    @eggysulle7988 2 дні тому +9

    Kidada kimodo saaf 👌🔥🔥

  • @aminaomary5567
    @aminaomary5567 День тому +9

    Kweli Khadija kubadili Dini sio suala la mchezo. Mimi nakumbuka baba angu alisema ukipata bw wa Kiislam mahali ni sh 100 ni kweli ikawa nikaolewa ndoa ya dini yangu baba yangu alifurahi sana akapakaa Jivu usoni kote kwa furaha yaan. Hadi sasa ndoa yangu ina miaka 45 hivi.

  • @AdelaideZacariasZacarias-hp8gs
    @AdelaideZacariasZacarias-hp8gs 2 дні тому +4

    Nimempenda huyu bi arusi hadi rahaa❤❤❤❤

  • @mapishiyetumazuri2312
    @mapishiyetumazuri2312 День тому +2

    Shinda wazazi hawakufundisha ndini sio makosa yake lakini wazazi tujitahidi kuwaleya watoto wetu kimadili Mazuri

  • @user-st3ws1ns5g
    @user-st3ws1ns5g 15 годин тому +1

    Hii laana mzazi mungi wa pili,asipo ridhia utashangaa mwenyewe

  • @sallysafisanakijanakazibut1688
    @sallysafisanakijanakazibut1688 День тому +1

    Yaani mdada yuko vizuri sana sana

  • @mtukwao5775
    @mtukwao5775 2 дні тому +5

    Mtihani mkubwa sana Kala hasara kubadili dini looo subiri kdogo utaona raha ya kubadili dini

    • @magrethdastanhaule3449
      @magrethdastanhaule3449 День тому +2

      Wivu tu unakusumbua😂😂😂....nenda kamshauri na fahma wa rayvanny kabla hajafunga ndoa na yeye......haya na vipi kuhusu paula wa marioo naye asi atabadili dini.., mtazoea tu

    • @boyochu1308
      @boyochu1308 День тому +1

      Fikiri kabla ya kunena, mfano angebadili kuwa muislam napo ungeongea hivyo?

  • @careennkuwi
    @careennkuwi 2 дні тому +7

    Anajibu maswal ipasavyo jaman amejitahd na saut nzur

  • @iddsimba3849
    @iddsimba3849 2 дні тому +7

    A beautin one❤❤❤

  • @user-il5pk2dr5n
    @user-il5pk2dr5n День тому

    Mke kazi ipo, nakumbuka chanuo..miaka 7 mnamuasi Mungu tu..

  • @suzysam6002
    @suzysam6002 2 дні тому +3

    Dada unamajibu mazuri sana

  • @DavidFulana
    @DavidFulana День тому +2

    Tafuteni headline sahihi, acheni kupoteza Mbs zetu

  • @faudhiasalum7279
    @faudhiasalum7279 День тому

    Hongera sana dear mashalllah 🎉

  • @sallysafisanakijanakazibut1688

    Sasa uko vizuri unajibu point

  • @LeonardPastory-f8s
    @LeonardPastory-f8s 20 годин тому +1

    Mimi nashangaa wanaopga vta ndoa ya ringo kisa dini kwani sisi wakristo hamna majina ya Yusuph mbn ht kwny bible ameandkwa vzr tu ht mm namtoto anaitwa yusuphu mwng anaitwa ayubu km mungu asingetaka huyu dada kuolewa basi angezuia mpk kaolewa ina maana Mungu kabariki

  • @ukhtymwana40
    @ukhtymwana40 День тому +1

    Dah waislamu tunaishi 😢

  • @Bahati47
    @Bahati47 День тому +2

    Doh! Innalillah wayna ilayh rajiun 😢

  • @najmahhassan7853
    @najmahhassan7853 День тому

    Bac Sawah dada khadija, bwana asifiwe 😂😂😂

  • @mr_kajomba_og5719
    @mr_kajomba_og5719 2 дні тому +5

    Yani mke wa Ringo amekataa kuolewa na Ringo Sasa ndo umeandika nin hapo

  • @glorydaniel8624
    @glorydaniel8624 2 дні тому +3

    Mmmmmm sa kukosana kidogo tu ndo ukatae ndoa au ndo ilikuwa kutiana hasara ,,Ila we kupotezea ahaaa

