Masha Allah tabarakAllah nimefanya hii recipe Alhamdulillah yametoka vizuri. Nimeweka nido na nazi ya unga kama ulivyoeleza kwa anaye taka kuchoma hapohapo. Allah akulipe kheri. Shukran
Bizari tamu nimeandika recipe angalia utaona kwa kizungu nafkiri kiswahili wengine wanaita bizari nene au shimar. Mandazi kuwa yana nyama nyingi ndani ni kwenye kusukuma tu unapo sukuma (rolling) usisukume ukawa mwembamba sana.
habibty soma uzuri utafaham, hiyo nyama nimemanisha kuja ndani yani mandazi/mahamri unaposukuma ikawa nyembamba likiumuka ukachoma ndio inakuwa na shimo ndani . ukisukuma ikawa nene kama 2cm kisha ukakata ukasubiri liumuke uchome ndio lina kuwa limejaa ndani hope umenifaham sorry kiswahili vinatofautiana .@@mariambintsaid3814
Nipo UK, lakin nazi ya unga zipo tz pia navoskia ila sijui maduka gani, but hukoo mnapata nazi fresh ndio nzuri zaidi kupikia fanya hivo hivo vikombe viwili.. thanks
Shukran MashaALLAH. Naomba kuuliza maswali haya. Kama nikitumia Nazi ya vipande natia kipande chote hicho kwa vipimo vyako?. Na hio binzari tamu ni nini, ni Fennel seed? Na Naitia nzima au naisaga iwe unga? Na pia kama nififanya vikombe 2 na nusu unga Sukari nitie nusu kikombe au yote? Shukran
umeyafanya malaini dear. ndio yakanyonya mafuta na kama unaweka kwa freezer ndio kabisa usiyafanye malaini kwa sababu yakisha yayuka yanazidi kulainika.
Sio kwenye fridge ukiweka kwa fridge utaumuka kidogo x2 lakin utaumuka. Weka kwenye FREEZER. Dear. Unga UNAGANDA so hauumuki. Ukishatowa ukayayuka unaaanza tena kuumuka yani hamiraa inaanza kufanyakazi tena. OK
Mandazi mazuuri mashaallah
Mashallah mashallah sister asante sana
Thanks nimetafuta ii recipe sana
Mashaallah shukran habbty kwa idea ya maandazi ya duara thanks love 🌹🌹
Ma shaa Allah, maandazi yanavutia, they look yummy, love them
Shukran habibty
Asante sana umenifundisha kitu
Masha Allah tabarakAllah nimefanya hii recipe Alhamdulillah yametoka vizuri. Nimeweka nido na nazi ya unga kama ulivyoeleza kwa anaye taka kuchoma hapohapo. Allah akulipe kheri. Shukran
Amin kwa sote yarabi. Shukran dear
Ahsante Allah akubarik mandazi mazuri sana
Shukran dear
Mashallah mandazi nimezipenda tena sana Allah akubarik
Amin yarabi shukran
Shukraan Sana
Mashaallah mashaallah. Maandaz yameongoka.yanavutia saaana
Shukran
Mashallah napenda unavyoelezea mtu anafahamu na mapishi yako yote mazuri. Tufundishe kaimati rice shukran.
Shukran😋
MashaAllah asante kwa kutufunza mapishi unaelezea vizuri sana mashaAllah. Allah akulipe kila lenye kheri. Amin
Amin
Asante Dada MashAllah mambo mazuri
Ahsante dear
Mashallah napenda sana chakula chako. Vipimo vyako vyote perfect. Unatumiya canera gani ? Naona very clear
Shukran mamy. Allah barik .amin
Amin
Shukrn sana habibti nimekuiga na yamepasi maandazi yangu👌
Mashaa Allah
Yummy nayapika sasa hivi 🥰
Sawa my dear ♥
Mashallah mashallah kikombe ulopimiaa umetumia aina gani naomba uelewa
kikombe utochotumia ndio hicho x2 pimia sukari, hicho hicho unga na hicho hicho maji. Kama una mug tumia au kama una measuring cup tumia.
MashaAllah MashaAllah
Shukran ukhty jazaakallah kheyr..maandaz mashallah 👌
Afwan habibty
Yumm
Yummm
U speak like air hostess nice
😀😀😀😀😀😀😀
Bismilah Mashaallah habbty jee ayoo maandaz nawez kueka ht wiki kweny freezer???
Kwa mienzi (months) unaweza kuweka
@@queenshibaskitchen9130 shukrn sana
Mashaallah ....what about tui ya nazi ngapi zahitajika ......mrs🇰🇪🇰🇪
Dear angalia kwenye recipe nimeandika water 2 cups ni same kwa tui pia. Mhim kujua ungawa unotumia mwengine hauchukuwi liquid nyingi so tia kidogo x2.
