Dr. Chris Mauki: Makosa 7 wengi hufanya katika kutafuta mchumba

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 11 лют 2025
  • Katika michakato migumu wengi hushuhudia ni mchakato wa kumtafuta mtu wa kuwa mke au mume wako. Kipindi cha uchumba kimejaa njia panda nyingi ambazo huwasumbua wengi na kuathiri maamuzi yao. Makosa haya yamewafanya wengi kujikuta wanaingia kwenye ndoa na watu wasio sahihi kwao. Hapo ndipo safari ya machozi huanzia. Fuatilia makosa haya saba uakusaidie kwenye kesho yako.

КОМЕНТАРІ •