  • @ashamohdjuma6325
    @ashamohdjuma6325 День тому +1

    Bila shakaa kikwazo ilikuwa ni utofauti wa dini,, huenda ikwa hvo but sina uhakika

  • @aishaarusha894
    @aishaarusha894 2 дні тому +1

    Inalilah wainailah rajiun

  • @marygregory7566
    @marygregory7566 11 годин тому

    Ana macho mazuri

  • @bethmahela2182
    @bethmahela2182 2 дні тому +3

    Anaongea vizuri

  • @sallysafisanakijanakazibut1688
    @sallysafisanakijanakazibut1688 День тому +1

    Nyinyi wambea kweli

  • @kdloon2030
    @kdloon2030 2 дні тому +22

    Mke halafu kakataa kuolewa?Hawezi akawa mke kabla hajaolewa.Uandishi wa habari wa hovyo sana,hawana elim ya wanacho kifanya!Mxuuuuuuuuh😢

  • @ndimimaskati3641
    @ndimimaskati3641 День тому +5

    Huyu dada haijui Dini yake ndio maana zjawa anafanya Zinaa kabla ya ndoa.

  • @user-wj8ci8fe2f
    @user-wj8ci8fe2f День тому +2

    Mke mchumba ,

  • @esterkimalio8846
    @esterkimalio8846 День тому

    Nyie waandishi wa habari kheeee lichoandika na kinachoongelewa hapo sio wapuuzi

  • @pelusiemanueli6926
    @pelusiemanueli6926 2 дні тому +1

    ❤hongera

  • @doriceernest4718
    @doriceernest4718 День тому

    Kichwa Cha habari na habari ni tofauti

  • @NamiriNamiri-oz4xs
    @NamiriNamiri-oz4xs 2 дні тому +2

    Wee muandisbi njinga kweli Sasa kakataa nn hapo au ndio kutaka watu waangalie

  • @hillarimtambo482
    @hillarimtambo482 16 годин тому

    Chioma wetu❤❤❤❤❤❤❤

  • @FatmaMohammed-ry8yo
    @FatmaMohammed-ry8yo День тому +2

    Pole sana Allah akurudishe ktk njia iliyonyooka urudi ktk uongofu utoke ktk upotofu

    • @user-zt4rd5pr1e
      @user-zt4rd5pr1e День тому +1

      Wivu unakusumbua tyu, je Ringo angebadil din ungeongea, acha watyu wapendane, mungu ni mmoja mkristo Muslim wote niwatoto wa mungu

    • @Dianamwansasu
      @Dianamwansasu 8 годин тому

      Na wote tunamsubiri huyo mmoja.acha maneno mengi jamani

  • @abbykashuba4332
    @abbykashuba4332 5 годин тому

    Waandishi wa abari acheni ujinga kilicho andikwa kwenye kichwa Cha abari kingine na kinacho hojiwa kingine

  • @Farajahelene23031
    @Farajahelene23031 День тому

    Cute bride

  • @TellaaxisTz
    @TellaaxisTz 2 дні тому +1

    😮#tellaaxistz

  • @user-zq9jc5sw7t
    @user-zq9jc5sw7t 2 дні тому +1

    Mwanamke ndio kubadili dini

  • @mapishiyetumazuri2312
    @mapishiyetumazuri2312 День тому

    Zinaa Mika saba

  • @aminaomary5567
    @aminaomary5567 17 годин тому

    Ashalindu hilo neno la mbwa linakujaje.Kwani mimi nimekujibu wewe nimemjibu Khadija. Sitaki matusi halafu mimi sio umri wako.

