Wakati yuko Hai wengi wetu tulio comments humu tulikuwa mingi sana hatujui kuhuusu Hayati lowasa alikuwa kiongozi mwwnye hekima na busara akaangushiwa zigo lisilo lake
HIVI KWA NINI MNAPENDA SANA KUONGE SIASA KWENYE MISIBA?. MWACHENI MTU APUMZIKE . MBONA SISI HAYO HAYATUHUSU?. SASA ILI IWEJE.?. MNAONGEA NYINYI MWENYEWE HAYUPO . NANI ATAELWAJIBU SASA?.
Dah,aise!🤝
Mzee WARIOBA Mwenyezi Mungu Akubariki. Hekma Na Busara Zako Zidumu.
Utashangaa nae
Mheshimiwa Warioba
Kiongozi makini sana, babu yangu warioba.. Nafata nyayo zako
Mzee katupa jiwe la wazi...safi sana,pumzika Lowassa,nakupenda sana😢
Pomoja sana Jaji Warioba.
Ubakiweni sana Mzee wetu
BWANA alitoa, na BWANA ametwaa; jina la BWANA libarikiwe. (Ayub 1:21).
Nape Kitwete munasemaje na kumsema kwa kukejeli Leo muona haya hata kuzungumza hamuwezi Kwa tahayuri na aibu Watu Wazima hovyo
Siamini yanayozungumzwa baada ya tu kufa Si habari.Ni kuficha maov yake
Wakati yuko Hai wengi wetu tulio comments humu tulikuwa mingi sana hatujui kuhuusu Hayati lowasa alikuwa kiongozi mwwnye hekima na busara akaangushiwa zigo lisilo lake
HIVI KWA NINI MNAPENDA SANA KUONGE SIASA KWENYE MISIBA?. MWACHENI MTU APUMZIKE . MBONA SISI HAYO HAYATUHUSU?. SASA ILI IWEJE.?. MNAONGEA NYINYI MWENYEWE HAYUPO . NANI ATAELWAJIBU SASA?.
😢😢😢😢😢😢
Kweli lowasa alikuwa mkristo aliyeshika imanı kwani alipptukanwa hakukijbu alipozomewa alsamehe kama alivyofundwa
JAkAYA unajisikiyaje?