Розмір відео: 1280 X 720853 X 480640 X 360
Показувати елементи керування програвачем
Автоматичне відтворення
Автоповтор
Simba
GSM NI BOSS WENU LAZIMA ATAWAFUNGA KWAVILE NI MBOVU
Maneno hayo ndio yanayopendwa na wachezaji wa yanga😂😂😂😂😂
Unajilinganisha na yanga, yote hayo yanatoka wapi?. Mada hii uliulizwa na yanga?.
Nanukuu na kusave kauli ya msemaji wa Singida Fountain Gate.1.Yanga anazifunga timu mbovu mbovu. 2. Hatuwezi kufungwafungwa hovyohovyo. 3 Simba walicheza na timu B.4. Yanga ni timu ya kawaida sana.
Hii nukuu Nimeipenda sana
SASA INAONESHA HATA WEWE MSEMAJI NI MBOVU. SASA SUBIRI MCHEZESHE WACHEZAJI WA OVER 30.
Simba
GSM NI BOSS WENU LAZIMA ATAWAFUNGA KWAVILE NI MBOVU
Maneno hayo ndio yanayopendwa na wachezaji wa yanga😂😂😂😂😂
Unajilinganisha na yanga, yote hayo yanatoka wapi?. Mada hii uliulizwa na yanga?.
Nanukuu na kusave kauli ya msemaji wa Singida Fountain Gate.
1.Yanga anazifunga timu mbovu mbovu.
2. Hatuwezi kufungwafungwa hovyohovyo.
3 Simba walicheza na timu B.
4. Yanga ni timu ya kawaida sana.
Hii nukuu Nimeipenda sana
SASA INAONESHA HATA WEWE MSEMAJI NI MBOVU. SASA SUBIRI MCHEZESHE WACHEZAJI WA OVER 30.