  • @rizikisam6481
    @rizikisam6481 18 годин тому

    Yaani unavosema kama sawa eti niachane na ili swala kwanza uoni mwenzio alikuwa ameshajipanga

  • @yukundapeter8200
    @yukundapeter8200 День тому

    Muwe mnaolewa mkiwa org.Sasa macho ya ajabu2

  • @sallysafisanakijanakazibut1688

    Ameisha kwambia walikwazana kidogo huachi

  • @rehemanassor352
    @rehemanassor352 12 годин тому

    Hakuna lolote walikuwa wanatengeneza kiki tu

  • @wadauwasizoni
    @wadauwasizoni День тому

    Hamfai kuwa waandishi kabisa

  • @user-sd5zf6fz4v
    @user-sd5zf6fz4v 2 дні тому +10

    Umekula hasara shoga. Umebadili dini duh mtihani

    • @mohammedmajeed5648
      @mohammedmajeed5648 2 дні тому +2

      Uhakika kakosea

    • @magrethdastanhaule3449
      @magrethdastanhaule3449 День тому +3

      Wivu huo unakusumbua...nyie mmezoea wanawake wa kikisto tu ndo wanabadili dini.... upendo upendo tu mwenzio kapenda kwa mkristo😁❤

    • @salhamrishoi4943
      @salhamrishoi4943 День тому +3

      Waja bhana hapo angekuwa mkristo na hakaingia uslam hapo wee ongera kama zote lakini katoka uslam kaja mkristo maneno waja dini imani jamanini kulalamika2 kuoga aaah😅😅😅😂

    • @THELEZASIPRIANI-xi8uo
      @THELEZASIPRIANI-xi8uo День тому +2

      Wabongo tunazingatia vitu vya kijinga sana et oooh dini ko nyumbn kwako unaenda kuishi na dini ya kiislamu au kikirsto ebu angalia mtu kma anakufaa din kipengele cha ziada sana kma utajua umhim wa mtu na cyo dini

    • @nahlahassan-fd6le
      @nahlahassan-fd6le День тому

      ​@@magrethdastanhaule3449Hakuna mwenye wivu hapa, huyu biharus han akili, dini ya kikristo sio dini sahihi kabisaa na hatodumu nae.

  • @user-os1vc9po9e
    @user-os1vc9po9e День тому

    Ujue yandan yawatu ili iweje.

  • @Naju645
    @Naju645 2 дні тому +1

    Mkee akataa kuolewa😅😅😅😅

  • @halimashaban3858
    @halimashaban3858 2 дні тому

    Kiki hadi kweny ndoa

  • @aminaomary5567
    @aminaomary5567 2 дні тому

    Kubadili dini kazi kweli yaan. Na ndio maana wazee wake hawakuja kanisan.

    • @KhadijaMohammed-jq8pz
      @KhadijaMohammed-jq8pz День тому +1

      Zaid kw mwislam kuritadi😢mtihan mkubwa allah atunusuru atujaze imani

    • @FaridaFaridaseif
      @FaridaFaridaseif День тому +1

      Umeacha dini ya haki? Kisa visent vya komred?

  • @HappyCharles-h5z
    @HappyCharles-h5z 2 дні тому

    Mbona kama

  • @ndimimaskati3641
    @ndimimaskati3641 День тому +1

    Hapo hakuna ndoa Muislamu kwenda kanisani kuomewa, haikubaliki dada yetu umepotea waulize mashehe.

