Habibty uzuri ukipima mwenyewe utajua vipi. Kila mtu anagass au vikombe size zake tofauti haviwezi kuwa sana na mwengine uzuri kutumia grams au kilo grams
@@queenshibaskitchen9130 shukran sanaaa my dear, napenda sana kufatilia vdeo zako Allah akubariki sana, na mtindi ata haya maziwa tu yakiiva yenyewe sindo inafaa?
Inategemea na chuma chako na unavotia kwenye chuma, vuma hivi nlotumia kuna vidogo na vikubwa so mie chuma kidogo hutowa mikate 12, chuma kikubwa mikate 10. Hope umenifaham in shaa allah
Sio lazima kawaida haitiwi hasa, lakin ukitumia kuka la umeme kama mie hivo na ikiwa kipindi cha baridi kali uzuri kutia inasaidia kuvimba uzuri. Kama hutaki usitie haina tatizo.
masha Allah, maelez n mazr san,thnx.mung akubariq
shkrn kwa mikate mizuri sana. jazaka llahu kheir
Masha Allah mzuri sana .naombe upike mkate wa kumimina
In shaa Allah
Napenda somo lako. Kama darasani.. MashaAllah
😀😀😀 basi nishaweza kumbe kuwa mwalim eehe
Mashaallah 👍 asante
Mashallah 👌
JazakAllah khairan kwa recipe.
Amin
Ramadhan Kareem kwa sote Allah akulipe kwa kutuelimisha na sisi wenzio angalau tuwez kukorofisha majumbn kwetu😃😃😃
Thanks a lot
Yr recipe is the best
Pls show it again using other type of coconut- not the box one as we can’t get it
Mashallah jana nilitaka kukwambia tuletee mikate ya ufuta lakini Alhamdulillah leo nimeikuta Shukraan habibty Allah akulipe kheri
Amin yarabi kwa sote, basi nasubiri mrejesho
mashalwaa
Mashaa Allah
Mashallah sikujua kama unaweza kufanya kwa jiko la umeme shukran sana sis
Afwan
Aslaam alaykum maashaallah vipi mfano Kama sitaki kuweka mtindi inakuwaje mpendwa shukran kwa mapishi
Inakuwa mizuri pia hasa kama unatumia fresh coconut.
Mashaallh hogera sn my
MashaAllah auntie, I love all your recipes. Thank you for sharing. Mimi sina chuma kizuri. Nataka tafuta chuma kama chako ili niujaribu InshaAllah.
In shaa Allah unaweza kuchoma kwa grill kwa chuma cha kawaida
MaShallah nimenda mikate yko haishiki imetoka fasta kwenye chuma chako
Mashaallah shukran
masha Allah❤
Mashallah
Allah akubarik na muộn yako
Amin
Mash Allah
Asante Sana, Mola Allah akujaze Kheiri
Amin
mashallah
Mashallah
Shukran habibty
Hongera chef
Ahsante
Shukran na ww dada
Mashallah Mashallah Habibty mizuri sana Inshallah nitajaribu.allah ahifadhi kimono yako
Amin
Nimeupenda sana
Masha Allah
Shukran jazakallah khayran🙏🏼
Amin yarabi
MashaAllah very nice my sis... May Allah bless u
Amin yarabi shukran
Shukraan habibty jazakallah khairan
Amin yarabi
Asante sana
Salaam alaykum. Kilo moja na nusu ni kama glass au vikombe vingapi? Ahsante
Habibty uzuri ukipima mwenyewe utajua vipi. Kila mtu anagass au vikombe size zake tofauti haviwezi kuwa sana na mwengine uzuri kutumia grams au kilo grams
Thanks ..
Thank you
Asante sana kwa resipi
Kama nitatumia tuwi fresh je? Vipimo itakuwaje
Vilombe 5 na.1/2. Va tuwi na maji yanazi. Atlist nazi 2 kubwa. Lakin anza kutia kidogo x2 huku unaangalia uzito wa unga wako. Shukran
Raqya kitchen video zote kafuta tunaomba usifanye hivo unatufunza hasa sadak jalia yako
In shaa allah sitofita
Mashallah, thanks for the recipe 1.5kg how many measuring cups please
Vikombe kama 7 lakin uzuri pima mwenyewe utajua.
@@ummbintayn4738 12 cups? Cups yako ni gm ngapi? Kuna 250gm kuna 300gm, kuna 150gm kuna 70gm....... yako ni ipi dear?
MashaAllah nice sis where did you buy get your frying pan
Nimenunua zanzibar
Kwa hivyo vipimo umetoa mingapi?
Unatowa 8-10 inategemea na ufanyaji wa mtu.
MashaAllah...Allah barik....chuma chako umenunua hapa??
Africa, niliangizia
habibty mtindi unasaidia nin ktk mikate ya ufuta, na vile mikate kua softy inakua inasababishwa na nin, plz habibty naomba kujua
Hahaha kumbe habibty jawapo unalo mwenyewe, maziwa ya unga mtindi yai vote vinafanya kazi ya hilo suala lako la 2 🤣
@@queenshibaskitchen9130 shukran sanaaa my dear, napenda sana kufatilia vdeo zako Allah akubariki sana, na mtindi ata haya maziwa tu yakiiva yenyewe sindo inafaa?
@@najmasalim2606 shukran habibty
Mashaa ALLAH ntaomba ALLAH in shaa ALLAH ntafanya na unga 1.5 umetoa mikate mingapi habibty?
Inategemea na chuma chako na unavotia kwenye chuma, vuma hivi nlotumia kuna vidogo na vikubwa so mie chuma kidogo hutowa mikate 12, chuma kikubwa mikate 10. Hope umenifaham in shaa allah
Yah asante
Visenefu ndio nini??? Jamani.. Au ndio msanif 😊
Angalia video zengine utaona visenefu kiswahili na mie naelezeka vyakula vya kiswahili na tunavopika kiswahili au kizanzibari, msanif kwa kiarabu.
Asalamu alaikumChuma cha kuchomea mkate una pata wapi kisha uwe unatumia kwa mkate wa ufuta pekee
Sijafaham niwe natumia kwa mkate pekee? Kwani umeona napikia kitu chengine!?
Ask aleikum,kutia mtindi ni Lazima au sio Lazima ?
Unavopenda dear, ukitia unakuwa mzuri zaidi.
Hivi naomba kuliza VIP naweza kutofautisha pan za mkate wa ufuta na pan za mikate mengine
Mkate wa ufuta pan yake ni lazima iwe inagandisha chini (zinagandisha ukipikia) pan unopikia chapati na vitu vengine ni non-stick pan.
Pan yachila inakuwa nakama vidobodobo but ufuta no
❤😍
Tunaomba mapishi ya lasagna
Hello dear lasagne tayari ulo request nasubiri mrejesho kutoka kwako😊
Asante mrejesho soon inshallah
😍😍😍
Karma Huns nazi ya box units nini
Sorry sio lazma kuweka baking powerd
Sio lazima kawaida haitiwi hasa, lakin ukitumia kuka la umeme kama mie hivo na ikiwa kipindi cha baridi kali uzuri kutia inasaidia kuvimba uzuri. Kama hutaki usitie haina tatizo.
Mashaa Allah
MashaAllah
Mashallah