@@queenshibaskitchen9130 thanks 🌹🌹
MashaAllah yummy, Allah akulipe khair sis
Amin kwa sote yarabi
kama huna nazi ya powder. Unatka kutumia tui la Nazi kipimo unafnya VP?
Vijiko vya nazi nivijaze mlima au flat?
Hahaha unanifanya nicheke, upendavo my dear nazi kila ikizidi, andazi linakuwa zuri habibty.
Dada hapo sijaelewa unaweka kwenye frigde au freezer ya kugandisha
Kwenye Freezer (yakugandisha barafu)
kwa vipimo vya gram inakuwa kiasi gani kwa unga
After doubling then I put in freezee
Please watch and listening until the end dear im sure you will get an answer.
Binzar tam ndo ipi habibty? Na pia kufanya maandaz yajae ndan wafanyaje?
Bizari tamu nimeandika recipe angalia utaona kwa kizungu nafkiri kiswahili wengine wanaita bizari nene au shimar.
Mandazi kuwa yana nyama nyingi ndani ni kwenye kusukuma tu unapo sukuma (rolling) usisukume ukawa mwembamba sana.
@@queenshibaskitchen9130 nilikuwa namaanisha wafanyaje ili yasitoke na shimo/nafasi ndani kama mahamri
habibty soma uzuri utafaham, hiyo nyama nimemanisha kuja ndani yani mandazi/mahamri unaposukuma ikawa nyembamba likiumuka ukachoma ndio inakuwa na shimo ndani . ukisukuma ikawa nene kama 2cm kisha ukakata ukasubiri liumuke uchome ndio lina kuwa limejaa ndani hope umenifaham sorry kiswahili vinatofautiana .@@mariambintsaid3814
@@queenshibaskitchen9130 wooooow nashukuru mnomnooo kwa maelezo yako ya kina...nimefaham sasa. Barakallahfik uhkty
Upo wapi Tanzania maana nazi hiyo ya unga hamna Tanzania au zipo ?
Nipo UK, lakin nazi ya unga zipo tz pia navoskia ila sijui maduka gani, but hukoo mnapata nazi fresh ndio nzuri zaidi kupikia fanya hivo hivo vikombe viwili.. thanks
@@queenshibaskitchen9130 shukran habibty nipo Abudhabi niliwatumia kipimo ndugu yangu ndio wakasema zipo brand nyingine MashaAllah unaelekeza vizuri
Shukran MashaALLAH. Naomba kuuliza maswali haya. Kama nikitumia Nazi ya vipande natia kipande chote hicho kwa vipimo vyako?. Na hio binzari tamu ni nini, ni Fennel seed? Na Naitia nzima au naisaga iwe unga? Na pia kama nififanya vikombe 2 na nusu unga Sukari nitie nusu kikombe au yote? Shukran
Ndio habiby fennel seeds ndio bizari tamu, na kama unatumia nazi ya kipande (box) tumia yote kwa kipimo hicho cha vikombe va unga 5. Shukran
@@queenshibaskitchen9130 shukran sana sister
Ukishakutoa kwenye freezer unaweka kwa muda gani kabla ya kuchoma. Shukran
Kwanza Yawache madonge yatoke baridi yakishatoka baridi utakata kata hapo sasa utawacha kwa dakika 10-15 uchome .
Assalam Aleykum. Naona kama uko UK.unatumia unga wa duka gani? Yani Asda tesco lidl?
Waleikum salam Aldi na Costco.
Okay. Shukran Jazakallahu kheir.
Kikombe cha rice cooker hiki??
Hapana cha bread maker. Lakin size sawa na mug ya chai
mafuta watiya
Nlivoonesha ndivo nlivofanya dear,, recipe ipo kwenye description below ok. Shukran
Huo unga ni sawa na kilo 1??
Nimeandika ingredients kwenye description bellow ya hiiyo video dear
Asante dada nataka utufundishe na kababu za samaki triangel met roll na meat cake tunapata kubadilishana mawazo
Cardamom inasaidianga na Nini
Inaleta Harufu nzuri na inakata harufu ya hamira.
iliki
Mi nimepika lkni yamenyonya mafuta😢
umeyafanya malaini dear. ndio yakanyonya mafuta na kama unaweka kwa freezer ndio kabisa usiyafanye malaini kwa sababu yakisha yayuka yanazidi kulainika.
queenshibas kitchen kweli yalikua malaini sana kumbe ndio sababu ... asante kukosa ndio kujua asante❤️
@@mrsawadh5716 kweli kukosea ndio kujifunza dear, afwan
Naomba kuliza unakua haumuki ukiweka kwenye fridge unga
Sio kwenye fridge ukiweka kwa fridge utaumuka kidogo x2 lakin utaumuka. Weka kwenye FREEZER. Dear. Unga UNAGANDA so hauumuki. Ukishatowa ukayayuka unaaanza tena kuumuka yani hamiraa inaanza kufanyakazi tena. OK
queenshibas kitchen asante sana dada angu allah akulipe kheir