    • @user-zt4rd5pr1e
      @user-zt4rd5pr1e День тому

      Badili naww uolewe make povu limekutoka san

    • @aishaarusha894
      @aishaarusha894 День тому +2

      ​@@user-zt4rd5pr1e inalilah wainailah rajiun

    • @aishaarusha894
      @aishaarusha894 День тому +1

      ​@@user-zt4rd5pr1ewewe kafiri na uyu biharasi kafiri😢

    • @madetetv6576
      @madetetv6576 День тому

      Hata wewe ni khafiri​@@aishaarusha894

  • @ChenchiKing
    @ChenchiKing 2 дні тому +1

    Kuongopa Caption Ila Kuoga Aaaah

  • @esterMahenge
    @esterMahenge День тому +1

    Kazurii kana akiri kana jibu vizurii❤

  • @robertmchocha7719
    @robertmchocha7719 47 хвилин тому

    😂

  • @nolexkanyittahsuit
    @nolexkanyittahsuit День тому +3

    Jiongeze bana mwandish wa habar kukataa kulewa dini na mama kuto kuja eeh

  • @irenemakundi-og9xg
    @irenemakundi-og9xg 2 дні тому +1

    Anamajb mazur

  • @user-el8yp1lk1m
    @user-el8yp1lk1m 2 дні тому +5

    Kwanza nikabaya

  • @mwanahamisijuma7270
    @mwanahamisijuma7270 2 дні тому +1

    Nani kabadili dini

  • @musicschool_tz7014
    @musicschool_tz7014 2 дні тому

    Ameshakuwa mke, ila kabla ya ndoa yao alifanya mgomo kwa sababu zake zisizoweza kuwa public. Mwandishi hajakosea, angekuwa hajaolewa asingemwita mke wa Ringo. Je we mtazamo wako ni upi? Je ungemwita vipi katika kichwa cha habari?

    • @musicschool_tz7014
      @musicschool_tz7014 2 дні тому

      Halafu wameshaishi kabla ya hii siku ya ndoa. Manake wamehalalisha tuu ndoa

    • @musicschool_tz7014
      @musicschool_tz7014 2 дні тому

      Hawa wamehalalisha ndoa maana walishaishi kwa miaka kabla ya hii siku.

    • @FaridaFaridaseif
      @FaridaFaridaseif День тому

      Wametoka kwenye umaskini. Na tamaa ya visent. 😂

  • @hawasaid6625
    @hawasaid6625 2 дні тому +1

    Kanisani Na piko jamani

  • @mohamedomari6129
    @mohamedomari6129 День тому +1

    Hakuna mke

  • @user-im9gz8vm9d
    @user-im9gz8vm9d 2 дні тому

    Duu jamani mbona kama kabadili dini jina lake na lababa Ake Bado ya kisilam au mm nimesikia vibaya pale kanisani

  • @Zeanbo1234-pn8tg
    @Zeanbo1234-pn8tg День тому

    7:44

  • @laninjeje8290
    @laninjeje8290 День тому

    Hii media wahudumu wote mnatombwa na wachawi sio bure, kichwa Cha habari na stori havina uhusiano

  • @mussamalekela2107
    @mussamalekela2107 День тому

    Hakuwa kuwa na dini huyo miaka 7 ndani ya zinaa!!!

  • @nahlahassan-fd6le
    @nahlahassan-fd6le День тому

    Yaani huyu mkewe ringo na fahima woote michizi, mtot wa kiislam kweli ubadili kuwa mkristo?? Hawa waislam jina tuu uislam hawaujui, haya bado ya fahima sasa na yy afanye afunge ndoa haramu.

    • @user-zt4rd5pr1e
      @user-zt4rd5pr1e День тому

      Badili naww naona povu linakutoka san

    • @mariumseif6751
      @mariumseif6751 День тому

      Yaani wewe unayemwambia mwenzio kafuata dini ya haramu unaweza kuwa mwanaharamu kuliko yy yy hana uana haramu wowote na ukristo sio uanaharamu ni dini pia haramu ni matendo yako

    • @madetetv6576
      @madetetv6576 День тому

      Hata ww badili nikuoe mimi

    • @user-ec2he1uo3d
      @user-ec2he1uo3d 15 годин тому

      ​@@mariumseif6751😢

    • @user-ec2he1uo3d
      @user-ec2he1uo3d 15 годин тому

      Loh poh mwanamke wa kiislam kubadili dini

  • @sallysafisanakijanakazibut1688
    @sallysafisanakijanakazibut1688 День тому +1

    Mtangazaji acha umbeya